Ni Kweli Kigoma ni Maskini? DC Kigoma Afunguka

  Рет қаралды 1,332

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Ni Kweli Kigoma ni Maskini? DC Kigoma Afunguka....
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Ndg. Samson Anga amesema watu wanasema kuwa Kigoma ni masikini basi wanajidanganya kwasababu wanalinganisha na mikoa mingine, " sisi sio masikini kwasababu tuna rasilimali nyingi sana ikiwemo ziwa Tanganyika, michikichi pamoja na chuo cha utafiti wa chikichi.
#RCKATAVI
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 2
@jacobkeleman8001
@jacobkeleman8001 5 жыл бұрын
Yani huyu mtu ndio maskini wa mawazo hauwezi ukaongea kiasi hicho na hutafti fursa, nimeona Serikali ya Mkoa wa Kigoma ndio maskini kabisa, Mkoa wa kigoma unapakana na nchi tatu na ziwa Tanganyika ukiangalia Kigoma kuna maporomoko ya kutengeneza umeme wao wenyewe, Mbuga kubwa za wanyama, Hifadhi, Misitu mingi, ardhi ya Kigoma ni kijani miaka yote na wavuvi wa samaki wa pekee Tanzania, wanazalisha mafuta ya mawese na ardhi iko na rutuba kuanzia Kakonko hadi ujiji, Uvinza hadi Buhigwe hamjawahi kuonana fursa miaka yote hata barabara za rami hazijafika mtaishia kusema Kigoma sio maskini hadi lini? Inatakiwa uangalie changamoto ni zipi zinaufanya Mkoa wa Kigoma kuna maskini?
@rogerasifiwe6394
@rogerasifiwe6394 5 жыл бұрын
Nikweli kigoma sio maskini lla wana nchi wa kigoma ndio masikini
Mkurugenzi TANESCO Alivyojikanyaga Kwa MAGUFULI, Nusura Atumbuliwe!
6:03
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 1,7 МЛН
MVUA ZINAVYOLETA ADHA KIGOMA
6:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,8 М.
KIGOMA yaongoza MATUKIO ya  UKATILI wa KIJINSIA DC KAKONKO atoa NENO - TBC1
15:08
RIPOTI KUTOKA KIGOMA" MAENDELEO UKARABATI   MELI YA MT.SANGARA"
6:13
KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI -MSCL
Рет қаралды 1,7 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН