Рет қаралды 5,459
Ni Wimbo wa ukiri wa Neema, Upendo na Uwepo wa Mungu ambao vimekua havituachi katika milima na mabonde.
Mambo yanapokua magumu, Mungu hajaacha kusimama na sisi, kwenye mafanikio yetu bado anakua na sisi.
Song by: Tuzo Kyando
Producer: P_Touches
Vocals: lulu Fungo & Rose Mwakapuku
Studio: Sound Of Victory - SOV
#NiWeWe #ItIsYou #Yesu