NEEMA CIZUNGU AFUNGUKA KUACHIKA NA MUME, KIFO CHA OSINACHI,MUZIKI WAKE #call255672555095
Пікірлер
@annajustin19452 жыл бұрын
Hakika niseme tu nyimbo zako zilitufungua Sana tukiwa tumelazwa hospital ya Mountmeru Arusha niliziweka kwenye simu yangu..tukawa usiku kabla hatujalala tunasikiliza hakika tulipokea uponyaji.. barikiwa sana mpendwa
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina,sifa kwa Mungu mkubwa
@itikamlagalila1911 Жыл бұрын
Napenda namna huyu dada ana network na Mungu anayemtumikia.she never bores no matter what she sings.
@joshombo368127 күн бұрын
Dada Neema, Baba yangu ana Ku kubali sana tokea kalemie/DRC. Na mimi Nili barikiwa sana na nyimbo nasubiri toka kwako Bwana wangu! Mungu aku bariki sana ❤
@LadiaBushiri-ev2qg Жыл бұрын
Une grande femme au grand coeur
@patrickirenge-u2t8 ай бұрын
Umetu bariki sana kwa nyimbo nyumbani tunapo fata nyimbo zako, Mungu akutiye ngufu nakuku ongoza Pia, tunaku penda zaidi
@samuelkombo35592 жыл бұрын
Nous voulons ta parole pour notre ituri et l'est du Congo tout entièr ,my star Nelly i love your songs
@flozziewacharo314 Жыл бұрын
Nyimbo zako Huwa zanibariki sana,najua hunikumbuki lakini tulikuwa marafiki kitambo nilifanya kazi kwa kasanga twauza muziki wako,na ulikuwa unaishi tassia pale karibu na TelAviv.. Mungu azidi kukuinua dada yangu
@benedictmushagalusa94522 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sister neema. Natamani sana kuimba nawewe siku moja.
@josuekalwani57252 жыл бұрын
Hongera sana dada angu yaan nyimbo zako zinanipa faraja sana nikiwa Congo vile vile nikiwa Congo nazipenda sana Zina inspire sana zaidi tenda mema na uende proud of you sister
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen,God bless you
@mathaasheri96412 жыл бұрын
Wneema nakupenda nyimbo zako zinanitia nguvu sana
@chiefbenardos64592 жыл бұрын
Sema nami is my favorite song of all time. So deep and touching.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen amen
@everlynewafubwa86762 жыл бұрын
I too it does bless me so much, l keep on listening to it repeatedly, blessed mommy 🥰
@arminatemba53642 жыл бұрын
Kwa kweli I know you neema cizungu from 2009 ninakufuatilia sana ila wimbo wa tumrudie mungu namshukuru umefanya remix inanibariki sana.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina, ubarikiwe zaidi
@elizabethtabitha-us3qg Жыл бұрын
I love this woman for free❤❤❤you are my mentor Neema
@anitababyderickwasike7872 Жыл бұрын
Barikiwa sana Neema nabarikiwa sana na nyimbo zako
@chandrackbirindwabonane27892 жыл бұрын
Ubarikiwe sana maman Neema cizungu kwaiyo kazi Mungu akutiye nguvu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina, Asante
@alainngashi66192 жыл бұрын
Mama ubarikiwe sana na mimi piaya ni mwimbaji pamoja Na muke wangu ila nilipo sikiya usemi wako kwenye radio ume nijenga ubarikiwe
@MuganwaRitha9 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada 🙏🙏🙏❤️❤️❤️💪
@empresszainah742 жыл бұрын
Sema nami bwana my all time worship song. God bless Cizungu
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen
@estasilivesta62452 жыл бұрын
Dad'a unaimba vizuli nabalikiwa sana na nyimbo zako
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@jesusfirstchurch41622 жыл бұрын
So sweet and nice melod and informative...Go high and higher...stay blessed.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen
@germainebindu1097 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤Asante kwako mjakazi wa Mungu umetubariki sana
@TroupeLaPromesse7 ай бұрын
Hongera sana mwimbaji wa Mungu
@marilenebahombwa86392 жыл бұрын
Woooh quelle sagesse ! Dada Neema ubarikiwa sana Pamoja na familia yako ! Mungu azidi kukupaka mafuta yake pamoja na mmeo 🙏🙏
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@ArletteBavon-ot6hg4 ай бұрын
Barikiwa sana dada
@joycemanegabe91542 жыл бұрын
Bwana akubariki dada Neema kizungu endelea mbele sana maman ❤
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina, Asante
@salomeatieno21616 ай бұрын
Kabisatuu Amen
@m.gloria402 жыл бұрын
i really love that song ya sema nami it blesses me alot
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen
@bonanebagalwakabarati76512 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dada Nelly Cizungu hii imenibariki sana inanifanya ata kuomba
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@DinaRamadhani-qb3jw11 ай бұрын
Amin Amin Amin 🙏🙏🙏!!!.
