I support this 100% wacha wanaume wafugwe kabisaa! How can someone have a relationship with a student mwenye ako na school uniform surely! Alafu unasema hukua unajua ni under age??
@FaithgakiimuchenaMuchena-d6k11 күн бұрын
Edward muriuki (katii) sisi kama familia tulikusamehe kutoka mioyoni . Lakini chunga sana ukitoka huku raia mali ya serikali ni wengi unaweza rundi uko Tena . Story Yako nmeisikia heri ninyamaze mungu Bado Yuko.
@duncankipsdan71159 күн бұрын
Hii trap inafaa kujichunga but kama alikua chuo ulipita mpaka... though akiwa chuo na ako na ID ni legal
@kezzybett114215 күн бұрын
Wewe Wacha ujinga Kwani hukujua ku relate with an under age is a crime in this nation ? Tena uko na kiburi....ati unaenda kudai upewe mtoto wako ulee. Na saa hiyo kwanza umepea mimba school girl? Ignorance is very dangerous
@josephinekajuju84615 күн бұрын
Kezzybett, not ignorance me am a merian from central, but people from Meru north they marry as Young as 15yrs n because No body who take action to report then life goes on n they take it as normal, so yeye kwenda kuitisha mtoto aliona ni right yake kupea mtoto.
@kezzybett114215 күн бұрын
@josephinekajuju846 pole sana kwake
@MugishaMuntuable14 күн бұрын
@josephinekajuju846 your statement is equally as ignorant as huyu jamaa. What are you trying to justify by claiming he is not ignorant? Shocking to hear a woman and mum speak like you did!
@determiner131215 күн бұрын
Na vile warembo ni wengi,unataka tu wanafunzi😢😢
@MaryNjambi-d2z16 күн бұрын
Washane ni na watoto
@annlove50115 күн бұрын
Hakukuweka box, ulimweka box
@kennaross752515 күн бұрын
True! He's taking us for a ride
@suklaakaupunki13 күн бұрын
That is very right. And even if somehow the child managed to woo him, even bigger shame on him. It means he has the mind of a child. He still has not accepted that what he did was wrong.
@AnnKimani-ci5cy14 күн бұрын
I think as a country we need a serious look again to the law of Kenya ju Sasa msichana hakurapiwa si kalipeana kakitaka? Woiye boy child hana mtetezi😢
@rosamariewanjiru865914 күн бұрын
So unasema wanaume wapewe ruhusa ya kulala na watoto? Hiyo ndio kutetea boychild sindio?
@b.394015 күн бұрын
Muriuki nionitio gicajama nikwenda noe njithi.
@dorriskimathi857115 күн бұрын
Boychild Ako na shida walai 🥲💔💔
@HubasaFamily25415 күн бұрын
Walai hii mikia yetu inatuumiza kama wanaume walai🥶🥶🥶
@mosesnjenga276714 күн бұрын
Miaka kumi na sava 😂😂
@simonkinyua775916 күн бұрын
Mii nigekupea tu uanzishe familia
@anthonyngocihkisilu297315 күн бұрын
When will men learn me have resigned from pitying men... Let them get jailed.
@PaulMaina-kr4oz16 күн бұрын
Ignorance is very dangerous
@njugzamerican459814 күн бұрын
Judges should consider the men who are under 21 for reasonable sentences.older guys should know better
@trizawainaina488013 күн бұрын
Aki boychild sasa niulize mtoto alizaliwa ama ?? C now mtoto ni mkubwa mamake yake c hufeel guilty
@gloriekirimi88215 күн бұрын
Woyie
@simonkinyua775916 күн бұрын
Oie pole
@bonifacenthenge923415 күн бұрын
Ujinga tupuuuu, vuna ulicho panda.
@franetdigital15 күн бұрын
I would not marry someone I went to prison for. Let her family raise that kid, si waliona wanajua sana. Mistakes happen, they should have just let him take responsibility for both the girl & the kid. Also, the law seems to always get in the way of justice; if you gonna punish for a crime...punish all involved. A 17 year old female has a good functioning brain to know right from wrong.
@MugishaMuntuable14 күн бұрын
Bro, don't reason like a pedophile. A 17 year old is still a child. Having sex with a child is an offense, period. Wacha bla bla bla mingi. Wanawake wamejaa uku nje wengi sana. Why should a grown man na ndevu go around sleeping with babies?
@AnnKimani-ci5cy14 күн бұрын
Hii Sheria irundishwe jikoni Tena ..she was not raped,