NI BALAA TAZAMA ASKARI WA KIKE WALIVYOFANYA MAZOEZI WENYEWE!

  Рет қаралды 98,054

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@millionairejeffreysunofbez3766
@millionairejeffreysunofbez3766 5 жыл бұрын
Askari magereza wapo fiti zaidi ya sana ..saluuti
@maimunamohammed5877
@maimunamohammed5877 2 жыл бұрын
Asante mama mkuu wetu wa wilaya ya Nzega adivera bulimba
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
Mko vizuri sana hongereni
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 5 жыл бұрын
HONGERENI SANA DADA ZETU NINGESHAURI SERIKALI IKUFUNGULIENI GYM YA PAMOJA ILA MUWE WAKAKAMAVU ZAIDI.... KEEP IT UP... WE LOVE YOU GUYS 🇹🇿💪
@gideonkalumbu5220
@gideonkalumbu5220 5 жыл бұрын
Asante Sana Dada,Advera,umeiva Sasa Dada ndo maana ulipelekwa Mwanza.
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 жыл бұрын
Wanawake ni wanawake TU ata kma Ni Askari😀😀😀😀😀😀😀😀
@theresiakaruhanga1169
@theresiakaruhanga1169 5 жыл бұрын
filbert nashon aliyesikia tusauti twa chiliku agonge like twende sawa😁😁
@wallesmdoe9164
@wallesmdoe9164 Жыл бұрын
Huuuuuuuuwiiiiiii Yani pushap kumi hoi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@theresiakaruhanga1169
@theresiakaruhanga1169 5 жыл бұрын
jamani mi sijaona mazoezi ila komedi ya aina furani😀😀
@tyiezboe519
@tyiezboe519 2 жыл бұрын
Mwanamke ni mwanamke tu daah😁😁
@jacksonedward201
@jacksonedward201 5 жыл бұрын
Maisha yanahitaji furaha. Mko vizuri Dada zetu na NI walinzi wetu wa amani. Wazi wazi pamoja sana
@salumally7949
@salumally7949 5 жыл бұрын
Duh.... Nimecheka sana haaaa mmetisha mama Zangu maana si kwa mazoezi hayo...
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 5 жыл бұрын
Duuuh! Kweli Bongo muvi inazidi kukua .
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 4 жыл бұрын
Wote mnajenga nyumba moja, umoja na ushirikiano ni muhimu sana, Hongereni maafande.
@thamanihalisi1120
@thamanihalisi1120 4 жыл бұрын
Mnaweza kweli. Ila ongezeni nguvu Mimi naona mnacheza mziki sio mazoezi ya kiaskari au kijeshi au kikomando.
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 Жыл бұрын
Wanawake wenzangu juhudi zaidi inahitajika kwenye mazoezi yenu kwa hapo kidogo wamenivutia hao magereza inawezekana wafungwa wanawachangamsha lakini polisi jitihada na seriousness inahitajika zaidi.
@coxmakolokocho310
@coxmakolokocho310 5 жыл бұрын
Hongereni xna mpo vzr tatizo moja tuu mmenenepa xna au sato za mwz zime wKubal dh! Nc
@rajabumbwana6181
@rajabumbwana6181 5 жыл бұрын
jaman kuna wanajeshi na wafanyakazi jeshini, nadhan mmenielewa
@devotharwegasira8590
@devotharwegasira8590 5 жыл бұрын
ahaaaaaaaaaaaaaa ,
@rajabumbwana6181
@rajabumbwana6181 5 жыл бұрын
@@devotharwegasira8590 yap
@alihaji7201
@alihaji7201 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Honger san
@saidmakumlo8930
@saidmakumlo8930 5 жыл бұрын
Weng walikuwa walinzi wa Maanga kuangushia coz ndo zao😄😄😄😄😄
@maulidmfaume1652
@maulidmfaume1652 5 жыл бұрын
Nmekuelew mkuu
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Unaweza ukapiga full kozi na Bado usiive, suala la ukakamavu Ni mtu mwenyewe.
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 5 жыл бұрын
safi iyo
@juliussonga5353
@juliussonga5353 5 жыл бұрын
Mko vizuri mama zetu,lakini ongezeni ukakamavu;muwe ngangari sanaaaa.Kombati za magereza nimezipenda sanaaaaa.Wapi wanawake JWTZ?
@jamesfrancis98
@jamesfrancis98 5 жыл бұрын
magereza always wako vizur coz wanatrainiwa vzur kupmbn na wafungwa watukutu ila hzo kjan tupu nothing
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Na anayemkata mfungwa yeye anatrainiwa vibaya au?
@mwinulamwinula9871
@mwinulamwinula9871 5 жыл бұрын
mdogo mdogo we twayeya big up xana ma soldiers bado kuna kitengo kinaitwa special forces hicho bhana kizuri xana
@vladiminlenin8883
@vladiminlenin8883 5 жыл бұрын
big up
@straitnews3441
@straitnews3441 5 жыл бұрын
Wanne sana need more of that
@kassimtanda7321
@kassimtanda7321 5 жыл бұрын
Naenda sana hii noma. Vizuri sana
@sarayohana3603
@sarayohana3603 5 жыл бұрын
Nice
@sakinamubaraka1246
@sakinamubaraka1246 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁mashaa Allah
@FamelannesEg8562
@FamelannesEg8562 5 жыл бұрын
wakakate vitunguu hao maana wameweza kucheza kanyaga tu sio mazoez😂😂😂
@dullahmudy2255
@dullahmudy2255 4 жыл бұрын
Asanteeni saaanaa...nchi ikiwa na amani raha saana tofaut na jeshi la Vietnam wamekomaa haoo..
@brianaloyce8604
@brianaloyce8604 5 жыл бұрын
Mweeeeeh..... Kweli mtatukanyagaah,,,
@jp1780
@jp1780 5 жыл бұрын
Msosi mwingi bana bunguzen!
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 жыл бұрын
Hahaaaa hapa ndugu zangu kwa mazoezi inabidi muingeze juhudi labda kama mmeamua kutuburudisha tu kwa leo
@simonmartinekombe7031
@simonmartinekombe7031 5 жыл бұрын
Good
@coolruler6820
@coolruler6820 4 жыл бұрын
Ukitizama kwa makini utaona magereza ndo wakakamavu zaidi, wengine naona vifriji sana jamani punguzeni miili Iyo mpate wepesi
@kisulaabas2614
@kisulaabas2614 5 жыл бұрын
Hakuna anaeniliza hapo. 😂😂
@justinesagaya371
@justinesagaya371 5 жыл бұрын
Safi sana
@raheemahamees6410
@raheemahamees6410 Жыл бұрын
Mmenpe sn.
@wilsonjohn1919
@wilsonjohn1919 5 жыл бұрын
Mnabahat sana mpo inchi yenye aman hayo sio mazoez kabisa naona mnakata viuno tu
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Vzuri sanaaa
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 5 жыл бұрын
jeshi la mageleza ninoma limewafunika wote lakini tukiludi nyuma mbona mazoezi yamegeuka disko mmmmmh
@jeremiahzacharia7655
@jeremiahzacharia7655 5 жыл бұрын
Futa hii kitu sipendi michezo kama hii
@abouwaladnajib9520
@abouwaladnajib9520 5 жыл бұрын
Kweli tanzania hamuna habari
@cassyaugust4585
@cassyaugust4585 5 жыл бұрын
Leta yako
@abuushaakirayubu9476
@abuushaakirayubu9476 5 жыл бұрын
Kazeni butiy sio mbaya akina mama mmetisha askari watanzania juuuuuuu
@bintisalma1263
@bintisalma1263 5 жыл бұрын
jitahidini kuiga mifano ya asikari wa kichini lakin kwahapo bado miili munaiachia sana mkitoka depo ndobas zoezi ila mumejitahidi sana mama zetu na dada zetu
@andreajeremia436
@andreajeremia436 5 жыл бұрын
Kama umesikia uchaguzi mwezi wa 11,nikujue umakini wako hapa.!
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 5 жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 5 жыл бұрын
Maaskari gani mikundu kama dell la ice cream !! Bora hata magereza sio hao walio vaa bendela ya yanga na ccm😎
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@abuushaakirayubu9476
@abuushaakirayubu9476 5 жыл бұрын
Waaoo pushapu hoyeeee
@shabanally1862
@shabanally1862 5 жыл бұрын
Mbwembwe nyngi ............
@fadhilfaza1669
@fadhilfaza1669 4 жыл бұрын
Wapo vizuli
@captenndunga6199
@captenndunga6199 5 жыл бұрын
Mi nilijua askar kweli kumbe bongo muv.
