Ng'ombe Wa Mzungu Akivuruga Kijiji DC Awakaanga Viongozi!

  Рет қаралды 123,258

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@IbrahimMohamed-of3sl
@IbrahimMohamed-of3sl 5 жыл бұрын
waliohisi ng'ombe alileta vurugu kama mimi gonga likes
@modestmzumbwe588
@modestmzumbwe588 5 жыл бұрын
Nimekupenda sana mkuu wa wilaya wengine wakuige
@abdiomarimohamed6626
@abdiomarimohamed6626 5 жыл бұрын
Kijana kiongozi safii wewe! Jamani mpendane! James thanks! Tupendane bila boders za race. Mzungu, mubulu, mchaga, msomali, hidi, jamani tupendane kama binadaumu. Nimechoka na kuitana majina kwa ukabila au rangi, kweli sio kosa letu binadamu haja timia.
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 5 жыл бұрын
Hii choma ndan
@musasimba3689
@musasimba3689 5 жыл бұрын
Hahahaaaa et ng'ombe kanunua umeme wa ofisi yakijiji walipe kama unaamini wenyeviti wanatuibia gonga like
@jaribuhamisi2891
@jaribuhamisi2891 5 жыл бұрын
Wezi how wenye viti
@robertnicodemas5853
@robertnicodemas5853 4 жыл бұрын
Hongera DC wa hai unawapambania wananchi wako wa hai vilivyo
@bwerumaster6691
@bwerumaster6691 5 жыл бұрын
Wachaga wanapenda sana nyama
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 жыл бұрын
Dc sabaya nakukubali sana
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Tazama anaye mtukuza sabaya huyu dada nimuoga Kama kamuona mungu vile
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 3 жыл бұрын
Sabaya.. I love you.. Be blessed bro.. People don't like u coz u speak the truth
@brunokimaro1053
@brunokimaro1053 3 жыл бұрын
Nidhamu ya uoga
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 жыл бұрын
Dc yupo vizuri sana!
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
LOVE SO MUCH VIJANA WAZALENDO
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Nampenda uyu DC kbsaa anatoa mamuzi mazur sana
@hamidujuma7263
@hamidujuma7263 3 жыл бұрын
Love u so much mkuu
@fantsonmpango7502
@fantsonmpango7502 3 жыл бұрын
Yesuuu
@suleimanrashid8957
@suleimanrashid8957 5 жыл бұрын
Mm naamini wananchi sio kua hawana imani na serekal mm inavo amini ni kua wananchi hawana imani na ccm tu. Na hii nikutokana na baadhi ya viongoz walio pita hawakua na imani na wenzao. Hii ni sawa na mtt unapo mpeleke shule ikiwa shule hio ina mwalim mmoja tu ana chapa basi wtt wata kwambia hatutaki shule hile wana chapa sana kumbe ni mwalim mmoja tu . Kwa hio ndio maana wengi tunaona km yanayo fanywa mda mwengne ni km usanii tu. Ila hongereni sana viongoz wetu Jinsi mnavo wajali watu namna hii.
@modestmzumbwe588
@modestmzumbwe588 5 жыл бұрын
mkuu uko vizuri wengine wanakaa tu ofisini
@richardmfugale9619
@richardmfugale9619 5 жыл бұрын
Very good
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Habari Nzuli Sana Intaneti Jipu
@leahedward8063
@leahedward8063 5 жыл бұрын
DC oyeeee🙌🙌🙌
@nancykelvin8808
@nancykelvin8808 4 жыл бұрын
Hiyo imewahi kutokea zamani mama yangu na wanakijiji wenzake walitapeliwa ela waliambiwa wapeleke hela nusu watapewa ngombe
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 жыл бұрын
Sijuw sabaya alikosea wp, hadi anasota kwa sasa
@felixhaule7071
@felixhaule7071 2 жыл бұрын
JAMBAZI Sabaya
@robyrock9454
@robyrock9454 4 жыл бұрын
I appreciate your work my bro well done bro
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
James oyeeee Naomba unioe baba tuijenge Tanzania, naona unaipenda Tz
@solomonrein5440
@solomonrein5440 5 жыл бұрын
😂😂😂
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Huyu DC yuko vizuri sana.
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 3 жыл бұрын
Kumbe ulikuwa unatetea masirai ya watu
@husseinomary4466
@husseinomary4466 4 жыл бұрын
Kunamzee namuona hapo nadhani baada ya mgao wake aliipeleka kwenye mbege
@joharikipindula6425
@joharikipindula6425 4 жыл бұрын
Wazungu sisi sio nyani wao teena, hawa wazungu msiwapatie aridhi yetu tena.
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 4 жыл бұрын
Umeme na Zawadi inahusu nn matapeli hao
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 4 жыл бұрын
Hawa wazungu tunawapa Ardhi baadae tutalia kwani hap ndip wale waliotimuliwa zimbwabwe na hayati Mugabe.
@inocentlema3813
@inocentlema3813 5 жыл бұрын
Duuuuh!
