NDOA 《FINAL》

  Рет қаралды 42,965

Boncena got Talent

Boncena got Talent

Күн бұрын

Subscribe | Like | Share and Comment
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Watch more contents:
BONCENA GOT TALENT
#NDOA #boncenagottalent
+255659096471
FACEBOOK; httpsboncena rutama
INSTARGRAM; / . .
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfacebook;boncena_tz
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ

Пікірлер: 238
@boncenagottalent
@boncenagottalent 5 күн бұрын
SHUKRANI KWA MASHABIKI WETU WOTE! Mimi, Boncena Got Talent, pamoja na timu yangu Ruta Man Gang, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa mashabiki wote mliofuatilia NDOA kuanzia episode ya kwanza hadi ya mwisho. Upendo wenu, sapoti yenu, na maoni yenu yametupa nguvu ya kuendelea kuleta kazi bora zaidi. Sasa tunawaletea mfululizo mpya unaoitwa PENZI LA MLINZI NA BOSS, hadithi yenye msisimko, mapenzi, na visa vya kusisimua ambavyo vitawafanya msikose hata episode moja! Endeleeni kuwa nasi, kushiriki, na kusapoti kazi zetu. Boncena Got Talent na Ruta Man Gang tunasema ASANTE SANA! #PenziLaMlinziNaBoss #RutaManGang #BoncenaGotTalent
@JohnMachiya
@JohnMachiya 5 күн бұрын
Mm n mlinz hii siachi
@BarakaZZZ
@BarakaZZZ 5 күн бұрын
wongereni sana kwa movie kali hii.❤❤❤
@RonnyCruze
@RonnyCruze 5 күн бұрын
Hii Ni video ambayo Ina elimu Zaidi kuliko zote
@SalamaTaura
@SalamaTaura 5 күн бұрын
Kobelo ww congratulations 🎉👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@SheilahJeptoo-l4j
@SheilahJeptoo-l4j 5 күн бұрын
Pongezi sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 5 күн бұрын
Za mwizi n arobaini za mwuongo n sitini wenye tumefurahiswa vile latifa ameumbuka msipite bila kujuana😂😂😂😂😂
@AliDemashk-g2c
@AliDemashk-g2c 5 күн бұрын
Luta na timu yako mubarikiwe nimejifunza sana kua mwaminifu Kwa ndoa ni jambo la maana ❤❤❤❤❤❤❤
@ReginaMmunga
@ReginaMmunga 3 күн бұрын
Kazi nzuri pia guys andika tuyajenge film production utaona mengi zaidi maajabu❤❤
@HidayaHamisi-w5k
@HidayaHamisi-w5k 5 күн бұрын
Mapema wote tuloanza mwanzo hadi final kuja kwa like hapa
@RamadaHadadhimself
@RamadaHadadhimself Күн бұрын
Mr lutaman nadhani kilichoongelewa kinaeleweka TII sheria bila shuruti afande fanya kazi yako, huyo mchizi namuona mbali sana.
@FelistaSamson-c9f
@FelistaSamson-c9f 4 күн бұрын
Asanten Tim luta man Kwa mafunzo mengi ya kwenye series hii ya ndoa,muhim nimejifunz uvumiliv,kuwa na subra,kujitambua ni nin natak katika maisha Ili kuepuka dharau na madhara katika jaamii all in all thanks Kwa mafunzo mengi 🎉🎉tumasubir another series Kwa mafunzo zaid
@labby_gee
@labby_gee 2 күн бұрын
Mmbo n moto sanaa na kobelo🎉
@DavidWafula-b1h
@DavidWafula-b1h 3 күн бұрын
Tunakufwatilia kutoka kenya big up bro mungu awape maharifa kakangu.
@BarakaZZZ
@BarakaZZZ 5 күн бұрын
wangapi tumejifuza kupitia hii movie kali❤❤❤❤ tujuwane kwenye like hii comment
@FereshfestogmailFereshfestogma
@FereshfestogmailFereshfestogma 4 күн бұрын
Jamani watu wafupi 😮 ko uwafokee kisa bosi wao hafu mbele ya kamera, hafu sisi watu wa mpira pia ni mashabiki wako kwa ni uwavue jezi wakati humu kuna mashabiki wenzao tukiwaona kuna jinsi tunafurahi . ila kazi nzuri ,💚💛
@patrickbayser7109
@patrickbayser7109 4 күн бұрын
ASANTENI SANA MASHABIKI KWA KUFUATILIA MWANZO ADI MWISHO TAMSILIA HII TUKUTANE KWENYE CHUMA NYINGINE MGANGA BAYSER APA
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 4 күн бұрын
Kakaa bayser sas kwann Mary kafariki ajajua kuwa umeona na kuwa yy tayari ana UKIMWI ili atambuee maovu yakeeeee why ila big up kwako Kaz ni nzur
@emilywilly2306
@emilywilly2306 5 күн бұрын
Ahsanteni jamani nawapenda nmekua nanyi tangu manzo had mwisho❤❤❤❤❤❤❤❤
@Winleizerabdy
@Winleizerabdy 5 күн бұрын
Kopelo jamani nakupemda😂😂😂 luta man kazi nzuri tunakupenda pia yaani kw ujumla tunawapenda❤❤
@AlexKasena-d9p
@AlexKasena-d9p 5 күн бұрын
Good job guys, congratulations 🎉🎉
@roselubambo6128
@roselubambo6128 4 күн бұрын
That why they look alike ❤❤
@menzedickaliera4634
@menzedickaliera4634 2 күн бұрын
God bless you all team Sana ,BT I'm waiting for MGENI WA KIJIJI 👏
@LindaJacob-y8y
@LindaJacob-y8y 4 күн бұрын
Hii ndoa mmejua kutuliza kichwa aiseee🙌🙌 kila mtu amemaliza stor yake vizuriiii.mnooo yaan hongereni san san tunazidi kuwafatiliaa vyemaa ❤🎉
@Frank-l2k
@Frank-l2k 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana hongereni ila luta umemaliza vibaya but uko na mafunzo mengi sana series yenu❤❤❤🎉❤ tifa umeplay part nzuri sana ❤😊
@ErickDzombo
@ErickDzombo Күн бұрын
Huyu Boncena kumbe ni gaidi😂😂
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt 4 күн бұрын
Uwa nampendag sana happy jaman ❤❤❤❤
@daisyneema3727
@daisyneema3727 5 күн бұрын
Kobelo nakupenda❤❤afu Baisa usisahau kurudi kijijini kumchukua kobelo😢..nawapenda nyote Luta man family..ila kobelo nampenda sana❤❤❤nasubiria series mpya🎉🎉🎉🎉🎉
@MarkOlubayo
@MarkOlubayo 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana Rutaman pamoja na kikosi chako. Much love from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ReshmahEmma
@ReshmahEmma 4 күн бұрын
Kipepeo nakupenda sanaa❤ila acha kutumia mafuta unayotumia yanakuharibu😢
@FestusMwalim
@FestusMwalim 5 күн бұрын
🎉🎉🎉 team kumbwa keep it up from Kenya
@hamzamihosho6480
@hamzamihosho6480 5 күн бұрын
Wakwanza ❤❤❤
@irenecherotich4975
@irenecherotich4975 5 күн бұрын
Keep going guys 🎉🎉🎉
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds
@ABDALLAHKASSIMKILOLA-yc6ds 4 күн бұрын
Mtuahid kinacho kuja tujiandae😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤ nawapenda sana
@shukranikasereka716
@shukranikasereka716 4 күн бұрын
Nimewapongeza sana kwa KAZI nzuri ambayo mnaendeleya kufanya.Mungu atubariki sana🇹🇿🇨🇩🙏💕
@user-of7hq5us9i
@user-of7hq5us9i 5 күн бұрын