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju 3 ай бұрын
Nyie police wa kike mnatakiwa mpelekwa urusi au Korea kaskazini
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 5 жыл бұрын
umeshiba sana punguzeni msosi wengi vibonge duh!
@Mozline1
@Mozline1 5 жыл бұрын
Wametia aibu
@ongbackkidinindi8246
@ongbackkidinindi8246 5 жыл бұрын
Hmn kitu isee
@J4UPro
@J4UPro 5 жыл бұрын
Magereza wapo vizuri
@ApostleMathayonnko
@ApostleMathayonnko 5 жыл бұрын
Wanawake wanaweza usiwachukulie powa
@mjige9088
@mjige9088 5 жыл бұрын
Polisi hawahitajiki kutoa vitisho kila nikiona polisi tz ni vitisho tu kama wako vitani zamani haikuwa hivi polisi walikuwa karibu na raia na bila vitisho kazi ya polisi ni kuchunga sheria law and order ni uniform iwe ragi ya blue kofia blue na nyeupe sio kofia rangi ya damu
@maidahassani1377
@maidahassani1377 5 жыл бұрын
Wamekutisha na nini
@asifiwesolo1213
@asifiwesolo1213 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
@hajimohdaly3786
@hajimohdaly3786 4 жыл бұрын
Nendeni uko mbwa wakubwa nyinyi na mtakufa na laana zenu kwa kosa la kuwazalilisha waisalamu
@zebedayoramadhani7383
@zebedayoramadhani7383 5 жыл бұрын
Hawa wezi wazito
@haiticherie7593
@haiticherie7593 5 жыл бұрын
Mwen renmen fanm yo.
@revocatusjohn651
@revocatusjohn651 5 жыл бұрын
Hizo ni pushap au? Kweli haki sawa haipo
@amourhasaan7242
@amourhasaan7242 5 жыл бұрын
Hamnaa lolotee hapaa kazii kutuonesha viunoo tuu
@yohannanyamwanga2785
@yohannanyamwanga2785 5 жыл бұрын
Yan kumbe asikari wa kike ndoo wanaongoza kua na kakario mkubwa
@alexchungu9505
@alexchungu9505 5 жыл бұрын
Madawili
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Sasa hayo mazoezi au kucheza mziki
@ashrafunyarubamba6660
@ashrafunyarubamba6660 5 жыл бұрын
Wakapika tu nakuzaa hakuna kitu hapo
@daktar_kapaku_natural529
@daktar_kapaku_natural529 5 жыл бұрын
Ndio nin sasa aah mnazingua
@manjaruujr4605
@manjaruujr4605 5 жыл бұрын
Maafande wana taarabu asee
@mosesnmousa5558
@mosesnmousa5558 3 жыл бұрын
Bbona wazito hivi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
They were not serious enough,,,,,,,,,,!!!!
@alisonchelele5052
@alisonchelele5052 5 жыл бұрын
Mpendeza sn ila mmenona sana
@abrahamhassan351
@abrahamhassan351 5 жыл бұрын
Hahaha ndio iliyobakia nchi inakwenda taratibu muda sio mrefu inakuwa kama zimbabwe mamae
@immahkobeh7620
@immahkobeh7620 5 жыл бұрын
kichekesho
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 жыл бұрын
hzo push up walipga course lakn hao..waliangushia kozi
@erickkagisa3470
@erickkagisa3470 5 жыл бұрын
Hamna kitu hapa mnadharirisha tu
@rodgersgingila9367
@rodgersgingila9367 5 жыл бұрын
hakuna jeshi hapo..laini sana...
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Dah watu wanafaidi bwan
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Nini
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 5 жыл бұрын
Safi sana, morale is high
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@bonifacebwiremateko9142
@bonifacebwiremateko9142 5 жыл бұрын
Alaaah
@abeidmasaka6918
@abeidmasaka6918 5 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo mabonge nyanya hayo hawana ukakamavu wwte mshachanganyikiwa na diamond nyie 😀😀😀😀
@philiposhilingi4168
@philiposhilingi4168 5 жыл бұрын
Abeid Masaka askari wetu wapunguze unene
@tanzaniashinyanga454
@tanzaniashinyanga454 5 жыл бұрын
Hapa hakuna askari absolutely.
@michaelmchodo2862
@michaelmchodo2862 5 жыл бұрын
Nao wanaendaga vitani?
@donjanimajani8528
@donjanimajani8528 5 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 4 жыл бұрын
Kwa hali hii af mumfananishe simba?
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 5 жыл бұрын
Aisee iyo mizigo hatari duu
@jambojambo6727
@jambojambo6727 5 жыл бұрын
amna kitu apo
@albertchamafwa6609
@albertchamafwa6609 5 жыл бұрын
Paredi na simu kweli
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Жыл бұрын
😂😂🎉🎉
@boniphacetabu2903
@boniphacetabu2903 5 жыл бұрын
Mimi nadhani sheria ya JKT iendelezwe wawe wananyoa vipara hayo mawigi kofia hazipendezi vichwani.
@emmanuellubadisha3170
@emmanuellubadisha3170 5 жыл бұрын
boniphace tabu😂😂😂😂
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Tuko Na Amani Atuko Vitani Kwaivo Kueni Na Furaa Kwasababu Nawashangaa Sana Watu Wanaochukia Furaa Yenu Uku Wakijua Tanzania Atuko Vitani Jamani Tuko Na Amani Vita Ikiingia Hata Raiya Tutaingia Vitani Sio Asikari Pekee Kwenye Amani Ndo Wao Wanakua Wao Nasisi Tunakua CC Kwasababu Ya Amani Vita Sio Kitu Kidogo Na Ukizani Kazi Ya Asikari Tuwaonao Pekee Kwaivo Hata Wewe Mtanzania Usiojua Mro Wa Kesho Ni Asikari Pia Acheni Kuwachukia Wadada Wetu Waacheni Wafurai Awapo Vitani Apo Nchi Iko Na Amani Kwanini Wakunje Sura Kama Kmba
@Itarusii
@Itarusii 5 жыл бұрын
Hii shida!
@aishanabarikiwasana3552
@aishanabarikiwasana3552 5 жыл бұрын
Fyuuuu mmeoza hamna lolote mazoez gani kama mnaenda harusin jwtz shikamoooo
@akshaydavid159
@akshaydavid159 4 жыл бұрын
Ukakamavu wa wanawake majeshi yote unafanana dadaangu, usitudanganye wakati tunafahamu, hakuna cha JW Wala Nini.
@allymadunda7931
@allymadunda7931 5 жыл бұрын
Kikubwa uzima.
@rizikihamisi8954
@rizikihamisi8954 5 жыл бұрын
Tz yani kila kitu nibalaa ..mmh kenya mbona akuna vitu kama hivi hovyoo
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 жыл бұрын
Kwani Kenya ndio reference point ya Tz? Hadi wafanye Wakenys ndio Tz wafanye? Acha upumbavu aisee.. motivation ni kitu kizuri pia kwa askari na sio lazima wakunje uso muda wote..! Isitoshea hata wakati wa vita watu wanazaa.. we vipi?
@rizikihamisi8954
@rizikihamisi8954 5 жыл бұрын
Joseph Gomalo mmh mumezidi kila kitu kwa mtandao hovyoo bt simakosa yenu
@martinemifuko71
@martinemifuko71 5 жыл бұрын
Riziki Hamisi kwani hapa ni kenye au unawashwa
@omarysalumumuzic9139
@omarysalumumuzic9139 5 жыл бұрын
Makelele kama watoto wa chekechea....
@freymuch7112
@freymuch7112 5 жыл бұрын
Penda hiyo afande!
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 5 жыл бұрын
Nataka mke askari jamani
@hassaname3534
@hassaname3534 4 жыл бұрын
Zaifu sana
@mundhirhemed6495
@mundhirhemed6495 4 жыл бұрын
Hizo push up Kama unakatika viuno
@captenndunga2102
@captenndunga2102 5 жыл бұрын
Sijaona wa kunikamata hapo.. namvuta manyonyo mpaka ajione amenyonyesha siku nzima.
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha haaaah! Duh! we kaka kiboko
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 5 жыл бұрын
Ha ha ha ha haaaah! Duh! we kaka kiboko
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 5 жыл бұрын
Sasa mbona mboga saba zote zipo pamoja why
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
"75 Shocking Natural Disasters Ever Caught on Camera!"
24:06
Quick Top
Рет қаралды 26 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 10 МЛН
Rise and fall of Idi Amin ]art 10
9:56
Dr Watson
Рет қаралды 2,2 МЛН
I met one of the most dangerous neonazis of Europe
26:13
Charles Villa
Рет қаралды 5 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН