Mtumishi MUNGU AZID kukubariki nyimbo zako nzur sana endelee kunyenyekea ili MUNGU AZID kukupaka mafuta
@getrudemuluki25303 күн бұрын
So powerful 🙏 Yale mambo ambayo macho yajawai kuona hayo ndo Mungu anafanya never give up
@AndreaDaud-k2c5 күн бұрын
Kaka Emanuel mgogo mara nyingi nyimbo zako hua zinanifanya Nalia Sana kwasababu unagusa Maisha yangu, Mungu ananikumbusha kuishi Maisha ya utakatifu kupitia nyimbo zako mm Kila siku miaka yote tangu uko Sayuni bendi mm nilikua napiga nyimbo zako huko kijijini kwetu wananiuliza huyo Nani anaimba mpaka tunalia nawaambia Emmanuel mgogo nikaahidi IPO siku nitakua naimba na Mimi na nitamleta Ila sijafanikiwa mpaka sasa kwenda studio😢😢😢😢
@HappyFelix-fd1cz5 күн бұрын
Pole Sana Mungu akufanyie wepes akukutanishe na watu sahihi wa kukupa saport
@deboramuhoja17773 күн бұрын
Always spirits connect♥️ ukisikia hvyo rohoni, ujue kile alicho nacho na wewe unacho pia, Mungu akufungulie njia💪💪
@MrRojasJoachim5 күн бұрын
Daaaaaah natamani walau siku 1 nimuone huu mtumishi ananibarki vya kutosha dunia kateka hisia za watu mungu akbarki sana na zaidi ya sana wooow
@isaiahesuron78664 күн бұрын
Nyimbo nzuri ya kupendeza yenye uwepo wa Mungu.Barikiwa Mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LilianSilas5 күн бұрын
😭 moyo wangu yesu unajua ulivyo na maumivu yesu nakuhitaji sana nifundishe kutokukata tamaa
@JoeSinkala-io9ts4 күн бұрын
Watching from Zambia usikate tama mutumishi wamungu ❤❤❤❤❤
@theozansfamily10294 күн бұрын
Woooow ❤❤❤❤❤❤. My mom will be walking down the aile using this song❤❤❤❤.
@GastoryMusoma5 күн бұрын
Asante Mungu kwa kumlinda Mtumishi wako ktk mapito aliyoyapitia mpaka leo unatumia kinywa chake kutuhubirua habari njema ya Matendo yako makuu
@celebrationdancersnaivasha80755 күн бұрын
I thank God for you every song you sing it watching me and teaches alot
@carolynewandera28434 күн бұрын
My favorite song is kutana na Yesu... All the way from Nairobi Kenya... I love your songs my brother...
@MichaelMgogo-h9s3 күн бұрын
Kaka MUNGU akubariki sanaa Hakuna Nyimbo ambayo Haija nibariki kutoka kwako 🙏🙏
@WiselightOfficial3 күн бұрын
😢😢😭🙌 ooh God unaujua Moyo wangu naomba uwe nam nitimize kwa yale niliyoyashindwa yakamalike
@annaemidi80495 күн бұрын
Mungu akubariki sana nyimbo zako huwa zina nibariki sana
@Alexbenwa20 сағат бұрын
I'm from Zambia 🇿🇲 nice video
@alicejumaa893 күн бұрын
Watching frm kenya barikiwa mtumishi this is soul touching
@zainablinda66624 күн бұрын
Amen kubwa mungu Akubarik kaka Emmanueli mugogo❤❤❤ nyimbo zako zinanifarij
@ZakaSindanoКүн бұрын
Daaaah ila huu wimbo 🥺🥺
@justinaHalalimana4 күн бұрын
Mungu akubaliki sasa tunakukalibisha kigoma kwetu
@joskyshams47584 күн бұрын
Heri nikate,vitunguu, tomato,nyama lakini sio tamaa. Giving up is a no.❤
@WiselightOfficial3 күн бұрын
Amen kaka huu wimbo Nitaishi nao ❤❤❤
@JoshuaMutinda-x2l3 күн бұрын
Watching from Kenya God bless you Man of God.
@JoeSinkala-io9ts4 күн бұрын
Namimi nimeona alafu ungekuwa karibu ninge tatamani kusari pamoja nawewe mutumishi wanungu utunzwe sana nanema yamungu
@sephaniakyungu15044 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@shemotuya62683 күн бұрын
It's very powerful ❤❤
@mathewsmbwagha81234 күн бұрын
ULI KUHAYA MWENE, GOD BLESS YOU MWENE
@VictorMutunga-z1o5 күн бұрын
Let God continue blessing you through his ministry. Congrats 👍
@essahsaimonmwalwega60975 күн бұрын
Ubarikiwe mnooo...tunakusubiri Kyela kaka
@Imahela375.4 күн бұрын
Be Blessed man of God nimebarikiwaaa mnooooo
@JohnsonJay-j8k4 күн бұрын
I really love your songs ❤❤❤ brother
@stevenrichard1895 күн бұрын
MUNGU akubariki sana Kaka EMMANUEL🤝.
@musaliaeugene79754 күн бұрын
Nyimbo zako zanibariki mtumishi 🇰🇪🙏
@MbokaRechadiКүн бұрын
Jamaa wa mbeya Wana imba
@DianaJames-z8c4 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@lyn2544 күн бұрын
Never give up! There is a great turnaround, There is a new Restoration, There is a new Refreshing 🙏 thanks Mtumishi for the great message.
@mgogosinger4 күн бұрын
Yes! Thank you!
@OsaruniAggrey5 күн бұрын
Pastor Emmanuel Mgogo mungu azid kukupa neema ya uhai ili uzidi kuihubiri injili kwa njia ya uimbaji wako ambao kwa hakika umetukuka sana na wengi tunahudumiwa kiroho na kuokolewa. Na ikikupendeza mtumishi tunaomba hata kila mwezi tuhudumie kwa nyimbo mbalimbali please
@richproduction13705 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi by rich
@jonathanmwakai28212 күн бұрын
Amen i will never give up
@GOSPEL356GP5 күн бұрын
Tuna juwa wewe umetumwa na Mungu kwajili yetu maana unatujenga kila leo
@PaulIzengo-lq8es5 күн бұрын
Wow Asante Sana 🙏 moyo wangu umefurahi
@VeronicaGershomu4 күн бұрын
Amen pastor🙏
@AthumanRamadhani-y3p5 күн бұрын
Mtumishi tunakupenda lkn huwa unapotea sana,tunakosa nyimbo kama hizi ambazo ndani yake kuna uwepo wa Mungu
@YohansIgoti-xm8zv4 күн бұрын
Mabadaga Moja ila barikiwa sana kaka🧘
@KudosB2 күн бұрын
KAMA UNAKUBALLIANA NA HUU WIMBO AMKA, SIMAMA NA UANGAZE. 💥💥💫 TUPE HUU WIMBO EMOJI ZA KOPA❤💥
@eliamakwayya23165 күн бұрын
Pastor Mungu yu juu yako
@florencewambua94514 күн бұрын
I still have power, i still have the holy spirit with me.
@mrsquality35164 күн бұрын
Yes Lord 🙏
@emanherman96585 күн бұрын
Amen 🎉🎉❤
@elishastivin69294 күн бұрын
Natamani kuwa Mchungaji mtumishi Nilituma sms kama hii 2018 mtumishi