NEW COUPLE | NAMPENDA SANA | KWANZA MWEMBAMBA NAWEZA KUMBEBA | NAMSHUKURU MUNGU KWA HUYU | LAST BORN

  Рет қаралды 100,302

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 204
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 7 ай бұрын
Hv hii channel haielewagi au.PUNGUZENI BACK SOUND NYINYI
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 7 ай бұрын
Sauti ya sound iko juu kuliko sauti za watu
@linahcharles1619
@linahcharles1619 7 ай бұрын
True
@evarlynekarisa2659
@evarlynekarisa2659 7 ай бұрын
Asante kwa kuwajuza maana nateseka😂
@dizzboss7526
@dizzboss7526 7 ай бұрын
Nunua simu yenye uwezo mkubwa sauti na sound viko kawaida 😂😂
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 7 ай бұрын
Nipe namba zako za wasp nikutumie smu nayotumia..then uje ujibu tena hapa
@dizzboss7526
@dizzboss7526 7 ай бұрын
@@Hajer-be2kh usipanik bhana mi natania tu sema kwangu iko sawa kabisa
@bossykalewa
@bossykalewa 7 ай бұрын
Mwanamke anajielewa sana huyo ...👍👍
@SaidiNgomesha
@SaidiNgomesha 7 ай бұрын
jaman shangazi eliza yupo wap 🤣,i real miss her
@streetgenious4511
@streetgenious4511 7 ай бұрын
Sauti ya mziki ipo juu sana producer
@tawhidaabbasi8584
@tawhidaabbasi8584 7 ай бұрын
Mungu awafikish mbali
@rahimahra6043
@rahimahra6043 7 ай бұрын
Uyu ndiye sahii sana
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 7 ай бұрын
Hongera Vickieee
@MtasingwaAlistachius
@MtasingwaAlistachius 7 ай бұрын
Wamependeza wanafaana jmn❤
@barakacharless4662
@barakacharless4662 7 ай бұрын
Mnzingua mziki upo juu sana sauti ya mr right aiskiki
@NeemaKhamiss-k9i
@NeemaKhamiss-k9i 7 ай бұрын
Huyu kaka misitalaiti yua very nice 😂😂❤
@reinakamgisha2558
@reinakamgisha2558 7 ай бұрын
Vely Tluuuuu 😂😂❤
@alhajjngoliomahmud6657
@alhajjngoliomahmud6657 6 ай бұрын
Alhamdulilah sisi wanubii twajuwa kulea alhamdulilah
@reinakamgisha2558
@reinakamgisha2558 7 ай бұрын
Yaanii back sounds leooo mmetuweza
@aishakambenga6191
@aishakambenga6191 7 ай бұрын
Kafanana na MB DOG wallah tena nilijua ni yeyeeee
@FatimaOman-wb8tn
@FatimaOman-wb8tn 10 күн бұрын
Kbs me pia nlidhan nyeye😂😂
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂❤nimeipendaa kaka anahikima nabusara
@tabithakitundu8736
@tabithakitundu8736 7 ай бұрын
Wameendana sana
@saidbakari2408
@saidbakari2408 7 ай бұрын
Amevaa vizur saana victory
@joycehaule9717
@joycehaule9717 7 ай бұрын
Wow nimefurahi dah ikawe heri
@Dickson4life-t4r
@Dickson4life-t4r 7 ай бұрын
Show yenu inakuwa ya kipumbavu Yani nikama hamjui namna ya kutumia vyombo vyenu. Punguza au toa kabisa hiyo back sounds
@YohanaKadege-y5n
@YohanaKadege-y5n 5 күн бұрын
Samahani ndugu muwe mnapungiza sound maana saund mikubwa kuliko sauti zenuu
@vicywema518
@vicywema518 7 ай бұрын
Hongera sana wajina Vee🥰
@Felister330
@Felister330 7 ай бұрын
Beautiful couple ❤
@AminaIddy-me5eh
@AminaIddy-me5eh 7 ай бұрын
Sauti ya mziki ineharibu 100% ya hii video.
@rehemajuma5559
@rehemajuma5559 7 ай бұрын
Huyo kaka apewe maua yake,wanaume wavumilivu km hao kwa sasa hawapo maana wanawake wengi sana na ni wazuri sana.
