Thee Pluto & Truth Watchdog Drama Takes New Twist - Are They Beefing??

  Рет қаралды 70,750

Nicholas kioko

11 ай бұрын

#nicholaskioko

Пікірлер: 412
@sharonkhayosa162
@sharonkhayosa162 11 ай бұрын
Huyu mzee nampenda bure , aliokolea madems wengi sana wa gulf
@EdithmumbuaKioko
@EdithmumbuaKioko 11 ай бұрын
True . nilikuwa namchukia lakini nikaanza kumtrust
@Bodyclean544
@Bodyclean544 11 ай бұрын
Our KZbin DCI ❤❤ TWD we trust you men...tulikulwa pesa manze but alitusaidia
@Antonysimiyu2
@Antonysimiyu2 11 ай бұрын
truth watchdog forever madnze huyu jamaa amenihelp sana
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 11 ай бұрын
Watu waachane na thee Pluto, baba Zoey may God protect u from ur enemies 🙏
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi 11 ай бұрын
Kabsaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 11 ай бұрын
Mm ningekwa pluto singekwai kungangana nawatu wanaongea kunihusu
@marymwikali3926
@marymwikali3926 11 ай бұрын
Hawa wamekosa kazi ndio waongelee wezao
@Rakel-d9v
@Rakel-d9v 7 ай бұрын
It's funny how mtu akisema ukweli anaitwa enemies ,hiyo maombi yako haioni anga
@reginaphilip2644
@reginaphilip2644 11 ай бұрын
Napenda vile pluto ako busy na life yake ,🎉
@philicemaradi
@philicemaradi 11 ай бұрын
Same 2 me,, This guy anakuwanga kimbelembele kujua kula kitu
@marymwikali3926
@marymwikali3926 11 ай бұрын
Sawa
@Cedric72
@Cedric72 11 ай бұрын
I used to hate him nikithani ni wivu but vile alianza kukuja na edivance this guy is born DCI I love what his doing
@Evaseve
@Evaseve 11 ай бұрын
Mi Naona tu watu wamind their own biz and let others grow in peace.
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
Walai
@MM_NGOMA
@MM_NGOMA 11 ай бұрын
We don't want peace my lady.
@SP1-media
@SP1-media 11 ай бұрын
We don't need fake motivation or false pressure
@loboi1042
@loboi1042 11 ай бұрын
Let people live their lives, so you want the guy not to enjoy his money if he has it???
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df 11 ай бұрын
Kenya sisi😂 sote 😂 tuko na kasoro😂 mahali kwa njia tofauti
@fionafifii
@fionafifii 11 ай бұрын
The growth is amazing for both of you guys., I just saw last year's video interview with this guy na nyi wote mlkuwa mmeslim mbaya sana lakini looking at how you guys look sai😊😊I pray mtaendelea kushoot more of these guys blessings
@charitynkatha4711
@charitynkatha4711 11 ай бұрын
Napenda interviews zako walai, good job
@janetmwende7988
@janetmwende7988 11 ай бұрын
I like this guy but I just don't get why he choses not to monetize his channel. It is an opportunity to make money while sensitizing people, Like how does he benefit from not monetizing it?! Why sleep on the opportunity.
@MungaiWinfriend
@MungaiWinfriend 11 ай бұрын
Inshort so long as your in this universe utaikua in peace people will always trying to conquer your feelings and happiness so its u to b across to God and tell Him to give u courage
@annahlivingstone7834
@annahlivingstone7834 11 ай бұрын
Kila mtu ashughulike na maisha yake.. Mwenye anaumwa aende kortini lakini sio kwa media
@JoelNjane-gs3ij
@JoelNjane-gs3ij 11 ай бұрын
Keep exposin' em'!!...
@maninblack-to5uz
@maninblack-to5uz 11 ай бұрын
I've been against this guy but I now gat him 😂
@ebyanmohamed198
@ebyanmohamed198 11 ай бұрын
Am a fan of thee Pluto forever ❤
@Wanairobi
@Wanairobi 10 ай бұрын
Pluto is an inspirational young Kenyan. Ninampeda sana kwa jitihada zake.
@polynenkirote6007
@polynenkirote6007 11 ай бұрын
I just love the honesty with this guy ,keep telling them bro
@MM_NGOMA
@MM_NGOMA 11 ай бұрын
💯💯 Neooma Nkiro😂
@davidolao5292
@davidolao5292 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@polynenkirote6007
@polynenkirote6007 10 ай бұрын
@@MM_NGOMA yes Wacha wapigwe na ukweli
@RyanandGian
@RyanandGian 11 ай бұрын
I trust this man
@TheBarakas
@TheBarakas 11 ай бұрын
Wueh,with how things are going,we just let people do what they because trying to keep up is now a headache 😂😂
@sharonwangui7786
@sharonwangui7786 11 ай бұрын
Pluto forever wanaume nowadays hukua na wivu kama mabinti aibu!!! Na vile nikizee karibu akue agemate ya. Baba Pluto 🚮
@alicekomu3852
@alicekomu3852 11 ай бұрын
Whatever the case as long as sio ww unamlipia bona unawashwa
@josphinenyatero7948
@josphinenyatero7948 11 ай бұрын
Thee pluto you have loyal fans no matter what 📌📌📌📌📌📌
@emmainyele2700
@emmainyele2700 11 ай бұрын
Wapi likes ya Baba twins
@isaacchumba
@isaacchumba 11 ай бұрын
Ju amedo nini
@allenmwiwawi1970
@allenmwiwawi1970 11 ай бұрын
Now I understand why TWD hasn't exposed Thee Pluto "loyalty test" paid scripts.
@mwaukyalobrian6322
@mwaukyalobrian6322 11 ай бұрын
but si ni Kipindi for enjoyment? ata Movies hukuwa scripted and we watch
@sitythadj
@sitythadj 11 ай бұрын
🤣
@SabrinaAyaan
@SabrinaAyaan 10 ай бұрын
@@mwaukyalobrian6322 but Kwa movie you know it is not real, the problem with this ones is deceiving people which is wrong.
@EstherNdungu-h6m
@EstherNdungu-h6m 11 ай бұрын
Team Gulf tuko Pluto's team mate ata upanua kindomo aje nauwache kuharibu jina ya ubwa haina wivu Pluto dear we love you and what you have and what you do ❤😘 kisses to Pluto
@millpuffmusiq7030
@millpuffmusiq7030 11 ай бұрын
Bombo
@larryking254
@larryking254 11 ай бұрын
Mbwa n ww
@lewiskariuki8079
@lewiskariuki8079 11 ай бұрын
Wewe ndiye mbwa kubwa sans
@Edgybhthjklew
@Edgybhthjklew 11 ай бұрын
Team gulf hatuna hio ujinga ya kuitana Mbwa tukiepuka ukweli, learn to listen this trueth watch Dog have helped many big up bro🙏
@millpuffmusiq7030
@millpuffmusiq7030 11 ай бұрын
Mbwa Ni watu wenu
@faithkasweetie4661
@faithkasweetie4661 11 ай бұрын
mimi siwezi comment kitu hapo juu ukweli wote Pluto ndio anajua whether he's faking or not nikondeshwe na kabedsitter kangu
@mathewkipbet
@mathewkipbet 11 ай бұрын
Huyu tu ni GOAT
@abbeypretty2196
@abbeypretty2196 11 ай бұрын
Pluto and TWD I love you both. Please solve your differences 🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 11 ай бұрын
Here no difference to be solved watchdog ajitume awache kuongea shit
@lizz6555
@lizz6555 11 ай бұрын
❤❤❤my trust for truthwatchdog is 💯 %
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df 11 ай бұрын
❤❤❤
@Bodyclean544
@Bodyclean544 11 ай бұрын
TWD yeah ako Sawa kbsa 100%
@ezekielkiprotich1322
@ezekielkiprotich1322 11 ай бұрын
I support you but Pluto never said I have bought any house alisema moving to new house
@DgccjPyijgf
@DgccjPyijgf 11 ай бұрын
I will still type Pluto ni scammer na groups zake za trading alinicorn 90k I have evidence hata mpesa messages,God will punish you Pluto
@lizz6555
@lizz6555 11 ай бұрын
@@DgccjPyijgf 🤔🤔🤔🤔🤔ngai...am really sorry 🙏
@Kennedy122j
@Kennedy122j 11 ай бұрын
We are supporting rich people but they don't give out to poor ,muendele na beef yenu
@alekshaker7187
@alekshaker7187 11 ай бұрын
truthwatchdog is always right ,,i always trust him coz anachunguza mambo before aseme.
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
Unatrust aje mtu mbona yeye asijijenge kama wenzake watoto wadogo wanamshinda hata kama ni scum na wanaisha better life
@benmotum621
@benmotum621 11 ай бұрын
​@@agnesjumajombo1774hey mum why are you protecting this guys so much,let them be exposed,si hao wenyewe wanajiparade social media
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 11 ай бұрын
​@@agnesjumajombo1774Pia mimi namwamini juu amefunguwa watu macho na mambo ya kujenga ni mipango ya Mungu juu uko na KZbin heti unadanganya watu na na vitu za scummmmmm
@josephineaumamuhola1798
@josephineaumamuhola1798 11 ай бұрын
​@@agnesjumajombo1774😂😂😂
@Max254officialtv
@Max254officialtv 11 ай бұрын
Volume ❤😂😂 ata mimi namshinda kwa umbali na aliniongelea ety nakula pesa ya wasichana wa gulf as if hao wasichana wa gulf hawajielewi😂😂😂
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 11 ай бұрын
Either rental or his house, he's living his best life, wachana na pluto kabisa
@nellyambogo4055
@nellyambogo4055 11 ай бұрын
Kwani unataka thee pluto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df 11 ай бұрын
Na naona wewe pekee ndo unainsist this,, kwa kila platform😂,,, easy lady,,, maisha hupangwa na Mungu
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df 11 ай бұрын
​@@nellyambogo4055bhana😂 hebu muulize tena kwa sauti sasa😂
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 11 ай бұрын
Waachane na yy kabisaa we love Pluto and he's sorrounded by the blood of Jesus
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 11 ай бұрын
@@STARCREATIONS-wo4df hiyo yake pia imepangwa na Mungu, omba yako iwe salama na mwachane na Mambo ya watu
@azol7
@azol7 11 ай бұрын
Truth watchdog ameamua kusema "Unaget alot of tax" instead of attacks(8:56)😂😂😂
@judyhope867
@judyhope867 11 ай бұрын
Pluto is Young and Rich ❤❤wewe enda ukasikie vimbaya na huko,,pluto all the way
@mercychemaiyo
@mercychemaiyo 11 ай бұрын
Wee l love this man anasemanga ukweli ,wakati my Auntie alibuy cooked oil aty promotion kufika hao kuona ni maji ,2days nikaona umeongea.about it
@Ginimbi_Munyao
@Ginimbi_Munyao 11 ай бұрын
Huyu jamaa anakuwanga na umama sana, kuchunguza maisha ya watu.
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 11 ай бұрын
N upuzi Ako nayo
@Bodyclean544
@Bodyclean544 11 ай бұрын
​@lucymumo6426Wacha ujinga the guy anasema vitu za ukwel
@dfreednium
@dfreednium 11 ай бұрын
Kabisaa unafuatilia maisha ya wanaume wezake
@MM_NGOMA
@MM_NGOMA 11 ай бұрын
Unataka afanye...? GrandGinimbi😂😂😂😂😂
@Edgybhthjklew
@Edgybhthjklew 11 ай бұрын
Tunampenda hivyo ❤
@philicemaradi
@philicemaradi 11 ай бұрын
Uyu jamaa na vile anajifanya kujua maisha ya kila mtu ,,, Let pple learn to mind there own business
@loyciousmapenzi
@loyciousmapenzi 11 ай бұрын
Pili pili uso ila inakuashia nn hii social media itaniua na presha
@rachaelw580
@rachaelw580 11 ай бұрын
Haha watchdog tulizoea kitambo hizo new houses every month noma
@DennisNdege-mo5yk
@DennisNdege-mo5yk 11 ай бұрын
jezi kali mtu wangu, unang'ara kuliko wengine
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi 11 ай бұрын
Wachana na pluto umbwa hii jiangalie kwanza kama umelemewa ma maisha nenda ukasikie vibaya na uko shenzi nkt
@Annmurigi-ph6ll
@Annmurigi-ph6ll 11 ай бұрын
Rudia bila kulia 😂😂
@films254
@films254 11 ай бұрын
This guy looks honest.
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 11 ай бұрын
Honest wapi😢😢anaharibia watubjina
@francisnjeru9547
@francisnjeru9547 11 ай бұрын
How honest?
@wycliffmarando6258
@wycliffmarando6258 11 ай бұрын
The guy is very honest, i love it .
@magicalfootbalworld
@magicalfootbalworld 11 ай бұрын
Huyu mjinga ni attention anadai amesota
@Bettyjebet-hd3zq
@Bettyjebet-hd3zq 11 ай бұрын
Plutoo ❤ we love you achana na huyu jizi
@JoanMukirai
@JoanMukirai 11 ай бұрын
I feel like the guy ako na kaukweli walai ....
@LionessDadsDotaMoura3188
@LionessDadsDotaMoura3188 11 ай бұрын
Mambo ya #SocialMedia ni #Nooma, inavunja wa2 Roho😢😢😢😢
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 11 ай бұрын
Mbwa mtamazaji, plz learn to clap for others success, even if they're scammers, don't attack them, everything kenya is a scam, lakini uwache wivu, the people you're competing with are 20 million times ahead of you
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 11 ай бұрын
Money isn’t everything…20 million times a head with rubbish and depression?
@bebzwakio4713
@bebzwakio4713 11 ай бұрын
Wivu inamusumbua
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
Ako na wivu ndio maana hasongi
@dennisrutto7899
@dennisrutto7899 11 ай бұрын
Who hurt you?
@SabrinaAyaan
@SabrinaAyaan 11 ай бұрын
You cannot clap for scammers. Do you know the meaning of scammer? It is another name for a thief. So you want him to clap for thieves?
@celestineete6425
@celestineete6425 11 ай бұрын
Watchdog husema ukweli, so akiwambia mnaona vibaya, people are used to cone other na online business, Forex scam
@duncankamasi9668
@duncankamasi9668 11 ай бұрын
Anafunza poa
@Edgybhthjklew
@Edgybhthjklew 11 ай бұрын
Huoni vile wanamtusi ati ana wivu wengine tumesaindika sana kutoka na videos zake
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 11 ай бұрын
​@@Edgybhthjklewtrue ameseidia wengi sana mpka sahii watu wameanza kuchangisha kwa what's app group 😂😂
@The_Detective254
@The_Detective254 11 ай бұрын
Mtu anipee number ya truth watchdog
@shiphrawanjiku7333
@shiphrawanjiku7333 11 ай бұрын
Pia mm Nataka number yake
@eunicechege6839
@eunicechege6839 11 ай бұрын
Bro shughulika na maisha yako Wacha wivu mtu aishi maisha yake kubaff
@ruthwaitherasshhb9382
@ruthwaitherasshhb9382 11 ай бұрын
OUR OWN DCI #Truthwatchdog ❤❤
@rachaelw580
@rachaelw580 11 ай бұрын
Bona uaaidiwe na mtu then unasahau quickly unaanza kumwanika
@abedmutuku9479
@abedmutuku9479 11 ай бұрын
Thee watchdog 💪🏻
@anneooo-k6r
@anneooo-k6r 11 ай бұрын
Pluto all the way we ❤ you wivu ya nn jamani
@kadkadzo7543
@kadkadzo7543 11 ай бұрын
Huyu jamaa akiongea kitu msimdharau,ju anajua anachokisema mwamtusi baadaye ukweli ukijitokeza ....
@charitykendi9213
@charitykendi9213 11 ай бұрын
Basi aandikwe kwa serikali ya Ruto,apate CHEO kuu huko
@kuria_for_life1
@kuria_for_life1 11 ай бұрын
​@@charitykendi9213peleka Kuma iko na ukimwi uko umbwa hii
@fidelkips9498
@fidelkips9498 11 ай бұрын
Wacha maisha ya watu
@annabelyouseef
@annabelyouseef 11 ай бұрын
This guy is so honest
@GeorgesWilliam-u7e
@GeorgesWilliam-u7e Ай бұрын
This man is a content creator, i like real things
@RyanandGian
@RyanandGian 11 ай бұрын
Kioko Concentrate I like the way truth watch dog was not inturupted
@reubenlarry
@reubenlarry 11 ай бұрын
Kumbe we pia ni MWIZI wa simu na viatu 😢
@charitykendi9213
@charitykendi9213 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@rachaelw580
@rachaelw580 11 ай бұрын
But kusema kweli pluto hakusema nyumba ni yake ama sio yake but alisema ameipea zoey wake as a birthday gift sasa sijui bona unamwanika na pluto huishi kuhama hama
@trizahkigoi9331
@trizahkigoi9331 11 ай бұрын
Jealous dog ebu tufanyia house tuor ya kwako tuone your kipanda.... Either the house is for pluto or rental he is living the best life 50 times than you work hard ufike hapo uwache kuwashwa na na maisha ya those who are winning
@Gprince520
@Gprince520 11 ай бұрын
This guy is very intelligent
@DorrisKathini
@DorrisKathini 11 ай бұрын
Kioko umetoa uyu mama mwezangu wap?mwambie watu wataendelea akikataa ju mungu ndie anapeana riziki❤
@WariahOtongolo
@WariahOtongolo 11 ай бұрын
Truthwatchdog anamwonea Thee Pluto wivu mbaya. Wivu ni wivu bro and success has nothing to do with age. Ama maguka wetu wote wangekuwa rich na vijana wote poor. The world doesn't work like that!
@RizikiNyamata
@RizikiNyamata 11 ай бұрын
Kabsa uyu mzee alinisinya
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
Huyu jamaa progress ya watu inamkosesha usingizi work hard buda utajirike pia wewe
@kuria_for_life1
@kuria_for_life1 11 ай бұрын
Uliamua akili hutatumia mumams huyu😂😂😂 peleka kuma na uko
@kimfilmspromedia6138
@kimfilmspromedia6138 11 ай бұрын
You saved my money TWD
@RuweidaMacool
@RuweidaMacool 11 ай бұрын
Next time drink sprite na chumvi
@covenante8070
@covenante8070 11 ай бұрын
ata uambie watu wanaishi fake life... maisha ya watu inakusaidia aje... ndo maana ata hiyo KDF ulifutwa juu wee ni snitch... mbwa mtazamaji nonsense
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht 11 ай бұрын
Aki waluhya tunashida ngani uare bz na maisha ya wanaume wenzako
@estherwanjiku5424
@estherwanjiku5424 11 ай бұрын
Aaaiiiia wanaume kumbe pia wanakuwanga na huu ujinga
@samuelngigi8107
@samuelngigi8107 10 ай бұрын
Thee pluto n umbwakin sana iwish anipate
@emmanuelkipngetich8453
@emmanuelkipngetich8453 11 ай бұрын
Shughulika na maisha yako
@ckube-iu4cr
@ckube-iu4cr 11 ай бұрын
Men wakishikwa they humble 😂
@CarolCarol-d6j
@CarolCarol-d6j 11 ай бұрын
But for real he should mind his own business awachane na maisha ya watu fake or real hata yeye afake
@carenkyumwa3454
@carenkyumwa3454 11 ай бұрын
If the the house is he's or NOT issue ni????? Uyu mwanaume dog akona mdomo sana shida yko n nini... Kioko be careful with who ur interviewing Issue of scamming if ur not scammed shida yko iko where kasikilie vibaya n ukooooo
@domitilamutua9273
@domitilamutua9273 11 ай бұрын
Mambo ya watchdog ni ya uongo akwende huko....pale kwa Brighton pia alicheat....
@texasviper2042
@texasviper2042 11 ай бұрын
nyi wote ni maumbwa apa, mnacomment why
@Yuca878
@Yuca878 11 ай бұрын
This man is a Dog for really .life ya mtu mbona anapenda kufuatilia kama mtu anapata unga kutoka uko,mbona imuume.
@wahesh254
@wahesh254 11 ай бұрын
Ni umama na umaskini imgn
@BrianPiethorn-yn1ge
@BrianPiethorn-yn1ge 11 ай бұрын
We love truth but bring the real person face to face in your platform how will us know if it's crout am real life wewe truth hottest dog in town acha watu watengeneze doh na anything in life wakuscumiwa ole wake then enda Kwa gov't utafute ukweli uko wachana na mavijana
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 11 ай бұрын
Hajawai host mtu ni vitina tu
@morrismurimi3275
@morrismurimi3275 11 ай бұрын
Ile umaskini mko nayo😂😂😂 hamuezi elewa what he is doing...the day mtaconniwa mtajua. Truth watch dog si nyanya yenu😂😂😂 En i pray God to fulfill this...i support no one
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 11 ай бұрын
The moment I saw this dog on Dan wemas tiktok nikajua kumbe ni kamati roho chafu mara kwa director j mara kwa moha mara mozororachi😅😅
@Shan80804
@Shan80804 11 ай бұрын
But for Dan Wema it's was a bare truth. He implicated himself with his own skit video
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 11 ай бұрын
@@Shan80804 osu
@charitykendi9213
@charitykendi9213 11 ай бұрын
Hii n sign ya roho chafu,wivu,
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 11 ай бұрын
@@charitykendi9213 imagine
@AlfieBaddman
@AlfieBaddman 11 ай бұрын
Team Kioko nifikishieni hata 500 subs 🥀
@sporttalent254
@sporttalent254 11 ай бұрын
Thee keep winning man❤
@JescahMutwiri
@JescahMutwiri 11 ай бұрын
Talking to him as who??? Jealousy kills oooh,,, wachana na thee Pluto he is living his best life look for your own life
@zurielalpha5547
@zurielalpha5547 11 ай бұрын
Wivu na umaskini inamsumbua
@demanhassan4953
@demanhassan4953 11 ай бұрын
Is it a must to proof to people what you own or not😢
@denmac9321
@denmac9321 11 ай бұрын
Huyu anaingilia wasee clean n mascammer wamejaa huku nje😅
@mauriceoware7033
@mauriceoware7033 11 ай бұрын
C mngeenda kwa hao ya huyu jama mbona mvua iwapige 😂😂😂😂kwani hanakeja
@rrich_price
@rrich_price 10 ай бұрын
mnapigiana hiyo saa yote wanaume mkisema nini sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@okutebettina2509
@okutebettina2509 11 ай бұрын
This watchdog person anakaa mwaume wa mshenee sana give us your content don't tell us about other people
@FrianMuia-i6g
@FrianMuia-i6g 11 ай бұрын
Pluto all through either akue huwa anascript ama ni real I don't care,ata kama mansion ni yake ama si yake i think haiusu anyone,,,go go go thee pluto you are giving some gukas sleepless nights,may God uplift you ❤
@linu0720
@linu0720 11 ай бұрын
Acha Kila mtu ajienjoy bro maisha ya watu achana nayo. Tafuta content ingine ya kueka kwa KZbin Kioko huyo jamaa anakiharibia channel Yako
@solomon9756
@solomon9756 11 ай бұрын
huyu jamaa ako na udaku kuharibia watu shameless
@khayalalzaabi98
@khayalalzaabi98 11 ай бұрын
True
@pamelakarimi6317
@pamelakarimi6317 11 ай бұрын
Jelous dog style up achana na wivu bana achana na thee pluto kabisa
@bennjenga9763
@bennjenga9763 11 ай бұрын
Mm ujifanyia ya bahati nitatii.
@Nairobi396
@Nairobi396 11 ай бұрын
Unaonyeshwa documents as who ??????kama nani ?????????
@charitykendi9213
@charitykendi9213 11 ай бұрын
Huyu mzee n wivu kwa wenzake,shida yako n nini hata mtu akiishi maisha fake? Pia wewe jipange!!!;:?
@laikafrost9203
@laikafrost9203 11 ай бұрын
siku ntaskia mtu ameongelea kioko ndio ntaongea for now it's a bye bye 😂😂😂