Bado najiuliza, mnaanzia wapi au vipi mpaka mnaafikiana mwafaka kufanya vitu safii....big up saana
@johnmwemamuzik...67513 жыл бұрын
Nice one... Muziki ya Wakubwa.... Muziki bila jasho... 👌
@barazamatibila8412 Жыл бұрын
Mimi naitwa Augustus baraza matibila nilikua na bendi nyingi Kisha nikajiunga ulinzi Orchestra Langata Barracks first generation under then Major Wasomi. 1. Sargeant Mutwasi . 2 Corporal Tom ogwato. 3 Tenie. 4 Ngaira. 4 Suleiman Mwakibundo. 5 Saidi Simba. 6 Oliech now Major 7 drumer Mushapa 8 Abudul 9 Muzande. 10 Manchin. 11 Mwangi bass kushoto. 12 Nuru waziri 13 trumpet Mwangi Kanyari. 15 Hamisi Furumabweru. 16 Sargent Juma Mandingo kaburu. Tulikua wazuri sana kwenye copyrights za Congolese na Kizungu. Tulikua Langata Barracks pamoja na Maroon commandos lakini Maroon nibora sababu walitunga nyimbo nyingi zao wenyewe. MawIdha ysngu kwa Maroon commandos ambao mupo sasa please jaribuni kutunga nyimbo zenyu wenyewe acheni kucheza copyright za wengine naikiwezekana wakaribisheni watunzi wengine kurecodi nyimbo mpyia Otherwise bado mimi nishabiki wa Maroo commandos. Mimi ninanyimbo nyingi ninetunga ningependa kuwapatia mukitaka. Number yangu 240-701-7692 naishi Washington dc nikija nitawatembelea.