NGOMA YA KINYAKYUSA "Mang'oma" (kehtuli-Ngeleka)

  Рет қаралды 10,658

Tamaduni TV

Tamaduni TV

Күн бұрын

#TraditionalDance
#Nyakyusa
#Wanyakyusa
Mang'oma ni ngoma maarufu ya utamaduni wa Wanyakyusa.
Ngoma hii huchezwa baada ya mavuno ya Mpunga na kipindi ambacho ndizi zinakuwa zimekomaa sana kwaajili ya chakula.
kwa zamani, kila eneo lenye Chifu lilikuwa pia na ngoma yake ambayo inamtindo wake wa upigwaji na uchezwaji, ukiwa unatafsiri yake.
Ngoma hii ya ing'oma huwa na malengo yake ambayo huwa ni Kudumisha umoja, Kuburudisha, Kuelimisha, Kudumisha Mila na Kutoa uwanja wa biashara.
Ngoma hii ili ikamilike huwa na timu tano. Hizi timu huwajibika kwa mtindo wao na kazi yao maalumu ya kuchangiza kwatika kufanikisha kitoa burudani husika.
Ngoma huwa na timu ya Wazee waongoza ngoma, Mpiga ngoma kubwa, Wacheza Stepu na Fimbo, Wapiga ngoma ndogo ndogo, Wapiga vivvuzela, Wacheza step bila fimbo.
Katika michezo hii ya ing'oma ambayo hujumuisha ngoma kadhaa kutoka mahala mbalimbali ambazo zinakuwa zimealikwa kushiriki, huwa pia kunakumtafuta mshindi ambako hufanywa haswa na mashabiki, ambao huwa na jukumu kujua ni ngoma ipi imeongoza katika mwaliko huo.

Пікірлер: 14
Chief Shumba Hwenje - Mhepo (Music Visualizer)
5:12
Chief Shumba Hwenje
Рет қаралды 924
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,2 МЛН
Ling'oma
12:12
Tanzania Geographic Channel
Рет қаралды 116 М.
Nyakyusa Traditional Dance Part 3
7:19
Discover The World Nature
Рет қаралды 101 М.
#SAMBA MISUKULE "Mpunguti"
10:46
Tamaduni TV
Рет қаралды 6 М.
NGOMA ZA KINYAKYUSA MBEYA TANZANIA , HAKUNA MATATA
3:15
KYUSA BOY TV
Рет қаралды 1,1 М.
NGOMA YA KINYAKYUSA - MANG'OMA (Ketuhle-Samuli Ngeleka)
3:25
Tamaduni TV
Рет қаралды 4,2 М.
Shuhudia Mikogo ya Ngoma za Asili za Kinyakyusa
7:41
Busokelo TV
Рет қаралды 10 М.
Shuhudia Umahiri wa Upigaji wa Ngoma ya Asili ya Kinyakyusa
11:36
#MAGHOSI Mpandapanda "Nyakyusa Tradition Dance"
10:31
Tamaduni TV
Рет қаралды 12 М.
Kanyelele ni hatari
15:16
Israel Mbigo
Рет қаралды 17 М.