Nyimbo zako bro ni nzuri sana lakini asilimia kubwa zina melody moja kiasi kwamba inakuwa vigumu kutambua tofauti iliyopo kati ya nyimbo zako. Hata kama una albam nzima, wimbo unaoisha na unaoanza hazina tofauti nyingine yoyote zaidi ya maneno tu. Jaribu kuwa na melody tofauti tofauti ili uzidi kuwa bora. Nimetoa maoni hayo nikiwa kama mfuatiliaji wa karibu sana wa kazi zako na ninazifahamu nyingi mfano MWAMNANGE, NGITELI, UFUNGUZI WA FIVE GUEST, MAGUFULI, nk