Allah anampa mja mali vile anataka yeye mwenyewe Mungu. Mashallah, nasisi Allah atujalie tupate pesä. Aameen
@nafisaabdalla25994 жыл бұрын
amin ss wengine twazipata kwa shida izo lkni wenzetu wanazipata vizuri tu ndio maana kuzitumia hawazionei uchungu
@khamishabas24024 жыл бұрын
@@nafisaabdalla2599 una muomb mungu akup pesa kaziufny unazan utaziokt
@salmaseif87554 жыл бұрын
Amiiin
@amneynuhu74624 жыл бұрын
Ameen inshaallah
@AgukaTV4 жыл бұрын
ebony what >? kzbin.info/www/bejne/q2exeYWNZpiVhJY
@sadickrajabu2974 жыл бұрын
Naungana na nei kweli mungu yupo na nikweli watu wote no sawa ,dini ni zaukweli au nazo uongo nashindwa pata jibu mungu gawa liziki sawa kunawatu wanalala nje wanateseka kwa kukosa pesa ila kunawatu unawabariki mpaka watu wanashindwa kuamini km mungu yupo kweli
@augustinomwamasinga22004 жыл бұрын
Naomba sanaaaa Nasib ubaki na hizo nywele unakua sawa sana
@elizabethmagambo97854 жыл бұрын
Kafanana na nilan
@geofreylucas94694 жыл бұрын
Akusikii huyo
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Kapendeza Diamond
@goldgrace77734 жыл бұрын
Kabsa
@gracemadangi-j7uАй бұрын
Hongela umepende ulivonyoa ukisuka unakuag mbaya sana kaka angu👍👍👍👍👍🤝🌺🌺🌺🤝
@minzageorge14174 жыл бұрын
Mung nisamehe mm nimasikin baado naweka baando kila siku kuangalia ujinga namafanikio ya wenzang nakuzid kujitia umaskn zaid bola niwe natowa sadak ela yang Wenda nami mung ataniinuwa inshallah
@nyambogosunday90303 жыл бұрын
Ameen..
@انبنداملبن3 жыл бұрын
Nice sherehe japo jini mkata kamba alingiya kati from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦❤️❤️❤️❤️
@rachelmbeyu43854 жыл бұрын
Diamond style ya nywele imekutoa vizuri sana umependeza
@gloriaatupele90904 жыл бұрын
Kampuni zinazofirisika kaombeni msaada kwa mondi anachezea pesa kama karata huku nyie mwafunga ofc
@nawal31044 жыл бұрын
Gloria ATUPELE has I’ll oop p
@princessnthenya61514 жыл бұрын
Tena sana
@dorislema18144 жыл бұрын
kwel kuliko yale marac
@mwanahamisirashidi34394 жыл бұрын
Mwenyewe pesa sio mwenzenu jamani
@thomaschristian7694 жыл бұрын
Dah eeh Mungu nione na mimi baba walau nipate tu hata kodi tu na pesa ya kuendesha maisha 😭😭😭 Nisingependa niwe na utajiri mwingi kama wa Nasibu mimi nipate tu zile za kuendeshea maisha
@prossonassoro525 Жыл бұрын
Uhakika
@monicapeter9065 Жыл бұрын
Achana nao tuu hapo ni kufuru tuu maana Kuna maskin hawana hata ya kununua unganwa uji wenyew wanatamba nazo ujinga tuuu
@nuraabdi13794 жыл бұрын
Nasibu ukiwa na nywele hizo unapendeza zaidi mashallah
@pillykupaza10984 жыл бұрын
Kweli hata mimi napenda akiwa na nywele hizo
@mariamkissiwa25494 жыл бұрын
Exactly
@brobabuu39734 жыл бұрын
Mnaona mbali sana,... nyie n wakali...
@daimually48654 жыл бұрын
Huwa anajichanganya tuu lkn mbona yupo pw naanajielewa kbs
@iammusic34044 жыл бұрын
HB🔥😘
@japhetalex9714 жыл бұрын
Mwenyez mungu n mwema hakika ipo sku tulio chini tutainuliwa kama hawa alivyo kwisha wainua inshallah
@rommyabduly60364 жыл бұрын
Inshaaalaah
@aishatanzania11944 жыл бұрын
Daaa😭😭😭 inshallah habib mungu wetu sote🙏🙏🙏🤦🏿♂️🤦🏿♂️
@japhetalex9714 жыл бұрын
Hakika hana hiyana
@chulitolove66484 жыл бұрын
Bando lenyewe ninalo tumia kuangalia aya mamilioni yanayomwagwa apa shida... Nikalale tu.... Congratulations esma😍
@hawaomary40843 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa! Nimekupenda buleee
@agneskadzo61054 жыл бұрын
Diamond Brother mzuri sana,ajua kuchangisha pesa za harus zirudi kimpango.. good Job Diamond
@ramadhanmbalamulah67874 жыл бұрын
Jamani punguzeni sifaa mm natafta hata elfu 5 nyi mnachezea yaan duh: Inshahalah
@jafariramadhani32644 жыл бұрын
Freemason ndg yangu
@hashimhashimmuimbehadimoyo11644 жыл бұрын
Angalieni msijikweze msije kwezwa
@khazinak90834 жыл бұрын
Amjengee babaake nyumba nzuri pesa mwisho zitayayuka km moto kuwa na mapenzi na watu wote unawasaidia maskini msaidie baba yko m.mungu atakupa kher zsidi
@zaitunikweka9794 жыл бұрын
Daimond nyoa ivyo ivyo u akuwa smat vizur good🤝
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Kweli anapendeza sana
@zaitunikweka9794 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 sana
@mwambafamily4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hIqxiX19r8h5ZsU
@kulwapeleka11634 жыл бұрын
SANAAA
@heraldloshi18644 жыл бұрын
Zaituni Kweka ,Ni kweli👍🏾👍🏾
@barrysulty17564 жыл бұрын
Mashallah mungu awape zaidi na maelewano pia ndio muhimu awape na watoto wenye hekima na kufuata njia zilizonyoka, nangaalia nikiwa udachini!
@tabikanini29204 жыл бұрын
Waaa bibi harusi anapenda pesa waaa ona anavyotabasamu hadi anashika pesa
@chidybizz86844 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Nani asopenda pesa?
@ALIALI6184 жыл бұрын
Wewe hupendi pesa jamani
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Sasa unataka ashike nini?
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Nilijua nimeona peke yangu
@janeshigami876911 ай бұрын
Esma.... pole sana.
@stellambeca59134 жыл бұрын
Wow it's so colorful,,, D..... ana look fyn with those outfit,, classy 😍😍
@charleskimanzi38184 жыл бұрын
Hairstyle ya mondi imeweza.,anakaa fiti sana na hiyo hair cut......
@josephinejoseph97024 жыл бұрын
Diamond nibalaa kiukweli nimependa pia umetokelezea sana gonga like kama unaona katokelezeaa
@Mammymuhamed6 ай бұрын
Ukiwa na pesa ni mtihani usipokuwa nazo pia ni mtihani. Allah atupe kila.lenye kheri na sisi.
@sailatobias43434 жыл бұрын
Kama mungu angekua anagombaniwa hivi ingekuwa laha sana 💞🙏🤲🤲
@standfortherefugeeafrica4 жыл бұрын
Mr. Simba Diamond naomba kabisa uweze kiimarisha my talents please kwakuwa wewe ndie BABA LAO Tanzania and beyond.
@maestrojayysule56604 жыл бұрын
Jana mm hapa tunagombana na Bos wangu kwa elfu tano .angalau nipate kula .wenzetu pesa wanazifanya kama karata
@johncavishe3534 жыл бұрын
Hahahaha noma sanaaa
@brobabuu39734 жыл бұрын
tupambane kutafuta pesa bana..
@happynessmarki27804 жыл бұрын
maestro jayysule daaaa achaaaaa tu maisha hayaa
@brobabuu39734 жыл бұрын
@@happynessmarki2780 balaa tupu dada
@eurozbsimoniz68664 жыл бұрын
😂😂😂
@nurudinehamimu56584 жыл бұрын
Mond nakukubali lakini hichokitendo Alla akipendez jifunze kabra mwenyezimungu aja zaririsha. Take care
@nunniznurcky97244 жыл бұрын
Kama umerudi kusebu zile pesa zilitajwa kwenye enteviw ya zamaradi gonga like😂🤣🤣👊
@irenemjema38953 жыл бұрын
Hahhahahahhaaha
@zainathcuwimigishazchelsea21134 жыл бұрын
MashaAllah M MUNGU awazidishie, nasi ALLAH aturuzuku pia
@mzalendomzalendo25674 жыл бұрын
Daah bibi harusi yuko kwenye pesa tuu anachunga pesa
@bintiedward934 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@rehellongo91254 жыл бұрын
Naombeni elfu moja tuuuu
@victorkivuyo61264 жыл бұрын
HELA ZA WASANII HAZINA JASHO NDIYO SABABU WAKAFANYA MCHEZO NA HELA NA BIBI HARUSI ANAONYESHA NI MPENDA HELA SASA BASI MUME KUWA MAKINI USIFILISIKE,. MR BOB SOSY A,K,A, KATIA WA ARUSHA MURIETI KARIBU KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@valeriachipeta7744 жыл бұрын
Kumependeza sana na mmependeza sana pia. Wenye wivu wajinyongeeeee
@monicapeter9065 Жыл бұрын
Mfyuuuuuu we mwenyew chawa tuuu
@lawrencesilas30504 жыл бұрын
Hakuna ndoa hapo...maigizo matupu...ila ndo tujifunze maisha ya anasa hayana baraka kwa Mungu bali ubatili mtupu..ndoa za siku hiz bas tu....
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Akili kichwani,Mungu rohoni, pesa mfukoni alafu makaratasi.
@monicapeter9065 Жыл бұрын
Kikubwa napata ya kula na kunywa zngne hzo ztaishia kutuzwa bank tuu Afu yang hata iwe ndog inanitosha na inanifarij maana naitafuta kwa njia sahihi ya KUMPENDEZA mungu
@merynjau56144 жыл бұрын
Yn mungu ni waaajabu sana kweli akubariki kakubariki kuna wengine kod ya nyumba ikifika tunaanza kukimbizana lkn wao wanachezea km kamari😬😬 mungu nibariki na mm
@iammusic34044 жыл бұрын
Isipoingia on trending hii ki2 utube wachawi👌 Trust me
@zuwenaalamini41584 жыл бұрын
Jaman mm narudia baada ndoa kuvunjika ngonga like Kama na wewe mbea Kama mimi
@dorcasarakaza3406 Жыл бұрын
Mm hapa😂😂😂
@popoweumambo80574 жыл бұрын
Kindly put some English Subtitles pliz we love u bt language is a barrier !!I still watched to the end bt cant understand wat u saying to yo sis and inlaw
@NiraSaire4 жыл бұрын
Its a money battle, Simba started by putting on some foreign money, The pound, the USD, the Indian Rupia, and he was complaining that the opponent is only putting Randi which is not as valuable.. at last they agreed that when Simba puts they should provide Randi of the same amount! At last they gave up! But the last guy came and say he is ready for Tanzanian shillings battle
@gracegenadio82914 жыл бұрын
Very sorry dear
@tasianaantoni64774 жыл бұрын
Unatisha simba
@mtimkavu60624 жыл бұрын
Bora ulivyokosa kuelewa maana ungeingiwa na Tamaa bure
@enockmaige89369 ай бұрын
Mungu nitumiku na mm walau niwe na uhakika tu a kula hata chakula Cha kawaida
@wahiduitsverycommentmane54214 жыл бұрын
Esmaa una kiherehere Kama vilee wachagua mitumba soko kuu tulia bibii utachokwa pesa sio kituu utajiri sio kituu ulizaliwa ukavikuta na utaviacha muombee munguu akufanyie wepes wa ndoa na usiende kutixhia wake wenzaa na izo malii wahexhimu na uwe mwanamkee wa mfanoo
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Hee kumbe kuna wake wenzie waliotangulia wala hatakaa huyo kaenda kuwa kivuruge
@magretpeter99244 жыл бұрын
Mnapo fanya haya mkumbuke kuna yatima,wajane,na watu wenye mahitaji mbalimbali ambao wengine hata mlo mmoja ni shida muwakumbuke na hao kwani ktk hao ndio tunamuona mungu,na hao ndio watakao tufungulia mlango wa mbingu mungu tusaidie kila mtu afanye kwa uwezo wake kwa hawa watu.
@naomimabula26604 жыл бұрын
Rizika na chako ulichonacho, uctamani vya watu, cz hujui asili yake.
@tanzaniatouristsattraction16224 жыл бұрын
Kweli kabisa ukijua zinapotoka unaweza tapika
@thomasponera60184 жыл бұрын
Umeongea vizur, sema huyu aliyekuja kusema kutapika. Ni wivu unamsumbua
@m.mmarckus62984 жыл бұрын
Hata maandiko yanasema hivyo
@dukeofkisii4 жыл бұрын
True
@njemasaid5814 жыл бұрын
kweli kabisa
@ZZz-np4ry3 жыл бұрын
Utulivu wa diamond jamani roho safi wasafi
@peterokalo96324 жыл бұрын
I always like diamond for one thing his original smiley 😃 always showing truly happiness face
@hahmadhabibu20764 жыл бұрын
This man is rich rich...that's why..see how they are battling with money
@franksichula26624 жыл бұрын
P
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Kwanza hii siyo sahihi tambueni kwamba kuna watu wana wtt hawajui kesho watakula nini??mambo ya kutunza pesa kwa style hiyo ipigwe marufuku watafute njia nyingine ya kutunzana angalieni nchi jirani za kiafrika hakuna mambo hayo, kama unayo hela au huna maisha yanaenda kuliko hivi kuonyesha mashindano badala ya kuomba uje uishi vema kwenye ndoa
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Ni nani asiyejua kuwa Diamond ana hela na anasaidia watu wengi na Mungu ampe zaidi na zaidi
@nelsonkalengamulunda18913 жыл бұрын
@@hahmadhabibu2076 BYE
@ZaituniAthuman-gd6op10 ай бұрын
Noma sana
@iammusic34044 жыл бұрын
Kula pesa mama kaka unae ila respect mmeo napunguza macho kwenye pesa😂😂😂🔥😘
@nasramakau61394 жыл бұрын
Kwakweli jamani mana bi harusu macho kodo
@farajajuddy43914 жыл бұрын
Kwakweli macho kwenye pesa
@hemedsalim37314 жыл бұрын
wakati unajipapasa nakuekea milioni nyengn ujitafute 😆😆😆😆 dahhh htr aiseeee
@issangyabertha57414 жыл бұрын
Mwanamke anatamaa yapesa sanaaaaa
@standfortherefugeeafrica4 жыл бұрын
Watali Tanzania Mr. Simba Mungu aweze kukurefushia misha ndugu yangu, kweli wewe huwa unani kuna kwa kweli Maisha yako kwako Mungu kwisha kupasulia njia kabisa. CEO and Film Producer Alex Bucunga Mr. Inzi Fly.
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Kufuru Kwa wenye nazo, wengine walala njaaa, mungu jamaniii 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@allyhussein51924 жыл бұрын
Naomba kuuliza hivi hili sebene linalopigwa hapa mwanzo ni la msanii gani
@evelnjuma1834Ай бұрын
Ukishevu unapendeza San jaman lasta hazina maana yoyote jamon umependeza😍🌄🛍️🤗🇹🇿
@happymushi81974 жыл бұрын
Diamond umenyoa nywele umependeza sana
@richardsaidi24483 жыл бұрын
Mmmhhh jaman . Munguu nibarikii na Mimi nmiliki pesa za nchi zoote ameee
@nancychissamo3794 жыл бұрын
Jmn diamond ana sifa hd anatia hasira kha!!!🤦🤦🤦🙆🙄. Hela hz mweh
@zabronadamsony8704 жыл бұрын
umeona we anaona anajifananishaa na wezake
@shabanjuma31454 жыл бұрын
Here yaan mpako nimechoka cc kupata laki ni kaz jaman hasa wanaume tutafutane pesa
@roseshilogile80913 жыл бұрын
Umetisha sana upāñde wa mke
@bjzee19814 жыл бұрын
Huyu jamaa hakua fala kumbe Alisha wasoma namba kitambo. Mwanamke alitaka mipesa apite hivi. Nani mwingine ana angalia baada ya Esma kuachwa. Kamati roho chafu tujuane 😂
@aadam7224 жыл бұрын
mtapasuka msambwa Mondi in a diffrent level. Simba mwacheni.
@francisruambothetechnician4 жыл бұрын
Tatizo wabongo wengi humu kwenye comment mna wivu, kila mtu anafuraahi kwa alichonacho ww kama huna uwezo kama wao usihumie roho acha maneno mabaya, acha hisia mbaya, waache wafanye walichojaariwa, wengine wanasema wanakufuru mara kuna masikini sasa yy ashindwe kuishi maisha yake sababu ya maisha ya watu wengine. Acheni ushamba wabongo.
@farhadhassansaid12974 жыл бұрын
SubhanahAllah, yani venye mnafanya hii Nasseb na ww ni kijana wakiislam kweli dini inaruhusu mnafanya mmbo mengi mno baada ya miezi watengane japo mna hela hii ni Husda tu Allah hapendi
@shancyskitchen30444 жыл бұрын
Diamond Ni Mjanja Sana😁Anamtafutia Dada Yake Mtaji Wa Kwa Shemeji
@VibextazSports4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mneXm4psdrSif68
@kondeboyplatnumz17704 жыл бұрын
vf
@jizomontana18994 жыл бұрын
😆😆😆 mamae
@jafariramadhani32644 жыл бұрын
Kwelii kabisa
@oscarferrao89934 жыл бұрын
@@VibextazSports llama💄🥫🐩🐩pp
@AlexAlex-vp8yf4 жыл бұрын
IKO SIKU ZITAKWISHA NAMTAJUTA HAKIKA; Amen
@ijueimanikatoliki9804 жыл бұрын
Nashauri wasiwasahau pia YATIMA na WAJANE pamoja na WAGONJWA wasiojiweza MUNGU ATAWABARIKI ZAIDI
@barakabahati43154 жыл бұрын
Bt mond anasaidia sana
@vanessastafford51204 жыл бұрын
Sio siku yao
@dorisfabian37034 жыл бұрын
Kwa raha zaooo hadi raha jamaniii na kawivu kamenijia tutafute pesa jamaniiiii
@hildascorner23274 жыл бұрын
😃😃
@agnesvintan15384 жыл бұрын
Diamond umenyoa vzur safi kabisa👌👌👌
@Mamaanachezasana2 жыл бұрын
Simbaaaa🦁🦁🦁🦁
@emmanuelmchomvu26764 жыл бұрын
Jaman tafuteni hela, ooh saidia watto yatima Kwan amesaidia wangp ad leo???? Acha wafanye Kama wamepewa hela jmn,Shda zk wew n familia yk, Omba Mungu akupe hekima n pumzi yote tutayaacha apa duniani.......
@iyanivan54574 жыл бұрын
Jamni naomben namba za Diamond....
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashallah yani leo nacbu umependeza kiukweli na izo nywele wacha mambo ya kusonga
@nassorsada2134 жыл бұрын
Mwenzio akipat muombee kwa mung Chuk haz saidii chochot
@lilylily4354 жыл бұрын
Umeona alie pewa kapewa
@yuveshangaikoyuveshangaiko76874 жыл бұрын
K P
@yuveshangaikoyuveshangaiko76874 жыл бұрын
N
@emanuelmagret82434 жыл бұрын
Naomba mtaji Aisee Simba
@frankmnale19004 жыл бұрын
Bob Utafirisika, achana na Mond ni kiwango kingine
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
kwani mond ana pesa nyingi sana.
@boazchibudenga78274 жыл бұрын
Cham kubwa
@calvinloveambroce8424 жыл бұрын
yes diamond ni tajiri mkubwa sana kwasasa
@fredrickmatiku77833 жыл бұрын
Onesmo anabeba begi la pesa la kichwani ana mawazo anawaza kodi ya baba mwenye nyumba anailipaje mitihani hiii begi la bossi lina mapesa mimi mshahara mdogo
@saumuhassan37964 жыл бұрын
Izo pesa Daimond ungeli nipa japo kidogo usingeli jutia ningekumwagia madua usiku kucha Mungu akazibarikiwallahi
@jacksonebrahim79614 жыл бұрын
Hahaha
@rhodarichard74774 жыл бұрын
Naomba nisomeshee mwanangu mwanangu akipata kazi tukakulipa inshallah 🙏🙏
@abiollashayo56982 жыл бұрын
Imeniuma hii kauli
@ummoislam48324 жыл бұрын
Bi harusi nae anapenda pesa kama mcheza kamare
@aminamarie23874 жыл бұрын
🙆😂😂😂😂
@brobabuu39734 жыл бұрын
@@aminamarie2387 Hahhah ata mimi pesa nazipenda kwa kweli
@aishatanzania11944 жыл бұрын
@@brobabuu3973 😋😋😋🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@brobabuu39734 жыл бұрын
@@aishatanzania1194 ww hupendi naona 😂
@janemusumba8204 жыл бұрын
Kabisa na kiherehere
@ndeharojas46684 жыл бұрын
Simba kama simba
@hasheemabby25834 жыл бұрын
😄😄😄 coment zetu maskini utazijua tu hoo mungu atawa onyesha hoo kasaidie wasio jiweza hoo hana heshima acheni hayo mambo tutafute pesa acheni mawazo mafupi
@yunaisamir20994 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@dg24594 жыл бұрын
😂😂😂
@hahmadhabibu20764 жыл бұрын
Bwahaha
@chancehoffmann90834 жыл бұрын
Umenena
@Bullah_tz4 жыл бұрын
Simbaaa nimenyoosha mikono 🙌🙌🙌🙌
@leonardpeter98274 жыл бұрын
Walikuja kurudia kuangalia baada ya kusikia maji yamezidi unga
@kebontanga10344 жыл бұрын
Umetisha simba
@kaburaakbar48384 жыл бұрын
Simbaaaa tumia pesa baba lao umetafuta kwa shidaaaaaa kabisa mzee baba
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
Sana ❤❤❤❤🔥🔥🔥
@rhodarichard74774 жыл бұрын
Simba pesa ipo najua hongera🤟
@sarahmawby92244 жыл бұрын
Leo family imependeza Sana yaani kuvaa dangote family Leo mmevaa vizuri hadi queen Darleen mtaalam wa kuchapia mavazi Leo katoboa. .mama D umependeeee saana na wanao wote... Sijamuona Mzee Abdul jamani
@aminasangi15854 жыл бұрын
Simbaaaaa baba laooo
@mamafloraofficial43154 жыл бұрын
Kodi ya nyumba inanizingua, wengine wanamwaga pesa kama makaratasi
Diamond naomba unifundishie mwanangu shule ameanza fom1 uwezo sina fungu lako utalikuta Kwa Allah anania ya kusoma sana naomba msg hii ikufikie ulipo inshaallah
@D-Man.B-Free4 жыл бұрын
Mtafute in DM Instagram au upige simu kwenye the switch show...