@MariaKitundu
@MariaKitundu 7 ай бұрын
Pungezen saut ya sound
@husseinmnubi6834
@husseinmnubi6834 7 ай бұрын
Mnubi huyu si ndugu yangu kweli
@JosephDeogratias-up3im
@JosephDeogratias-up3im 7 ай бұрын
HUYO IT HASOMAGI COMMENT MPUUZ😮
@Zipporah6776
@Zipporah6776 7 ай бұрын
Siku akinenepa utamuacha😢😮
@aishakimosa2492
@aishakimosa2492 2 ай бұрын
Your a real man, and your supposed to have a hamble wife. Much appreciation to you mt. Right
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 7 ай бұрын
Dada mzuri anatabasamu kweli vizur
@ZuuBoy-lh9lb
@ZuuBoy-lh9lb 7 ай бұрын
Jamn nimempenda bule uyo kaka
@robbymuile2283
@robbymuile2283 7 ай бұрын
Asante
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 7 ай бұрын
😂😂😂😂Dah wallah hii sound jmn siskii kitu chochote ata makofi yenyewe yanazidiwa
@NshomaSayi
@NshomaSayi 7 ай бұрын
gara B pungunzen music inaumiza masikio
@roqayaro9439
@roqayaro9439 7 күн бұрын
Hivi kweli au muve
@upendomushi-p4g
@upendomushi-p4g 7 ай бұрын
GARA B PLEASE MTATUHARIBIA SIMU HATA TUONGEZE SAUTI YA KWEN IPO JUUU
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 21 күн бұрын
Hiyo back sound ya hovyo kabisa cjui huwa mnangaliaga kabla hamjaituma KZbin
@bintside
@bintside 7 ай бұрын
Raha saana leo jaman😊😊😊
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 7 ай бұрын
mungetuletea na mirejesho hao waliokwenda huko waliko japo kuja kusalimia tukajua wapo salamaa😂
@Brunoh90Tv
@Brunoh90Tv 7 ай бұрын
Kwel aisee😂
@ShabaniMaulidi-32
@ShabaniMaulidi-32 7 ай бұрын
Wengine wanakujaga
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 7 ай бұрын
@@ShabaniMaulidi-32 kumbee sijaona
@ShabaniMaulidi-32
@ShabaniMaulidi-32 7 ай бұрын
@@sabihaibrahim143 Msimu Ulioisha alikuja Mmoja na Mtu Wake na alikaribishwa Mbele
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 7 ай бұрын
@@ShabaniMaulidi-32 kama hivo raha anajulikana anaendeleaje na mzigo mpya
@MonicaGombe-s5b
@MonicaGombe-s5b 7 ай бұрын
Inapendeza sana wote mmependana
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 21 күн бұрын
Namuona Top in dar Mwenye Zeze lake
@rayahamisi118
@rayahamisi118 15 күн бұрын
Bora ulivyo jistiri
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 18 күн бұрын
Jamaa umepata mwanamke mwenye hekima hadi nakuonea gele
@danielnkholoma3416
@danielnkholoma3416 7 ай бұрын
I love it
@KukuWaMayai
@KukuWaMayai 7 ай бұрын
Punguzeni back ground sound
@johasaeed391
@johasaeed391 7 ай бұрын
Wanajuwana hawo😅😅😅 toka zamani
@Edna-w3z
@Edna-w3z 7 ай бұрын
Eeeh wat2letee mirejesho Cozy hatujui wanadum uko maana wanamapepe sana🤣🤣
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 7 ай бұрын
Mziki upo juu sana sisikii
@RechaelEasily
@RechaelEasily 7 ай бұрын
Mikono hawajiamini kwasababu ya cream jaman
@kakamau0384
@kakamau0384 7 ай бұрын
Mwanamke inatosha kumuacha kwa kumfumania mara moja tu coz hawa wanawake ndio Hawa 😂😂😂
@MarthaHombo
@MarthaHombo 7 ай бұрын
Hii nimeikubali nendeni mkawe mmoja,,,naiwe kweli
@SamwelJulius-e7k
@SamwelJulius-e7k 7 ай бұрын
Punguzeni sauti ya background mnauzi kweli sauti ya watu haisikiki Ni kelele za music tu ndo
@patrickmwiti9715
@patrickmwiti9715 7 ай бұрын
Katika mahojiano tafadhali muwe mkitoa hiyo sauti plz.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Ase hii nimeipenda 🥰🥰🥰🥰
@zuhraalzuhraa4990
@zuhraalzuhraa4990 7 ай бұрын
Sauti😢😢😢
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 7 ай бұрын
Babu wa kipara yupo kumbe
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 7 ай бұрын
Kumbe umemsikia😂😂
@AminaAhmad-m8t
@AminaAhmad-m8t 7 ай бұрын
Me pia nimesikia 😅😅😅😅
@SuzanaMlawa-by2vj
@SuzanaMlawa-by2vj 6 ай бұрын
Jaman na Mimi natafuta mchumba uku 😂😂😂
@HadiaZainab-c2f
@HadiaZainab-c2f 7 ай бұрын
Hizi story z kutunga hebu pata mke hpo kisha utupee majibu 😊
@bonshag1
@bonshag1 Ай бұрын
naona kama maigizo jaman
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 6 күн бұрын
Ningekua mm kupata bahati siwezi kuhangaika huku na huku
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 7 ай бұрын
Tunaomba❤ feedback Za wale waliopata mr right mahusiano na mwelekeo upoje au wameshaachana 😂😂😂😂😂
@SmilingCorgi-pr9bn
@SmilingCorgi-pr9bn 7 ай бұрын
Uwaa awarudigi wakiendaa ndoivo wanapoteqq uko😅😅
@musichealsTz
@musichealsTz 7 ай бұрын
hawawezi kutoa feedback
@LuciaGideon
@LuciaGideon 6 ай бұрын
Faith kashaachwa bila notification😆
@MariamMgaya-bs4pw
@MariamMgaya-bs4pw 3 күн бұрын
Nikweli tena wanalia
@stellatwaah3242
@stellatwaah3242 6 ай бұрын
Victory umependeza sana ila sasa odoo wanguu😅😅 mikorogo mikono hiyoo bidada
@Lulucut
@Lulucut 7 ай бұрын
Bora mlivyo watoa wale mashangazi
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 7 ай бұрын
😂😂😂😂hatuji sasa😂😂😂maana nahii miili mikubwa
@onekisstv8412
@onekisstv8412 7 ай бұрын
Wakina Rahma sio Poa mungu atawalipa
@ElizabethGodfrey-g5l
@ElizabethGodfrey-g5l 7 күн бұрын
Mtupunguzie sauti ya mziki hatusikii maneno
@africanboy6921
@africanboy6921 Ай бұрын
mwamba anafanana na mayele fistoooo
@SamwelManya
@SamwelManya 7 ай бұрын
mambo mazr xn hayo ndo Kaz xx
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 9 күн бұрын
Akija kunenepa utamuacha?
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 7 ай бұрын
Walinazi yupo😅😅😅😅😅
@jacobmelody
@jacobmelody 7 ай бұрын
Ukisikia neno nakula chakula nashiba tambua kuna muda kinashuka elewa,punguza maswali Dr Lulu
@stellamwasha1409
@stellamwasha1409 7 ай бұрын
Mara sio mwimbaj
@Benkiplaheart
@Benkiplaheart 7 ай бұрын
Mumearibu Sana na back sound nkt
@Balozikijana25
@Balozikijana25 7 ай бұрын
Hii couple haikupagwaa kweli mbona kama kitu imewekwa kwenye njia
@GladyMasawe
@GladyMasawe 7 ай бұрын
Namtaka huyu kaka aseee
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 7 ай бұрын
Abaya la Victoria liko supuuu
@ezrajoseph3666
@ezrajoseph3666 7 ай бұрын
Sound, iko juu kuliko voice ya wazi gumzaji so siku nyingine m balance maana napenda Sana hiki kipindi najifunza mengi
@marymanoni5536
@marymanoni5536 7 ай бұрын
Unashamgaa nn ungekuwa ww ngoma droooo😅😅😂😂😂
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 7 ай бұрын
T.I.D NDAN YA MJENGO😅😅😅 KALIB SANA
@nancyg8664
@nancyg8664 7 ай бұрын
😂😂😂waturudishie aaliyah wetu tu, ingawa nimecheka sana nilivomuona
@MbatiazakariambatiaMbatia
