majutoooo mjukuuuu hy ndio inayowakuta wanawake wengi wa sasa
@AsyaKombo-qi6yn7 ай бұрын
Said mjomba tunakupenda sana
@JokhaSalimKhalifa-ly4xv Жыл бұрын
Safi kaz Ina mafunz makubw San San mashaallah ❤️😊😊😊 big up
@profesamakame5179 Жыл бұрын
kshaahadaliwaaa huyoooo
@Kokhaako Жыл бұрын
Hongera said mjomba pararukapo hushoni asiyesikia la mkuu huvunjika guu. Na huyo kama alimkataa sulhu iliyotolewa ni kaka yake alimkataa na kumdhalilisha Sasa kashapigwa ni gombe chogo nende atakako maana sasa kashakuwa naakili.Kamwendeye tena Rovi akukatili.
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Umemuomba talaka mumeo bila sababu sasa wataka kurudi pole ulitakakupima maji kwa mkono saidi mjomba hongera zako
Jamani wana wake mualimu wetu ni kipofu tunapenda kudanganywa haya sasa yakukute
@abuutoll-wr8cb Жыл бұрын
Uhakika ❤❤❤❤❤
@IrfanVuai2 ай бұрын
Mwanamke akidai talaka uspend kutoa km akikwambia nitakuwekea sumu apo ndo haki ya kutoa talaka
@hamadnassor2037 Жыл бұрын
👌😂😂😂ok
@mohdsaad2736 Жыл бұрын
😊😊😊😊❤❤❤❤
@AlwanKombo-hd3dt Жыл бұрын
Ujumbe umefika
@akidahamad142 Жыл бұрын
Akida hii imeenda said wa dodo
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Huo ni ujinga wa kufukiria kambla ya kutenda ulikuwa na mawazo tasa ukadhanibkuachika ndio suluhu umekosa mwana na maji ya moto pole sana dada kaa kwa kituo sasa