No video

Ngelela Samo - Wimbo mpya 2020 - Sitta Nzenga Buyaga - Pr. Mbasha Studio 2020

  Рет қаралды 81,253

M.S Studio

M.S Studio

Күн бұрын

Mbasha Studio - Kagongwa kahama 2020

Пікірлер: 58
@butalaetv2208
@butalaetv2208 2 жыл бұрын
wimbo huu waga nauelewa sana haujawahi kunichosha kuusikiliza ata siku moja
@sharifaiddy791
@sharifaiddy791 2 жыл бұрын
Naomba pia cku moja uje upige shoo hapa kishapu mhunze nikuone live Bila chenga nakukubali Sana mskuma mwenzang
@sondaabel405
@sondaabel405 4 жыл бұрын
Mwambieni atoe na video yake huyu jamaa mi niko sumbawanga ila na enjoy sana nyimbo za kwetu na reflect maisha halisi ya msukuma
@sharifaiddy791
@sharifaiddy791 2 жыл бұрын
Ngelela napenda Sana nyimbo zako kaka mm ni mskuma wa shinyanga kishapu, ila ombi lang naomba upunguze kolasi kwenye nyimbo maana zinaua vibe walah
@budebamsuka4470
@budebamsuka4470 3 жыл бұрын
Unabuludisha kiogozi
@sebastianngassa2050
@sebastianngassa2050 3 жыл бұрын
Kolasi inamaliza utamu jamani akiacha kolasi ,tutakua tumepata msanii hakika tz
@athumanmvulla4947
@athumanmvulla4947 4 жыл бұрын
Tulaga mbina bhabhaa
@sondaabel405
@sondaabel405 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana hii kongore kwako producer kweli mmeutendea haki wimbo hakika ni wimbo mkubwa sana
@emmanuelyelias2904
@emmanuelyelias2904 Жыл бұрын
Ngoma kali sana
@jabrilkisena1558
@jabrilkisena1558 4 жыл бұрын
Mwinikili magulya, Ngelela
@lameckjuma6844
@lameckjuma6844 2 жыл бұрын
Ziko poa san
@dausonmalando1378
@dausonmalando1378 4 жыл бұрын
Safi xn ngelela
@aronimhyen8395
@aronimhyen8395 3 жыл бұрын
Kaka upo vizr mungu akubaliki uendelee hadi milele by aron kulwa mhyen
@hilimahilimaa7763
@hilimahilimaa7763 4 жыл бұрын
Ahsante Sana ngelela samoja kwa nyimbo nzuriii wako buhilima magwanji nkoma village
@MbashaRobert
@MbashaRobert 4 жыл бұрын
Asante sana Hilima tupo pamoja sana
@aronimhyen8395
@aronimhyen8395 3 жыл бұрын
Mwachen kaka ajivunie mda wake
@ndakisamwel9185
@ndakisamwel9185 2 жыл бұрын
@@MbashaRobert z
@mbiyugobo1031
@mbiyugobo1031 4 жыл бұрын
Haaaahaaa safi sana la punguza korasi
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 3 жыл бұрын
NGELELA ANAJUA SANA
@jacksonmakonda3763
@jacksonmakonda3763 2 жыл бұрын
By kali
@weshibmabula9430
@weshibmabula9430 4 жыл бұрын
Jamani huyu kaka nampenda sana nitampataje mi nipo bali naomba muniunganishe nae. Nyimbo zake uwazinaniliwaza sana hatanikiwa nimekubuka yumbani nikisikriza naliwazika sana nisaindieni
@annajohn4438
@annajohn4438 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana ngelela
@mzumalemadede5022
@mzumalemadede5022 4 жыл бұрын
Ngelele uko vizuli wimbo mzuli
@paulelias5843
@paulelias5843 4 жыл бұрын
Pongezi kwako tukapunguze kakolasi kidongo maana kanajalibu ku2letea so mema wakati wewe ndo mwenekele mangalya
@nkengimasanja1899
@nkengimasanja1899 4 жыл бұрын
Pongenzi kwako
@tatusaid1223
@tatusaid1223 4 жыл бұрын
Sombolaga, sombolaga nyanda
@machiyahamidu9805
@machiyahamidu9805 4 жыл бұрын
Uko vzur bhabha bhuhemba ng'wenekele magulya
@keflinmachiya9172
@keflinmachiya9172 4 жыл бұрын
Sana mzee
@jumasaimon8652
@jumasaimon8652 3 жыл бұрын
Ngelela wewe ni kikomo Cha ma manju wewe ni mwisho sharauty xana piga kazi mwinikili magulya Ila tunataka video ya hii nyimbo kaka
@amoshamis4564
@amoshamis4564 4 жыл бұрын
Kazi zuri video lin. Tutengeneze
@MbashaRobert
@MbashaRobert 4 жыл бұрын
Video iko katika maandalizi ,tutaitoa karibuni, endelea kufungua chaneli yetu ya Mbasha studio na usisahau kubonyeza alama nyekundu iliyoandikwa SUBSCRIBE ili kuendelea kutuunga mkono.
@mariamkhalid5604
@mariamkhalid5604 4 жыл бұрын
Lwawiza
@jacksonluzwiro4461
@jacksonluzwiro4461 4 жыл бұрын
ngoma kali sana
@latadotto8923
@latadotto8923 4 жыл бұрын
Agasamila mwazagazaga
@charlesmaganga379
@charlesmaganga379 4 жыл бұрын
Sawa gete
@amosingwengweta3417
@amosingwengweta3417 4 жыл бұрын
Kaz nzur
@williammagongo8783
@williammagongo8783 4 жыл бұрын
Kazi zuri sana ngelela ikipedeza waweza nipatia namba za zake
@MbashaRobert
@MbashaRobert 4 жыл бұрын
0684660934
@maulidramadhanlutula3183
@maulidramadhanlutula3183 4 жыл бұрын
uyu jama hakika hanajua kutunga yani mm namukubari sana tu mwenye namba yake nawaombeni basi ili niweze kuwasiliana nahee
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
2020♨✔✔
@medardmkina6125
@medardmkina6125 4 жыл бұрын
Mwinkil magulyaaa
@dausonmalando1378
@dausonmalando1378 4 жыл бұрын
Naombeni namba za ngererw
@hilimahilimaa7763
@hilimahilimaa7763 4 жыл бұрын
Ngalu tunaomba video yake
@lutimija8632
@lutimija8632 4 жыл бұрын
Ngelela nipeni namba yake nishapoteza nataka aniandalie wimbo
@lutimija8632
@lutimija8632 4 жыл бұрын
Au anicheki kwa 0683422506
@masunganghomba7667
@masunganghomba7667 4 жыл бұрын
@@lutimija8632 nitafute we we 0767549567
@MbashaRobert
@MbashaRobert 4 жыл бұрын
0684660934, Namba ya ngelela hiyo, unapoangalia kazi yetu , bonyeza SUBSCRIBE hapo chini, ni alama nyekundu, ili kuendelea kutuunga mkono studio, asante sana
@medardmkina6125
@medardmkina6125 4 жыл бұрын
Mbasha studio kahama kagongwa
@williammagongo8783
@williammagongo8783 4 жыл бұрын
@@MbashaRobert poapoa
@msodockkayamba2973
@msodockkayamba2973 4 жыл бұрын
Nahitaji hii audio ntaipataje?
@MbashaRobert
@MbashaRobert 4 жыл бұрын
Ukiwa KZbin kwenye simu yako chini kuna sehemu imeandikwa "pakua" bonyeza hapo na moja kwa moja utaipata kwenye simu yako
@butalaetv2208
@butalaetv2208 2 жыл бұрын
@@MbashaRobert you tube kupakua ni ngumu sana mpaka na vidmate
@mbiyugobo1031
@mbiyugobo1031 4 жыл бұрын
Tuunde gurupu basi 0683983581
@michaelmakungumasunga1072
@michaelmakungumasunga1072 4 жыл бұрын
0714316681 Masunga 1
Ngelela_-samoja_-Sita nzenga_-buyaga 2020(Official Audio)
16:54
NGELELA S BUPINA
Рет қаралды 3,4 М.
NGELELA - Wimbo - Kikundi cha Bhalimi HUHO - Mbasha Studio
12:16
M.S Studio
Рет қаралды 173 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 15 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
LIMBU LUCHAGULA UJUMBE WA PAWA
14:09
MBASHA STUDIO - NYIMBO ASILI
Рет қаралды 10 М.
==Ngelela==Historia Ya Pembe Ikobha==Mbasha Recordz
14:06
Wales Studio
Рет қаралды 65 М.
Ng'wana Kang'wa Harusi ya__soji Hewa
9:59
H.Record Studio H.Record Studio
Рет қаралды 337 М.
NGELELA      ZAKA PHILIPO by Lwenge Studio 2021
18:41
Lwenge Studio
Рет қаралды 4,8 М.
NGELELA SAMOJA INAGA NISAMEHE 0757253560_
10:55
SWAKALA STUDIO TVC
Рет қаралды 18 М.
Gude Gude - Emaga Dunia Nike (Official Music Audio 2021)
15:28
Peter Joseph Nzega Tv / Nzega Asili Tv
Рет қаралды 64 М.
BHULEMELA HALUSI YA JOHN SHINDENI.Mbasha Studio
18:12
M.S Studio
Рет қаралды 30 М.
NGELELA SAMOJA_-JAMES MAKANZA 2021(Official Audio)
15:26
NGELELA S BUPINA
Рет қаралды 11 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН