Neyba - Salima (Official music video)

  Рет қаралды 17,230

Neyba

Neyba

Күн бұрын

Пікірлер: 181
@Sadima_Swagger
@Sadima_Swagger 23 сағат бұрын
Safiìiiiii sanaaa hawa ndo wasanii ata akae miaka buku akitoa linakua dude🏆🏆🏆🏆🎉🎉🎉
@HamadMalanda
@HamadMalanda 3 күн бұрын
Mzee baba you good at sing
@JaphetiFrasinscko
@JaphetiFrasinscko 2 күн бұрын
Nice job👏👏👏👏
@Phano7-x2q
@Phano7-x2q 3 күн бұрын
Hii ngoma umetisha sana mi nakupa maua Yako na tunaihataji uzidi kutoa magoma kama haya
@adypraizemusic661
@adypraizemusic661 4 күн бұрын
Wow big up bro... Always doing hits after hits.... Sasa NXT isikawie
@SAIDIKUBALI
@SAIDIKUBALI 3 күн бұрын
Unatuwakilisha sana dogo ila kuwa chini ya bland
@emanueli-j-pango-7870
@emanueli-j-pango-7870 2 сағат бұрын
Leo nimefurahi sasa kwa kusikia sauti ya Neyba kwa mara nyingine tena Dah maana kitambo sana🥰🥰🌹🥰🌹🥰🥰🌹🥰🥰
@armandoleonardo6966
@armandoleonardo6966 3 күн бұрын
Me lembro de Kali za bongo . Good neyba 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@SidaMalove
@SidaMalove 2 күн бұрын
fundiiiiiii wa Music
@Saidichilumba
@Saidichilumba 3 күн бұрын
Hauna baya ...chukua maua yako
@ArahanJames-gc8qv
@ArahanJames-gc8qv 2 күн бұрын
Nakubali kaka
@laxmajor
@laxmajor 8 күн бұрын
Neyba let's go 🚀🌍
@mchandsometz2644
@mchandsometz2644 8 күн бұрын
Mwamba uko vizuri sana sema wabongo hawajuagi kutofautisha kati ya mguu wa kulia na kushoto
@maromedia6272
@maromedia6272 7 күн бұрын
Kwa Niaba ya MARO MEDIA Tumekumiss sana kaka Tunashukuru umerudi tena Tumekumiss sana kaka Tunakupongeza sana pamoja na Director Marleys Mungu amuweke sana
@AmosKube
@AmosKube 8 күн бұрын
Neyba ni msanii ulienifanya nikaupenda mziki kwa sana❤❤❤mungu akubariki sana
@EmzajayFimbomkali
@EmzajayFimbomkali 6 күн бұрын
Ume potea sana baba, na shukuru kuku pata tena i'm from Congo
@Trestartz
@Trestartz 8 күн бұрын
UMERUDI NA HIT🔥🔥💪BigUp familia
@wickymalisafi9509
@wickymalisafi9509 8 күн бұрын
Love this one
@moonrayz126
@moonrayz126 8 күн бұрын
Uje then salima another hit 🔥
@sospmusic9965
@sospmusic9965 8 күн бұрын
Hatarii mzee you still got the Kenyan Love
@SAIDIBAKARI-id1zm
@SAIDIBAKARI-id1zm 7 күн бұрын
Na ile soundtrack ya series ya filamu ya pazia umeua sio poa yaaan 🎉🎉kaka unatisha mnoo
@omarmazoka5063
@omarmazoka5063 8 күн бұрын
🎉 kwako brother Neyba kipaji brother kipo 🎉🔥🔥💪🏾🤲🏽🙏🏾🇲🇿🇲🇿🇲🇿 we are together
@MATEOJOSEPH-nc8gf
@MATEOJOSEPH-nc8gf 8 күн бұрын
Kwa kweli mm ninamkubali Sana Neyba huwa najisikia vibaya anavopotea kwenye game
@Newsoundsworldwide
@Newsoundsworldwide 5 күн бұрын
Uyuu jamaa ni anajua sana alfu bado yupo kwenye fom ile ile cngr#lyzee
@DullahIweni
@DullahIweni 8 күн бұрын
Neyba nwanangu unajua saana,toka enzi ya ahadi ya kweli ukapotea,ukaja na uje ukapotea,sasa umekuja na hii daaah sijui unapitia nn maana haya maisha yana mambo mengi sana lakin ukweli unawafunika wengi sana waliopo kwenye tasnia,mfano chino anachoimba hakieleweki hata kidogo lakin ndo anakimbiza😢
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
😂
@emanueli-j-pango-7870
@emanueli-j-pango-7870 2 сағат бұрын
Alf itakuwa vizuri sana brother Neyba kama umerudi tena kwenye game 😁😁
@mo_chizo26
@mo_chizo26 8 күн бұрын
🎙🦾 Sana
@daudmwakasita789
@daudmwakasita789 7 күн бұрын
Pongezi kwako neyba nakubali sana from green z city mbeya
@JeanclaudeIRANKUNDA-s8v
@JeanclaudeIRANKUNDA-s8v 7 күн бұрын
Ila ngoma hapana ,bad good song your fan from burundi,,mjini muyinga
@charlesmaduma3960
@charlesmaduma3960 5 күн бұрын
Moja ya wanamziki ninaowakubali na kuwapenda kwa vocal zao. Toka enzi za AHADI YA KWELI
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 8 күн бұрын
Karibu tena nasikiliza sana wimbo wako wa uje ni 🔥 🔥🔥🔥🔥
@esajackjack3032
@esajackjack3032 8 күн бұрын
Pamoja Sana mwanangu wa damu kabisaaa❤❤❤❤
@AziziFlavour-t7p
@AziziFlavour-t7p 8 күн бұрын
Neyba unajua sana kaka Mungu akunyanyue kwa mara ingine tena tuone kazi nyingi ngoma kali sana kaka ❤❤❤❤
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
Ahsante
@MoS-by
@MoS-by 7 күн бұрын
Je leo umetukumbuka kwa sababu nisiku nginyi sana bro tunashukuru kwa kuleta song zuri ❤
@bosschick2417
@bosschick2417 4 күн бұрын
Skujiui ila nakukubali ❤❤🎉🎉 I'm yr fun now ❤🎉
@RajabuMasanjatz
@RajabuMasanjatz 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤ daaaaa unajitaidi sana kaka japo ulikuwa umepotea sana
@ProTitle_
@ProTitle_ 8 күн бұрын
Karibu Mzee tuko pamoja kazi mikazo sasa
@Sang..kenneth
@Sang..kenneth 4 күн бұрын
Welcome back brother🙏🙏🙏all the way from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@townsanyatrends
@townsanyatrends 8 күн бұрын
My boy☺☺☺ mkali wa uandishi☺ n.a. kama unaangalia hii kazi kubwa mwaka wa 2099 ujue huyu mwamba aliwaandikia mastar wengi nyimbo☺
@ThomasMeja-p5j
@ThomasMeja-p5j 8 күн бұрын
Umerudi tena tumeku miss sn🎉🎉🎉
@Asilitamutv
@Asilitamutv 8 күн бұрын
Nayba ubarikiwe kwa kazi zako hujawahi feri❤❤❤
@idrisamapesa2732
@idrisamapesa2732 8 күн бұрын
Nakukubar kila ngoma yako 🤙🤙🤙
@goodluckjoseph3540
@goodluckjoseph3540 7 күн бұрын
Tumefunga mwaka na hit la Salima big up brother 🤜 sog liko fire
@Drapoafrica
@Drapoafrica 8 күн бұрын
Welcome to back again ✈️✈️✈️
@TRNDUKU
@TRNDUKU 5 күн бұрын
❤❤❤❤Kenya represented
@simeonnijimbere6285
@simeonnijimbere6285 2 күн бұрын
Jama kutoka +255 music industry ulikuwa umepotelea wapi ?shika mauwa yako mzee
@flocabulary6857
@flocabulary6857 8 күн бұрын
Ongeza nyimbo mbili🔥🔥🔥🔥🎉
@adamsaid7037
@adamsaid7037 8 күн бұрын
Hii ngoma nimeikubali sana kiukweli mwaka mzima hakuna ngoma naipenda kama hii
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
@StanslausWakazi
@StanslausWakazi 5 күн бұрын
Neyba yupo kumbee jmn kitambo
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 8 күн бұрын
Kipenda roho alafu hii tena Salima 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@maswaladigitalplatform.7613
@maswaladigitalplatform.7613 8 күн бұрын
Huyu jamaa anajuaga sana sema anapoteaga sana,,
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
😂😂😂 atarudi sana
@polclassic-h4l
@polclassic-h4l 8 күн бұрын
hii ngoma ni nomaa sanaa inamsafilisha mtu kimawazo bonge la ngomaaaa salma ni 🔥 🔥
@bernadosamidaa1301
@bernadosamidaa1301 8 күн бұрын
Daaah, Nyimbo nzuri kaka endelea kupamba
@sabatoager
@sabatoager 8 күн бұрын
walipotea kwenye game
@fredmahundi4931
@fredmahundi4931 8 күн бұрын
Du... Ulipotea sana mkali neyba, Ila sema nini ngoma Kali big up bro
@Malesa255..1
@Malesa255..1 8 күн бұрын
Ngoma kali bro🎉🎉🎉
@josestudio4534
@josestudio4534 7 күн бұрын
Daaaah nilimis sana kazi zako mwamba mwisho maombi yangu yamefanyiwa kazi na Mungu Tangu kwenye ngoma ya uje
@SelinaBoniface-i9m
@SelinaBoniface-i9m 5 күн бұрын
Nakuomba ukija bukoba mtaft msanii anayeitwa Tamimu omulungi uenda mkafanya Kaz kubwa
@MosesWilliam-oh8tt
@MosesWilliam-oh8tt 7 күн бұрын
Unapotea sana mwamba
@BEASTMASTERCorrector
@BEASTMASTERCorrector 8 күн бұрын
Kumbe bado upo kaka Neyba!! Rudi kwenye game kaka.
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 2 сағат бұрын
❤❤mwamba huyu hapa
@ambrose-exclusive-hunterst353
@ambrose-exclusive-hunterst353 8 күн бұрын
Unakaa Sanaa kaka alafu na unajua unaweza sanaa saizi washa moto KaKa ❤❤❤
@jaimemarcelino2631
@jaimemarcelino2631 5 күн бұрын
Brow ngoma kali sana rudi ten kwenhe geme
@NickShineumunyiki
@NickShineumunyiki 5 күн бұрын
Big up my brother ❤🎉
@JadanHaruna
@JadanHaruna 8 күн бұрын
Ngoma kali sana neyba ila ngoma yako uje ningoma kali kila cku naiangalia
@BWAGAAR1
@BWAGAAR1 4 күн бұрын
Hii haipingwiii ni kazi nzuriii nsanaaaaaa kaka umetishaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 4 сағат бұрын
Sawa ndugu
@RomaineKwizerimana
@RomaineKwizerimana 6 күн бұрын
Uwe unajitahidi hata kama hari mbaya basi miezi 3 Uwe unarudi
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 6 күн бұрын
Siaz week to week
@rahimsiraju9880
@rahimsiraju9880 6 күн бұрын
Kazi mzuri ujawai kosea
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 8 күн бұрын
MR MELODY 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 @NEYBA
@RmoShamte-h9f
@RmoShamte-h9f 8 күн бұрын
chukua 🎉🎉🎉 mzee baba
@NesBwoy
@NesBwoy 8 күн бұрын
Kali sana 🔥
@mjux9151
@mjux9151 7 күн бұрын
Ngoma kali beat kali
@Michambonline
@Michambonline 8 күн бұрын
Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nawapenda sana ❤
@festopaul7549
@festopaul7549 8 күн бұрын
Welcome again
@BrakinyaMikopo
@BrakinyaMikopo 8 күн бұрын
🎉🎉🎉 kali sana tena 🎉🎉
@malikiazanzibar
@malikiazanzibar 7 күн бұрын
Beautiful songe
@Reflectortz
@Reflectortz 8 күн бұрын
Fanya back to back sasa bro
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
Ucjali kwenye hilo Tukutane tena mwezi wa kwanza ndugu
@AbelyMussa-s2p
@AbelyMussa-s2p 7 күн бұрын
Unakuwa kimya sana kaka da!
@safayatopaz
@safayatopaz 8 күн бұрын
Is backkkk 👑🔥🔥🔥🔥
@blesmedia689
@blesmedia689 8 күн бұрын
Tunatamba nalo ili goma ❤❤❤❤❤😊
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
@mbeguclassic3387
@mbeguclassic3387 8 күн бұрын
Kaka unakwama wapi unaacha pesa zinachukuliwa na wakina mwambino Hawana hata kipaji wanatumia makukuru kukuru kaka😢 njoo tupe Ngoma tunataka mziki mzuri sisi kaka🎉🎉
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
Usijali kila kitu kinawakat wake
@blesmedia689
@blesmedia689 8 күн бұрын
Brother unaitajika sana kwenye huu muziki bro ila sijui ulikua wapi dah pongezi sana kurudia 🎉🎉🎉❤❤❤
@Barnizeboy
@Barnizeboy 4 күн бұрын
Nzuri ❤❤
@IsaacMikizi-ms1nz
@IsaacMikizi-ms1nz 8 күн бұрын
Courage
@SunguraMmarekan-bs2lr
@SunguraMmarekan-bs2lr 8 күн бұрын
Umepotea mzeee ila kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HishamAlmas
@HishamAlmas 8 күн бұрын
Nakukubali saana kakaa❤❤
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
Pamoja
@One_5_l
@One_5_l 5 күн бұрын
Hatimae umerejea kaka
@RemmyTizzo
@RemmyTizzo 8 күн бұрын
Back ya maana broh goma kali sana
@KarumeMasalu
@KarumeMasalu 8 күн бұрын
Hongela kiongozi umeupiga mwigi sna
@Pvoicemsafi
@Pvoicemsafi 7 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
@bamillz6325
@bamillz6325 8 күн бұрын
My best song of the year 🎉😂❤
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 8 күн бұрын
Unajua sana bro🙌🏼
@SuedChuby
@SuedChuby 8 күн бұрын
Ulikuwa wap kaka tunakumiss sana😢
@darprprime3492
@darprprime3492 6 күн бұрын
Vaa headphones weka sauti ya juu then fumba macho uskie reverb. Usinione kichaaa , utaniona nafaaa, nitabadilika. Salimaaaaaaaa😢😢😢😢
@liy254
@liy254 8 күн бұрын
Unapotea sana
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 8 күн бұрын
Mitaji mkuu
@liy254
@liy254 8 күн бұрын
@emmanuelsilungu446 mola atafanya wepesi
@SAIDIBAKARI-id1zm
@SAIDIBAKARI-id1zm 8 күн бұрын
Kali
@Watu-Music-255
@Watu-Music-255 8 күн бұрын
Ahsante ahsante
@SaidMohamed-s5u
@SaidMohamed-s5u 6 күн бұрын
Aundio mishangazi anawapagiza waze
@jsilvertv
@jsilvertv 8 күн бұрын
Sawa family ujawai kukosea
@tambabofficial9709
@tambabofficial9709 8 күн бұрын
Kazi safi rafiki
@FanuelyFrahini
@FanuelyFrahini 8 күн бұрын
Yan nakukubali sana
USAUVER S10E07 - RECEPTION
26:30
Piksy TV
Рет қаралды 6 М.
Neyba -  UJE (Official Music Video)
3:32
Neyba
Рет қаралды 9 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 5 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 31 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 14 МЛН
Kayumba - Aje ( Music Video)
3:19
Kayumba
Рет қаралды 36 М.
THE TOURISM, KONDABE, ft MACELBA & NEPMAN (Official Music video)
3:24
E.H Home of Creativity
Рет қаралды 20 М.
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 323 М.
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 752 М.
P FUNK MAJANI | THE LEGEND SHOW  EPISODE2
48:32
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 20 М.
Marioo feat Aslay - Pini (Track No.10)
3:53
MariooOfficial
Рет қаралды 419 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 5 МЛН