Nikiwa nasikiliza nyimbo zako nakumbuka my wedding ceremony happened 19/10/2019 barikiwa sana ng'wana kang'wa
@jacqlnjacqln79384 жыл бұрын
Kaka nipend can nyimb Zak caaaaaaaan hogela can broo
@mwanziamatanga43122 жыл бұрын
Hii iko poa sana👍
@martinemaganga25465 жыл бұрын
Nakukubali Sana Ntemi Ng'wana kang 'wa, kuanzia ngoma ulizotoa na Juma kairo hadi hizi unazofanya peke yako, uko vizuri lakini pia huwa unanifurahisha Sana unapofatilia kazi za wenzako ili kujua wewe uko wapi na pia wenzako wapo wapi, hongera sana.
@ngwanakangwa5 жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu
@abeidwilliam32193 жыл бұрын
Hongera kwa kazi mzuri
@sanaramadhan98984 жыл бұрын
Unaujumbe mzito sana
@lucymashamba15714 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, mungu akuinue zaidi
@ramasagutangu3106 Жыл бұрын
Kalibu mbeya mwenzi 7
@hamisimanyanda21393 жыл бұрын
nakwigwa nyanda sawakabisa
@adammsafiri71895 жыл бұрын
Haahahahaa daaah D Fast haya bhana nimependa sana hii kitu duh
@directoridd58935 жыл бұрын
Adm mwmba tuko pamoja
@msabiladohoi75352 жыл бұрын
Endeleza tamaduni yetu ntemi
@happyaalon82005 жыл бұрын
Toen ngoma moja na asenali kama watoto wote wa k4 mose kama hautojali lakin maana na ww umetokea k4 kabla ya kahama
@benetv52904 жыл бұрын
Ngonga like hapa mwanakang'wa nimeikubali hii ngoma
@zengogospel5 жыл бұрын
Kaka mkubwa nakuona kwa kazi nzuri
@directoridd58935 жыл бұрын
Asante sana rafiki
@abuumikazo96115 жыл бұрын
Saluteeeeeeeeeee mingi mnoooooooooooo yanii mnooooooooooooo
@daudizakalia11314 жыл бұрын
Kangerejaga ngosha
@pascaritohboy1484 жыл бұрын
Big man himself...like those moves babaaa...zidi kugurumaaa.#KenyaRepresented
@ellyringo30665 жыл бұрын
Nakukubali 100%
@sultanvdeo49965 жыл бұрын
Wimbo uko Safi sana, sema hapo ulipoenda walikuangusha, hawakupamba vzur ndio mana hukuchukua video kwenye trubai1🤔🤔🤔
@paschaziajoseph99945 жыл бұрын
Uko vizur brother
@lucymashamba15715 жыл бұрын
Nzuri Sana
@leonardfrancis95234 жыл бұрын
Hongera ntemi
@amananania8625 жыл бұрын
Sana man nimeipata
@jescakitinga43934 жыл бұрын
Good job brother
@abuumikazo3385 жыл бұрын
Big_up kwako
@aslambrighton84745 жыл бұрын
Iko freshii#%
@julianaboniphace76334 жыл бұрын
Nisaidie ule wimbo wa Sanji tokabanange ngombe na mno
@oxjentz82525 жыл бұрын
Nice brother,nitakupateje sasa nina shida na wewe brother,,?ngoma iko vizuri
@ngwanakangwa5 жыл бұрын
Piga 0744516663 kwa masuala yote ya kiofisi
@Jumamaduka2405 жыл бұрын
Niko ndo nilikuwa nakizungumzia mara kadhaa kwenye Chanel za watu juu ya nyimbo zako. 1. Niliomba video nzuri kwenye nyimbo zako. 2. Uhalisia wa matukio kwa harusi za Kisukuma 3. Shaking kwa wachezaji wako na ziongezewe ubunifu wa vionjo vya kisasa 4. Mazingira na Mavazi tofauti tofauti umeboresha sana mkuu
@hamismasanja25855 жыл бұрын
Nakuelewa sana kiongozi
@ngwanakangwa5 жыл бұрын
Asante kwa kuwa mwanafamilia wa BTM AFRICA
@walesstudio27255 жыл бұрын
sana tu
@jumawejaweja53433 жыл бұрын
Aman Kaka piga kaz nazielewa sana nyimbo zako kalibu dar maeneo kigambon1💯
@ngwanakangwa3 жыл бұрын
Asante sana ndugu
@mariamlutemagula72705 жыл бұрын
Ndase jaga okabheje kaya
@ZephaniaMwanzarima-qk1fv Жыл бұрын
Axiriy
@jumankondo83713 жыл бұрын
Nime mukabali
@josephndekele35865 жыл бұрын
Una kazi kubwa Sana maana umerundika audio nyingi Sana bila video kwa hiyo unatakiwa uzitolee video zake nyimbo nyingi za mwaka 2018-2019 hujazitolea video. Jitahidi Sana kuzitolea muda huu kabla ya kiangazi ya show nyingi.
@neemashabani9205 жыл бұрын
Good
@antonymanyenye86655 жыл бұрын
Quality Video HD QAAAALI SANA HII MZEE IMEWEZAAAAA
@yangajames53535 жыл бұрын
Iko good
@charzykiyabo3263 Жыл бұрын
Ww ni WA mapacha?
@antonymanyenye86655 жыл бұрын
Sipati picha harusi yako mwamba 😅😅😅😅😅
@ngwanakangwa5 жыл бұрын
😁😁😁😂
@yangajames53535 жыл бұрын
Ila video haiko clear sana jitahid kuweka video za kiwango kam ile ya harus ya Anna
@azizamustapha32483 жыл бұрын
😍😍😍
@tanzania87304 жыл бұрын
dogo good
@paulsengelemasengelema89504 жыл бұрын
Nyimbo ya harusi mwamloli mbona hukuitolea video? Boresha huduma zako brother
@josephndekele35865 жыл бұрын
Wapendanao ya kikundi Cha kakola salawe shinyanga lini video yake?
@stumay-wx9rp4 жыл бұрын
Dahaaa nabenda San nyimbo zako kwakweli +968
@ngwanakangwa5 жыл бұрын
Usisahau kusubscribe Chanel yangu maana kazi ndo imeanza tu
@aslambrighton84745 жыл бұрын
Kitambooo%% mm nisha subscribe %# ila boresha camera %#@ au kam ttz xio camera ubora bas hakikisha unaiseti color freshi%#@ ili Ilete ubora zaidiii%# rejea kwenye video ya harusi ya Anna ndo utaelew utofaut n ubora wa camera n clip navyomanisha$@ ile ilikua 100#%
@ellyringo30665 жыл бұрын
Kwa sasa Niko Arusha unanipe Raha sana mkuu mm ni mwenyeji wa Lunzewe na Niko napango wa kuoa sasa nataman nikupate