@keathburhama2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwanangu kwa hekima kubwa Mungu amekupa.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina
@paulcosmas79412 жыл бұрын
Barkkiwa sana Neema Nelly, napenda sana nyimbo zako
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Asante, ubarikiwe
@ElizabethNyamai-me2id5 ай бұрын
Ameen barikiweni sana
@pascalwembasafari22542 жыл бұрын
Asante Saana Maman Nyimbo zanobariki saana
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@shukurumwinami4958 Жыл бұрын
neema. Umeongea fact ambayo kwako utaona kama ni kawaida, lakini umeokoa roho nyingi sana juu ya wanadamu juu ya NDOA. na ungekosea kujibu tu wako ambao wangesema mbona neema alisema na yeye hivi na ukajikuta wanaachanan na ndoa zao. lakini hili ni kweli hakuna ataye mwacha mume au mke mpaka kifo kiwatenganishe na ukivunja hapo ndipo tunasema kuwa unavijisababu vyako,. barikiwa sana msimamo i huu ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU ASIKITENGANISHE. BARIKIWA
@rehemamkumbo20822 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu good wrk.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina, Asante
@Jossywamatere20092 жыл бұрын
My gospel minister Luv from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen,God bless you
@paulmadundo80842 жыл бұрын
Really penda sana nyimbo zako "from the bottom of my heart"
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen God bless,pls share link hii kwa watu 20 Ili ku support huduma yangu
@paulmadundo80842 жыл бұрын
@@NeemaCizunguOfficial ameen!
@zawadisisto81882 жыл бұрын
Dadaangu nakuelewa vizuri sanaa tokea 2013 nakufutilia Sanaa
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
ubarikiwe
@geofreyngerenge3672 жыл бұрын
Amen dada Neema barikiwa sana
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina, Asante
@anessabinery56542 жыл бұрын
Nampenda huyu dada jamani ni mpore mno
@catejay9949 Жыл бұрын
Msaada my favourite
@agripinamheni53312 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana dada we love youuu
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amen thank you
@anemonembongo2 жыл бұрын
Un beau couple et des vrais chantre de l’ eternel🧡🧡😭😭💕🔥🔥🙏🏾🙏🏾
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen
@souzannahchombeofficiel28092 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maman Nelly
@priscillandanu89382 жыл бұрын
Wimbo huu ulitoa mahali kwa shimo la Giza last year,,nikapenda nikuongeleshe ila nambari nilipata ya kwako haikunisaidia,lakini liwalo nashukuru mungu wimbo huu ulihudumia sana,sema nami
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen, ubarikiwe saana
@stellanyota19552 жыл бұрын
Barikiwa sana maman Nelly
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen amen
@byanjiraesther72222 жыл бұрын
Bonjour ma grande soeur, tu m'inscrire beaucoup avec tes belles chansons, vision yangu nikuimba nawewe Siku moja 🙏🙏
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
ubarikiwe
@byanjiraesther72222 жыл бұрын
Amen maman
@bahatikarume32032 жыл бұрын
Barikiwa sana mamy
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@mosesabi2617 Жыл бұрын
Bwana Mungu! "UTAUTUMIA WAPI UMILELE?" (MUNGU ANATAKA KULIJENGA KANISA LAKE NDANI YA MOYO WAKO KWA SABABU HAKAI KATIKA HEMA ZILIZOTENGENEZWA NA WANADAMU !!!) MUDA UNAKIMBIA HARAKA SANA! Ikiwa una umri wa miaka sitini, unaweza kuwa na miaka mingine kumi na mitano ya kuishi! Ikiwa una umri wa miaka hamsini, unaweza kuwa na miaka ishirini na mitano iliyobaki! Ikiwa una miaka arobaini, unaweza kuwa na miaka mingine thelathini na mitano! Ikiwa una miaka ishirini na tano, unaweza kuwa na miaka hamsini nyingine ya kwenda! Ikiwa una miaka kumi na tano, unaweza kuwa na miaka sitini zaidi! 'Takwimu hizi zinadhania kwamba unaweza kuishi hadi umri wa miaka sabini na mitano. Hata hivyo, kuna mambo mawili kuhusu hili. Kwanza kabisa, hakuna uhakika kwamba utaishi muda mrefu hivyo. Unaweza kufa mapema zaidi ya hapo. Ikiwa umewahi kwenda makaburini, utakuwa umeona kwamba kuna makaburi ya watu wa umri tofauti: mwezi mmoja, mwaka mmoja, miaka mitano, miaka kumi na mitano, miaka ishirini, miaka thelathini, miaka hamsini, miaka sitini, na kadhalika. Ungechunguza kwa makini ungegundua kuwa kuna kaburi la mtu aliyekufa katika umri wako wa sasa. Wewe, kwa hivyo, sio mdogo sana kufa. Kifo kinaweza kuja ghafla. Hakuna haja ya kuwa na onyo zaidi. Umeonywa. Hata ikiwa una afya kamilifu, kuna sababu nyingi zinazoweza kukusababishia kifo cha ghafla: ajali ya ndege, ajali ya gari, sumu, kuanguka, na kadhalika. Haya yanaweza kupelekea katika maisha yako kwenyemwisho wa ghafla. Kwa hiyo haijalishi wewe ni mdogo kiasi gani au una afya kiasi gani. Kifo cha ghafla kinaweza kukujia hata kama una umri wa miaka kumi na tano tu.'
@marthapeter82462 жыл бұрын
Asaante sana hakika tuongee lugha ya mbingu
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@jescajulius80232 жыл бұрын
Nakupenda da neema
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
ubarikiwe
@jescajulius80232 жыл бұрын
Amina
@beatriceemali342 жыл бұрын
Neema Cizungu tunakumiss sana Nakuru na kapsabet
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Asante saana
@beatriceemali342 жыл бұрын
@@NeemaCizunguOfficial karibu kapsabet tena
@olivierleoint65762 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kabisa
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina Asante
@ElizabethManyero8 ай бұрын
Mpe hi Papaa jozeee
@nellywanga82832 жыл бұрын
C journaliste est vraiment problématique avec ses questions 🥰🥰, sinon j t'aime tellement ma sœur surtout ta chanson tumrudie mungu 🙌🤗🥰.🇨🇩🇨🇩🤩
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen amen
@catejay9949 Жыл бұрын
Kuna wimbo wako napenda sana unaitwa Nani kama wewe ee Mungu wa Israel siupati you tube
@sarahlupy76682 ай бұрын
Download audio kwenye boomplay inapatikana mwenyewe nilihangaika sana
@ujusimkadama36602 жыл бұрын
God bless you sister
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen,pls share link hii kwa watu 20 Ili ku support huduma yangu
@onetoanotherglory20242 жыл бұрын
Congratulations sana
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amen thankx
@christinamwakibolwa30002 жыл бұрын
Neema hongera sana
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Asante
@bahatishomari2902 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada Neema; umeelewa vizuri Neno la Mungu kuhusu ndoa. Hata wachungaji wanaowafungisha mara mbili wana ndoa kwa sababu hiyo hiyo ambayo Biblia imetaja kihususa yaani uzinzi;watawajibika! Mathayo 19:8,9;Waroma7:2,3; 1Wakorintho 7:39;mengineyo watu wanafanya mapendezi yao wenyewe na si kulingana na maandiko. Barikiwa mpendwa!
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina, ubarikiwe
@patrickmajaliwa39112 жыл бұрын
Mama wabariki moyo wangu sana nafatilia kazi zako kwa ukaribu na umakini nikiwa mombasa panic ya Kenya 🇰🇪.
@michelinenyota70972 жыл бұрын
Amen . Mungu akuongoze kwa yote
@puritarimo68682 жыл бұрын
Ubarikiwe mama Neema cinzungu, Nakupenda saana na na penda Sana huhuduma yako
@psosarara2 жыл бұрын
Naomba u-upload wimbo wa sadaka za sifa.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Asante
@elizabethbentil31002 жыл бұрын
AMINA AMINA AMINA .
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@tatumwakitwange83692 жыл бұрын
Waandishi wa habari mnachafua watu kichwa cha habari kingine maongezi mengine
@charityj.jalwinyi44382 жыл бұрын
Sijui kama nita fanikiwa kuimba pamoja na wewe mama Neema
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
njoo inbox
@charityj.jalwinyi44382 жыл бұрын
@@NeemaCizunguOfficial aje sasa?
@bahatizuberi92652 жыл бұрын
Mtangazaji hutulii kwenye kiti
@mosesabi2617 Жыл бұрын
"UTAUTUMIA WAPI UMILELE?" (MUNGU ANATAKA KULIJENGA KANISA LAKE NDANI YA MOYO WAKO KWA SABABU HAKAI KATIKA HEMA ZILIZOTENGENEZWA NA WANADAMU !!!) MUDA UNAKIMBIA HARAKA SANA! Ikiwa una umri wa miaka sitini, unaweza kuwa na miaka mingine kumi na mitano ya kuishi! Ikiwa una umri wa miaka hamsini, unaweza kuwa na miaka ishirini na mitano iliyobaki! Ikiwa una miaka arobaini, unaweza kuwa na miaka mingine thelathini na mitano! Ikiwa una miaka ishirini na tano, unaweza kuwa na miaka hamsini nyingine ya kwenda! Ikiwa una miaka kumi na tano, unaweza kuwa na miaka sitini zaidi! 'Takwimu hizi zinadhania kwamba unaweza kuishi hadi umri wa miaka sabini na mitano. Hata hivyo, kuna mambo mawili kuhusu hili. Kwanza kabisa, hakuna uhakika kwamba utaishi muda mrefu hivyo. Unaweza kufa mapema zaidi ya hapo. Ikiwa umewahi kwenda makaburini, utakuwa umeona kwamba kuna makaburi ya watu wa umri tofauti: mwezi mmoja, mwaka mmoja, miaka mitano, miaka kumi na mitano, miaka ishirini, miaka thelathini, miaka hamsini, miaka sitini, na kadhalika. Ungechunguza kwa makini ungegundua kuwa kuna kaburi la mtu aliyekufa katika umri wako wa sasa. Wewe, kwa hivyo, sio mdogo sana kufa. Kifo kinaweza kuja ghafla. Hakuna haja ya kuwa na onyo zaidi. Umeonywa. Hata ikiwa una afya kamilifu, kuna sababu nyingi zinazoweza kukusababishia kifo cha ghafla: ajali ya ndege, ajali ya gari, sumu, kuanguka, na kadhalika. Haya yanaweza kupelekea katika maisha yako kwenyemwisho wa ghafla. Kwa hiyo haijalishi wewe ni mdogo kiasi gani au una afya kiasi gani. Kifo cha ghafla kinaweza kukujia hata kama una umri wa miaka kumi na tano tu.' Kuna kipengele kingine chake. Fikiria kwa muda. Je, kuna ugonjwa wowote katika mwili wako? Inaweza kuwa ugonjwa wa moyo, ini, mapafu au figo. Unaweza kuwa na saratani au ugonjwa mwingine wowote mbaya, lakini dalili bado hazijaonekana kwako. Ugonjwa wowote kati ya haya unaoweza kuwa na na unaojua au unao na usiojua unaweza kuharakisha ukuaji wake na kuchukua maisha yako katika masaa au sikuchache! Huenda hivi karibuni ukakutana na umilele. Inaweza kutokea mapema kuliko vile unavyofikiria. Pili, hata kama ulihakikishiwa maisha hadi ufikie sabini na tano bado una miaka mingapi ya kuishi? Muda unakwenda kwa kasi kubwa. Hata kama unafikiri kwamba bado una miaka hamsini ya kwenda, hiyo inaweza kutoweka hivi karibuni. Miaka iliyobaki kwako leo ni michache kuliko ilivyokuwa jana na kesho itakuwa michache bado. Kila dakika inayopita inakupeleka karibu na kifo. Wewe ni mtu unaekufa! Ulianza kufa kwenye siku yako ya kuzaliwa ya kwanza!
@davidmudage89862 жыл бұрын
Asante kwa kuwezeshwa hekima
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@furahamushabo93692 жыл бұрын
Dada unakasauti kazuri kakuvutia wanje
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amina
@tatumwakitwange83692 жыл бұрын
Waandishi wa habari mnachafua watu kichwa cha habari kingine maongezi menngine
@joshuaalsel58282 жыл бұрын
Bahadhi ya waimbaji wanaimba nyimbo za injili, wanahubiria watu ila wanashindwa kujihubiri nakubadilika, ila hii interview ime ni prouve kuwa umeokoka pia nimeona hekima flani ndani ya commenti.
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina
@lucyjohn79042 ай бұрын
@@NeemaCizunguOfficial
@olivierleoint65762 жыл бұрын
Baraka sur baraka
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
amen amen
@veronicajoseph40692 жыл бұрын
Nakupenda sanaa, nakuangalia ww ata Dunia inikatae nitabakia na ww, ndiyo wimbo ninao upenda sanaaa
@maswamills31612 жыл бұрын
Inapendeza Sana ukimtumikia MUNGU Na ukiwa na ndoa .heshima inakuwa ×100, .Eti wengine wanaachana na waume zao alafu wanafungua makanisa!!! Wanatendwa kwa akili na shetani wanashindwa hata kutambua. Kuwa Mchungaji au Muhubiri lazima uachane na mume wako Tena wa Ndoa!????
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Amina asante. Kwa maoni hayo
@christinentinyari88822 жыл бұрын
unapendwa sana na wakenya
@NeemaCizunguOfficial2 жыл бұрын
Asante saana wakenya,nawapenda pia Mimi ndugu yenu