NI NANI HAWA VIUMBE MAYAHUDI NA LAANA ILIYOPO JUU YAO. DR ISLAM MOHAMMED.

  Рет қаралды 25,569

Al-hidayahonlinetz

Al-hidayahonlinetz

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@fatmasuleiman6991
@fatmasuleiman6991 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi uzid kutuelimisha Insha'Allah
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Жыл бұрын
MASHAALLAH !! UMEELEWEKA KIISOMI KABISAA..ALLAH AENDELEE KUKUNYANYUA INSHAALLAH
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 Жыл бұрын
Yesu aliwasamehe msimsingizie yesu wetu anaga kinyongo yesu wetu!! Alisema Baba uwasamehe sabbu hawajui walitendalo!! Apo kalaaniwa vip wakat ambao awajalaaniwa ndo wanapgwa
@amayamaya2306
@amayamaya2306 Жыл бұрын
Wejahil
@amayamaya2306
@amayamaya2306 Жыл бұрын
Hawamuamini yesu mpk Leo wanasema mtoto wa Zinaa Maria Aliza na yusuph na ukiwauliza juju ya wakristu wanajibu waz in waabudu masanamu 😂 Torah inasema anaebudu sanamu hastahili kuishi duniani maanake wanamini wakristu wabudu idiols worshippers hawastahili kua duniani 😂 hawa ni wafuasi wa Antichrist na wanamsubiri mpingaKristo mkombozi wao
@sharomdguda
@sharomdguda Жыл бұрын
Allah ni kitu gani! , Kila siku Allah wkt mnaomba nakulia na Israel anawapiga 2. Allah amelala 2
@babuallyjunior6627
@babuallyjunior6627 Жыл бұрын
Hii ndio sifa ya waliokufuru kama firauni na namrudha bin kanaani na kaaruni na siku ukiingia ndani ya kaburi ndio utajua mbivu na mbichi ila nakuombe kwa Allah akuongowe kwani firauni alitakabari lkn Allah sifa yake huwa anakuacha lkn siku akikutia mikononi ndio utabaini ukweli
@idrisalimapema2539
@idrisalimapema2539 11 ай бұрын
Mbona yesu alitoroka na hakuwauwa maadui zake?
@philiplangat4467
@philiplangat4467 Жыл бұрын
Kuoa mama mlezi ni laana tosha
@jumaame5606
@jumaame5606 Жыл бұрын
Acheni hasira shekh Ameeleweka .
@HassanKatumbi-hr5lg
@HassanKatumbi-hr5lg Жыл бұрын
Aangukwaye kwenye mti amelaaniwa wakristo hawana dini dini iko kwa Kila muislam na Quran imefahamisha ktk surat l maida ila ukristo Ni neno la kupanga walilolitumia wapagani wa Antiokia poleni mnaojiita wakristo maana hamna dini na hamna kitabu maana qurani Ni kitabu wanachokitumia waislam na kinaonekana na injili Ni kitabu walichokitumua waislam waliopoita kama taurat na zabur poleni wakristo kwa kunukuu ila kitabu chetu biblia kilichokatazwa sifa ya kutokuwa na mtume
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Waisrael are blessed.😇😇😇😇😇😇♥️♥️
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
Blessed by you Idiot
@HakimuRamadhan
@HakimuRamadhan Жыл бұрын
Kumbe na ww ni myahudi mpinga kristo duh
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Uzaa wa Judah, ambao ni Wa israelis are CURSED. SOMA Hapa, Wewe KaNuguu: Amos 2:4 New International Version 4 This is what the Lord says: “For three sins of Judah, even for four, I will not relent. Because they have rejected the law of the Lord and have not kept his decrees, because they have been led astray by false gods,[a] the gods[b] their ancestors followed,
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Joshua 7:12 “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Poleni sana manaswara. Jitahidini kusoma. Nyie tatizo mnapenda sana dunia. Hivi hata wewe mwanao uliyempenda lakini yeye akakuasi je,utaendelea kumpenda?Mwenyezi MUNGU MTUKUFU katika Taurati Amesema: "Usiue".Hawa jamaa wanauwa, wanapora,wanafitinisha wanapotosha, sio wakweli hata wamefikia kumkejeli MUNGU MTUKUFU kwa maneno mabovu ya ukosefu wa adabu. Halafu unasema;"They are blessed "?!
@alphasamwel
@alphasamwel Жыл бұрын
Mwanzo 17:18-21 Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako. Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake. Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu. Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Ni kitabu gani kinachoeleza habari hiyo? alipewa mtume gani? na huyo aliepewa aliongea lugha gani? kipo wapi hicho kitabu cha asili kinachoeleza hivyo ili tuone kama kweli??? au kuna watu wametengeza ili kubrain wash watu??
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
@@samxx411 Haiya ya yai! God of Ibrahim, Isaac, and Jacob, have mercy in this soul!
@alphasamwel
@alphasamwel Жыл бұрын
​@@samxx411 katika BIBLIA kitabu cha *mwanzo* kasome kuanzia sura ya 12 hadi 50. Ni kitabu cha kwanza cha musa. Pia Hayo maswali yako unavyouliza unafikiri upo mahali salama wewe? Na itikadi zako za kidini ulizo nazo? nakuhurumia kwa jinsi ulivyodanganywa wew na mlivyodanganywa wote ninyi. UNAMUHITAJI YESU KRISTO ILI UWE SALAMA MILELE. Yohana 10:10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
@alphasamwel
@alphasamwel Жыл бұрын
Nakupa neno hilo mpokee yesu kristo
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 Жыл бұрын
Hilo agano lilienda wapi wakati warumi walipowafurusha?au agano linakuwa active wakikutana na watu wanyonge?ka si laana ya mwenyezi Mungu?! Utakuta jikristo linajinasibisha na Israel, wakati mayahudi wenyewe wanauona ukiristo ni ukafiri😅.hata haijui cha Yesu wala nn. Vipi mnawabaliki wale wanaompinga Yesu? ingekuwa math ilikuwa simple kusema hata ninyi Yesu hamna Imani nae. A=B,B=C; A=C
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 Жыл бұрын
MashaAllah sherkh wetu mayaudi si wakiristo nawapendi musalaba wasema musalaba ni lahana ukiona mukristo watetea israil ajitambui mayahudi watumia biblia
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
Endeleeni kuabidi sanamu na likitabu lenu la Mashetani😂😂😂,Wayahudi nao wamepotea kama Nyie sema wao wanamjua Mungu wa Kweli ila tu wabishi,lakini waislamu mnabusu Jiwe tu
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
na kwa Taarifa yako agano lote la kale wanalo katika Biblia yao ya kiyahudi, ila sababu walimuua Yesu wanapinga ukweli wote wa Agano Jipya...wamepotea kama kawaida
@PiliTekelo
@PiliTekelo Жыл бұрын
Alielala hasikiii
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
Angalia Kati ya Hao wapalestina na Waisrael alolaaniwa nani😂😂😂😂Laana Inatesa sana!!! Alllah kashindwa kuikomboa Palestine Sababu mnaabudi Sanamu!!
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
Kuna kitu hamja kijua bado na hicho kitawasumbua sana hadi kiama wala hamtakaa muelewe chochote,mtapiga mbiu isiokua na muitikiaji,wayahudi wao wamepewa torati kwa mkono wa Musa na Mungu alikitambilisha kwa kama Yehova ,Niko ambae Niko Mungu mwenyezi na wakaambiwa kitabu hiki cha torati kisiondoke moyoni mwako na maneno yake uyatafakari mchana na usiku na wakabarikiwa na Mungu wa kweli alie jifunua kwao kwa wazi ,eti leo uwaambie wamwabudu Allah ambae hawamjui na Mungu haku waambia kua atakuja nabii mwingine eti wa dunia nzima ,myahudi hawezi kupokea hilo kwani hata Yesu alisema hatatoka nabii nje ya israel tena akasema jihadharini sana muangalie msidanganyike sijui myahudi na mkristo watapokeaje elimu ilitokatazwa na Mungu kua msiipokee, Yesu ni alfa na omega hakuna mwingine apaswae kuabudiwa Yesu ndio Mungu wa kweli alie uvaa mwili akakaa kwetu , acheni kuwataka watu wakubali kile mnachokiona ninyi kua sahihi ambacho wao wanaona sio sahihi ni hadithi hadithi za uongo zilizo nyofolewa kwenye taurat na injili na zaburi zikageuzwa kijanja kijanja,siku ya hukumu Yesu atasimama ahukumu wanadamu wote hata ninyi mliomkataa happ patakua kilio na kusaga meno .ukihitaji mbingu lazima Yesu awe mwokozi wako
@kwaleboy6064
@kwaleboy6064 Жыл бұрын
Hujielewi waongea tu juu ulisikia kwa pasta wako.soma kwanza
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
@@kwaleboy6064 ni some wapi hapo ulipo soma weye,? Unadhan kuweza kufananisha Israel na waarabu subutu yako ,taifa teule ,lenye nguvu, lililobarikiwa na Mungu wa kweli sio blaha blaha , wanaitwaa watu hodari wanao piganiwa na Mungu ,( wao hawaabudu dini na mitume Bali Wana Imani katika Mungu wa kweli hajawahi waacha Wala huwasikii wakipigana wakitaja Mungu na kupiga makelele hutasikia hiyo) kimya chenye matoleo ,na usidhani kusoma ndio ujanja ,kikubwa ni ufahamu na hekima wasomi sii kitu elimu ya darasani hauwezi kusaidia kitu kwenye Imani na nabii za kweli na kumjua Mungu ,Billa Roho Mtakatifu wewe ni maamuma 2 Wala pasta hajabeba akili za waumini.mtafute Yesu utamuona na atakufundisha kweli bila Yesu mwanadamu sii kitu ,karibu kwa YESU upate uzima na rehema hayo mengine utazidishiwa.
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Pole sana ndugu. mwenyezi Mungu akupe moyo laini juu moyo laini UJINGA aukaii ndani yake
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
@@ibrahimjuma9709 ungesoma kitabu chako Mtume wenu amesema manasara wanaakili kuliko ninyi Tena wao hawahitaji lolote kutoka kweni ,pengine akasema manasara watakuja juu yenu sikuzote
@IddiMkindi
@IddiMkindi Жыл бұрын
Umejitahidi bahat mbaya huna maarifa na unachosema wakat mwingine jitahidi uwe msikilizaji sio lazima kuchangia
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Huyu aya anazitafsiri kujinga kweli hajui kazi ya واو؟
@jumamambo5905
@jumamambo5905 Жыл бұрын
Duu wew bila shaka n kufar au umeolewa na kafir
@khadijaibrahim870
@khadijaibrahim870 Жыл бұрын
Waislamu tukimuona mtu ametukana uislamu na mtume tumuombee MUNGU amsamehe na wewe muislamu ikiwa hukubaliani na maneno ya sheikh haina haja umkashifu bora ni kuwacha kumsikia kuliko kumtukana mtu na hajakulazimisha kumsikia.Allah atuongoze sote
@gmadini5291
@gmadini5291 Жыл бұрын
INSHALLAH UNA KIASI FULANI CHA UFAHAM
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV Жыл бұрын
Kumbuka aya hizi pia Sheikhy wetu. Quran 45; 16. Na hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii, na tukawaruzuku vitu vizuri vizuri, na tukawafadhilisha kuliko walimwengu wote. 16 17. Na tukawapa maelezo wazi ya amri. Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili ya uhasidi uliyo kuwa baina yao. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu baina yao Siku ya Kiyama katika mambo waliyo kuwa wakikhitalifiana.
@nyetaapaul619
@nyetaapaul619 Жыл бұрын
Walipewa vyote hivyo ila wakakuturu pamoja na yote waliyotendewa ! Soma Quran uilewe vizuri au ndo wale wanaochukua sehemu tu katika Aya wakatafsri wajuavyo wakitafuta fitna, pole kaka Kwa uelewa mdogo
@BdjdhHshssgsg
@BdjdhHshssgsg Жыл бұрын
Ukiskiya KAMAU juwa unaona mwizi,mmbakaji 'kula mira tu na kupiga ngeta watu babako gacharwa na mamako nyawira wangezaa ata guniya ya mira watafune pale yakuzaa kafiri Kama iyi'Laana zote zikushukiye#
@suleimankidiavai1889
@suleimankidiavai1889 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣
@ZanGreen-jp1ti
@ZanGreen-jp1ti Жыл бұрын
Ya Allah walaani mayahudi najamaa zao
@JoshuaMwamala-z1g
@JoshuaMwamala-z1g Жыл бұрын
Pole mungu yup unayeomba awalaan?na hiyo laana inageuka kwako.
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
@@JoshuaMwamala-z1g Tena hawa watu, wajue, vitu kadhawa kadha hapa! Israel is an apple to the eye of God! If you want to pock the eye of God, mess with Isreal. Pili, He who watches over Isreal DOES NOT SLUMBER!! Tatu, cursed is he who curses Isreal. Blessed is he who blesses Isreal. No one will ever wipe out the nation of Isreal. For many years, many have tried but Isreal lives!! God watches over them!!
@mahmudahmad5369
@mahmudahmad5369 Жыл бұрын
@@kimsi682 kafiri wewe
@saidsaleh4086
@saidsaleh4086 Жыл бұрын
​@@kimsi682Laaana hiyo unayo. Waliomsulubu yesu ni nani??!!
