Many happy returns to you my uncle ,this is a valuable lesson going to Maasai society that everything is possible if you dare to do something else in your life no matter you have faced different challages,
@mkuluwaukae22212 жыл бұрын
Huyo mwalimu silas loy alikua mwalimu mkuu wangu terrat primary school 2007 Aki Mungu aendelee kumpa afya alikua kila asubuhi darasa la saba ukifika shule tu unakutana na quiz ya heasabu 25 questions,alitusaidia sana! GOD BLESS
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
Hiyo ndio utamaduni wake. Quiz ni sehemu ya maisha yake
@hamisimleba25152 жыл бұрын
Hongera sana boss wangu.hakika mungu ni mkuu.
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
🙏🙏
@ndesamburoishikael82542 жыл бұрын
Hongera sana baba. Kweli umetugusa kwa ujasiri wako katika maendeleo ya ya kielimu na hata maisha. Umetufundisha kuwa na juhudi bila kukata Tamaa.
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
Asante sana. Mwisho wa jambo lolote ni kuondoka duniani. Kama bado uko duniani lolote linawezekana. Sala, nia na juhudi
@januarybikuba7732 жыл бұрын
Simulizi hii inatia hamasa sana. Inadhihirisha kwamba, jambo lolote linawezekana ikiwa mtu amedhamiria
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
Kabisa
@robertnicodemas58532 жыл бұрын
Aisee huyo mzee nimemkumbuka jamani.tulisoma naye alikuwa mtu mzima kweli,hata walimu walikuwa hawampi adhabu yoyote.alivoanza shule tu akachaguliwa akachaguliwa kuwa kiranja mkuu.hongera sana sana mzee a.k.a moivan
@sweetygodfrey65552 жыл бұрын
Wow ongera wamasai ni wavumilivu sana God bless you
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
Asante sana kwa comments
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Mungu ni Mkuu🙏🌠
@johnkyara80612 жыл бұрын
Hongera sana
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@lemaikangeseyan78822 жыл бұрын
God is good!!!.
@abbyadams86912 жыл бұрын
Sera ya elimu ya sasa imewekewa vikwazo vingi sana. Hakuna uhuru wa mtu kuamua kusoma kwa namna inayoitaka.
Asee masai umeongea vitu vikubwa sana kunawatu ndio hivyo na umengea kuhusu ufazili nchi yetu kuna changamoto ya utaratibu ,kunabodi ya mikopo nitaabu tupu vigezo wakati wote watz
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
👣👣
@mrh28122 жыл бұрын
Gwalu
@omarymkwizu93662 жыл бұрын
Mm naumia sana kwa kukosa elimu sina raha yoyote
@gloryjulius11082 жыл бұрын
Acha tu
@winfordmwangonda53752 жыл бұрын
Pole sana Omary ,lakini usikate tamaa,lakini kama una watoto basi hao wakazanie wasome sana shule
@mrh28122 жыл бұрын
Make Apo kwanza ncheke
@batholomeongeseyan4635 Жыл бұрын
Pole lkn bado kuna fursa mbele kama sio kwako basi watoto wako na jamii inayokuzunguka
@hamidmweusiii352 жыл бұрын
Iga ufeee
@carenalphonce50132 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@emmanuelmchoji67312 жыл бұрын
Uj
@sbboymkaliofficial91082 жыл бұрын
Apo kwanza ncheke 🤣🤣🤣 kzbin.info/www/bejne/qmSTnGuuo5yGnKs