If you would like to watch this video in English kzbin.info/www/bejne/n2mnfKabhZmVodU
@starlight100-o2l2 жыл бұрын
Jmn niliwapikia hivi watoto walienjoy😍 ni Tamuuu sana.... Be blessed tajiri
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Kama nawaona vile 😃😃😃 thank you so much for the support
@atupakisyekyando8905 ай бұрын
Hongera kwa pishi..nahisi nipo kula😘
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
🤣🤣🤣kule kwenu bukoba hatuvai gloves very delicious na mkate na upate na njugu 😋😋😋👌
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Yes sista hatuvai hizo vitu kabisa. Yani hapo nitakula hadi nilale 🤣
@danymsinga70484 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mwangazabaruani29412 жыл бұрын
Asante kwa muda wako na mafundisho ya upikaji. Ni swali: hizi video una recodi ukiwa Africa? Mimi naishi marekani na nimejaribu kupika ndizi mara kaza ,zinakuwa ngumu. Unaweza ku shauri shinda nini ? Asante!!
@kakebetv98832 жыл бұрын
usiweke chumvi kabla ndizi haijaiva
@saudamkala10083 жыл бұрын
Can't wait to try it 😁😍
@asiatukusaga8373 жыл бұрын
Wow nimejifunza
@JoynesGrayson Жыл бұрын
Asante dada Kwa kutufumdisha
@mwantumhemed86254 жыл бұрын
mashallah dada nitajarib na mm nyumban💟
@AshuraMustafa-v7bАй бұрын
Chakwanza nimependa unazingatia sana usafi
@RehmaHussein-me2cq Жыл бұрын
Aisee nimeipenda
@ignaspius3 жыл бұрын
Safi sana...
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah vle nazipenda shukran da apo nipate chapati ata csemi sna...mmi nilijuwa wwe ni kenya ddangu
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Utakula hadi ushindwe kuamka 🤣🤣🤣 yah nipo kote kote dadangu.
Chakula kizuriii, hongera. Nimependa sufuria zako.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran sana😊
@AnnaMushi-d3g9 ай бұрын
Asante nimejifuza
@safiaothman10983 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@hitherekhakuya83123 жыл бұрын
Upishi Bora asante sana
@HawaBonanga Жыл бұрын
Nice❤
@harunaespoir6301 Жыл бұрын
Nakubali sana
@ikamalle4 жыл бұрын
Yaaaani napenda ndiziii 😋😋😋😋😋
@halimambarak44434 жыл бұрын
MashaAllah you never disappoint sweetheart keep up.. My Allah bless the work of your hand 😘
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Ameen...Shukran
@muh4225 Жыл бұрын
Ni nzury sn hiz ndiz
@drukey92064 жыл бұрын
Would have enjoyed it if u mentioned the time stamps, like for how long do you leave the meat to boiling.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
I boiled till done. So it depends on you how you would like your meat to be done.
@drukey92064 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Okay, thank you.
@nicholaspatrick33512 жыл бұрын
Utanamu 😘😘😘😘😘😘🤗
@HilmiJameel Жыл бұрын
Mpishi mzur mashallah ila sijapenda bendera ya mkonon mwako weka ya kwetu utapendeza zaid
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Shukran sana. Hizo ni bendera 3 jamani ya kwetu pia ipo
@paulineoduor2832 жыл бұрын
So yummy i lk it
@yazidabbakari74653 жыл бұрын
Uko vzr lbd haujui kumenyaa
@angelamachibyaa97492 жыл бұрын
Jamani Bukoba hawamenyi hivyo NDIZI na hawachanganyi viazi kwenye ndizi, hayo siyo Mapishi ya Bukoba!
@Pedeshee017 ай бұрын
Nakuja unipikie
@Pedeshee017 ай бұрын
Bukoba mko vizuri hata yale maji kitandani😂😂
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 ай бұрын
@angelamachiyaa9749. Basi Bibi yangu ilikua akitupikia hivi ama wakati mwengine anazisonga.
@sarahneema33764 жыл бұрын
Yummy,waeza kutia manjano badala ya currypowder?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Yes unaweza
@sankofaman41124 жыл бұрын
Rugwa Rugwa! Hongera sana dada.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Shukran sana kaka brother
@ignaspius3 жыл бұрын
Chakula kizuri sana
@hakimaali46ali93 Жыл бұрын
Which country are you in please
@tajiriskitchenswahiliflavo1723Ай бұрын
@@hakimaali46ali93 USA
@merrynimependaninzurisanaa97754 жыл бұрын
Ahsante Dada ndizi nitamu sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Karibu sana dadaangu
@terryskitchen3374 жыл бұрын
😂😂 hamvai vitu gani?..kidogo niulize wewe ni wa wapi😅. Hizo matoke si ni tamu😋 Me huweka viazi na matoke pamoja, kumbe wafaa kueka viazi kwanza...atleast have learnt something.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
🤣🤣🤣 hatuvai hizo vitu nyeupe kwa mikono🙈 yah ukikaranga viazi na mafuta kwanza vinakuwa na ladha murwa kabisa😋
@halimahashim67683 жыл бұрын
My dear kam kun group na me naomb niungweee
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Facebook @Tajiri's Kitchen Tufundishane mapishi
@SaumuSaumu-jz5pq5 ай бұрын
Akiy mm hujifunza kupika kutoka kwako. Naoenda jisi unavyoeleza mpaka unaeleweka
@tajiriskitchenswahiliflavo1723Ай бұрын
@@SaumuSaumu-jz5pq Shukran sana
@karirekinyana9759 Жыл бұрын
Tamu kweki naomba niwonje kidogo😂😂😂
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@MsBupe4 жыл бұрын
Zinaonekana tamu hizo😋😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Tena sana tu hun😋
@veemoney56923 жыл бұрын
delicious food
@jamessila3219 Жыл бұрын
😋tamu
@salumkhalid1742 жыл бұрын
Jamni km kun group naomb mniunge
@rezeekybeiby15194 жыл бұрын
Wow mashq allah
@simplelifeyoutubec4 жыл бұрын
yatamanishaa. Hiyo ni nyama ya mbuzi au ngombe?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Waeza kutumia nyama yoyote tu upendayo
@damedodoly89353 жыл бұрын
Asante sana dada
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Karibu sana
@EuniceZacharia-r6mАй бұрын
😢Leo kuna babe angu kanambia shem anakuja afu shem anae nikubal kinoma😅 na msos ukapikwe huu uwiiiiiiiii inenilazim niingie Google 😅😢😢 maana 😢
@alychande8843 жыл бұрын
Nimepnd nitapika
@alphadinubahali33012 жыл бұрын
Nimependa mapishi yako mahitaji yake ni affordable kwa kila mtu
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
Thank you so much for the support dear. Yani unapata vyote sokoni tu.
@ignaspius3 жыл бұрын
Kukaanga?? Au kukalanga.
@Wanyiha-G.14 жыл бұрын
Woooo I can imagine the taste!😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Super yummy! 😋
@rahmaahmed28134 жыл бұрын
Wow mashaallah
@veronicasixbert4824 жыл бұрын
Ndizi tamu 😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran sana
@pinerchao92564 жыл бұрын
Tajiri try ulete mapishi ya octopus
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Ok nitajaribu iwezekanavyo 😊
@mwajumbetajiri37714 жыл бұрын
Maashaalla
@aminamohamed39164 жыл бұрын
Salam alekum mimi napenda sàna màtoke sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Waaleikum musalam shukran
@Amina-o5q Жыл бұрын
❤❤
@pendomichael94724 жыл бұрын
Viungo vichache lkn chakula chavutia mashallah
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Ukitaka vingi unaeka tu
@daudimajaliwa88534 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran sana
@carolynemwende42784 жыл бұрын
Very nice
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@carolynemwende42784 жыл бұрын
Welcome
@asharashidi62044 жыл бұрын
Ndiz gan hizo?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Matoke
@fettyzaidy94962 жыл бұрын
😂😂bukoba hatuchambui hivo bhna
@tajiriskitchenswahiliflavo17232 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zahramauba48214 жыл бұрын
Jamani kutamani nayo yamepikika
@jessicabenyami44894 жыл бұрын
Kweli nalo nisomo
@khadijabadawy83didaa854 жыл бұрын
Woow yummy yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thanks hun
@magiefrank40984 жыл бұрын
Mashallah yummy yummy 😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran
@aminamohamed38764 жыл бұрын
Tamtam saaaaanaaaa
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Shukran
@RachelNzunda-r9s Жыл бұрын
😋😋😋❤❤
@halimascoastalcuisine47464 жыл бұрын
Recipe nzuri sana
@rozzywanjala4644 жыл бұрын
Tamu sana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Tena sana 😋
@jueliayusuf22844 жыл бұрын
Mashaallah
@daningayonga62013 жыл бұрын
Unafanya watu wachelewe Kuoa 🤣🤣🤣🤣
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@jaeltorres96453 жыл бұрын
Super ❤ 🖤 🤍 💚
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Thank you dear
@monalisamateke72644 жыл бұрын
Mbona kama umeweka nyanya nyingi sana,ila zinaonekana ni tamu
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Mm hupenda ndizi zangu ziwe hivyo, lakini kama hupendi nyanya nyingi punguza.
@christinamwambalaswa50554 жыл бұрын
Matoke ndio bukoba kwa jina jingne!!?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Nani kasema?
@christinamwambalaswa50554 жыл бұрын
Ndo maana Nikauliza
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@christinamwambalaswa5055 Bukoba ni kwetu
@latwifamaliki93412 жыл бұрын
Matoke ndio bukoba😂😂🙌🙌🙌
@henryzirim63294 жыл бұрын
Pumbavu kabisa ,, hayo sio matoke kabisa
@parmenamungatana51424 жыл бұрын
Ni machungwa pumbavu!
@henryzirim63294 жыл бұрын
@@parmenamungatana5142 😂😂😂😂
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Henry Zirim. Ungekuwa ni Mume ulo kamilika ningekujibu lakini uko na mapungufu so siwezi poteza mda wangu.
@abubakarhussein30434 жыл бұрын
sio matoke waona ni nn tomato au?
@abubakarhussein30434 жыл бұрын
aliyekuzaa alifanya makosa bora angekutupa chooni...mbwa hii
@Moudgram3 жыл бұрын
Chakula kitamu
@EsterMalomba21 күн бұрын
Nazi haiwekwi dada
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Hila hizi sio ndizi yaani zaonekana kabisa..
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Ni nini kama sio ndizi?
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 mizuzu ama kwajina lingine plantein
@nawesulle35664 жыл бұрын
Naona vtunguu vingi ila nzurii
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Vitunguu vingi ndio vizuri kwa chakula.
@parmenamungatana51424 жыл бұрын
Mmh mmh 🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤🤤
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
🤣🤣🤣😋
@miriamwasike1744 жыл бұрын
Hizo ni bananas not plantains .
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
When I bought at the store, they wrote Plantains. So I think America they called Plantains. Anyway thanks for watching hun
@athmankambi9374 жыл бұрын
Miriam Wasike nyanya nyingi kama mchuzi mh!!
@nicelawrance96674 жыл бұрын
Ndio plantains hizo dada
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@nicelawrance9667 Waambie coz hawaelewi. Mm nikinunua zimeandikwa plantains na ladha niya plantains.
@alicemwamikazi1257 Жыл бұрын
❤
@ikamalle4 жыл бұрын
Yaaaani napenda ndiziii 😋😋😋😋😋
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Yani mm naweza kuzila kila siku nikubadiksha recipe tu 🤣🤣🤣