@MbatiazakariambatiaMbatia 7 ай бұрын
Sauti kubwa
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 ай бұрын
Lazima apitie demu ila anakuwa hajampata wa kufanyanae maisha
@Officialrockzompa
@Officialrockzompa 7 ай бұрын
Kula anashiba lazima adinye si ndomanake😅😅
@AlfredyTarimo
@AlfredyTarimo 7 ай бұрын
Au cjamchongo atutiki sound
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 7 ай бұрын
Kwan iyo sound yenu haina sehem ya kupunguzia kama hamtaki kutum acheni
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 7 ай бұрын
Wow so nice I'm happy for you guys❤️👌🇿🇦🇧🇮
@LidyaSilaa
@LidyaSilaa 2 ай бұрын
Na akinenepa je
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 7 ай бұрын
Nimeipenda sanaaa❤❤
@LilianJaphety
@LilianJaphety 7 ай бұрын
Anamaanisha anakula ,anashiba ,mwanaume akila akishiba anataka mzigo ,hvyo yani!kwahyo pita pita lazma ziwepo
@FatmaAlmas-r9s
@FatmaAlmas-r9s 7 ай бұрын
Nice
@fistonnibigira167
@fistonnibigira167 7 ай бұрын
Bro your story touch me it's like mine or it's painful🇿🇦🇧🇮
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 7 ай бұрын
Kiukweli nimependa huyo dada victoria ,anajielewa
@alecheconradninje6183
@alecheconradninje6183 7 ай бұрын
Eliza lazima aende kanisani kwanza akapate kufunguliwa awezi ishi na yyte kama ana hisia 😂nacheka ila muhim kuliko
@munamuna3921
@munamuna3921 7 ай бұрын
Mbn simuoni eliza amevaa nini leo
@nancyg8664
@nancyg8664 7 ай бұрын
​@@munamuna3921ata mimi namtafuta simuoni😂😂😂😂
@LovelyCoastline-il1lr
@LovelyCoastline-il1lr 7 ай бұрын
Apo kwenye ndizi nyama ndugu yangu mii mwenzio hata ndizi na dagaa unaniuwa
@nashphatyprince7282
@nashphatyprince7282 7 ай бұрын
Who Eliza!! which country is this?
@agnesgeorge6818
@agnesgeorge6818 7 ай бұрын
Sound kubwaa
@nashphatyprince7282
@nashphatyprince7282 7 ай бұрын
Why uwa mnataka life back ya mtu sometimes uwa inakata vibes dem kujua life ya mwanaume before
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 7 ай бұрын
Namfahamu huyu jamaa.
@ChristerDanisha
@ChristerDanisha 7 ай бұрын
Eliza alichukuliwà na mkulima na àlikua mmiliki wa trecta
@faithkemunto6258
@faithkemunto6258 7 ай бұрын
Heri huyo mkulima watawezana na Eliza😅atalimwa qweliqweli na atulie hadi apandwe😅😅
@JENIPHAARON
@JENIPHAARON 6 ай бұрын
Alimkataa wa trecta
@EliusPonde-i3u
@EliusPonde-i3u 7 ай бұрын
Amevaa vzr hatakama mm
@ElizabethMchomvu-s2d
@ElizabethMchomvu-s2d 7 ай бұрын
Sugu za Viki ndio mana niliacha kujichubuwa 😂😂😂😂
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 9 күн бұрын
huo wembamba ni mwili wa kischana akinenepa utamuacha?
@02boysmusic12
@02boysmusic12 7 ай бұрын
Eliza anajiona yeyendo queen wa Tanzania wakati wapo wazuri zaidi yake yeye 🤣🤣
@petroniesindarubaza2420
@petroniesindarubaza2420 7 ай бұрын
Apo sasa😂😂😂
How to become a Web3 Developer in 2024 - PART 1
13:40
Glory Praise Emmanuel
Рет қаралды 6 М.
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 194 МЛН
Free AI Audio Tools You Won't Believe Exist
17:22
Mike Russell
Рет қаралды 639 М.
SHUHUDIA DULVAN ALIVYOTAKA KUKIMBIA STUDIO / KISA KIZIMA HIKI HAPA
6:01
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН