Sijawahi kupenda filam ya kitanzania kama nilivo ipenda hiyi nisahihi kuwa hiyi ni historia ya kweli Asanteni kwakutumia vyema sanaa kwa kuelimisha ❤️✌🏼
@rahmaabdullah81177 жыл бұрын
hii ni move mzuri japo sijaimalizia hhhhhhhh iko siki tz itafika tunapotaka acha nijishushie soda bariiiiiid uku nikimalizia move mie👌
@louiswilliam61336 ай бұрын
Unos de las mejores peliculas desde lleguè en Tanzania. Me gusta los sub titulos y el acento del suajil. Y tambien la calidad de foto es buenisima. Gracias a todo.
@jukaythedream78139 жыл бұрын
Hii ndio quality ya production we talking about kwenye bongo movie industry. You guyz you your amazing man..Naona mnavyoStruggle kutuleletea kitu perfect. Congratulations guys.
@swahiliwood9 жыл бұрын
jukay thetanzaniandream Asante sana na endelea kua nasi uwepo wako hapa ndio furaha yetu sisi.
@yohanaerasto55448 жыл бұрын
jukay The Tanzanian Dream nimependa
@vianeytaggi20469 жыл бұрын
waoo!movie nzuri,story nzuri, kazi nzuri swahiliwood,i am proud nw to watch tanzanian movie
@billstraiker79314 жыл бұрын
Hamjawahi kuniangusha co big up sana,mnaelimisha,mnaburudisha na mnatufeka vizuri sana ki saikorojia.
@pungusha_arts6 жыл бұрын
great swahiliwood apreciating so much your works napenda kujua wimbo ya live band kwa club inaitwaje
@littlelunie.76534 жыл бұрын
Daah kwa hali hii tasnia ya sinema za ktz inapiga hatua,, hongera sanaa👍👍👍
@AbdulRahman-wx6iv6 жыл бұрын
Nice move nice production bongo tukiendelea hv tatafika tunapopataka.
@swahiliwood6 жыл бұрын
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@zuhurahassan21987 жыл бұрын
Ayse nimeikubali saana nime enjoy nimejifunza Asante sana mungu awabariri .
@halimasulaiman32294 жыл бұрын
Nakupenda sana mwanalisa
@BigZhumbe6 жыл бұрын
@19:40 "Amesomea chuo cha Eastern Kentucky University" nimefika kwenye hio university... itz so expensive but ni great school top ranked in the U.S. kwenye Criminology courses
@robinedson8 жыл бұрын
I never thought there a re a nice movie in Tz like this one......very heart touching...
@hostinewamboi94366 жыл бұрын
Nimeipenda hongereni sana na mzidi kutuleteya vitu vizuri
@hostinewamboi94366 жыл бұрын
Nimeipenda sana hongereni na mzidi kutuleteya vizuri
@isackharbel46495 жыл бұрын
Namkubali sasna huyu directer movie zote anazoziongoza ni noma sana kaza mzee baba uisogeze tasninia panapo takiwa
@saadshaib150810 жыл бұрын
Sijawahi kuangalia muvi ya kibongo afu nikaridhika kama ilivyo kwenye hii muvi.....moja kati ya kazi bora kabisa kupata kuziona..Big up kwenu
@swahiliwood10 жыл бұрын
Saad Shaib Kitugani kimekufurahisha mpaka ukasema hivyo ?.
@greinlightstudios31785 жыл бұрын
Nikitu kizur kwel changa moto zinafany watanzania mbak tunafany kitu good movie ni Kali kinoma Respect kinoma sana
@sherrydaniely94027 жыл бұрын
Wawoooooooo movie nzr sana Ahsante swahilwood
@neemamoshi19084 жыл бұрын
Wao movie nzr sana ,hongeren kwa kaz nzr
@aishamashaka79358 жыл бұрын
nzuri saana swahilihood mko juu mi napenda kaz zenu yaan mnafanya vizur sana hongereni
@ludgerymartin8 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah GOD wish bonge film kuielewa bongo big up mkono mzuri endelea isiwe mwisho
@aminakibona6868 жыл бұрын
Mona good job bonge la picha nimeikubali
@bintirashidantybaby81468 жыл бұрын
waaaaah gud trial imenichukua mda mrefu kujua ino game vile imenda keep it up
@sarakasanga98457 жыл бұрын
Binti Rashid Antybaby
@bosskipens71396 жыл бұрын
naipenda hii move hasa ile nyimbo zake
@swahiliwood6 жыл бұрын
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@tinsangwan177810 жыл бұрын
Dah yan kibongo bongo movies za actions na ukijumlisha na mambo ya upelelezi ,mauji ,police yan hii ni zaid ya movie ni nzur sana first of all story inafundisha jamii (kuhusu ukimwi na lengo ya filam yenyewe ni hyo bila ya kukosea) wahusika wameplay part zao kila mtu vizur hasa detective Damengo ni nouma huyu mzee had kanitoa machoz wakat pale anamkumbuka mkewe akachana upande wa picha yake na kubakiza upande wa mkewe na mtoto wake huku machoz yakimtoka (even me kaniliza kiukwel pale) na Monalisa huwa hukoseagi kwenye movie zake kaitendea haki film Pongez kwa producer, director na washiliki wote nimeipenda sana hii movie Big Up wote!
@swahiliwood10 жыл бұрын
tin sang Wan Asante sana kwa kutazama filamu yetu.unadhani kuna watu kama Demango sehemu tunazo ishi ?.
@kilingechasimulizi2072 Жыл бұрын
Napenda sana muvi aina hii..wqmeitendea haki sana
@asifiwemandele45858 жыл бұрын
Wooow! Raha Sana! Movie inamafunzo mazuri! Hongereni Sana
@bartoaugust34447 жыл бұрын
Good mvie
@andrymhoja269210 жыл бұрын
hii movie ni nzuri japo kisa kigumu ila mmeicheza vizuri sana sio kama zile movie zetu unajua mwisho nani anakuwa tajiri na anampata yule mwanamke
@swahiliwood10 жыл бұрын
ANDRY DAVID Tunashukuru Andry David. Tafadhali endelea kutazama filamu zingine hapahapa Swahiliwood.
@hazardharunihr82256 жыл бұрын
nc
@betrecmkwasa98916 жыл бұрын
Duuh mona Lisa uko vzri ndo maana nakupendaga sana in short move imetulia
@swahiliwood6 жыл бұрын
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@hemedynamkwanga92445 жыл бұрын
Hapa tulipo tushikirie hapa hapa ili tupate kitu Bora Zaid hii movie iko bomba Sana ongereni washiriki wa hii movie
@Cambarada2 жыл бұрын
zamani nilikuwa nazipenda sana aina hizi za movie lakin baada ya kuwa kwenye hii industry nayaona makosa mengi sana tena sana. juhudi zinahitajika
@sadickmuhagi91788 жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo!
@violetbruno92687 жыл бұрын
congratulate Swahil wood thanks I have learnt something in this move big up sana pande hizo
@swahiliwood7 жыл бұрын
thanks
@bahatiwilley26846 жыл бұрын
Nimependa simulizi yake na walioigiza wameitendea haki......bila kusahau huo background wimbo wa sema nae pulizzzzz nisaidieni kuupata nimeupenda au alieuimba ...
@rahmaabdullah81177 жыл бұрын
dah nimeimaliza aiseee noma saaaaana
@rahmahatim466110 жыл бұрын
Ni nzuri napia inamafunzo yake katika maisha
@hazardharunihr82256 жыл бұрын
good moves tunaomba kadi yanjano pt 2
@swahiliwood6 жыл бұрын
part haipo, pole. Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Jamani hio njimbo ya acha wivu ni ya msanii gan nimeipenda asee
@wemanatenda2146 жыл бұрын
Huyo Dimango katulia kama hapewi adhabu vile jamani mbona cjamuelewa hapo ila inshort mouve n mzuri sana
@waboMedia10 жыл бұрын
Katika filamu sa TZ hii nzuri zaidi
@gadielpaulo89256 жыл бұрын
still watch 2018 alright
@mugishaalida55802 жыл бұрын
37:30 Uyo kijana anapambana na maisha magumu katereka nyanya zake kwisha gafla wanazipitia nakuzimwaga yani Kanichekesha sana Alivo sema Aya sio maisha😅😅😅
@hamidabaliyanga25845 жыл бұрын
Asante nitasa
@jaquubjummah75383 жыл бұрын
Mzee sharobaro kwli waah
@makumbele10 жыл бұрын
Movie nzuri sana.
@ukhtyheriethsylvester20446 жыл бұрын
Nice movie
@lamekimandele85239 жыл бұрын
Iko poa Sana
@khbomn57648 жыл бұрын
story nzuri yenye kufunza
@wangarehema10 жыл бұрын
Nzuri yenye nafunzo sana
@funsupadatestourists92569 жыл бұрын
Good movie
@mrishohamza95054 жыл бұрын
Albert einstein in bongo movie😄
@abasilema31310 жыл бұрын
ngoja na mm niipakue niione manake naona maoni yote yanaisifia nikishaona na mm ntatoa maoni yangu ahsante..
@swahiliwood10 жыл бұрын
Abasi Lema Tunasubiri maoni yako kwa hamu sana.
@godfreykitundu61357 жыл бұрын
dah ase bonge la kitu hatar sana
@BigZhumbe6 жыл бұрын
Monalisa kwenye hii umeweza nimekusaluti.....hii movie ni kubwa kinoma itachota matuzo
@faridajoward545310 жыл бұрын
imenibariki
@lamekimandele85239 жыл бұрын
Move iko poa Sana
@swahiliwood9 жыл бұрын
Lameki Mandele Asante endelea kua na sisi.
@emmanuellaizer45485 жыл бұрын
hii movie utadhani ya Kihindi;;;;;~
@seifzongo3207 жыл бұрын
movie ya mda lakin ni moootooo ,bongo movie mlipotelea wapi
@setinamuhungu72949 жыл бұрын
Kweli nimeikubal hii movie, inamafunzo mengi ila moja kubwa ni kwamba ucolijua ni ucku wa giza na umdhaniae ndiye yaweza kuwa cye
@swahiliwood9 жыл бұрын
Setina Muhungu Asante sana je ungependa kuwaambia nini waigizaji..?
@deejay51026 жыл бұрын
holy crap, i didn't know Rev. Al Sharpton spoke Swahili...
@dj745710 жыл бұрын
45;10 ….R.I.P Abby
@wemanatenda2146 жыл бұрын
Uyo Dimango nywele za kwapani zimemjaa balaaa
@latefearlatefear79778 жыл бұрын
movie nzuri
@dayamodetazaniya91208 жыл бұрын
Kanuba
@barackaibrahim62264 жыл бұрын
Kawimbo katam balaa
@amirsab11586 жыл бұрын
Huyu mzee.mango bado yupo sawa anaeza pata mke mbichi bikra aka muoa
@nasranasranasriyahay91192 жыл бұрын
Mzee ngote
@barackaibrahim62264 жыл бұрын
Nafuatag tu huu wimbo
@jeremiewamuyinga79916 жыл бұрын
Duh sina neno!
@SamuelGodwin_8 жыл бұрын
Tunaomba msimu wa pili wa jambo na vijambo tafadhali@swahiliwood
@kassimsuphian39679 жыл бұрын
Swahili hood stand up
@mpwaniasili59579 жыл бұрын
swahili hood namna ya ugizaji nikiwango cha juu niipenda sanaaaa
@swahiliwood9 жыл бұрын
mpwani asili Asante sana tafadhali fuatilia vipindi vyetu vingine kama kipindi kipya cha vichekesho kinacho itwa Cheka na mimi..!
@achtenmediaproduction64169 жыл бұрын
hiiii ni kal more than
@yasinmbele591610 жыл бұрын
ipo poa
@emtee26355 жыл бұрын
Milemo tetele
@emtee26355 жыл бұрын
Bhole mami
@66442210110 жыл бұрын
This was a good movie though a very bad conclusion. What happened to Elizabeth? and Dec. Dimango? He should have found his son to make his dream true. Tanzania yall can do better.
@swahiliwood10 жыл бұрын
Tulia Mulibinge Umejifunza nini kwenye filamu hii ?.
@66442210110 жыл бұрын
Your closest friend can be your worst enemy.What goes around comes back around.
@themuths8 жыл бұрын
nimependezwa na quality za movie zenyu, pia na sounds effects...ziko shwari kabisa! kazi njema
@daruks61188 жыл бұрын
Iko poa sana
@lulugama15476 жыл бұрын
boooonge la movie
@swahiliwood6 жыл бұрын
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@newbornhaule16357 жыл бұрын
HIVI BONGO MOVIE MUNGEAMUA KUSHIRIKIANA NAKUPIKA VITU KAMA HIVI NANI ASINGEFUNGUA KINYWA AKIPOKEE HII NZURI NI VIWANGO VINGINE
@asifiwemandele45858 жыл бұрын
Wooow! Raha Sana! Movie inamafunzo mazuri! Hongereni Sana