Its 2024 but it seems like it was released yesterday. It speaks directly to the soul and brings me down to worship Jesus 🙌🙌🙌
@LovelyCruiseShip-jb5ut7 күн бұрын
How many are still being inspired in 2025 ❤❤
@davidkile60707 ай бұрын
Wimbo huu hunianzishia siku ....kila wakati nikiwa chini inansaidia hata kumtafuta mungu zaidi
@Blessedjack254 Жыл бұрын
Everytime I feel like am down spiritually I find singing this song. For sure He is God who never fails us 🙏🙏
@keamirlzpaul3787 Жыл бұрын
Napata nguvu za Mungu kupitia huu wimbo
@joshuamtwanga4036 жыл бұрын
2019 hellow nani anasikiliza nami wimbo huu wenye shukran kwa Mungu, HAKIKA NI WEWE WAKUABUDIWA
@papilumona18965 жыл бұрын
Bado tupo ambao wanasikiliza
@vivianvictor10975 жыл бұрын
Me
@bonniemsomali54345 жыл бұрын
Joshua Mtwanga no Moses I love the song
@minaabenso84465 жыл бұрын
Ameni
@paulsolomon56505 жыл бұрын
I feel overflow of Holy Spirit whenever I listen to this song
@ProphetWilfredNgwanyi_2023.5 жыл бұрын
Hakika Ewe Mungu wa Israeli ni wakuabudiwa na kupewa sifa na utukufu...........kwa maana Wewe ni mwenye ngufu na uweza.
@concesaluganga5 жыл бұрын
2019??...I wanna thank the Lord for internet at its positive impact...seven years ago as this song was released I was young and without access to internet...now im on KZbin and I can hear n see it...Lord thanks for providing a mean to keep it available here...please pour more anointing oil on this artist of yours for more heavenly songs...amen
@rhilrhila62875 жыл бұрын
Hakika ni Mungu wakuabudiwa ni yeye tu na wakupewa sifa na utukufu na heshima ni yeye tu Mungu
@keketsomabaleka54037 жыл бұрын
I do not know Swahili but this song completely took me away on the onset. It speaks to my spirit. What a heart willing to worship Almighty God selflessly singing this! Ni wewe The king of Kings! From Lesotho
@marthaochieng13406 жыл бұрын
Keketso Mabaleka it says 'Lord all glory and honour belong to you'
@stararmy12766 жыл бұрын
so powerful
@mbithejustus2466 жыл бұрын
You only to be worship 🛐, to be praised
@danielmutende20925 жыл бұрын
Yes. Wakuabudiwa mi wewe!
@jackiijackii16045 жыл бұрын
2019 n wangapi wanabarikiwa n huu wimbo Kama mm ,🙏🙏🙏🙏🙌 wapy likes
@tumsifudavid58875 жыл бұрын
Mini zaidi...B/ blessed.
@katabazi_starpinus4 жыл бұрын
Blessed a lot ss
@ceciliamunanga83214 жыл бұрын
Me
@faithkim74916 жыл бұрын
I LOVE YOU HOLY SPIRIT.❤ My best friend, Teacher, Advocate, Comforter, Helper Intercessor,strengthener, & Standby
@Terramoss8 жыл бұрын
Nataka kumshukuru Mungu siku ya leo nikisema ni yeye mwenye nguvu na uweza kwa sababu nilipokuwa hospitalini ni wengi walifikiri ni mwisho, lakini Yesu alisimama nami mpaka nilipotoka mzima wa afya! Hakuna cha kumshinda huyu Yesu. Namshukuru siku zote na nitazidi kumshuhudia Mungu anayeishi. Amen!!!!
@marykawira92668 жыл бұрын
Amen, His worthy all praise and honour ,His works are mighty
@tumainimerci58978 жыл бұрын
David Aidie
@neemakanyika20728 жыл бұрын
naupenda. hhh wimbo nkweli wakupewa sifa ni weeeee
@monicaelias38017 жыл бұрын
Amen
@monicaelias38017 жыл бұрын
Amen
@rewardkamnde38825 жыл бұрын
Mara elfu elfu nitasema niwewe wakuabudiwa bwana maana unastahili shukrani,sifa ,utukufu na heshima maana umetenda ambayo hakuna awezae asante Yesu
@petronilanandika75311 ай бұрын
February 2024 Sunday 11th i woke up singing this song. Wa kupewa heshima na utukufu ni wewe pekee Mwenye Mungu
@mariaernest93243 жыл бұрын
Wimbo huu nikiusikia unanikumbusha mwanzo wa maisha yangu ya wokovu in wimbo ulionifungua kiroho nakujua maana ya kuokoka ni nini umenibariki sana
@WambuiWambugu Жыл бұрын
2023 we are still camping here. It's amazing how a song/things inspired/born of the spirit go beyond the present time.
@brianmukolwe43648 жыл бұрын
Whenever I am to lead worship in church, this is the song that comes into my mind..A lovely song that takes me to heaven and blesses my heart so much
@nyangamussa34576 жыл бұрын
Ubarkiwe sana
@justinakatera54474 жыл бұрын
Mungu akuinue sana Tumaini
@annamwikali25024 жыл бұрын
2020 still warms my heart while listening
@leybabmdegela40924 жыл бұрын
So powerful
@mercywambui84494 жыл бұрын
Me too here
@makuba_h4 жыл бұрын
Same to me
@sirokemunto32803 жыл бұрын
August 2021 still here
@janenjeri9022 жыл бұрын
Me2
@MamawaImani7 ай бұрын
Am here in 2024 and very blessed
@bettymacharia29084 жыл бұрын
Am so weak but have a reason to say it you Jesus
@IryneChumbs6 жыл бұрын
Worship is very beautiful the bible says bless the lord ooh my soul and all that is within me meaning i bless you lord with all that you have blessed me with with my children, with my grand children with all the properties that you have blessed me with.thats why we lift up our hands and just worship
@deusdedit7892 жыл бұрын
Poke sifa na utukufu Mungu wangu 2022 still in worshipping
@evelydia9 жыл бұрын
JESUS!!!!!!!! how owesome is your mighty presence in this place i better join my bro to worship yuo coz JESUS you are so sweet to me, i have no word to tell you my lord this song appears new everyday to me.Father let your will prevail in my heart lord minister to me jesussssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1.....................................i feel the mighty breakthrough to break my heart to you MY KING JESUS uuuuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiii to be continued ,,,,,,,,,,,,,God bless you man of God.
@jonhjack41877 жыл бұрын
woooooow God bless u I like so much this song
@paulmuturi4122 Жыл бұрын
Thank you lord you deserve all the glory and honor......"wakupewa sifa ni wewe"
@joellaniyonkuru8908 Жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌pewa sifa wewe waweza yote Yesu na asante kwa kuwa ungali unanilinda sasa mapenzi yako yatimiye kwangu kwajili mapenzi yangu yameshidwa pewa sifa na unishike mukono wewe Baba mwenye nguvu 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏kacyir to kabez to ous 31.10.2023 kama ndo unavyo niwaziya viwe kama.unavyo penda wewe mwenye nguvu
@akinyimacoluoch55776 жыл бұрын
2018 who is listening...I feel like the song was produced yesterday...
@erickmponeja23716 жыл бұрын
Anylyne Akinyi this song is more of a happy prayer... a great worship song and a timeless classic 💌💌💌 ... 🔊wa kupewa sifa, na utukufu na heshima ni wewe... Mwenye nguvu na uweza NI WEWE Mungu baba... 🔊
@isaacjohnasienwa82055 жыл бұрын
hahahahaha,Akinyi huyu ni Ndugu Mtanzania,but the song is sooo good
@georgetwaha4 жыл бұрын
erick mponeja I
@mosesgk55694 жыл бұрын
2021 listening to such a glorious song.Glory to God. This is our year.
@emilywangare41078 жыл бұрын
can't stop singing this song. it's just so powerful.
@charlesmwangi45455 жыл бұрын
vry
@zipporahwanjiru85984 жыл бұрын
He remains The only God to be worshipped even today and forever
@gadysonaicom5 жыл бұрын
the 19th day of July 2019 nani bado anamwambia mungu "Ni wewe wa kupewa sifa na utukufu...
@florabuzoya39482 жыл бұрын
Ni wewe Bwana wa kuabudiwa ni Wewe ....ni wewe wakupewa sifa ni wewe,Wakupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe...Mwenye nguvu na uweza ni .Wewee.🙏Ni wewe Bwana Nakushukuru kila iitwapo leo
@rebound21793 жыл бұрын
Hakuna mwingine astahiliye kupewa sifa, utukufu na heshima ila Yehovah Mungu wetu, katika jina la Yesu Kristo. Wengine wapewao sifa ni miungu bandia.
@pansydahlia720810 жыл бұрын
HALLELUIAH! This is a true worship song. Every time I listen to this song I am overwhelmed by God's presence. My brother, continue singing Jesus, walk Jesus, sleep Jesus and talk Jesus NOT THINGS. By him therefore let us offer the sacrifice of praise to God continually, that is, the fruit of our lips giving thanks to his name. (Heb. 13:15).
@flossychaugi4977 жыл бұрын
A powerful song,,,Lord you worthy our praise
@drerksblessed11 ай бұрын
wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe mwenye nguvu na uweza ni wewe
@janemwaniki53524 жыл бұрын
No one like our Jehova
@aloysmwilu0018 ай бұрын
Exactly....2nd Sam 7:22
@shylac92744 жыл бұрын
Asante bwana yesu,utukufu ni wako.wimbo huu umenibariki kila ninapoisikiliza.mwimbaji ubarikiwe sana
@happymushi22195 жыл бұрын
Helooo yaani huu wimbo unafungua anga sana pokea sifa Yesu,Mungu akubariki mtumishi
@lenahmutheu69084 жыл бұрын
2021 na bado wimbo huu unanibariki kwa kiwango cha juu sana
@jacintanayieyo84244 жыл бұрын
2020- I break down anytime I listen to this song.. Deep worship. God bless you and expand your ministry Pastor Tumaini
@sabbyndesh24023 жыл бұрын
Me too,it takes me deep in the spirit.
@salomemeckson92446 жыл бұрын
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni Mungu pekee,hakika message nzuri Sana kaka Tumaini,Mungu wa mbinguni akubariki.
@jacobmalova48919 жыл бұрын
Kweli Mungu ni Mku, anastahili sifa na utukufu! kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu....
@walterkileo21498 жыл бұрын
Give thanks to the LORD, for he is good; his love endures forever. -Psalm 118:29
@marykawira92668 жыл бұрын
Amen
@maryiewavua48867 жыл бұрын
Walter Kileo Amen
@audreyaoko48235 жыл бұрын
Amen
@minayokeiza233610 жыл бұрын
wa kupewa sifa, na utukufu na heshima ni WEWE, mwenye nguvu na uweza ni WEWE
@sarahleganga10356 жыл бұрын
Mungu akubarik sana wimbo umenibarik sana hakika wakuabudiwa ni Mungu pekee maana yeye ndiye kila kitu katika maisha ya mwanadam
@lizaelizabeth40695 жыл бұрын
Ni wewe, because it's still you 2020,2030,2050,3000,,,,,,,amen
@janetngala59126 жыл бұрын
wakuabudiwa hakika ni wewe mungu uliye niokoa katika ajali ile ya gari hakika wakupewa siku ni wewe mungu asante kwa uponyaji wastahili heshima jehova
@leahamosi27224 жыл бұрын
Hakika wa kuabudiwa Ni wewe mungu wetu haijalishi tunapitia wakati mgumu kiasi gani haijalishi ni kipindi hiki cha mpito wa Korona virus tusiache kumwabudu mungu na kumrudishia sifa na utukufu.
@andrewmule475 жыл бұрын
Listening now worshiping in the morning,
@richardrichard11125 жыл бұрын
Niwewe Mungu ulie nitoa ospitali nakuniepusha na oparetion wakupewa sifa nautukufu
@farajagoodluck20434 жыл бұрын
Ni ww Wakupewa sifa na heshima Mungu wangu ,ubarikiwe Kaká Tumaini.
@farajangandu91113 жыл бұрын
Nakuabudu Mungu wangu peke yako unastahili kuabudu kwangu nakupenda Yesu .
@elizabethmwange29303 жыл бұрын
Uyafanye maisha yangu yawe ya kukuabu hallelujah 🙏🙏🙏
@shikungugichannel56513 жыл бұрын
I just lt this song, thanks to Nancy Nthiwa. She introduced the song to me and I'm blessed whenever I listen 👂 to it
@beatricemrema45814 жыл бұрын
2020 bado na barikiwa sana na wimbo huu,Mungu wewe ni mkuu sana
@MoN_KaDO6 жыл бұрын
Kweli kabisa ni yeye aliye juu anastahili heshima na utukufu.Yesu utukufu ni wako Bwana.
@mercymaina5229 жыл бұрын
Acknowledging no one else to be worshipped. Only you our Lord and savior.
@petermarieta40735 жыл бұрын
Ni wewe tu bwana wa mabwana. Utukufu na sifa ni zako Jehova
@neemamasija52729 жыл бұрын
Ni MUNGU Yehova Yahwe pekee wakuabudiwa, na kupewa sifa, na utukufu na heshima, ni yeye. ubarikiwe kaka MUNGU ainue huduma yako.
@stellalizpetro48213 жыл бұрын
My daughter 4yrs made me play this song over n over again
@erickmkally23684 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah wakupewa sifa na heshima ni MUNGU pekee MUNGU na aendelee kukuinua kwakweli
@lulanjamd38865 жыл бұрын
Tumaini hakika unamtukuza Mungu kwa nyimbo nzuri za kuabudu na sifa nakutakia kazi njema kaka.
@josekindman45076 жыл бұрын
I won't stop worship you jesus... Because I love u so much... You deserve my prayz.. When am think where I come from.. Is you jesus
@TheChristianApologistke Жыл бұрын
2023! na bado ni Wewe still ministers to my soul
@cathyandaye69306 жыл бұрын
Amen kaka ni mungu pekee wakuabundiwa,kupewa sifa na heshima amen amen
@maikoleonard71076 жыл бұрын
Hakuna mwingine. ...only Jesus no one like him ... Mimi ndimi njia na kweli na uzima (YESU anasema)
@samwelmwaijumba60185 жыл бұрын
Ni Wew wa kuabudiwa na kupewa sifa...wakuabudiwa ni Wew wakupewa sifa na utukufu ni Wew mwenye nguvu na uweza ni Wew.....ubarikiwe Tumain Mungu akutunze na kukuinua zaid na zaid ktk jina la Yesu amen
@NuruMaziku19976 жыл бұрын
Jamani nampenda huyuuu baba yani akiimba n wewe ukawa unaskiliz nyimbo kwa makini unachungulia mbinguni kiukweli
@marthakerubo4282 жыл бұрын
Thank you Jesus,I worship you God,BLESS me oh my God.
@judynjoroge56195 жыл бұрын
🙌🙌🙌ni wewe wakuabudiwa wakupewa sifa na utukufu na sifa ni wewe
@nickwillchumba Жыл бұрын
I really love your songs Mom.. They are really good, they confort me everytime when I feel so low.. Ngoberurin Jehovah❤❤
@annethz.issaya3382 Жыл бұрын
The powerful song🙏🙏 may the Lord make a way and fullfil my needs. Amen
@vickymallessa45436 жыл бұрын
Mtumishi Tumaini wewe ni ajabu hii nyimbo kila siku ni mpya masikioni mwangu huwa siisikilizi kwa mazoea
@enitamwashambwa90927 жыл бұрын
ni wewe tu mungu unayestahili heshima na utukufu ktk maisha yangu yote
@jodavies4757 жыл бұрын
Upishi huu Mtumishi TUMAINI ama kweli umenishibisha kwa nyanja zote .MUNGU akupe Ufunuo mwengine unishibishe .
@mogennaomi32517 жыл бұрын
hakaki ni wewe mungu pekee ndio wa kuabudiwa .nice song indeed
@janetjames97019 жыл бұрын
Wimbo wako unanibariki sana mpendwa unagusa maisha ya watu hasa tukiuimba Ibadan Yesu akubariki sana
@noelisavanti53288 жыл бұрын
kila SKU ntakuabudu we Mungu....kwani ni wewe peke yako ktk maisha haya
@willykitonka45904 жыл бұрын
Ni wewe Mungu wakupewa sifa zote, thank you Jehova for my life,thankyou for your love,ur guidance, for wanting the best for me.Unastahili heshima na utukufu. I love you Jehova, i love yoy holy spirit
@doriskavaya32588 жыл бұрын
Ni wewe tu Mungu wakupewa sifa na utukufu,Bwana wastahili
@annewanjiku526 жыл бұрын
Tumaini you are a worshiper of Jesus Christ all honor and Glory to Him alone
@jamesmwasambili3818 жыл бұрын
Oooh ama kwa hakika Mungu pekee anastahili kuabudiwa na kupewa sifa,what a song!!
@gracekulwa85988 жыл бұрын
Napenda kumuabu mungu mda wite
@tumainimerci58978 жыл бұрын
Grace Kulwa thanks so Extremely yr songs it's blessed me and I believe you are my save
@tumainimerci58978 жыл бұрын
James Mwasambili really i .m feeling so blessings from this sond God may he give you more strong and he blessed you so much
@mamatuishi-mamatuondoke88228 жыл бұрын
NIMEMIS KANISANI MM MARIA'EE MUNGU UNIKUMBUKE NAKUPENDA YESU WANGU
@michaelkamaa30826 жыл бұрын
I love this song... enyewe ni wewe tu wa kuabudiwa mungu wetu
@johnnyabuto29236 жыл бұрын
I love the song "NI WEWE " so much just as my daily food that i will never miss even a single minute. Ubarikiwe Ndugu.
@victoriamukami898610 жыл бұрын
He alone is worthy..love this song
@patricianjeri8722 Жыл бұрын
I have had 3 c sections, every time am on the operating table, I request my surgeon to allow me listen repeatedly to this song as it plays on the background. It gives me hope, each surgery has been successful. God is Gracious
@lydiabukachi52464 жыл бұрын
Thanking God for beautiful voices ,
@mercyaganwa12346 жыл бұрын
It is only you God,receive all the glory
@estherkibui23717 жыл бұрын
Wow so powerful... wakupewa sifa ni wewe MUNGU☝👐
@drtobiaswakhungu3458 жыл бұрын
Ni wewe Bwana wa kuabudiwa hakika, hakuna mwingine chini ya nchi wala juu mbinguni wa kuabudiwa!!!!
@marymwaush63367 жыл бұрын
God is awesome, he deserves honor, glory and praise. what a great God we serve, let us continue loving the Lord the more.
@elvajuliette17954 жыл бұрын
Wakupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe🙏🙏🙏😭
@nyasundaychuang94126 жыл бұрын
I dont understand swahili, but those is amazing. I looked up the meaning and its very beautiful. I put it on repeat for stright 4 hours while i studied the Word of God. Was so relaxing and loving.... Bless your heart brother.
@ezekielaloyce59175 жыл бұрын
Hellow is only you of worship is only you you have power full is you.
@michelinnyongesa556810 жыл бұрын
whenever you listen to this song, u have no choice but to worship Jehovah God.
@estellariziki74314 жыл бұрын
Amen jesus nimeba rikiwa asate mungu mungu awabariki amen
@poulletkavuvi22275 жыл бұрын
Sifa zangu ni kwako kristo yesu, umenihifadhi mda huu wote!
@lulunationfoundation3032 Жыл бұрын
Wakupewa sifa na utukufu ni wewe Yesu🙏
@gerrynamisoh45565 жыл бұрын
Kwa kweli mungu Ni mwema nabata ubonyaji kubitia huu wimbo ooooooh my god
@janetngala59126 жыл бұрын
nataka ni mshukuru mungu wakupewa sifa na nguvu ni mungu ni mwezi wa 4tarehehe 24 ambapo mungu mwenye nguvu aliniepusha na kifo nilipona pata ajali ya gari hakika yesu anastahili heshima
@frank292839 жыл бұрын
Ni wewe yesu tuu..............glory
@neemaibrahim72395 жыл бұрын
Amina
@joisesteven87154 жыл бұрын
Hakika ni wewe Mungu wa kuabudiwa ,,barikiwa xana
@francescammari53373 жыл бұрын
Thank u thank u Nimekuwa na utulivu na uwepo wa mungu rohoni mwangu Mungu akubariki saaana sana
@matumbamonsa74332 жыл бұрын
NI WEWE WA KUABUDIWA its 2022 na bado nakurudishia sifa YESU wangu