Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Masha Allah Tabarakallah ❤❤❤❤❤❤
@FatmaMohammed-bc8dy7 ай бұрын
MashaaAllah baaraka llah Allah akupe mema ya dunia na Akher sheikh wetu
@fariydsaiyd99712 ай бұрын
ALLAH akupe umri mrefu na wenye barka ili tuendelee kunufaika na wewe sheikh letu
@RoadbuckCustomercare28 күн бұрын
Allah aniwezeshe Idumu huwa nawaambia kalaleni .. I love you and good night msisahau kusoma dua ya kulala
@KhalidIssa-f7r Жыл бұрын
Kwakweli sheith, asante sana, kwa mahelekezo,
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH. Wallahi some zuri lenye mafunzo mema ALLAH akuhifadh sheikh na akujaalie pepo ya Fridaus inshaAllah 🤲🤲🤲
@zuwenankungu577411 ай бұрын
MashaaAllah Allah akuhifadhi shekhe wetu na vizazi vyetu.
@allykijembe3881 Жыл бұрын
Allah akubariki mwalimu Wangu mada ya malezi kwa mara ya kwanza niliipata kwako mwaka 97 Keene Aqiqa ya khuzayma pale Nyumbani
@zuwenasaid766710 ай бұрын
Mashaa Allah
@ibrahimuwambili8536 Жыл бұрын
Ahsanta yaa habiibi
@muna974110 ай бұрын
Asalam alykumu warahamatulah wabarakatuh shekhe wetu asante sana kwa mawaidha mazuri na nikusikilza vizuri kuhusu malezi ya watoto ss wazazi hasa kina mama je shekhe mm mzazi wa kike ambaye nimechukua majukumu yote ya kulea watoto na hapo inabidi mzazi huyo wa kike ukatafute mbali na watoto kwa kuwa mzazi wa kike ndo kama ulivo sema ss ndo tutaulizwa vip nimewalea watoto na nikaamua mfano kuja kutafuta mbali na nchi yangu lengo nipate pesa kwa ajili nilee watoto wangu, na baada ya hapo kukatokea mtihani baina ya ss wazazi wawili lakini lengo la mm mama nikutafuta kwa ajili ya watoto je nani atakuwa na kosa mbele ya Allah? Ikiwa mm mama natafuta kwa ajili ya kuwalea watoto wangu watoto niwapeleke kusoma eliim ya akhera na yadunia na mzazi wa kiume kashidwa na majukum yake