Do you have a story and you want to share with us, kindly reach out to us through 0714372438 0111204044
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
The stroy that makes sense is that of Jesus , the rest is manipulation coz no thruth in them .
@mosesogwang6385 Жыл бұрын
Like a brother in Christ, Ali Mukhwana you are still a young singer who has equally been a blessing in my life. Rose Muhando is a legend, leader, mother to many and she is now getting physically overwhelmed. From her statement, she had all the meetings in her mind but due to pressure, she had to withdraw. She is not a thief. Let us respect this vessel of God. Rose Muhando has touched many souls. She has gone through painful experiences in the recent past and all she needs now is to fully regain ground. Ali Mukhwana, you are my brother and sincerely speaking, you ashamed Rose in public and you need to apologize. You behaved like a politician by letting your anger overcome you. It would be wise to keep the matter to yourselves and solve it as believers. I hate it when you mention about fans! Is singing to God tied to someone's fans? Whatever matters most in a conference is the presence of God and the impact it creates in pples lives! Ali Mukhwana, you need alot of time in the presence of God praying more than you sing. God bless Kenya🙏
@cnelimacn Жыл бұрын
On point
@danikodan1394 Жыл бұрын
Well, said here, but the problem of our gospel singers here in kenya , they want to sing to make more funs and get some kicks but not for God , and if is for God then they must be prayerful, but they don't pray they just want to sing, then they will be easily attacked, that's why they start well they end up kuimba nyimbo za dunia,. Mm sometimes i listen to Abiud, Hilima, mwaitege, Rose , susho, bukhukhu, boaz, Dr. Ipiyana etc then i ask why don't we get such people in kenya? Then when their time ends in this generation will b there such people??? 😭 Ali he must use wisdom, if not ataribu ministry yenye mungu amempea, ju ata mm nimekua nikipenda worship zake sana lakin sijapenda vile amehandle hii issue not different with a non believer, And he has to apologize to rose whether he like it or not bcoz devil will makesure uses that issue to bring down that ministry God has given , Then just a question Ali ukialikwa kuimba waendanga kutumbuiza mafuns ama waenda kuimba uepo wa Mungu ushuke na maisha ya mtu yabadilike, Sijui ka ulijisikiza ukiongea ju mm ata sijakuelewa ata kidogo, Rose aliongea very short na akaeleweka, ww umeuma uku na kule, ya nn sasa mm upenda mziki wako but hapa umefeli kabisaaa
@Carolyne_Kambi. Жыл бұрын
✊✊
@symowaweru Жыл бұрын
Even if you have gone through though times ago a wise person is who doesn't has to put others through the same
@apostlekennedyministries Жыл бұрын
your argument is baseless. she had a choice of being honest to the men of God that she was already engaged. you cant sing in three meeting far apart at the same time. this is not the first time she is conning men of God.
@emmymongina5420 Жыл бұрын
Rose 🌹🌹🌹🌹 mumy keep on shining 🌟🌟🌟 dont be shaken the devil always fight you because you are a Star ✨✨✨✨❤️❤️❤️ mimi nakupenda hadi kifo
@innocentmickerclips3622 Жыл бұрын
Hatuezi kukuamini ata ufanyi Nini... Rose Muhando to the word We love her ❤
@Mwikalisha Жыл бұрын
Pamoja haeshimu mama
@ann1092 Жыл бұрын
Many of us do trust Ali.
@officialhopestarmusic959 Жыл бұрын
Unakosea....unless uanganishe wote wawili ndio utajua ukweli ....be wise !
@simonmdune9066 Жыл бұрын
Also me I can't trust this man
@SAMWELCLEMENTtz4 Жыл бұрын
Wewe hujui Ros yupo hivyo kuna maeneo alitu danganya akatumiwa nauli hakuja, labda kuna akina ROSE wawili
@euniceondoro6899 Жыл бұрын
ALi umeongea ukweli na wachia mungu mambo haya akupiganie,,
@elizabethgithatu9863 Жыл бұрын
Mimi kama mkenya i support Rose
@brianbigo3862 Жыл бұрын
Don't just support anyone but surport the truth
@m.csundayvin3584 Жыл бұрын
Guys we love all of you and your ministry's. Kindly just leave this matter and continue serving GOD 🙏🙏
@lincksongale6432 Жыл бұрын
When someone use alot of words to pass a simple message, it automatically becomes a lie.