@partnersah88024 жыл бұрын
Mfuate insta pia dada yangu. Mpaka Tiktok utume ujumbe huu kila siku. Naamini atauona dada yangu. Ata shule ya mil 1 kwa mwaka anaweza msaidia. Mwenyezi Mungu akuongoze na ufanikiwe na afanikiwe mwanao pia
@teychriss32484 жыл бұрын
Safi!
@aminamarie23874 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atakujaaliya umpate akusaidiye Kwa uwezo wa Allhah
@augustinomwamasinga22004 жыл бұрын
Naamin inawezekana mond anajitoa sana
@juliennempawenimana20494 жыл бұрын
Munacezea Hera Tanzania kuna wanyoonge hata sahani yacakura hawana nyiyi munacezea Hera mungu anaawaona
@witomsafiri4 жыл бұрын
Kama na wewe umesikia current badala ya currency gonga like.
@rizlambajuni4 жыл бұрын
😂wengine wamelike bila kujua unaamaanisha nini🙄
@rizlambajuni4 жыл бұрын
Ila me nimekuelewa😂😂😂
@khadijamzee27394 жыл бұрын
Nilifikiri nimesikia peke yangu
@rizlambajuni4 жыл бұрын
Khadija Mzee 😂😂😂
@eppiemodest4 жыл бұрын
Una like bila kujua kama yuko kwenye grammar. English anaijua Mond juuuuu
@happyneslugutu3162 жыл бұрын
Mhhhhhhhhh jaman wapo vzr
@hassanimussa57764 жыл бұрын
Wanaume wenzangu,tutafute ela
@victortarimo19434 жыл бұрын
Tuzitafute kakaangu
@auntiemylee31574 жыл бұрын
Ongeza volume hawajackia
@gloriouslameck69094 жыл бұрын
😅😅😅😅
@anitamwehonge82874 жыл бұрын
😂😂😂👍
@rosedesdery70264 жыл бұрын
@@auntiemylee3157 mi nimesikia natafuta wa kubatle nae
@nassirmasoud60974 жыл бұрын
Mungu anawaona kwa kufru zenu.maskni wanalala njaa na nyie mna fakharishana.hta fir'auni alikua km nyie lkn hv ss yupo wapi?mcheni Mungu wenu na mutende mema.baba yko Diamond analia shida.
@rosehaule2204 жыл бұрын
Yaan huyu esma lol..anaangaika kama si biharusi ukituzwa ushiki pesa ajatuliaa
@annamwidete28844 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ashuhurika atareeee
@rehemakassim93424 жыл бұрын
Yaaani ndobiharus ty Ila duuuuh hana hata haya usoni
@bintiedward934 жыл бұрын
Mbona bi harusi ndo mtunza pesa mana naona anazishikashika tuu hata hayupo kwenye sherehe😂😂😂😂😂
@lilianpaulbaganda29714 жыл бұрын
Nassibu mwenzio cna hata unga we unachezea hela kama karatas jmn
@JoyceChacha-i3w8 ай бұрын
😂
@RonnieBertin-f7f8 ай бұрын
NIMEMUONA RAY
@juliethgervas31944 жыл бұрын
Bi harusi alikuwa na wengee😂😂😂hatulii
@azizamvungi62033 жыл бұрын
damond masifa .badala ya kuwapa wsjane na masikini masifa yote hayo
@bigbossmanbossman69464 жыл бұрын
Nikiskia million nimeshtuka nilidhani ni mita ya hapa kwetu kumbe mita huko ni 46k za hapa home 😂😂😂😂