Рет қаралды 481
Msikilize kwa umakini sana Prof Omar Fakih akichambua suala zima la ajira Zanzibar na shida ziliopo kwa vijana kuingia katika soko hilo huku akidai chama chao kina nguvu ya hoja na kinaungwa mkono na hata hao watumishi wa Serikali nchini. Je, ni kweli? Tufate hadi mwisho!
#actwazalendo #smznews #ccm #chadema #zanzibar