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
Tatizo wekenya wengine mnajifanya wajuaji waulize watanzania kuhusu rose, you don't know rose
@phillipsidhojapap1461 Жыл бұрын
@@alinanisimbeye9512 kwani waishi naye
@josephmusembi5012 Жыл бұрын
Ur gestures proves that ur lying
@josephmusembi5012 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mnafiki sana
@lawrencemaluki2977 Жыл бұрын
Rose muhamdo ni Muongo anawzaje kualikwa mikutano mitatu awekwe posta.watanzania wauni sana
@RebeccaMumbua-d3p Жыл бұрын
We both know know you two are true servants of God but what Ali lacked was WISDOM.
@highvoltages4169 Жыл бұрын
The different is:- Ali :- Many words without evidence Rose :- Few words *with supportive evidence*
@janicewambui2336 Жыл бұрын
Stupid views
@FellahGetuno Жыл бұрын
Which supportive evidence? the truth is, she received the payment from different events of the same date, what was her plan? If Ali kept quiet she couldn't refund. Call a spade a spade.
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@TopAmazonDeals-x6s Жыл бұрын
True. Ali is talking tooo much to be understood. He is slowly derailing 😢
@vickytorry100 Жыл бұрын
What evidence? Are you a judge? It shows how you lack education and intelligence
@mercywayua3906 Жыл бұрын
Though I don't know inside story but Brother Ali Mungu akutetee.kumbuka ile familia umetoka na misingi yake juwa shetani anakumezea mate bado be strong brother 🙏🏾🙏🏾
@mzeeelkanahtv Жыл бұрын
Wewe ulianza, sasa malizia 💪💪💪 kuna Njia za kusuluhisha mambo, sio kupayuka. 😅😅😅
@jamessila3219 Жыл бұрын
Ali usijali Mungu yupo brother.. mtumikie Mungu bro..
@shukabol8438 Жыл бұрын
Huyu Mzee ni mjinga. How do you embarrass a public figure like Rose muhando eti ana jivu sehemu nyeti. Jinga sana. Ushindwe kabisa Pepo chafu
@GetrudaKillingo Жыл бұрын
Kwa kweli MUNGU hapedi
@margaretnjeka4695 Жыл бұрын
This 2 are legends in the gospel music. Dont allow the enemy to scatter you with material things of this temporary world. Your issue on media, may the Lord help you both. I love you both and you have touched many lives and you still do. Priss priss😢😢😢
@pastormarkmuthoka6577 Жыл бұрын
Silence is a weapon too bro...too much defence means alot on your side... otherwise never give the enemy a space cool life....
@kasokidenise5400 Жыл бұрын
Pole mutu wa Mungu Mwenyezi Mungu akutulize roho
@mbithijames2962 Жыл бұрын
Ali Mukwana you are a really servant of GOD let these challenges be behind you in Jesus name.
@robertmwainge3393 Жыл бұрын
Mbona watu Wana skia vibaya Ali akijielezea?!!!!! Pazia ya Mbinguni iliraruka wakati yesu alikata roho. SEMA Amen.❤
@PaulineNdutaWanjira Жыл бұрын
Shame on you. Rose IS a free woman. Stop discrimination. Rose Muhando IS a Legends awe mtanzania au mkenya, ni dada, na ni mamá mpendwa sana. Tunampenda sana Sisi wakenya. Kila mtu ana talanta yake.We are brother and sisters in Christ . What do you preach you pastors, Jesús or money. Wachana na Rose. We LOVE her very mucho.
@victormutisya4425 Жыл бұрын
We tuliza Domo
@risperondiba7347 Жыл бұрын
Ni wivu tu uyu mwanaume hajielewi
@dayseenlugonzo8318 Жыл бұрын
there are some facts on what Ali anasema so let God judge
@carrasco416 Жыл бұрын
@@dayseenlugonzo8318 in any day court proceedings he would have lost already. Go watch the video that brought all these. He first Stated rose took 200k from them. He actually said scammed them 200k, never said she returned the money, then why didn't they tell the fans from day one she wasn't coming because they had already known. He has explained what happened which in all cases still have him as the one who made a mistake because he hasn't proved that rose lied on her statements the only part he hasn't said is if he did sent threat's to rose.
@BethuelofficialTz Жыл бұрын
She is also a fighter. This man amekosea sana even if our Rose mistaken somewhere.
@jacklinekerubo5863 Жыл бұрын
Mr ali omba mungu msamaha pia umuombe rose muhando msamaha na upunguze hasira
@FellahGetuno Жыл бұрын
Msamaha ya nini? Rose ndiye anastahili kuomba msamaha
@TerryMueni-gg9wx Жыл бұрын
Exactly coz yeye ndie alikibia Kwa mitandao sisi hatungejua wangemalizania huko
@damaricewaridi4064 Жыл бұрын
Mm naelewa Ali ,,,nivenye alipata pressure kutoka kwa watu so hakuwa na otherwise,,,how i pray that may God reunite them in Jesus name
@KINGFESTOH_1 Жыл бұрын
anapatwa na pressure kuliko mwenye alitoa pesa.bombo
@veronicaibrahim1440 Жыл бұрын
Aliii huna hekima hata kidogo tena ukamuombe rose msamaha yaani mtumishi wa Mungu unarauka yaan unaonekana hujakomaa kiakili kabisa tena unajitetea ujinga hivi ukiangalia hiyo video uliyokuwa unaropoka mtu mzima na suti yako unajisikiaje???? Yaan huna utulivu wa fikra kabisa kweli nimetokea kukudharau sana mwanaume mzima unaropoka umesababisha jina la Mungu kutukanwa kwasababu upuuzi. Huna la kujitetea ni aibu tupu.Mungu akubariki rose kwa hekima zako❤❤❤
@joycesichangi5724 Жыл бұрын
This is how we lost Ilagosa may God intervene for you Alimkhwana.When the artist start quarrels we end losting our beloved.Pray alot
@Benjaminkakamasha662 Жыл бұрын
Roz ana makosa makubwa ni mwizi mkubwa na anajificha kwenye gospel wanamziki wa kidunia ni wazuri kuliko hao wa gospel msione watu waimba mkadhani wanamtumikia mungu
@TerryMueni-gg9wx Жыл бұрын
Alikuibia?
@TerryMueni-gg9wx Жыл бұрын
Alikuibia?
@Benjaminkakamasha662 Жыл бұрын
@@TerryMueni-gg9wx shenzi wewe
@RyN-TV Жыл бұрын
This is what happens when you love the singer more than the God she is serving..
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
And is a sin the Bible says love God ur God with all ur heart nowadays is not God but his servant where are we going
@annngugi6806 Жыл бұрын
Kumbe umenotice
@blessingsblssd Жыл бұрын
😂😂😂Rose alituonyesha mpaka mpesa alitumiwa n akasema haikuwa lazima aje.Haingii kwa kila Alter mpaka Mungu amuongoze
@janicewambui2336 Жыл бұрын
Weeee the god she is serving might be the light or darkness
@janicewambui2336 Жыл бұрын
@@blessingsblssd😂😂😂😂 mungu mgani hiyo ndio swali😂😂😂
@devinemoraa Жыл бұрын
Wewe ni mbaya jua ivo mungu akusamehee
@sammyopingoofficial6895 Жыл бұрын
All the good I did to people turned against me I suffered shame, mockery, blasphemy and rejection for years just after doing good to some individuals people But I thank God for redeeming my life God have mercy on this generation of money , fame ,wealth and the earthly glory. God remains faithful
@denyquemalesh Жыл бұрын
Amen
@lucyanekeya4912 Жыл бұрын
Man of God I like your songs they bless me so much. Nditsulire wo mwami yarusia, nditsulire nditsulire, nditsulire wo mwami yarusia sangalanga ....
@lucyanekeya4912 Жыл бұрын
God bless you and hope more songs are on the way @papa Sammmy Opingo
@sammyopingoofficial6895 Жыл бұрын
@@lucyanekeya4912 alot more for God's glory
@sammyopingoofficial6895 Жыл бұрын
@@lucyanekeya4912 it blesses my heart when all I do touches God's heart and give Him glory
@Th1highredfevoured Жыл бұрын
Wau hapa I say Ali learn dungy yangu 😢😢pole kwa haya jamani vile umesema nyinyi watatu ndio mnajuwa kilicho fanyika Mungu, Ali na Rose
@nancywangari3112 Жыл бұрын
THE POINT IS WHY TAKE MONEY FROM TWO MEETINGS THAT ARE TO TAKE PLACE AT THE SAME TIME?
@lindsaymocheche5970 Жыл бұрын
Rose muhando ni 🔥🔥🔥🔥a very wise woman
@mbanzamwalyo1682 Жыл бұрын
VERDICT!! Normally before the crusade i believe rose muhando was contacted and she agreed to come and thats why posters and fliers were printed meaning she agreed the invite and thats why a deposit was 50k was sent to her, she refunded the money on 24th while the deposit money was sent to her on 6th, rose should have refunded the money earlier so as no posters or fliers were to be made, so the Ali mukhwanas and co expected her to perform why refund on 24th the day the crusade began....what if rose went for a big money event and ditched the small money event?
@mablenanzala254 Жыл бұрын
Ali my good brother,,,,hungemdhalilisha,,,ungesolve nyuma ya tend
@mutosh Жыл бұрын
Even if you telling the truth ,there is a way of telling it ,,ulimwaninika dada yako kana kwamba humjali
@MaryWanjiku-z7f Жыл бұрын
My brother this are the skims of the enemy.Huyu ni shetani tafadhali mgundueni wachaneni na macamera the enemy is roaring like a lion please go to your knees You have talked enough Ali wewe ni mwobaji tafuta sauti ya Mungu kwa hili jambo.GOD BLESS YOU MY BROTHER.you will overcome
@joankamiru2135 Жыл бұрын
When the enemy wants to bring your ministry down he starts like this🤦🏽♀️
@hellenshiabwanyinya1473 Жыл бұрын
Na true
@ElizabethMutheu Жыл бұрын
He was to preach and save souls, hata mseme nini if you are a true follower of Jesus “Modules operandi “of the spiritual realm is amis! I only see a Pastor who doesnt seek Gods direction. I see witchcraft using his weakness to destroy his ministry. Saa hii territorial witches are clapping. If u walk with God you will understand me. But if not let it pass, its not yours to absorb.
@danikodan1394 Жыл бұрын
Very true Bahati na willy paul walianza hivi and where are they now? So Ali be careful, and if you won't be careful devil will bring down your ministry believe me Alafu tuacheni kuabudu wasanii , waje wasije injili itaendelea , namkumbuke shetani pia alikua muimbaji.
@danikodan1394 Жыл бұрын
Namjue hivo mnaendelea kutoleana maneno kuzimu inafurahia sana na majini yanasherehekea, And I'm not happy kabisaaa Ali try to use wisdom ju I'm telling you for free Rose her ministry will keep shining but yours devil will destroy so be careful plz.
@mablenanzala254 Жыл бұрын
True,,,wisdom n ya mahana
@dwasijane33 Жыл бұрын
We love your ministry, Ali. Drop that issue. Focus on God. Continue serving Him.
@dicksonmuemamutuku3247 Жыл бұрын
I think Ali might be very honest. Standing with truth is costly. I support you
@TheGospelMelodies Жыл бұрын
If he is telling the truth we want the video of fans throwing stones at him. Why also did he not announce that Rose is not coming on 24th when the money was refunded? Why wait until 26th the last day of crusade?
@phaustineokitwi7043 Жыл бұрын
Amen 🙌
@marrieimmaculate Жыл бұрын
Rach of them has some truth in whatever they are saying, but the whole truth is known to them both. God is the final Judge bcs He alone was their witness snd
@kenkaunda3227 Жыл бұрын
Let him give the evidence on what he is talking about. All are just words
@jamessila3219 Жыл бұрын
We are One family in Christ Ali. Kwanini unatoa Mambo ya family kwa kabila. Mungu akusamehe
@satiakemei6278 Жыл бұрын
Ali is regretting of his action And it seems he is defending something he knows he did And by the way why is he crying the loudest ,I thought the pastor should be the one complaining
@linkenkenya9174 Жыл бұрын
Rose is a conwoman
@lilianowti5477 Жыл бұрын
Let the evil be exposed ,whatever you do in darkness will be exposed in broad day light.
@annelunazo6660 Жыл бұрын
Yeye ndio alianzisha ilikuwa nahaja Gani kumu xpose vile
@jameshld1 Жыл бұрын
Kenya needs @mr truthful aka ali mukwana, he is telling it like it is. Following the gospel of TRUTH.
@lisashadestiny4881 Жыл бұрын
Only those who have been in such mix will understand this
@wekkiben5570 Жыл бұрын
Rose Muhando has different Statements and contradictory in every press she makes😂😂😂😂😂😂 I believe that Ali is genuine sio mtu wa maneno mengi
@officialhopestarmusic959 Жыл бұрын
I conquer with you brother
@christine-rn4mk Жыл бұрын
She wants to be seen innocent I don't trust her but GOD knows the truth
@harrietcheredi9768 Жыл бұрын
mambo mengi hayasaidii mungu awarehemu shetani asiwatawale tunapenda rose tunapenda ali
@justinekenyansa Жыл бұрын
Ali mkorofi na maeno mengi, Angetumia akili na si hisia kwa umati wake, badala ya kumpaka tope Rose
@joangichuru8044 Жыл бұрын
The way I know u Ali,what u saying it's true dnt worry God is with u
@marthaochieng1340 Жыл бұрын
Br Ali, I wish you didn't call the media. Let the Lord be your defender. Media is looking for news
@gibsonmalaa7786 Жыл бұрын
Alafu ally angeonekana conman kwa ile church
@ruthsandrilmwale213 Жыл бұрын
The more you talk, the more things get worse. Go down on your knees , you are taking the wrong turn to get solutions, Ali,i never expected this from you. much love, Rossy ❤️
@ann1092 Жыл бұрын
Ali ,kenyans trust you. You are consistent with your truth. Rose requires sound management. Trully apologies from Rose zinafaa. Rose requires a PA to run her diary and a manager. Without the two ,Rose will continue to have multiple bookings in her music ministry. This may affect her brand negatively
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
All anaongea ukweli wakenya wengi wanamushambilia all na wengi wanao mjshambulia all ni washabiki wa rose
@carrasco416 Жыл бұрын
But why doesn't he put evidences, he said the lady scammed them 200k from the start he had already lied.
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
I like your advice..nadhan anahepa management kwa kuwa ndio ilimfanyia unyama siku za nyuma.
@ElizabethMutheu Жыл бұрын
Witchcraft in full display Mimi truth be told ungekua my Pastor natoka mbio tena sana. It shows how ministers stop praying and display pure canality ungekua mtu wa kungojea Mungu kwa Magoti haingekua hivi. Problem is you too busy for God. Wakati ulisimama kuyasema uliyoyasema ulitaka akuelezee jipu iko wapi! Ya pili who appointed you spokesman of the 5 other pastors you claimed were conned. One person said ukialika mtu akatae kuja huwa unaonyesha uchungu wazi and tell the whole church. I don’t want to be wiser than my Pastor
@ElizabethMutheu Жыл бұрын
Second you should have confirmed from Lwamba if a refund was made.
@alisaahamad-zr1qx Жыл бұрын
Ali know that you are in the field with the battle fight spiritually
@scalecrushaschannel148 Жыл бұрын
Rose mhando ana tabia ya kutapeli wakenya sio mara ya kwanza
@egospeltz9486 Жыл бұрын
Tz ndio waliona ranging zote sasa kahamia kwenu😅 cha ajabu mnamzomea Ally wa watu.
@dammamokeira3550 Жыл бұрын
Tafadhali msije mtandaoni kujielezea sana mnafanya kazi ya mungu na kueka mambo yenu ya Siri.Mungu wetu ni mukubwa kuliko hiyo misunderstanding ndogo samehaneni fuata mungu
@puritylusire5988 Жыл бұрын
Ali cant lie.
@TheGospelMelodies Жыл бұрын
Because he is an angel ? A cherub?
@georgeotieno-c9b Жыл бұрын
Brother Ali...both uaself and sister Rose sound genuine, but clearly the truth lies in between your two statements. How I pray that God intervenes tobring peace to all the parties involved. Amen.
@paragoncollege9666 Жыл бұрын
Never underestimate the power of a woman
@MAINA_THETHERE_1704 Жыл бұрын
😂😂😂
@peterrobert3144 Жыл бұрын
😂
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Mungu awasamehe nyote siyo kwa kumchafua mwenzako hivyo
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
Money is the root of all evil .
@songraceministries9583 Жыл бұрын
Amen Amen 🙌🙏
@rayotieno8181 Жыл бұрын
Not money but the Love of money is the root of all evil
@wilfredlukowo9476 Жыл бұрын
Huna adabu
@deejayperouz Жыл бұрын
Actually ,its the LOVE OF MONEY ...😂 MUNGU TUSAMEHE
@waithirahnaomy1573 Жыл бұрын
Pole sana mtumishii jipe moyo duniani kuna dhiki na matatiso
@josephinekiio7529 Жыл бұрын
Sikufurahia vile nilikuona ukimtangaza ugojwa wake kwa media, hio sio hekima,,, mtu akikupea siri zake za ndani haufai kuziweka wazi kwa kila mtu hadharani
@josephaleto8708 Жыл бұрын
Ugonjwa wapi yet on the same days she was supposed to be ministering in Bungoma she was doing the same in Mariakani,Mombasa? Jameni tuwe watu wa kusema ukweli,La liwe la na ndio iwe ndio
@SelinaNgele Жыл бұрын
Kweli ana upumbavu sana na Rose alisema hata kama alikua anaumwa haikumzuia kwenda ila maneno yake mwenyewe huyo Ali ndio yaliomfelisha
@catherinemwema3400 Жыл бұрын
Yeah..he sounded like a politician!Not a gospel singer!It sucks! Now he’s dancing to a dance whose tune he started without well mastering the moves..it’s bound to end in tears!
@DashikiFilms Жыл бұрын
Wasanii wazuri si unge support msanii wakenya kwanza😮
@kenakidivahteachings2765 Жыл бұрын
Ali, you are a gifted musician. What you need is wisdom. With wisdom, this issue could have been sorted in house without reaching the public. Don't try to justify yourselves. The bottom line is you allowed Satan to take over your emotions, and he is using it to give you and Rose a bad name. In the end, the church is what suffers the shame.
@prophetjohnmasso186 Жыл бұрын
Kwa Damu ya Yesu Kristo ya upatanisho amani iwe juu yenu. Ali mtumishi mzuri na mkweli naomba samehe na mupatane
@michaeljohnjmalonja6434 Жыл бұрын
nilkua nakueshim kamamtumishi mwenyehekima kumbe wewe ni boya kichwachako nichakubebea meno tuu hakuna akiri atamoja unautukana hata utumishi wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jameskenzedex Жыл бұрын
We shud not judge anyone as Christian but ww Ali mbna ujudge u ain't God...the problem with Ali has got no evidence
@allankhoyi Жыл бұрын
But vile nafahamu Ali Mukhwana sio mtu anaweza kudanganya kwa hali kama hii na maneno ya kiwango hiki
@nathangakere3592 Жыл бұрын
Na mbona aanike Rose kwa media that's not wise .... ianonyesha kutokoma
@joysmuna4395 Жыл бұрын
@@nathangakere3592nayeye rose awache kuchukua pesa za watu kama anajua gawezi huthulia.awe na utaratibu
@allankhoyi Жыл бұрын
@@nathangakere3592 what he said might be true but the channel of delivery ndo inaweza kuwa na shida all depended to the circumstances surrounding them and the matter in question
@SimbaMpasuaMiamba. Жыл бұрын
Ali, mwombe Mungu akufunze kunyamaza, haya mambo mngesuluhisha kisiri lakini wewe kwenye ule mkutano wa Bungoma uliamua kumchamba dadako Rose kwa maneno ambayo hungepaswa kuyasema kama mkristo. Unavyoongea zaidi ndivyo hata watu wanakushuku zaidi, achana na hizi sarakasi, nyamaza na umwache Mungu awe mtetezi wako, usipigane wewe mwenyewe utashindwa.
@kirkvalor Жыл бұрын
The fact that 50k was send, that tells you everything, who is right and who is wrong.
@TerryMueni-gg9wx Жыл бұрын
Ali alikua anasema ni 200k
@CondradPigwa Жыл бұрын
Ali said money was not refunded. Today he says it was refunded. this is a LIAR
@sharonmbithe74 Жыл бұрын
@@CondradPigwaexactly. He is contradicting himself First he says he had sent 200k . Then he now agrees it was 50k. Again he agrees the money was refunded on 24th but again he states that the money was refunded on the last day of the event. Note this: her fans were demanding her availability on 25th and became wild on 26th. Why didn't he say it from the earth that Rose will be absent?
@Emayian_Havens Жыл бұрын
@@TerryMueni-gg9wxno he said is 50k paid of the agreed 200k
@valencelenji Жыл бұрын
He said 50k get your facts right 😢😢😢
@patrickkilimo9376 Жыл бұрын
Mtapigwa na Mungu .Musifikiri Mungu Ni mwana Siasa
@norahyrron Жыл бұрын
Ali Mukwana is loosing it ,asipochunga roho atamtoka...akuna vitisho hapo ! Ali should apologize...he is lying
@Lorinkavai Жыл бұрын
Huyu nmkusabyaji pesa haikua crusade ya injili hiyo ilikua ya kukusanya pesa
@TheGospelMelodies Жыл бұрын
Ati anawauliza ni vitisho si vitisho ...kwani ni mashindano nkt
@violetasiko5447 Жыл бұрын
He is a proud wanga luya guy that is too proud
@Mwikalisha Жыл бұрын
ROSE MUHANDO akiaza waimbaji ulikua kitoto bro no matter what ugemuita umuogeleshe kuliko kutafta kiki respect walioamka mbele yako watakulaani bure swali je mlikosa waimbaji kenya😂😂
@kleptomania1137 Жыл бұрын
Rose ni tapeli
@mercyakinyi5315 Жыл бұрын
Unaongea ukiwa na evidence ama ni mdomo umeeka mbele
@hildahchelagat3647 Жыл бұрын
Kabisa tapeli
@nestorysanga3938 Жыл бұрын
SI wote wamtajao Bwana Bwana watarithi uzima wa milele. Mtu yeyote aweza kuwa tapeli. Mwimbaji nae ni binadam siyo maraika. Hata huku Tanzania wapo matapeli wainjili. Mungu akupe nguzu . Zaidi mwombee ageuke kama kweli alipiga hiyo pesa
@MargaretMunyao-m3t Жыл бұрын
Don't worry bro God knows the truth and He will fight for you. Shalom bro Ali
@lucywangari1649 Жыл бұрын
We love you guys, don't give the devil a chance. Sing for the Glory of God not for money
@Janepherliv-vt6eq Жыл бұрын
Mimi hata kukienda aje Ali mukhwana nakupenda neema unayoibeba kwenye uimbaji wako. Keep going bro u r blessing in this generation.
@Shadrackxhaddz Жыл бұрын
Ww Ali you are still young so kama umeshindwa kwa uimbaji wacha kumuaribia Rose muhando...
@damaricewaridi4064 Жыл бұрын
Wenye hamuelewi Ally,,,hamujui waluhya wa soyi na bungoma ,,,hao watu hakuna venye unaeza waambia eti main person ame cancel wanaeza hata kukupiga mawe so Ally angefanya nn????Ally had no otherwise but to speak the truth but chenye ali lack ni wisdom,,,,,,,may God reunite them in Jesus name
@millicentaseyo9128 Жыл бұрын
Rose is a liar why take money yet you know that you don't attend the meeting yy ni tapeli I support you Ali
@nissiwambuiofficial Жыл бұрын
Support Kenyan gospel singers hata waluyah wa huko wako na nyimbo hit sana,,,,,
@jannykavinya8373 Жыл бұрын
Ata useme aje ulijiabisha sana Kusimama kwa madhabau uongelee rose vile uliogea, na vile nlikuwa nakueshimu, jieshimu na uache mushene mob.
@FellahGetuno Жыл бұрын
So angenyamaza ashambuliwe?
@jannykavinya8373 Жыл бұрын
@@FellahGetuno agetumia wisdom kudeal na watu, some of the things aliogea zilikuwa total nonsense
@EsterMwasaga Жыл бұрын
Nyie ni niwana wa mungu umbaneni Msamaha yaishe msonge mbele ktk huduma ya mungu
@Jeremiatitomawala Жыл бұрын
Ali uko sahihi
@Mathiasamani202 Жыл бұрын
some people are homeless but are not crying, tushukuru katika Kila jambo
@Lorinkavai Жыл бұрын
Hiyo sio uchungani hiyo nikichanga sadaka😂😂😂😂😂nawajua Mmmm......
@AntonyNyongesa-q1l Жыл бұрын
Ali you're our son hatutakubali uangushwe ktk jina la yesu
@kyusa7002 Жыл бұрын
In short Ally umekosea sanaaa alivo kubrok ungekuwa mpole kwanza sio kumtangaza mtumishi wa mungu usiludie tenaaa ivo unamkalibisha shetani
@ElinaMaima-vy4qs Жыл бұрын
True hawa wote ni watumishi wangesolve hii mambo nje ya mtandao,nakosa ya Ali ni kumuanika.anachohitaji kujua ni kwamba rose pia ni mwanadamu na anaeza kosea
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
ALIIIIIIII, ALIIIII KWISHA HBR YAKO, HUNA BUSARA
@sabina4070 Жыл бұрын
If you forgive you don’t mention the wrongs and your tone should be remorseful.
@Fred-KE Жыл бұрын
If you are not truthful, God will pluck you out. Wacheni kuharibu ministry ya Mungu kwa uongo. Mungu atawachapa viboko mtashangaa.
@KelvinJabali-ri8ij Жыл бұрын
This is too much...may almighty grant you with wisdom to push this ministry of God well..
@andrewmwangovi2349 Жыл бұрын
Be true.., on stage you said after posting it took less than a day you got more rose muhando adverts, sahii unasema it took 3-4days.. be true wewe
@kleenheart Жыл бұрын
Kabisa..anajisafisha njia yamuongo ukua ivo kusahau tu
@righitkileo Жыл бұрын
Mmh! Hatari sana kutumia jina la Yesu kwa mambo yenu ya hovyo.tuliheshimu hili jina.
@leeles8472 Жыл бұрын
Wewe muogo sana why fight with a woman aki cheeeeeiiii una wivu wa Hali ya juu
@LijueNeno Жыл бұрын
Ndugu Ali, Mimi ni mchungaji Tena nimefundishwa school of ministry, ila Ali haukutumia kanuni ya Wana wa MUNGU Bali wewe ulikimbilia kumshitaki ndugu Yako katika IMANI ya Kristo Yesu Kwa watu wa nje ya IMANI Yako, ulikisea..
@Ginimbi_Munyao Жыл бұрын
kiki kila mahali, Ali wewe ulikuwa unataka utrend na jina ya Rose.
@emmanuelblessedmuwanguzi5041 Жыл бұрын
Rose and Ali wote wanachafua Jina la Yesu na ingili hapa kenya
@VeronicaFrank-lp1uv Жыл бұрын
Huyu Baba Yuko sawa kweli unajua kuwa Rose mhando jina kubwa Ili ufikie Rose jamani mwacheni basi apumue mnamwandama sana tuko wengi nyuma yake tunamwombea anabebwa na Mungu
@emmanuelblessedmuwanguzi5041 Жыл бұрын
This is avery big shame that ministers of the Gospel are fighting in public and destroying Gods image haki hili ni Haibu sana so.shamefull am so.sad
@Lorinkavai Жыл бұрын
Nijuya pesa ya chrismasi
@emmanuelblessedmuwanguzi5041 Жыл бұрын
Whats more important lifting the name of God or fighting this is Shamefull
@telkilo1240 Жыл бұрын
mimi namjuwa nitapeli aja hanza leo alipewa pesa millions 8 akuja kwenye camp ya wakimbizi Tanzania 🇹🇿 akuja imejulikana sababu amesema
@edwinsindiga8682 Жыл бұрын
Why would Brethren run to the press to broadcast your misunderstandings surely.Just pick a call your fellow minister or call an elder Minister to assist solve your differences.You are shaming your ministries and the body of Christ at large over a very petty issue.
@jacintandunge3353 Жыл бұрын
Siku za mwisho kweli bible imesema watu watainukiana wenyewe kwa wenyewe mungu atusaindie sana
@filimonmpinge6039 Жыл бұрын
Mshamba Sana wewe blood acha kumchafua Rose Hata Mimi ningekubrock acha kutia huruma
@VictorOngoma-vg2lt Жыл бұрын
Ali mimi ni shabiki wako toka kitambo and i believe your words
@joysmuna4395 Жыл бұрын
Rose please ukijua huedi mkutano wachana na hela za watu...kama hungechukua pesa ya ali hiii membo yote haingekuwa.
@mwikalijosephine5178 Жыл бұрын
It was temptations I pray God may remove that spirit operating through her in Jesus mighty name
@StendinaMyinga Жыл бұрын
Ali acha kujiosha Kwa kumchafua Rose Mhamdo. Acha kujidhalilisha. Tulia, hata hujui Nini unafanya. Unalitukanisha jina la Mungu.
@Bettymariiyu Жыл бұрын
you love someone more than God coz mnaitanga rose mpate wafuasi.
@NuriathMusitafa-ue6nh Жыл бұрын
Mimi ni mtanzania Ali yuko sahihi hizi skendo za Rose kupambanisha mikutano ni kawaida yake toka zamani, Rose anajitetea kutishiwa ni muongo. Saa ivi anakwambia maneno mengine si ya kusema lazima Ali useme ukweli