Ng'wana Kang'wa _ Binadamu Official Audio.

  Рет қаралды 30,703

Ng'wana Kang'wa

Ng'wana Kang'wa

Күн бұрын

BTM AFRICA 4LIFE

Пікірлер: 49
@anthonyabsalum2482
@anthonyabsalum2482 4 жыл бұрын
kaka unajitahidi sana,hongera zako nyingi,mimi sio msukuma ila nazipenda sana kazi zako.
@salomerichard5675
@salomerichard5675 3 жыл бұрын
Kazi nzuli sana nimekupenda
@matesomereka7311
@matesomereka7311 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana huo wimba unanifaliji sana kupitia shida na tabu tunazokumbana nazo kwa maisha ya kibinadamu big up
@mussakisinza3227
@mussakisinza3227 2 ай бұрын
Unamashaili mazito sanaaaaa...❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.. bhawilege lineli lyakulala......😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@bernadomasaru4877
@bernadomasaru4877 4 жыл бұрын
Katika Kizazi hiki cha mziki wa asaili ntemi upo juuu sana
@saracheyo8861
@saracheyo8861 4 жыл бұрын
Kweli binadamu hawana jema
@thomasb711
@thomasb711 4 жыл бұрын
Mungu akuzidishie unaelimisha sana, hua naflahia sana nyimbo zako,
@johnsamson6435
@johnsamson6435 4 жыл бұрын
Kazi nzuli sana, kalibu na mwanza uje utubuludishe
@abuumikazo192
@abuumikazo192 3 жыл бұрын
Haujawahi kuniangusha mkuu
@khadijashaban120
@khadijashaban120 2 жыл бұрын
Kweli kabisa kakangu Songa mbele
@josephmaganga7351
@josephmaganga7351 4 жыл бұрын
Nyimbo kali sana hongera sana ntemi omabala
@issakajonasi2235
@issakajonasi2235 4 жыл бұрын
Jamaa unakera xn kw ubora wa nyimbo zko mpk unaboa Broooh 💯💯💯 kiufupi unaweza na unajua☑
@issakasili5181
@issakasili5181 3 жыл бұрын
safi sana sauti mayai dogo langu,
@benjaminkadissa1502
@benjaminkadissa1502 8 ай бұрын
FROM DSM TZ ❤❤ NAKUSIKILIZA EN NATAMAN NIKUONE MZEE IWILL BE COMING TO KAHAMA SOON ..NIKUONE KIVUTIO CHETU WASUKUMA
@issakasili5181
@issakasili5181 3 жыл бұрын
ngoja muala usome, uko vzr sana sana
@kamswekekaseko46
@kamswekekaseko46 2 жыл бұрын
Unatisha piga kazi karibu morogoro
@jameskigalu4086
@jameskigalu4086 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana Kaka yang
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
Asante sana ndugu
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 жыл бұрын
Ni Muda wa Muziki Mzuri 💣💣
@thomasb711
@thomasb711 4 жыл бұрын
Ndo nimeipata saiv, nakufatilia sana nyimbo zaku ntemi wa mabala, kalibu mwamala nzenga,
@pogbabundala8758
@pogbabundala8758 4 жыл бұрын
Sana kaka tuanataka kaz nzuur zaid achana na wapga kelel
@geugeu493
@geugeu493 3 жыл бұрын
Hongera Sana blood
@Eng.NM8252
@Eng.NM8252 4 жыл бұрын
Nazkubal san nyimbo zako Ntemi🙏🙏
@dottoherman
@dottoherman Жыл бұрын
Nakubali sana ntemi omabala
@Patomrwanja
@Patomrwanja 3 жыл бұрын
Hongera Sana ntemi wa mabala
@lucymashamba1571
@lucymashamba1571 4 жыл бұрын
Safi sana kaka
@annamichael5356
@annamichael5356 3 жыл бұрын
Kwm.
@saracheyo8861
@saracheyo8861 4 жыл бұрын
Nemo nsoga ntemi shilunguja machalo
@salomeandrew4148
@salomeandrew4148 4 жыл бұрын
Nakupata bro nikiwa Oman muscat
@nasibutv8710
@nasibutv8710 4 жыл бұрын
bonge moja la ngoma broo tupo p1
@yonalddeogratius292
@yonalddeogratius292 4 жыл бұрын
You are speaking 100% realy life ntemii, nyimbo zilzopita, zinazokuja zote kali hongera saana, sasa hapa inabidi niandae special flash ya mziki wako tu , ili nkianza kusikiliza ziwe zinapishana jumbe, bits, na majina ndani ya nyimbo ila sautii ile ileee, tishaaaa saaana.
@hamismsafiri6042
@hamismsafiri6042 4 жыл бұрын
Awesome brother
@pogbabundala8758
@pogbabundala8758 4 жыл бұрын
Nakubar hujawah kuniangusha ndo maana sku zoote huwaga nasema hakuna alie juu yako kwa asili uko no1 amin kama huishiw utamu pga kaz by shabk wako mkubwa from KAGONGWA
@kamswekekaseko46
@kamswekekaseko46 2 жыл бұрын
Usibaduli uimbaji utapotea
@simondeus174
@simondeus174 3 жыл бұрын
Tunazdi.kukuombea
@esterester5490
@esterester5490 4 жыл бұрын
Du hawana jema
@vanisisarah1877
@vanisisarah1877 3 жыл бұрын
I’m in love with your song every time
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 жыл бұрын
Kaza buti Mzee!
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 жыл бұрын
Aminia mzee
@jumabunzari8378
@jumabunzari8378 3 жыл бұрын
Ndugu Kati ya wasanii wa nyimbo za kisukuma we ni Bora kwangu,,
@minoyakitata869
@minoyakitata869 4 жыл бұрын
Safi sana kijana ninakupata vizur nikiwa Nairobi kenya
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 жыл бұрын
Asante sana
@minoyakitata869
@minoyakitata869 4 жыл бұрын
@@ngwanakangwa karibu sana kwetu matala karatu maana wanakuja wasanii wa kisukuma akina budagala mbona wewe hauhawahi kuja kwetu why
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 жыл бұрын
Karatu Arusha au?
@minoyakitata869
@minoyakitata869 4 жыл бұрын
@@ngwanakangwa ndy baba karibu sana wadau wako tupo
@differentmusic3948
@differentmusic3948 4 жыл бұрын
keep up bro
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 4 жыл бұрын
I do bro!!
@eugeniaritte9771
@eugeniaritte9771 2 жыл бұрын
Kwakweli wengne ni binadamu tu kwasababu wana damu maana hkn zuri ht ungefanya nni ?
@matesomereka7311
@matesomereka7311 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana huo wimba unanifaliji sana kupitia shida na tabu tunazokumbana nazo kwa maisha ya kibinadamu big up
Ng'wana Kang'wa _ Pilika pilika Official Video.
11:13
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 194 М.
Ng'wana Kang'wa _ Shinje Official Audio
12:12
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 14 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Ng'wana ntemi =    CCM. ( official video 4k 2024 ) 0628747785
4:09
NG'WANA NTEMI TV
Рет қаралды 1,5 М.
Ng'wana kang'wa -- wizugiji Nsimbo
14:47
Bugali Records
Рет қаралды 18 М.
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,9 МЛН
Ng'wana Kang'wa - Nyeshi Ramadhan Official Video.
10:45
BTM AFRICA BRAND
Рет қаралды 13 М.
Ntemi Omabala _ Wampukucha Official Video
14:40
BTM AFRICA BRAND
Рет қаралды 94 М.
Ng'wana Kang'wa - Franco (Official Video HD)
12:08
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 351 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН