Napenda ukiwa gaidi na huyo n.ajma wako ujue mm nawapenda yote every film you and najma lovers we like that
@Mnyaturu9806 ай бұрын
Nimejaribu kuomba like nikapewa ila sijui matumizi jamn nifundisheni bc waomba like jamni😂😂😂😂 😂😂
@barakajoackim-xu3hi6 ай бұрын
Peleka kariakoo kauze
@FarahanaShafii4 ай бұрын
duuj sopo😂😂😂
@richardkameme4 ай бұрын
@@barakajoackim-xu3hi😅😅😅😅
@ErickMsafi-0072 ай бұрын
Ukiweka kwenye pilau zitanoga sana😮😮😮
@rayaali-s2t4 ай бұрын
Napenda kazi zenu mko vizuri mungu awazidishie uwezo na awatie nguvu 🙏
@12to124 ай бұрын
Oya weeee chado masta mnajuaaa babuuuu nginja nginjaaa yaaani misumariiiii mzeee wa chukua kila ulichoeka chini rudisha juu oyaa weeee wakasebenzaaa umbwaa kokoooo oyaaaa weeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 endi of ze dei kachekesha mzee wa misumariii
@danielmenza92636 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂oyaaa kama wee chafu kuna chafu zaid 😂😂😂
@najmabischoffgunter87466 ай бұрын
Uko vizuri kaka
@ElenaSamwel4 ай бұрын
Me nampenda dady
@EstherKombe-z5i6 ай бұрын
Hongera bia ngadaya uko vizuli❤❤
@PhilimonJoseph-t3vАй бұрын
Kweli broo komesha wauni
@aminahhuawei11332 ай бұрын
Chado nakupenda mwezakoo hahahaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@StefanoBarumweteАй бұрын
chado ninapenda mikimiki yako kwakweli unajua kuigiza vizuli nakuombea kwa Mungu akuzidishie uzima
@MarymAharl-n7u4 ай бұрын
Nakubali kazi zenu sana
@sweetbabymwangi83736 ай бұрын
Hamna kazi ya kufanya? Si mumejielezea changamoto zenu kwa problem final, sasa mnaregelea nn? Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
@BuuZanzibar-wp1ie6 ай бұрын
Kazi nzuri❤❤❤
@RashidKidume-w8e6 ай бұрын
Chado upo vizuri
@MkasyswallehsaidSwalleh6 ай бұрын
Mr chado mwenyewe naona mnaleta mambo mazr,hatuchoki kua na nyiee❤❤❤❤❤
@FarahanaShafii4 ай бұрын
kila atakae nipa like abalikiwweee❤❤
@madrassatulihyaa-ilislaami29114 ай бұрын
N hujapat hta moj😅😅
@SetyDaudi2 ай бұрын
Nakubali sana 👍💪💪
@azizsoud43195 ай бұрын
Big up Sana bro , From 🇦🇪
@EliyaKarim-n1pАй бұрын
Mwanangu chado kitengo apa nipo mikumi natamani kufanya kazi na wewe lakn sijui ntakupateje
@neemamayco10513 ай бұрын
😅😅 chado mwambie ally dady nampenda
@NadsmaaliAli2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Muhuni kapatana na muhini mwenzake kiuno cheke kubabake
@OmegaLusinde4 ай бұрын
Mzee wa misumari umajuwa baba cy kwa kuwagongelea huko😂😂
@EliasIsmail-c1r4 ай бұрын
Mh kwanza nakupenda kinoma san a problem na mission impossible napenda ww na najma napenda mkiact as lovers
@GloriaMtana6 ай бұрын
Nakupend a sana kaka si unitumie hata za soda bac
@ElizabethDaudi-b6v2 ай бұрын
Eti mtaaa huu Kuna mbwa Wana bweka🤣🤣🤣🤣
@kelvintwahilu4 ай бұрын
napenda kazi zako san kamkubwa hun bay
@OthumanShomali4 ай бұрын
Napenda sn anahvy ingiza chado
@athumaniomari35264 ай бұрын
Babu chado unashusha mizigo mingi sana tunashindwa kujua tushike ipi
@LubenLukas4 ай бұрын
Hongera chado vp kidem jau
@DeogratiusMiyagaАй бұрын
Pamoja❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MaheriChristopher5 ай бұрын
Chado master nimecheka😁😁😁
@Kasimuhakimukasim4 ай бұрын
Nakubali sana wil yam
@SaidAbdallah-c3kАй бұрын
Ila muvei zenu mnazichelewesha sana kutoka episode ingine fanyeni upesi msituboeshe
@MELVINBBY3 ай бұрын
Chado hiyo walking style ni which😂😂😂😂
@jumaMario-cp2sl6 ай бұрын
Hii nimehikubali kaka we mkali sana
@LucyMartin-n8i2 ай бұрын
Nakupenda chado naomb namba zako❤
@zainabamir86536 ай бұрын
Mimi mrs chado nipeni like jamani😂😂😂😂
@Anita-b4s5 ай бұрын
Hongela bro ❤
@winfridanoel14716 ай бұрын
Mluguru mrefu,chadomasta❤
@fatumaomarali66406 ай бұрын
Cuukua alminium zako baba 😂😂😂😂nimecheka 😂😂😂❤❤❤
@BarakaMatiko-p4c3 ай бұрын
Mungu yuko pamoja Na wewe kijana usiwaze mko pw
@pascalpatrick-w5x2 ай бұрын
i hope utanifikilia kwakile nilicho kiandika kwenye silizi ya mganga comasava
@ElenaSamwel4 ай бұрын
Me nakupenda chado niwe mke wako
@hermanclement-i1o3 ай бұрын
Habar jaman mimi nishabiki wenu lakn ndoto Zang kuw muigizaj naomba msada wen
@EvalineKelly4 ай бұрын
😅😅😅😅oyaaa kwani anapora master chado 😅😅😅😅😅
@Marin-tvq5 ай бұрын
Uko vizuri kaka but Mbona mnachelewq kutuwekea
@lyidiajuakaly33356 ай бұрын
Sema chado unapendeza ukivaa pens❤
@KisuraQuality3 ай бұрын
Chado naomba kuigiza mm naweza
@Zuraikamsafirhassan3 ай бұрын
Jaman mweny picha ya chado Alie vaa sulual nanitumie
@niyonkuruismail52882 ай бұрын
ona chadoo tunakukubali from burundi alafuu rusha mission impossible seson 2 tuendelee kubueudika
@PeterShija-y3y22 күн бұрын
ongera sanaa
@bakarikhasani-pv1go5 ай бұрын
Chado huna baya❤❤👍👍👍
@ChitemoMahecha2 ай бұрын
Good luck brother
@DoganNgongo-ou1cc2 ай бұрын
Kwenye brobrmu mumetuacha njian
@PoleenNjeru3 ай бұрын
Ila bona gadaya akupige anifah kofi la kweli 🤨
@JidaLacha6 ай бұрын
Inatosha bro nakuaamini vibaya
@husseinyassini69Ай бұрын
Makin sana ma homeboy
@Marry-g4m12 күн бұрын
Isee chado ninoma sana
@KitwanaRamadhani6 ай бұрын
Analeta usela kwama sela
@abdallahkhalikijuma48745 ай бұрын
aluminium zako hizo kakatie nyanya😂😂😂😂
@PiliKilima3 ай бұрын
Unaweza mpaka unaweza tena
@EliasIsmail-c1r4 ай бұрын
Ww na najma napenda mact kama wapenzi kila film
@KambaleMbangale6 ай бұрын
safi sana
@HassanAlex-cm4tl3 ай бұрын
Sema Abarikiwe
@aishaomar22876 ай бұрын
Hanifa kucha izo😢
@selembemany86546 ай бұрын
Chado unajua sana
@BekaBoss-jl9my5 ай бұрын
😊😊😊😊😊
@HassanYussuf-u4g5 ай бұрын
Bac na mission impossible iende mbio yaenda pole pole kweli