NEW VIDEO/YOHANA ANTONY by JIFUNZE KUAMBATANA (official video)+255757315937

  Рет қаралды 103,679

Yohana Antony

Yohana Antony

Күн бұрын

Пікірлер: 246
@JanetMachuma
@JanetMachuma 4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 tunajifunia wimbo uliyotuimbia AMANI KATIKA UCHAKUZI BARIKIWA SANA Amen 🙏 🙏
@Braybeib
@Braybeib 3 ай бұрын
Exactly 💯 💯 💯 ❤❤more blessings 🙌 🙏 am from Kenya 🇰🇪
@Braybeib
@Braybeib 3 ай бұрын
Ubalikiwe saaana yohana ❤❤Kenya 🇰🇪
@tanuijoelk93
@tanuijoelk93 Ай бұрын
Mstari bado kijana❤❤❤❤mtoto wa nyoka ni nyoka❤❤❤hustler nation kijana
@carencherop4565
@carencherop4565 3 ай бұрын
Mungu abariki KAZI ya mikono yako barikiwa sana
@ELIAMATOLA
@ELIAMATOLA 3 ай бұрын
Amen 🙏, ubarikiwe sanaa mtumishi wa MUNGU
@AtufigwegeMwakalibule-pv3nv
@AtufigwegeMwakalibule-pv3nv 3 ай бұрын
Mungu akulinde uzidi kukuwa kiloho ila sahiv umekuwa tor❤❤❤
@dennismutuku4389
@dennismutuku4389 4 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi wa mungu tuna kupenda sana sis wa kenya mungu akutie nguvu kwenye huduma yako
@CellCoholic-jc1hf
@CellCoholic-jc1hf 3 ай бұрын
Amen brother mungu naye ni nani ameikuinua sana tangu utotoni be always blessed Ameni
@PascalyAntony
@PascalyAntony 3 ай бұрын
yohana ee naomba wimbo mmoja unishirikishe
@VivianPascal-rq9xu
@VivianPascal-rq9xu 3 ай бұрын
Woooo mungu akubaliki sanaa
@Deyy7372
@Deyy7372 4 ай бұрын
Wow looks at my son big boy how are you doing Congratulations 🎊 👏 💐 🎉🎉🎉❤
@ahishakiyeemmanuella501
@ahishakiyeemmanuella501 3 ай бұрын
Hongera sana from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@getrudefavour5951
@getrudefavour5951 4 ай бұрын
Wow,tunaendelea kusonga kwa pamoja.Baraka tele🇰🇪🇰🇪♥️♥️
@MercyRodha
@MercyRodha 3 ай бұрын
Our favorite ❤🎉watoto wetu huiba simu yangu wanakaa mbali kusikia nyimbo zako🙏🙏🙏mungu akubariki sana💃💃💃💃
@JOSHUAKIPKOECH-gr8fb
@JOSHUAKIPKOECH-gr8fb 4 ай бұрын
Pongezi sana yohana mungu akubariki sana
@carendeborah5687
@carendeborah5687 4 ай бұрын
Yohana amegrow nikimuona ..jamani Mungu azidi kukuinua mtoto
@NicholasMwau-yb4fv
@NicholasMwau-yb4fv 4 ай бұрын
May God bless you 🙏 utaenda mbali
@DinahOkinda-jl3ce
@DinahOkinda-jl3ce 4 ай бұрын
Amen Atonny🎉🎉🎉❤mungu awe na daima napenda nyimbo zako
@faithgumiri6105
@faithgumiri6105 4 ай бұрын
Wakenya kujeni huku .huyu ndugu jamani mungu azidi kum neemesha .amekua wa baraka kwangu tokea Enzi zile
@mikemicahmasika9341
@mikemicahmasika9341 4 ай бұрын
Amen.. but I think voice iko na shida
@carolinemakena5115
@carolinemakena5115 3 ай бұрын
Niko huku already ..nimemfuata tangia utotoni Hadi tukakuwa wakubwa
@NadiaKatush
@NadiaKatush 3 ай бұрын
Wow that's amazing utaenda Mbali
@alicejosephat3498
@alicejosephat3498 4 ай бұрын
Amina Mungu aibariki kazi yako ya uimbaji
@JanetMachuma
@JanetMachuma 4 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤ kabisaa nitapinga hatua amen wimbo mtamu sana endelea kumuimbia mungu ni muwesayoto kimaisha
@ayumasylvia2226
@ayumasylvia2226 3 ай бұрын
Nani amegundua vile amegrow sana
@OritaAndayi
@OritaAndayi 6 күн бұрын
Glory be to God.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mercyminayo
@mercyminayo 4 ай бұрын
Pia mimi natamani kupiga hatua, wimbo nzuri sana❤❤❤❤❤
@MercyMercy-k5i
@MercyMercy-k5i 4 ай бұрын
Wooow! Nice song,Wacha Mungu azidi kukupa kibali kaka ,am mercy from Kenya 🇰🇪🇰🇪, be blessed 🙏🙏.
@leatimoth3611
@leatimoth3611 4 ай бұрын
Kwa kweli hii message iko tight ❤❤❤love you....like from kenya
@danmuuo8742
@danmuuo8742 4 ай бұрын
So educative good broh......you are so anointed ....my dream ni kukualika uku Kenya kwa Tamasha ya injili.....l love your ministry 🎉🎉
@JamesNtabago
@JamesNtabago 4 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa Wimborne mzur
@SamwelMtasiwa-ok2qz
@SamwelMtasiwa-ok2qz 4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu nakupenda sana tangu kuanza kuimba
@ahishakiyeemmanuella501
@ahishakiyeemmanuella501 3 ай бұрын
Mungu akubalike ushakuwa mkubwa ❤
@neemaJohn-ec4gb
@neemaJohn-ec4gb 4 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@KasoloChemase
@KasoloChemase 4 ай бұрын
Nyimbo nzuri bro God bless you 🙏
@Neematimothy_official
@Neematimothy_official 4 ай бұрын
Ubarikiwe zaidi
@Salome-wo9ie
@Salome-wo9ie 4 ай бұрын
Napenda nyimbo zako nkiwa 🇰🇪 mungu akubariki uzidi kutufunza kupitia nyimbo zako
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 4 ай бұрын
Very true mtumishi wimbo nzuri sana keep up 🇰🇪🇰🇪
@kelvinmulei393
@kelvinmulei393 4 ай бұрын
Umekuwa mbig aki others ❤❤❤ from Kenya
@AnitahTish
@AnitahTish 4 ай бұрын
Yes kuambatana na wenye waliofanikiwa Kuna hatua nitapiga watajionea congratulation 🎉🎉
@SeukPiri
@SeukPiri 3 ай бұрын
Imana yanje ndayikunda😂😂😂❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💚💚💚💚🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@PatriciaMshanga
@PatriciaMshanga 4 ай бұрын
Mdogo angu pambana sana mungu atakufikisha panapo nafasi
@PatriciaMshanga
@PatriciaMshanga 4 ай бұрын
@Brenda-yu5pp
@Brenda-yu5pp 3 ай бұрын
Nawapenda sana Tanzania wakatimwingine huwa natamani kuhama Kenya nije huko but sina uwezo kwa sababu nimbali ❤
@Brenda-yu5pp
@Brenda-yu5pp 3 ай бұрын
Nice song mungu awabariki Tanzania kwa huo wimbo umenifunza mengi sana nimemfwata muimbaji wa nyimbo sa injili hapa kenya the name is Daniel sifuna gospel singer pia nijifunze kutoka kwake am listening from Kenya ❤❤🎉
@NicholasMwau-yb4fv
@NicholasMwau-yb4fv 4 ай бұрын
Acha mungu azidi kukuinua you look great beautiful boy am from Kenya we ❤ you Nadia
@BARAKABakenya
@BARAKABakenya 4 ай бұрын
Balikiwa Sanaa pacha Yohana nyimbo zako zinanibarik sanaa
@JanetKerubo-uk1xs
@JanetKerubo-uk1xs 4 ай бұрын
Very true kuna hatua huwa hutamani kusing ❤❤
@DuncanKodia
@DuncanKodia 4 ай бұрын
Congratulation you Anthony may God bless you may God bless you God bless you Mr Anthony
@kenya-brownie254
@kenya-brownie254 4 ай бұрын
Hio salamu ya komasava😂😂😂 but much love ubarikiwe zaidi
@yohana_antony
@yohana_antony 4 ай бұрын
Amina Amina
@annpraiz7100
@annpraiz7100 4 ай бұрын
Woow this is great.....nakutafta tuimbe bro
@Desterioochoko
@Desterioochoko 4 ай бұрын
Utukufu kwa bwana bro.thanks for this revelation
@JuliethMagese
@JuliethMagese 4 ай бұрын
Amen yohana Anthony...🙏🙏..Ni kweliii kuwa karibu na walio fanikiwa kuna vitu vikubwa sana tutajifunza kutoka kwao...❤❤...
@jentrisachieng
@jentrisachieng 4 ай бұрын
❤❤❤
@allyosmundi199
@allyosmundi199 4 ай бұрын
Aminaaaa sana mtumishi MUNGU akubariki sana
@DuncanKodia
@DuncanKodia 4 ай бұрын
I'm citizen of Kenya I follow you Mr Anthony I know you are very powerful very very powerful powerful
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 4 ай бұрын
Waooo! Umekuwa kijana mkubŵa
@Trucillah-be5ke
@Trucillah-be5ke 4 ай бұрын
That's true mtumishi ❤ barikwa sana
@jacintamutinda2482
@jacintamutinda2482 4 ай бұрын
Ukweli kabsa kudos John keep it up ❤
@MainessJoseph
@MainessJoseph 4 ай бұрын
Umekua mdgo wangu yesu akutunzee
@mamashamsa282
@mamashamsa282 4 ай бұрын
Goooooo Yohana mtumishi wa Mungu.Mungu akubariki Sana na ainue Huduma yako.Much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ frm Kenya
@favourfaith6686
@favourfaith6686 4 ай бұрын
🎉one day ntafanya colabo na ww na itakuwa yabaraka
@jamesmwanzui1170
@jamesmwanzui1170 4 ай бұрын
Antony Mungu akubariki sana bro you are my mentor. Nahiga mfano mwema toka kwako bro. nikiwa Kenya
@aronmvembezi4375
@aronmvembezi4375 4 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Mimi naambatana na wewe kwenye huduma.
@GastoMwalyaje
@GastoMwalyaje 4 ай бұрын
Amina ubarikiwe kwa nyimbo yenye ujumbe wakuokoa watu
@LoventerKemboi
@LoventerKemboi 4 ай бұрын
May God bless you more and more and continue serving the Lord be blessed ..From kenya we really love you 🙏
@ChristineMsafi
@ChristineMsafi 4 ай бұрын
So sweet congratulations bro my the Lord of mercy fight for you much love 4rom Kenya 🇰🇪
@NicodemusMunyao-bd8uo
@NicodemusMunyao-bd8uo 4 ай бұрын
Good song from such a small boy..we love you from kenya
@FortinaLyaumi-br1ze
@FortinaLyaumi-br1ze 4 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana kwautumishi huo
@Julius00012
@Julius00012 4 ай бұрын
Ukweli kabisa God bless you brother
@Judithkadzo-t6q
@Judithkadzo-t6q 4 ай бұрын
Wakenya kujeni yani huyu mkaka mungu amzidishiye kipaji chake
@NanzalaPetronila
@NanzalaPetronila 4 ай бұрын
Our boy is growing up faster thanks to God
@luhuluyusufu2934
@luhuluyusufu2934 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtoto na Mungu akuzidishe kwa kipaji yako. Ni Yusufu toka Congo DR,jimboni Maniema,mtaa wa Kindu
@RussellRodriguez-it1ln
@RussellRodriguez-it1ln 4 ай бұрын
umekuwa mwanamuziki mzuri najivunia wewe ni Russell Rodriguez Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@KelvinMusyoki-vm7bh
@KelvinMusyoki-vm7bh 4 ай бұрын
Nice song mtumishi wa mungu mungu akubariki sana na akuhinuwe zaidi ❤❤❤❤❤❤❤❤
@annahnasimiyu5810
@annahnasimiyu5810 3 ай бұрын
AMEN AMEN, ukweli kabisa
@neemasilayo
@neemasilayo 4 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉
@MwakaMwadzombo
@MwakaMwadzombo 4 ай бұрын
Aminaaa ubarikiwe sana na mungu azidi kukupigania mpenzi wangu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉💋💋💋💋💋
@RuthGrace-qi2sd
@RuthGrace-qi2sd 4 ай бұрын
Yes,as Kenyans we are proud of your songs 🙏
@joshuamuimi4
@joshuamuimi4 4 ай бұрын
Pst Joshua kutoka Kenya kitui caunty mungu akubariki sana kijana
@mathekamaria
@mathekamaria 4 ай бұрын
Wooooh ....be blessed .....you are a blessing to many .... Watching from 🇰🇪
@JhnWaithaka
@JhnWaithaka 4 ай бұрын
Wow good job bro God bless you and be with you ❤❤❤❤
@ModestoTeacherTZ-hw8hc
@ModestoTeacherTZ-hw8hc 4 ай бұрын
Hongera kwa ujumbee💪💪👊mzito
@annemukite4937
@annemukite4937 4 ай бұрын
Safi sana mutumishi endelea kumtumikia mungu.
@MaggyGesare
@MaggyGesare 4 ай бұрын
Amen mungu hakuweke kwa viwango vingine❤❤❤❤❤❤❤
@DoreenWambua-w9v
@DoreenWambua-w9v 4 ай бұрын
True mtoto yohana mungu hakubariki sana
@DoreenWambua-w9v
@DoreenWambua-w9v 4 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anthonywambua8099
@anthonywambua8099 4 ай бұрын
Wimbo mzuri Antony,Mungu azidi kukunemesha
@wiliminaboke4397
@wiliminaboke4397 4 ай бұрын
Wow nyimbo zangu ninamafunzo tele huwa napenda Sana kusikiza kweli kuna hatuwa tutapiga. 🇰🇪🇰🇪🇦🇪🇦🇪
@NuruVitusi-mq3kn
@NuruVitusi-mq3kn 4 ай бұрын
Wimbo mzuri sana Mungu azidi kukubariki
@annachisemeli868
@annachisemeli868 4 ай бұрын
Wimbo nzuri
@NuruVitusi-mq3kn
@NuruVitusi-mq3kn 4 ай бұрын
Safi sana my friend, kuanzia Sasa, naambatana na walio fanikiwa,kiroho mbaka kimwili, najua tu nitafikia ndoto zangu
@vannygaltz
@vannygaltz 4 ай бұрын
My boy is baaaaack❤❤❤❤ kazi nzuri mtumishi❤
@AgnesAgy-f6m
@AgnesAgy-f6m 4 ай бұрын
Waaaw aky ni kwel kabisa very nice broo we love you from Kenya na umekua mkubwa
@GeoffreyOndabu
@GeoffreyOndabu 4 ай бұрын
❤❤❤ my brother enda mbele ❤❤❤ am with you may the lord bless you ❤❤❤ Emma from Kenya
@Apostlegoddyworld
@Apostlegoddyworld 4 ай бұрын
Good gospel inspiring we need you kenya crusade here namanga border....August month reply man of God
@AgnesNyivaTV
@AgnesNyivaTV 4 ай бұрын
Wow nice mbarikiwa sana,yoana ni mungu tu ♥️🙏
@BiteMsabaha
@BiteMsabaha 4 ай бұрын
Barikiwa Sana mdgo wangu ♥️
@mosesyokito6405
@mosesyokito6405 4 ай бұрын
Amen bro it's true be blessed much love from Uganda
@Agnes-gm7nd
@Agnes-gm7nd 4 ай бұрын
Winuliwe mtumishi YOHANA ANTONY kwa huduma yako mungu anatenda makuu makubwa yenye mwanadamu awesi.
@marykukui2
@marykukui2 4 ай бұрын
Be blessed Yohana you are a blessing to us Kenyans.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@StellaKerubo-so1ip
@StellaKerubo-so1ip 4 ай бұрын
Ni kweli my brother amen
@josemangula8806
@josemangula8806 4 ай бұрын
Yan saiz umekuwa mbaba kabisa wakat juzi tu ulikuwa mdogo sana
@israeltv379
@israeltv379 3 ай бұрын
Nitapiga hatua
@zionfahariofficial2057
@zionfahariofficial2057 4 ай бұрын
My brother from my neighbor country Tanzania 🇹🇿 Keep Going 💪🔥🔥
TOP 5 HIT SONGS ZA YOHANA ANTONY ZILIZOGUSA MIOYO YA WATU.
30:28
Yohana Antony
Рет қаралды 198 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 68 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 5 МЛН
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
TT Comedian
Рет қаралды 6 МЛН
YOHANA ANTONY FT MICHAEL KAMTUPE Mkutano wa injil MBEYA Moto Umewaka +255765005775
4:47
Michael Kamtupe Official 🇹🇿
Рет қаралды 25 М.
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 879 М.
NEW VIDEO | WANAKUFA MAPEMA By YOHANA ANTONY (Official Video)
6:49
Yohana Antony
Рет қаралды 275 М.
New Video | Tumekuja Mjini by Yohana Antony (Official Video)
5:51
Yohana Antony
Рет қаралды 19 М.
NIMERUDI NIWAONE [OFFICIAL MUSIC VIDEO] BY YOHANA ANTONY
6:37
Yohana Antony
Рет қаралды 6 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 68 МЛН