Ngwa'na yulita nakupata nipo kigoma mpakan na bulundi kata ya mabamba niliambiwa kua we nimwalimu Leo nimekutana wimbo wako Tena unasema siyo mwalimu kaxa kaka Dunia siyo nzuri nyimbo zako nzuri zinafaliji kwel kaka mungu akupe hekima njema na uimbaji mzur
@robertngwala13235 ай бұрын
Mzee wa Mabamba unapajua Kigogo?!!
@DevidRaphael-v1u4 ай бұрын
@@robertngwala1323ivi nikweli ama maneno ya watu tuu
@paschalmkwavi1984 ай бұрын
Huyu jamaa ni mwalimu pia anaendelea na kazi yake ya usani
@paschalmkwavi1984 ай бұрын
Ameajiliwa mwaka 2022
@bernardlucas87922 ай бұрын
Mwonekano pia unachangia Maan zamani hakuwa hvyo, may be niteacher kweli @@paschalmkwavi198
@malingomediaofficial6 ай бұрын
Haya Mambo Ni 🔥🔥🔥 Apewe Maua Yake Brother Ng'wana Kan'gwa Like Sasa Kama Wewe Sio Muongo
@paschalkassonta973727 күн бұрын
Bro hongera sana unaimba vizuri sana Sauti 100% Mashairi 100/% Utamaduni 100/% All in all Producer wako ni Moto anajua sana jamaa.🎉
@Man_Freja2 ай бұрын
Safi sana kaka ngoma kali shabiki yako kutoka Nzega mjini
@NdaloMatawa8 күн бұрын
Yani ww kaka unanyimbo nzuri kwel Tena turivu kwel masamva yakumbuche gete
@anthon-qg9fg2 ай бұрын
hongera sana kaka kwa wimbo wako mzuri
@moseskusamba4312 ай бұрын
Liponejage Ntemi safi sana kwa kundeleza mila zetu. Sukuma land💪🏾
@JosephMachiya-n3e3 ай бұрын
Jali kazi yako Kaka, uko vizurii
@khamzalockymaster60086 ай бұрын
Safi saana ngw'ana kang'wa kazi Moja nzuli nzito ✊✊✊
@WidaJilala2 ай бұрын
Unaweza kaka hayo majungu2 erasto kutoka shy vijijin
@kitulabuilding92466 ай бұрын
Mimi yona niko mwime ya nyakato maarufu senta ya fatherjames jilani na mwana kishimba hongera sana ngwana kangwa wewe ni mwalimu wa nyimbo
@lazarodaudi16895 ай бұрын
Mi Niko msikiti WA zuwena jirani yako😂
@manambavideoproduction83946 ай бұрын
NI HATARI SANA!! MOROGORO TUMEIPATA NA KUIPOKEA!!! Salamiti wamekumiss sana toka 2020 hawajakuona
@Dottohubert-gx3eu6 ай бұрын
Kaka Ntemi naona u mzuri katika SoMo la History naona hapo AFRICA AND EXTENAL WORLD semaa uhakikaàaaa mungu aendelee kukusaidiiaaa ntemiii omabala uendelee kufurshisha wasukumaa
@hassanlususu6 ай бұрын
Huyu ndio msanii bora wa muda wote wa nyimbo za asili✍️✍️✍️
@EmilyAndrea-b9f6 ай бұрын
Sema t ww ni kichwa asiependa nyimbo zako huyo mchawi sisi wanakahama tunaenjoy sana!
@Ngoshawamkaya6 ай бұрын
Kaka kama kama hapo sawa sasaa tumekuelewaaa
@ngwanakangwa6 ай бұрын
Pamoja sana kaka
@BerthaElias-y7p3 ай бұрын
@@ngwanakangwanataman nikutane naww ❤❤❤
@latifa73586 ай бұрын
Ng'walimu wa Ndingo🙌, Safi saana Nyanda DODO, NTEMI omabala 🌏, kazi yako nzuri mnoo💪 mungu akuweke uishi sana furaha ya wa Bhasukuma😇❤, NTEMI ni mmojatu💯 nakupata sana nikiwa 🇬🇧🌹
@ngwanakangwa6 ай бұрын
Asante sana Latifa
@reginampigachai76456 ай бұрын
Wooooh what a wonderful video🎉🎉, I was so much waiting thank you. Keep it up good work 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@ngwanakangwa6 ай бұрын
Hope you enjoyed it!
@marcosalu-gc6ts5 ай бұрын
Sana Kiongozi bigup mmetisha bila kusahau producer hongereni sana.
@MathiasMasamaki5 ай бұрын
Chapa kazi kaka yangu
@VeronikaJoseph-w6h5 ай бұрын
Achana nao fantastic kaz yako kaka ukjona vivyo just umewazidi kitu
@jumannehassan2425 ай бұрын
Uko vizuri unafundisha ongeza bidii zaidi
@sosomacharles99202 ай бұрын
Ila kazi ya ualimu ulionekana umependeza kweli kweli
@ntemistar5 ай бұрын
Watu wabaya Sana kaka ,Ila huo ndio ukubwa,
@MariettaMusa-l1o2 ай бұрын
❤nakubal sana bro
@FelsterMatonange5 ай бұрын
Chapa kazi bro naipenda sana kazi yako
@frankthomas37386 ай бұрын
Kazi nzuri ntemi sema umekanyima mngyao
@Meenahamad6 ай бұрын
Nimeitafuta muno nyimbo ya bhakango. niambie jina la wimbo my brother
@MariamSaid-k1wАй бұрын
Unaweza tuu babaa
@HogaTuli6 ай бұрын
Unaimbi vizuri sana kwanza unasauti nzuri unaimba vitu vya kufundisha vyenye maadali kwa jamii yenu❤❤
@SayiMboje-r2h6 ай бұрын
Ebwana uko vizuri huku kwetu mwanyagula ulituburudisha sana karibu sana
Mziki mzuri kutoka BTM AFRICA hakika ni za kwetu Mungu awabariki sana ahsanteni
@paschalmboje96646 ай бұрын
Pamoja tuna sikiliza mziki mzuri ni 🔥🔥🔥
@paulinaernest6 ай бұрын
Piga kazi kaka achana nao kibali unacho na tunakukubali kinoma sanaaaaaa❤❤❤❤❤
@EmmanuelKalelanda6 ай бұрын
Hongera sn kaka hii nyimbo nakumbuka uliizindua Usagari Leo umetoka video ni nzr sn hongera na karbu Tena Usagari
@NgunoMbasa5 ай бұрын
kweli kaka nisha kubali nyimbo nzuri sana
@ErastoZafania21 күн бұрын
Nipo zanzibar
@jumannehassan2425 ай бұрын
Hongera NTEMI O MABALA
@anniemagayane29846 ай бұрын
Nyimbo zako hazichoshi kusikiliza.... Nataman tena itokee show uwanja wa Magufuli tufurikeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Zachriss6 ай бұрын
Bigup sana kamanda wetu
@julitamwaipopo58746 ай бұрын
Hongera sana ww una sauti nzuriii mno naitwa mama Credo Mwaipopo mchezaji wa yanga zamani sasa anaishi sweden
@StellaJohn-cx7dz6 ай бұрын
Hongera sana brooh
@ReubenJuma-c9g2 күн бұрын
kipaji haijifichì broo toka tunaķùa ulikuwa unapenda kuìmba nyimbo za asili shulen ndo uliua kabisa Pale busungo segese
@ngwanakangwa2 күн бұрын
@@ReubenJuma-c9g uhakika bro
@josephkafumu30066 ай бұрын
Yan wewe ndo najivunia wewe wewe ndo msaniiii wangu kabisa jamaaa yangu nakukubali sana ❤❤❤❤❤❤
@EdwardMigela20 күн бұрын
Good job
@sayimayunga3646 ай бұрын
Kazi nzuri sana ndugu yangu
@MartinePaul-c5dАй бұрын
Ni. Vizuriiiiiiiiiiii ntemi omabala™™™™™
@Devilinintungwawc2vk6 ай бұрын
Kweli kaka Hata Sisi tulikua tunasikia na sisi
@BasilAnthony-g6c5 ай бұрын
Uko sawa jamaa ang
@mahungujulius17886 ай бұрын
Hata Mimi pia niliambiwa ila sikuamini Leo ndo Nimepata Jibu Pamoja sana from kagongwa
@kachelengwa6 ай бұрын
Kazi nzur sana pia Director Migera ❤❤
@machjames72435 ай бұрын
Ki ukweli hata mimi nakukubali sana, piga kazi
@yohanamkono41696 ай бұрын
No doubt your the best traditional singer
@ngwanakangwa6 ай бұрын
Thanks bro
@josephshija19246 ай бұрын
Africa and the external world ❤
@danielmabula95896 ай бұрын
Fundi sana.....kukaya ni kukaya duhu ng'wana obhasukuma!
@ChristopherNdaki2 ай бұрын
Ng'wana kang'wa unajuwa Sana kaka Binafisi mimi ni shabiki yako kaka nawaomba hata wasanii wengine wajifunze kupitia wewe wapo baadhi yao wanaimba tu ilimradi hatuwezi kuwa wasanii wote wala mashabiki
@isayadamas64704 ай бұрын
Unstoppable!! This is a national song!!
@PetroMwandu-j7v5 ай бұрын
Nakukubali kk saruuut
@MANYANDASITTA-t3cАй бұрын
Sawa
@BasilAnthony-g6c5 ай бұрын
Uko sawa mwalimu
@BahatiKubezya6 ай бұрын
Nyimbo zako ni nzuri sana masumbwe tuna Enjoy nyimbo zako Brother🎉🎉🎉
@MASHALANDEKEJA5 ай бұрын
Tuma pamoja kaka
@RichardSanagu-pk9pm3 ай бұрын
Gomomela maliloto❤ nalivunia bhusuguma
@Chujalora6 ай бұрын
Nyimbo iko moto,congratulation ilumbuye omukaya 🥁🎺🎼🎼
@ngwanakangwa6 ай бұрын
@@Chujalora wabheja sana
@lazarodaudi16895 ай бұрын
KWAHYO jina la Ntemi umeachana nalo tena
@KISIWA_K_T_C6 ай бұрын
🔥🔥🎶 imebamba kinomanoma
@MR_RAMSATZ6 ай бұрын
Kazi nzuri kaka
@jamesmakuthu70366 ай бұрын
Keep it up brother, good song
@BibleTruth-y1h6 ай бұрын
Brother angu ! Wewe na kisima na Bhudagala Mnatuwakilisha vzuri sana kabila letu la Kisukuma
@AlexCheyo-j4o4 күн бұрын
Nakuelewa sana jamani angu
@veronicaJohnsoni5 ай бұрын
Kaka na kukubali kinoma kaka angu ❤❤
@petromasunga37154 ай бұрын
Kweli kabisa ledio za Damu ni mbaya:
@ReonardPetro-y6o6 ай бұрын
Uhakik brother 🙏
@kingmawese6 ай бұрын
dahh nakupata vizur kutoka dar es salaam Tanzania❤
@AngelPaul-vn1zd4 ай бұрын
Najivunia sana kuwa msukuma mimi penda sana❤❤❤
@DaudiLuyago-yw8zp6 ай бұрын
Kaka nakukibali sana from nguruka Uvinza Kigoma
@ayoubmachibya16626 ай бұрын
Unapafahamu kwa kizanga
@JeffyStudio20246 ай бұрын
Hakika wimbo ni Mzuri sana kaka hongera👏👏👏
@MathiasMasamaki5 ай бұрын
Chapa kazi mwana kamwa
@mabalaVideostudio6 ай бұрын
Nakubali bwana kaka
@NanyambatcLaboratory5 ай бұрын
Nakubal sana aisee
@IkambulaMtunga46706 ай бұрын
Ntemiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DaudMagembe5 ай бұрын
Na kweli kaka wewe ni mwalimu/bila D mbili huwezi kunielewa Kazi Kaz kaka.
@MASHALANDEKEJA6 ай бұрын
Uko vzr kaka
@JoshuaShambuli4 ай бұрын
Mwenye nakubar msukuma mwenzang 2ko juu
@Gody3602 ай бұрын
Pamoja
@Cathe-x2k5 ай бұрын
Uko vzr sans
@ClementJulias6 ай бұрын
Good job Mr mwanakang'wa
@HenryNgassa-p4c5 күн бұрын
Unajuwa kaka wenyemajungu waache wajinyonge😢
@Elizabethpaulo-c8u6 ай бұрын
Ukubatandula kikuba gete,, ulu wapanga bakalili lyembo wafunya lyingi?❤❤❤
@YungeMaheta4 ай бұрын
Ongera sana nazipenda sana nyimbo zako baba, one day ntakufollow nkiwa naolew uje utumbuize, big up to you
@IsackKija6 ай бұрын
Eeeee matulo lelo bhucherelwe sana kajideo kasonga ong'wanudo
@MariaNoely-xh8jb17 күн бұрын
Wewe mkaka ni nakupenda et😢
@falejilala11586 ай бұрын
Ni atari, halafu mabiti unayakamata kisomi na voice so clear
@mathiaskaswahili99426 ай бұрын
Tupo pamoja sana kaka ❤❤
@Mtakujapaschal-yj8je4 ай бұрын
Hata mimi nilishagaambiwa kuwa Ng'wanakangw'a ni mwalimu wa Sekondari leo nimekupata