@gmadini5291
@gmadini5291 Жыл бұрын
KAFIRI NI NINI? UJUE HUJUI KAMA HAUJUI? MBAAAYA.....PUNGUZENI KUKARIRI NA HADITHI PIA...ISITOSHE KWA NINI MKIKOSA POINT NYIE WATU WA KITABU MNAKIMBILIA NENO "KAFIRI" HATUWEZI KUWA WAFUASI WA YESU KRISTO KISHA TUWE NA "ROHO MTAKATIFU" KISHA TUWE MAKAFIRI...HUNA KITU UNAJUA, KICHWA YAKO INAFAA ITOLEWE IKUNG;UTWE KISHA ISAFISHWE NDIO UREJESHEWE TENA WEYE AMBAYE SIO KAFIRI...POLE SANA
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 Жыл бұрын
Hawa mayahudi walikuwa wabishi snaa walifikia mpka kutaka kumuona mungu wakampa changamoto nabii mussa wakamp changamoto nabii issa waktak wamsulubu akapnda mbingumi wamelaaniwa sabbu wamepewa neema nying lakn wakakufuru wamelaaniwa hawa jaamaa
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
Uwongo kitabu kilichoandika kua Israeli kalaaniwa nicha kishetani kwa kua kimepinga Torati yote na manabii wote ulisema Israeli kalaaniwa inamaana hata manabii wote walilaaniwa kwani walikua ni waisraeli acheni uongo huo m baya Mungu atawahukumu na mtatoa hesabu na hadithi zenu za uongo
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 Жыл бұрын
utanipotezea muda tu ( wote wametokana na Ibrahim ndio baba wa mitume wote na israil ma palestin wote n watoto wa wake pia na wTu wengine ila usipoteze muda tukapotezeana muda we baki ivoivo ujuwVyo utajuwa mwenyewe )
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Mayahudi ndio wenye pesa na wanaongoza kwenye sayamsi na teknologia ila wapalestina no njaa na shida tupu Sasa nani mwenye laana
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 Жыл бұрын
Asante kaka mwenye laana anapigwa??? Ilihali mwenye haki anakufa kila siku??? Muachen MUNGU wa Israel Muumba wa Mbingu na nchi sisi tumuabudu nyie abuduni mkijuacho!! Elia akasema na MUNGU anaejibu kwa moto awe ndo MUNGU!!
@alphasamwel
@alphasamwel Жыл бұрын
Mwanzo 22:15-17 Malaika wa Bwana akamwita Ibrahimu mara ya pili kutoka mbinguni akasema, Nimeapa kwa nafsi yangu asema Bwana, kwa kuwa umetenda neno hili, wala hukunizuilia mwanao, mwanao wa pekee, katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
@alichaga4621
@alichaga4621 Жыл бұрын
Yesu hakuingia kanisani hata sikumoja
@noahwamalwa4385
@noahwamalwa4385 Жыл бұрын
Allah ni jiwe jeusi hawezi lolote hata hawezi laani mtu yeyote
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
Wewe mwenye una laana tayari,dini huna,mungu huna laana ndio unayo .
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Wengi katika manaswara (wakristo)ni vipofu wa utambuzi. Waislamu tuna yetu nanyi mna yenu. Pilipili msoila yawawashia nini. Sisi hatuna mpango na kuwasikiliza makasisi wenu lakini nyinyi...Someni sana kitabu chenu Biblia ambayo hamjaijua. Na Papa ndo kesha sema imepitwa na wakati,sijui mtatumia kitabu gani...!?
@swalesale2229
@swalesale2229 Жыл бұрын
Doktoor 💯
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
❤❤❤
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
#Albany anasema waislam wakiwa vitani na makafiri haipaswi kuwa dhidi ya waislamu hata kama wana makosa ya hapa na pale Lakini masalafy nyie kwenye kutii amri za makafiri wenu wa Saudia huwa hamfuati hata misingi yenu ya usalafy
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Жыл бұрын
Ishmael baba wa Waarabu alifukuzwa nyumbani kwa Ibrahim kwasababu ni mwana wa mjakazi.MWANA WA MJAKAZI,HUWEZI KURITHI PAMOJA NA MMUNGWANA (ISAKA) hivyo uzao uliobarikiwa ni huu ambao ndipo Wasrael wapotoka.
@HakimuRamadhan
@HakimuRamadhan Жыл бұрын
Hakuna kitu kama hicho ibrahimu hakuwa na ubaguzi
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Wewe umetoka kwenye kizazi gani? Au umetoka kwenye kizazi cha nguruwe mweusi?
@TediMussa
@TediMussa Жыл бұрын
Cjaona chamaana alichokiongea huyu haya mambo mwachien mungu mwenyewe
@mabubakar1076
@mabubakar1076 Жыл бұрын
Mbona Quran inasema kua Ardhi yote ya magharibi na Mashariki wamerithishwa hao Mayahudi? Ama Ardhi ya Allah ni ipi?
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
#dr_islam hivi mkila hizo pesa za Saudia lakini mkaacha kulaza umma hamuwezi? Lazima tu mtekeleze maagizo ya Saudia? Ni tahira tu ndiye ataacha kuzungumza mauaji yanayo jiri Palastina yanayo fanywa na mayahudi kisha akaanza kutoa stori za mayahudi zilizo pita na kufunika funika matendo yao yanayo fanyika muda wa sasa
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Shaykh wetu anarejea Kitabu cha ALLAH A'ZZA WAJALLA. Sasa wewe unayesikia maumivu moyoni mwako,kuffa kwa chuki yako. Na kama mtu anaumia kwa mawaidha ya mashekhe zetu usisikilize pilipili usoila yakuwashia nini..?!Kuna mnafiki mmoja eti anasema Shaykh ana haja gani kuongelea mayahudi baadala ya kuzungumzia Falastin..?Huyu sio muislamu wa kweli..unaumia kwa aya za wewe na hao rafiki zako wasiokuwa Waislamu.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kuna kafiri mmoja amesema kuwa:"Allah ni jiwe jeusi" ALLAH A'ZZA WAJALLA Ampe la kumtosha kwa kufru yake hiyo, na INSHAALLAH atatoshelezwa.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
AĹLAH A'ZZA WAJALLA Akuhifadhi Shaykh wetu. Hata kama wanafiki na makafiri watachukia.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Kama unaumia usisikilize pilipili usoila inakuwashia nini?!.Hapana muabudiwa wa haki ila ALLAH SUBHANAHU WATAALA. Yule anaesema;"chunga sana " ni mtu iliyejawa na khofu ya Dduniya. Dduniya
@jumamambo5905
@jumamambo5905 Жыл бұрын
Wewe dada sio mzima kiakili una afya ya akili
@healingclinic698
@healingclinic698 Жыл бұрын
Sheikh siku utakapokufa alafu umkute ibrahimu hakuwa kwenye dini Yako hiyo utaimba wimbo mpya
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
Ibrahim na Ishmail ndio waliyojenga Kaaba hapo Saudi Arabia
@JoshuaMwamala-z1g
@JoshuaMwamala-z1g Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
tuna ushahidi Ibrahimu ndie alieijenga Alkaaba ya kule Makka, kuchinja katika skukuu tunafata mila ya Ibrahimu alivyoambiwa mwanawe badae akapewa mnyama kutoka peponi lakini pia tuna ushahidi wa msikiti aloswali yesu Al Aksa Jarusalem. je na nyie mna ushahidi wowote
@kimsi682
@kimsi682 Жыл бұрын
@@samxx411 Toa ushaidi hapa!
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
@@samxx411 Si lazima upate ushahidi hata kama ushahidi upo hutaamini sababu wewe ni kafiri tayari moyo wako ushapigwa muhuri Tena acha hiyo Mt.Sinai ipo Saudi Arabia hiyo ni elimu ambayo hujui.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Acha kupoteza muda toa kauli moja na fupi #Jeshi la #Saud liende Palastina kupigana na mastori ya yahudi na mayahudi
@nyetaapaul619
@nyetaapaul619 Жыл бұрын
YOSHUA 7:11-12 WAISRAEL WAMELAANIWA
@HakimuRamadhan
@HakimuRamadhan Жыл бұрын
Wewe ndo umekaaniwa maana huijui dini yako bali unaendeshwa na the new world older
@MWALIMUCHAKATV
@MWALIMUCHAKATV Жыл бұрын
Ila Dokturi mbona aya zingine kama hizi hapa umesisahau Quran 2: 47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote wengineo...
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
waliteuliwa means past baadae wakaasi mungu akaondoa neema zake kwao
@talentsmediacrew3373
@talentsmediacrew3373 Жыл бұрын
Sasa quran imekuja baada ya yesu na mtume amezaliwa baada ya isa bin mariam sasa hayo mazungumzo ya mtume na Wayahudi waliifanya wapi maana wao wamepata baraka na neema hzo mtume hajazaliwa
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
​@@talentsmediacrew3373jitambue mtume amefunuliwa wahyi na Allah sawa tofauti na ww yeye ni mtume na habari anaxo pewa na Allah ni za ghaibu
@MirajiHemedi
@MirajiHemedi Жыл бұрын
Walihalamishiwa nguruwe, ninyi mnakula?
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Nendeni mkaipiganie Palestine Allah yupo nyuma yenu maneno maneno hayasaidii
@hustlecultureMBA
@hustlecultureMBA Жыл бұрын
You can never curse Israel! Funza imani potovu, lakini chunga sana.
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
They were CURSED from Day One! Soma Hapa Mjinga: Joshua 7:12 “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Dini yawanafiki ulimwenguni
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
Allah kashindwa kuisaidia Palestina😂😂😂Endeleeni kuabudu Sanamu!!
@alichaga4621
@alichaga4621 Жыл бұрын
Wakristo wana nalaana kubwa kabisa
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Huyu ustaaza anachanganya yahudi na Israel! Afahamu kuwa yahudi ni dini na Israel ni taifa ss waliolaaniwa ni wepi? Maana ndani ya taifa la Israel wapo waislamu na yahudi na dini zingine
@AbdoBedru
@AbdoBedru Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂❤
@IddiMkindi
@IddiMkindi Жыл бұрын
Yani bilblia ndicho kitabu kilichoharibiwa na wayahudi kuliko vtabu vyote yani wameweka maneno mengi ya kuwafanya watu wawatetee ktk uovu wao
@LwangaleMango
@LwangaleMango Жыл бұрын
Toa ushahidi wa maneno yaliyowekwa,,,,Quran yenyewe imekuja miaka Mia sita baada ya Bibilia...waandishi wa Quran kwanza wanashuhudiya kwamba habari kuhusu Yesu ni kweli. Tukiweka Yesu na Muhammad kwa mizani, ni yupi alive aliyetenda mema????????
@kamanjamwenjerwa7032
@kamanjamwenjerwa7032 Жыл бұрын
MITUME WOTE WALIKUA WAYAHUDI HAKUNA MUARABU MUHAMMAD SIP MTUME ALIWATAPELI
@myself4128
@myself4128 Жыл бұрын
mna Laana😂😂😂😂 eti kimeharibiwa kwahiyo Allah ndio kafeli kukilinda Muongo mkubwa si aliahidi kulinda Vitabu vyake?wewe Quran uliyonayo unamjua Mwandishi?unaijua Quran ya Kwanza ikoje?
@lucaswanyonyi4037
@lucaswanyonyi4037 Жыл бұрын
Maneno gani.
@kamanjamwenjerwa7032
@kamanjamwenjerwa7032 Жыл бұрын
@@LwangaleMango Seriously MUHAMMAD alilala na Aisha akiwa na MIAKA 9 akamuoa akiwa na 6 this is avery dangerous paedophile man he killed jews alikua muaji bwana
@eliachalamila2259
@eliachalamila2259 Жыл бұрын
Wewe tukiwaita miislamu utafurahi?
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Kwani wayahudi kosa lao Nini?
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 Жыл бұрын
Walikataa kufuata maagizo walio wachiwa kwa madaii mpaka wamuone mwenyezi mungu dhairi someni mpate kuelewa siyo kukariri maneno ya simulizi
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Kumtukana yesu na kumwita mtoto wa nje ya ndoa na pia kumwita shoga kwa sababu kafika miaka 35 hajaoa na ndio maana walimuua. Hayo wee kenge huyajui?
@listonjiwe3467
@listonjiwe3467 Жыл бұрын
Ni majini tu na watu wake ndio wanaoilaani israel bali mungu wa kweli anasimama na israel quran 2: 47 hiyo laani ni ya wale wanaowalani israel na wale ambao wanao sema hawatambui kuwepo kwa taifa la israel
@madhuru2554
@madhuru2554 Жыл бұрын
Wewe pia una laana kuliko hao mayahudi na utakuwa duni hapa duniani.
@HumyrahChannel
@HumyrahChannel Жыл бұрын
May Allah guide u, don't comment wat u don't know read read read
@rahmasaleh1984
@rahmasaleh1984 Жыл бұрын
Shame on u
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
#salafy_mayahudi Mnaunga mkono matwaghuut Badala ya kuwashambulia mayahudi nyie mnashambulia Hamas na waislamu Muda wa vita na makafiri ya kiyahudi nyie mnaanzisha mada za far,qa tena zenye kuwahusu watu walio vitani dhidi ya mayahudi Hii ni dhahiri kwamba nyie mpo na mayahudi
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
Wayahudi ni watoto wa Ibrahim kwa mke wake wa ndoa Sara, hivyo hawaja laaniwa, ila wamebarikiwa,
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Жыл бұрын
Wasiolaaniwa ni wale wenye kufungamana na Iman sahihi. Lakini wale wenye kuua Mitume na wakaidi hawa hawana nafasi kwa Allah
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 Жыл бұрын
Wamelaaniwa mayahudi
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Жыл бұрын
@@MB-yq3ty Labda ajisalimishe kwa kutamka shahada mbili.
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
### Patrick Kwani wayahudi hao unaowaona wema, si ndio hao hao walitaka kumpiga na kumtoa roho wamuuwe unayemuona mungu 😂😂😂 Tena laana iwakose vipi, yaani hata unayemuabudu walimchapa, na kumtandika mikwaju 😂
@alphasamwel
@alphasamwel Жыл бұрын
Israel 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 🇮🇱 imebarikiwa kuliko taifa lolote duniani.
@joackimmutulu
@joackimmutulu Жыл бұрын
Propaganda, mungu anapenda viumbe vyake vyote. We are all equal in the eyes of God!
@HakimuRamadhan
@HakimuRamadhan Жыл бұрын
Mungu anampenda anayefuata maamlisho yake lakini ukikengeuka mungu anampa kigogo mbona firauna alilaaniwa kwani hakuwa kiumbe cha mungu
@joackimmutulu
@joackimmutulu Жыл бұрын
Hakuna mafundisho ya kweli ya mungu yanasema mchukie mwenzio
@HakimuRamadhan
@HakimuRamadhan Жыл бұрын
@@joackimmutulu hivi mtu hakunyanganye mke wako tena na makofi juuu alafu hachukue ardhi yako je wewe utampenda huyo mtu
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Dini za kinafiki hizo wao wanafikiri Mungu Prifank majani au Huyo Mungu wao anaowafunza katika nyumba zao mtu kati yao akingengeua basi achinjwe bro hao watu wanafiki wakubwa katika hii dunia
@jumamambo5905
@jumamambo5905 Жыл бұрын
Hatuwez kuwa sawa na makafir
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
Vitabu vingine vimedanganya,watu wakidhani vimetoka kwa Mungu kumbe ni vyakutunga2,,hao walio laaniwa wala hawasemi na mtu wao wanatekeleza mambo kwa vitendo na ushindi unapatikana na Mungu wa kweli anatukuzwa,hao walio barikiwa eti wanalalamika na kupiga kelele na kutukana na kuomba dua na kumlaani tena muisraeli mara nyingine lakini hakuna dua inajibiwa wala wanao jitolea kumsaidia palestina sasa watashindaje wapalestina kama ninyi mliobarikiwa ambao hamkulaaniwa hamuendi huko kusaidia??? Maneno matupu hayasaidii kinacho pasa ni vitendo,(pelekeni majeshi hiko na woote jitoleeni kupigana muende huko halafu mtamuona Mungu mtakatifu alie apa kua israeli ni taifa lake na hata liacha milele,na atawaokoa na mkono wa adui zao, nendeni kama hamjaomba umoja wa mataifa kuzika miili ya watu ili iwe kukomesha mafundisho ya uongo duniani.) Kwani kinachozuia nini hadi leo ? Nchi ambazo ninyi ndio mna dini ya kweli na mungu ni wenu na ardhi yenu ni takatifu na kitabu chenu ndio cha kweli kilishuka mbinguni inamaana mkikisoma2 mbingu yoote inajibu hapo hapo nendeni kapiganeni mtashinda mnazo silaha nyingi na majeshi yenu ni mengi kuliko ya israeli nendeni haraka ,mtahadithia vizazi vyenu mtakavo shinda hiyo vita.)
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
Mambo hayako ivo ndugu yangu Sema usemavyo Allah ameahidi ile ardhi itakaliwa na waja wema kwa maana wayahudi vyovyote vile ni waovu wataondoka tu ardhi ile ni ya waja wema ambao ni waislamu
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Жыл бұрын
@@ALIKHAMIS-un4fv hivi wewe unajidanganya kua uislam ndio utakatifu,Mungu tangia lini akadhulumi na kuvunja ahadi yake? Shida ni tofauti ya Mungu tunae mwabudu sisi tuanao tea haki na ninyi wenyekudhulumu na kipingana na ahadi za kweli za Unabii katika vitabu ,kwanza uongo unawagharimu Sana yaani mtu hata Kama anamakosa ilimradi2 ni muislamu mnamtetea kwa uongo kua na haki jambo ambalo sii sawa, ila sio ajabu Kuna kisa Cha hadithi Mtume aliulizwa swali kuhusu mtu akisema uongo kwa ajili ya kutetea dini akajibu kua itakua sio vibaya kwaio sioni ajabu ,kwani hata Mtume hakutumwa na Mungu Kama mnavompamba kua ni WA Mungu alie hai ,soma Quran 4;79 aliempa utume sio Mungu ,na ukisoma Quran 2:97 utaona kua aliempa kitabu hicho Cha Quran ni adui wa malaika Jubril ambapo jubril ni malaika wa Nuru njema Mtakatifu Cha ajabu adui yake ni shetani halafu atoe kitabu itakuaje ? In nah Lilah!! Na kuhusu ardhi ya Israel haija wahi tokea eti mwarabu awe Mtakatifu Abadan asilaan we hujui 2. Torat ya Mungu kwa mkono wa Musa ndio kitabu Cha maagano na hakipingi Unabii na yoote yanatokea Hadi Leo kwa wazi kabisa . Tafuta Biblia soma Amosi 1;6_8 uone juu ya hivi vita vya Leo Unabii unavotimia kuhusu Gaza na Israel,halafu soma pia Quran45:16 uone neema za waisrael ,Quran2;47,ninyi mnakalia ubishi2 hata jambo la haki mnapingana nalo ni hatari badala ya kutetea maneno ya Mungu alio tamka mnang'ang'ana na dini eti ukiwa mwislamu utaenda peponi weee ,!!! Mpe YESU KRISTO Maisha yako ndugu upata msamaha wa dhambi kwa kupitia damu yake na uishi kwa Neno lake utapona ,yeye YESU ni Alfa na Omega Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana na kila goti litapigwa mbele yake na ulimi utakiri kua YESUNI BWANA. Usipoteze Muda Okoka ndugu ,ni heri anae kuonya kuliko anae kusifu kua na haki kwa uongo.
@PiliTekelo
@PiliTekelo Жыл бұрын
​@@nicksonlyimo1562mtafute muislamu akusomeshe kur ani usiitafsiri unavyotaka
@aishathabit3732
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Haya ndio maajabu ya wakristo wa Tz Wapo na mayahudi ma hali mayahudi Wana amini Yesu ni mwana haramu Wana amini nyie wakristo ni waabudu vinyago na mungu wenu Yesu walimuua Na ndio sababu wanavunja mpaka makanisa yenu Ama hoja zako za kwanini hatuwashindi Sababu ni kwamba tulifanya uzembe dola ya kiislamu ikaanguka Lau ikirudi bi dakika 1 tu tunawafyeka Ama watawala wa Arabuni wao ni sehemu ya mayahudi hivyo usitarajie kuvamiwa kwa mayahudi
@listonjiwe3467
@listonjiwe3467 Жыл бұрын
Mmejaa fitina za uongo na maneno yenu ya kutunga na hadidhi zenu nyingi za uongo allah Ambae hatambui taifa la israel ametoka wapi? Kama sio kujaa fitina na ubaguzi mkiua wenene ni sawa mkiuawa nyinyi mnakuja juu na kuomba dunia iwasaidie bila kuona kwa nyinyi ndio tatizo
@dattymanne
@dattymanne Жыл бұрын
Waisrael hawa hawa waliomua yesu? Mbona mnajipendekeza sana kwao hlfu wenyewe hawawapend wapo na Mussa wao. Hebu jitahid kusoma soma uujue ukweli.
@ZanGreen-jp1ti
@ZanGreen-jp1ti Жыл бұрын
Ya Allah walaani mayahudi najamaa zao
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Жыл бұрын
Umezaliwa ukalishwa dini isio yahaki Bali kama weew ni mjuz mtafute Mungu wakeeli km Baba waimani Ibrahimu ndg usikurupuke kujibu au kukashifu usicho kijua. Meenye akili niyule mtu anae jiwa na watu wawili wamekosana shart nikuwasikiliza wote ili ujue tatizo hapo ndio utakuwa umetenda wema now hichi unachukurupa hapa sio sawa nkatika madhambi. .
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Wa Israeli, wame LAANIWA Katika Biblia, wewe KaNuguu Kamau! Soma Hapa: Joshua 7:12 “Therefore the children of Israel could not stand before their enemies, but turned their backs before their enemies, because they were ACCURSED!
@AminaJuma-r4v
@AminaJuma-r4v Жыл бұрын
❤❤❤
Je Wataka Kutubia na Kurejea kwa Allah.? Fata njia hii. Sheykh; Jamaludin Osman
1:01:50
#Je Rafiki yako Anafaida gani na Wewe.? Sheykh; Said Bafanaa
43:49
Al-hidayah online tv
Рет қаралды 969
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 133 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 100 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 32 МЛН
MAYAHUDI KATIKA QURAN (1)
1:02:29
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 4,1 М.
WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:04:39
arkas online tv
Рет қаралды 25 М.
SHK SUNKAR: MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADONDOSHA MAYAHUDI "UISLAM WAPINDUA UCHUMI WAO"
1:01:15
40 QISO oo saamayn leh & 15 kamida culimadeenna waaweyn
3:57:33
Salafmedia
Рет қаралды 4 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 133 МЛН