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
SAFI SANA RAIS AKUFANYA MAKOSA KUKUTEUA,MSAIDIEDI RAIS SAFI SAFI KOMAENI NAO WAJANJA WAJANJA OA!!
@kmotivation1130
@kmotivation1130 5 жыл бұрын
Team MAGU
@fantsonmpango7502
@fantsonmpango7502 3 жыл бұрын
Kumbe hili jimbo lilikuwa gumu ase kwa ccm, hizi sarakasi zoote ni kurubuni wamachame waigeukie ccm, huyu kweli alitumwa na jiwe
@faridahhamza8704
@faridahhamza8704 5 жыл бұрын
Jamani hawa wakuu wa mikoa wanaojali kazi na wananch natamani ingekua tanga tumepata km huyu
@paulofesto4948
@paulofesto4948 5 жыл бұрын
Hasa kilindi kule sijui km kuna mkuu wa wilaya
@stevenlugo8195
@stevenlugo8195 5 жыл бұрын
Ni kweli Tanga imewachwa nyuma kwa kila Kitu
@stevenlugo8195
@stevenlugo8195 5 жыл бұрын
Ni kweli Tanga imewachwa nyuma kwa kila Kitu
@samrufingo5336
@samrufingo5336 5 жыл бұрын
Yani tanga ipo nyuma sana,eti mkuu wa mkoa ameanza juzi juzi,lakini ayupo kama awa,kule kwa liemba ndio akufai wanakula hela tu awajui afya yawananchi inazorota
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 жыл бұрын
Nyie watanga maendeleo ya nini wakati nyie mnajisifu kwa mapenzi poleni sana na mtapigwa sana nyie chezeni vibao kata hahaha
@nickisoninestory1714
@nickisoninestory1714 5 жыл бұрын
Mkuu uko vizuri Sana
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 5 жыл бұрын
James looks like Gary MCcAllister former Liverpool legend.
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 5 жыл бұрын
Nice
@yusuphmapesa.4049
@yusuphmapesa.4049 5 жыл бұрын
Nice
@katherinasamwel3937
@katherinasamwel3937 5 жыл бұрын
KWELI TANGA HAKUNA VIONGOZII KAMA KWETUU MAGOMA NIHASALA TUU
@omaniallybakari2372
@omaniallybakari2372 5 жыл бұрын
Kwel itabidi tupeleke malalamiko kwa mh rais atuondolee hawa viongoz wa waliopo wapo wapo tu wakat changamoto kibao
@lewismpangala927
@lewismpangala927 5 жыл бұрын
Shobo yatamramba Hadi miguu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 5 жыл бұрын
You see the whiteman very relaxed
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
Sipati picha hayo mastori huyo mzungu anayowapa watu wa kwao kwa vituko vya bongo 🤣🤣🤣🤣
@T_Darius
@T_Darius 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 yaani nimecheka sanaa...
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
@@T_Darius 😂😂😂 wee fikiria tu. Vituko Kama hivi havipo huko kwao😂😂
@T_Darius
@T_Darius 5 жыл бұрын
@@mamahustru 😂😂😂 kwakweli ni vitukoo.. an ng'ombe mmoja alotoa wa msaada kavuruga wanakijiji, serikali ya kijiji na District Commissioner 😂😂😂😂😂
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
@@T_Darius Atakomaje kutoa misaada😂😂😂 Ila DC naye kanichekesha kumuita mzungu, akamuomba msamaha na mpasho juu, alafu alaendelea kumuita mzungu 🤣🤣🤣. Mzungu alivyotulia, ni dhahiri anajua kuwa huu mchezo kwa zama hizi, hauhitaji hasira 😀😀
@T_Darius
@T_Darius 5 жыл бұрын
@@mamahustru 😂😂😂😂😂
@didimhutila8985
@didimhutila8985 5 жыл бұрын
Acheni kuhongwa pumba,mxm.
@drmuha5419
@drmuha5419 5 жыл бұрын
Upo vizuri mkuu
@khamisfoum244
@khamisfoum244 5 жыл бұрын
Icho kitambaa kilichotandikwa mezani Mh DC hukukiona Cha chama gani kiondoshe
@khamisfoum244
@khamisfoum244 5 жыл бұрын
Uko sawa na kazi yako ya DC hongera
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 4 жыл бұрын
Mwenyewe kawapa vibarua wake wajichane nyie mnapeleka Butcher kuuza
@denislema3436
@denislema3436 3 жыл бұрын
L
@janetmwangi3868
@janetmwangi3868 5 жыл бұрын
Ati Ngombe was nani??
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@ufc-ultimatefightingchampi8456
@ufc-ultimatefightingchampi8456 5 жыл бұрын
Wa Africa wengine bado wajinga tu we unapewa n'gombe wa laki tisa halafu wanachuwa mamilion
DC Lengai ole Sabaya ‘awapa shavu’ jeshi la akiba
1:17
Azam TV
Рет қаралды 1,8 М.
"COMMENT L'OCCIDENT A TRAHI LES UKRAINIENS" - JACQUES BAUD
39:54
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 114 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 59 МЛН
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Journal l'Humanité
Рет қаралды 1 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39