Jaman dada mpelelezi umejua kunifurahisha love you so much❤ 👌umetisha kipenzi😘
@patriciachangawa1754
@patriciachangawa1754 4 күн бұрын
Mima nakupenda sna unajua kuingiza sana dadngu hogera na mungu akuzidishie kipaji ,,asanteni asna toka mwanzo handi mwisho tuko pamoja nawapenda from kenya ❤❤❤
@FranciscoafonsoAntonio-bg7yd
@FranciscoafonsoAntonio-bg7yd 5 күн бұрын
Nimikubali sana maono enu kasi visuli sana, natakia maicha malefu
@RashidMuramba
@RashidMuramba 4 күн бұрын
....hapo safiii from kenya
@nesaahaji1329
@nesaahaji1329 4 күн бұрын
Hongereni sana team nzima ya ndoa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@EdisaLaul
@EdisaLaul 5 күн бұрын
Kobelo mtu wa kuona matukio jaman😅😅😅😅
@EmilianaChrispine1234
@EmilianaChrispine1234 4 күн бұрын
Kazi nzur sana ruta Gang movie hii ina mafunzo pande zote an big up sana🎉🎉🎉
@Gumbwa-Tv
@Gumbwa-Tv 5 күн бұрын
ASANTENI SANA MASHABIKI ZETU KWA KUTUAMINI NA KUIPOKEA KAZI YETU YA NDOA PIA KAA TAYARI KWA SERIES NYINGNE YA PENZI LA MLINZI NA BOSS ASANTE SANA KWA MWANZO MPAKA HAPA
@AvinashAbbakari
@AvinashAbbakari 5 күн бұрын
Gumbwa lilikukuta Jambo pole sana
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 5 күн бұрын
Ila unapolia unakera gumbwa jikaze mtoto wa kiume 😂😂
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 4 күн бұрын
Affu gumbwa hyo t shirt ulofumaniwa nayo ukiwa na tifaaa ina nikumbusha LOVE BITE daah 🙌🙌🙌broo umepga mwingi sanaaa
@ErickDzombo
@ErickDzombo Күн бұрын
Gumbwa punguza broo😂😂😊
@ChristineAsifiwe
@ChristineAsifiwe 4 күн бұрын
Aise kwakweli umenifunza mengi sijapata kuona ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 team nzima mumefanya vizuri sana kbs. Ila KOBELO na kupendaga bure maana upo vizuri kwakwili afu hapa mwishoni umenifuraisha sana kbs 😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DOGOBAKARI
@DOGOBAKARI Күн бұрын
Timu boncena❤kwa heshima
@Khadija-l3k9d
@Khadija-l3k9d 3 күн бұрын
kaka luta nakupa honger zako
@KelvinDiksoni
@KelvinDiksoni 5 күн бұрын
Nimewapenda nmawaisha San movie kutoka Bk tz naomba ata like 10🎉🎉🎉
@LizenMaker
@LizenMaker 5 күн бұрын
Yamekukuta Gumbwa
@RogersRugumisa
@RogersRugumisa 4 күн бұрын
Unafki tuacheni jamanii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
@KOBELOWakijiji-u1n
@KOBELOWakijiji-u1n 5 күн бұрын
MM KOBELO NA FAMILY NZIMA YA RUTA GANG TUNASHUKULU KWANZIA MWANZO MPA MWISHO MUNGU AWE NANYI MASHABIKI ZETU🙏🙏🎬🤸🤸
@AvinashAbbakari
@AvinashAbbakari 5 күн бұрын
Kobelo ndugu yangu
@LewisHamiltonGLD
@LewisHamiltonGLD 5 күн бұрын
Punguza kulialia Kaa dem unaboo ukilia😂😂😂😂
@AplA-x9b
@AplA-x9b 5 күн бұрын
Kobelo acha kuongea kwa ku shout 😂😂😂😂😂😂
@PendoKalama-rn8pf
@PendoKalama-rn8pf 4 күн бұрын
@@KOBELOWakijiji-u1n mmmh kobelo..hujui kulia
@AbduhanifaShani
@AbduhanifaShani 4 күн бұрын
Wekobelo jau sana😂😂😂
@ShabaniRamadhani-s8h
@ShabaniRamadhani-s8h 4 күн бұрын
Bonge la movie ila kobelo unaonekana ni mtoto wa mama alifu ni wamwisho kwenu 😅😅
@NtacobanzizaLeatitiazilfa
@NtacobanzizaLeatitiazilfa 4 күн бұрын
Asante ni Allah Azidi kuwapa afya Muzidi kutuelimisha Manshaallah na sisi muzidi jutuombea tupate bando❤❤❤❤
@RubazaReuben
@RubazaReuben 4 күн бұрын
Ruta mani ana takia ku shukulu Mwenyezi Mungu ana muokoa mdngi
@Arafa-dt9sh
@Arafa-dt9sh 4 күн бұрын
Kapero umenitoa machozi😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@m.csundayvin3584
@m.csundayvin3584 4 күн бұрын
Kazi yenu nzuri sana naipenda sana
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 күн бұрын
Happy 🎉🎉🎉
@HassaniKassim-z2s
@HassaniKassim-z2s 4 күн бұрын
Kazi nzuri sana familia ya ruta man gumbo umetisha
@bertha57
@bertha57 4 күн бұрын
Kobelo amenifanya niliye kweli 😢
@humphreykiwia9814
@humphreykiwia9814 4 күн бұрын
Waoooo big up sanaaaaaa
@BoniphaceFrances-y3z
@BoniphaceFrances-y3z 5 күн бұрын
Safi sana jamani nawapenda
@MariamMaulid-s9l
@MariamMaulid-s9l 5 күн бұрын
Yaani kobelo nishidaaa
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 3 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉👏👏
@KidumeRashid
@KidumeRashid 5 күн бұрын
Gumbwa unafurahiya ujinga mla mla leo mla jana kala nini
@sylvanjosam3402
@sylvanjosam3402 4 күн бұрын
Tifaa umezeeka tafta bwana 😅😅😅😅😅
@Shantie.tz20006
@Shantie.tz20006 4 күн бұрын
Omg this story is very amazing I really like it. Can you please tell me the name of the song that played in the background 😢we will support you guys and keep it up ❤❤❤much love from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@SusanOpuba
@SusanOpuba 4 күн бұрын
Wow,asante sana nmejifunza vitu vingi kuhusu ndoa na maisha
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt 4 күн бұрын
Basi mimi nime ama simpendi cobelo ten naenda kwa uyo mdg wake CHAPA ILALE freki nakupenda 😅😅😅😅
@markoznyanga1004
@markoznyanga1004 3 күн бұрын
I like it bitter but encouraging movie❤
@emsoundsentertainmentkenya953
@emsoundsentertainmentkenya953 4 күн бұрын
Asante kwa burudani na elimu.
@EdwinMgandi-l5n
@EdwinMgandi-l5n 4 күн бұрын
Waiting for the new series
@LuciaEzekiel-o6i
@LuciaEzekiel-o6i 5 күн бұрын
Ooh movie yangu pendwa bye bye
@SalamaTaura
@SalamaTaura 5 күн бұрын
Kobelo bwana congratulations 🎉👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@HamisiBandegeye
@HamisiBandegeye 2 күн бұрын
Kkkk, sisi weupe tunapepo yetu mbinguni😂😂😂😂
@Tima-q4y
@Tima-q4y 5 күн бұрын
Latifa 😂😂😂😂 kaumbuka round hii 🙌
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 2 күн бұрын
Kobelo na ndugu yake hadi raha kazi nzuri timu luttaman
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 күн бұрын
Selina mashallah mrembo
@aishaomar2287
@aishaomar2287 4 күн бұрын
Maria hangekufa kabla kufahamu kwamba baisa kaona na pia kujua kua kajulikana kumsaliti mumewe # oro in oro GOOD work🎉🎉🎉 baisa umemkosa Maria na rahma pia😢
@ReginaMmunga
@ReginaMmunga 3 күн бұрын
Huyu mzee anaye washauri kwaajili YA mimba Kiswahili chako nicha Wa DRC😂😂😂 Congo
@BahatiRaulent
@BahatiRaulent 4 күн бұрын
Asante nimejifunza mengi kupitia hii movie mungu azidi kuwapa ubunifu mzidi kuelimisha jamii.
@jameskachalasimfukwekachal9459
@jameskachalasimfukwekachal9459 5 күн бұрын
Watu sijui mnalala huku😊
@BROWNFLAVOUR-sb3mh
@BROWNFLAVOUR-sb3mh 5 күн бұрын
Kutoka kenya
@NeemaColleen
@NeemaColleen 4 күн бұрын
Jaman huuu wimbo wa ndoa kaimba nan
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 күн бұрын
Gumba hahahaaaaa ivo viuno hatari
@prosperbirorimana5982
@prosperbirorimana5982 3 күн бұрын
Iyi keberoo😂😂😂😂😂😂 nakubali🇧🇮
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 4 күн бұрын
Tifaaaaa acha kumlaghai kijana wa watu mapenzi hayalazimishwi tafuta unapopendwa ...❤
@PhilbertPhilbert-gz3nk
@PhilbertPhilbert-gz3nk 4 күн бұрын
Naomba huo wa wimbo aiseee
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 5 күн бұрын
Good job 👏❤
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 5 күн бұрын
Asante washiriki mumefikisha ujumbe ipasavyo🎉🎉🎉🎉🎉❤
@juliusmshimika-o7u
@juliusmshimika-o7u 5 күн бұрын
Story nzuri nimeipenda
@MessengerKisma
@MessengerKisma 3 күн бұрын
tuwapongeze tu kwasababu sio rahisi kumaliza tamthilia ila kwa tamthilia yengine mukuwe na hakikisha munatuma ep isikuwe na mbemba bando nyingi sana kumbe isi pite kwa 90bando sijuwi nikwangu pekeangu ndo inambemba nyingi ama nakwawengine nihivyo mimi nawafuata kutoka DRCONGO🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 4 күн бұрын
Aliyemsikia baisa akimlilia mke wake kwamba mke wng ucmpokee maria 😂😂😂😂😂 gonga like kama zote hapo
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 4 күн бұрын
Kachapiaa
@AnnetteSimiyu-bz5ns
@AnnetteSimiyu-bz5ns 4 күн бұрын
Nawapenda sana team ruda man❤❤❤❤
@MariamMaulid-s9l
@MariamMaulid-s9l 5 күн бұрын
Nzuri saaaaana ila iendelee tu
@dullysparkle
@dullysparkle 4 күн бұрын
MUNGU AKUWEKE SANA RUTAMAN UMETUFANYA TUMEWAJUA KINA SELINA KOBELO GUMBWA NA FUNDI SALMA NA FUNDI BAISA🙏🙏🙏🙏🙏
@WilliamJoel-kz2jv
@WilliamJoel-kz2jv 5 күн бұрын
Wale tunao wah tujuane 😂🎉🎉
@NiyonkuruEsnat
@NiyonkuruEsnat 4 күн бұрын
❤❤❤❤tume yipenda 🎉san
@PaschalPaul-d9r
@PaschalPaul-d9r 5 күн бұрын
Natamani kumjua anae imba hii nyimbo aisee
@PrettySalmah-tt8bh
@PrettySalmah-tt8bh 4 күн бұрын
😂😂😂😂Kwakwel et Kobelo miak30 France miak17🙄hii kitaalam imekaaaj??? All of all congratulations kw team nzim ya Boncena
@HadijaAmina-c9o
@HadijaAmina-c9o 5 күн бұрын
Jamani nimependa kazi wenu
@PiliMakame
@PiliMakame 4 күн бұрын
Hongereni sana Kwa kutuelimisha
@HadijaAmina-c9o
@HadijaAmina-c9o 5 күн бұрын
Amen asateni pia nyinyi mungu awabariki
@LeopoldBigirimana-f4g
@LeopoldBigirimana-f4g 4 күн бұрын
Big up sana keep up Ruta man
@ميريم-ط1س
@ميريم-ط1س 4 күн бұрын
Hadi anatia huruma huyu frenk 😂😂pole kumbe duka sio lake aya enda ukojoe ulale 😂
@FloraKindole-z7y
@FloraKindole-z7y 5 күн бұрын
Hatimaye na mm Leo nmewahi jaman
@RogersRugumisa
@RogersRugumisa 4 күн бұрын
Umbea tuache wanawake kenge nyieeeeee😂😂😂😂
@IbrahimuPaulo-ni8lr
@IbrahimuPaulo-ni8lr 4 күн бұрын
Tifa umeyabananga kwa mimaaah umebaki peke ykoo
BLACK DAY  |1| #Kakoso
20:19
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 65 М.
Боксёр воспитал дикого бойца!
01:36
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,9 МЛН
упс #aminkavitaminka #aminokka
00:12
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,2 МЛН
Кого Первым ИСКЛЮЧАТ из ШКОЛЫ !
25:03
PROFESSOR [8]#sandraOfficial #kiparabrand #clamvevo #professor
21:35
Little Nayla _ Part 01
16:24
ZEBUU FILM
Рет қаралды 74 М.
NDARO NA STEVE WALIVOKIWASHA KISA MWANAMKE
12:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 31 М.
MWALIMU WA MEMKWA: |EP 15|
9:38
MPEMBA COMEDIAN
Рет қаралды 14 М.
MELISA S02 EPISODE 5
29:44
hemedy chande TV
Рет қаралды 4,9 М.
BAMANDA FULL 1_4
50:55
KAMOTE
Рет қаралды 24 М.
Боксёр воспитал дикого бойца!
01:36
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 4,9 МЛН