Shukran za dhati zikufikiye Sheikh Yusuf. Free Palestine! Free Gaza!!
@mariamsefu8258 ай бұрын
Alhamdulillah yarajby mzidishie shekhe wetu huyu afya njema na wengine wote wenye moyowa huruma kama yeye amina
@mohamedS-yd9wh11 ай бұрын
Sheikh Yusuf Allah akuhifadhi Allah akupe ujasiri ucha Mungu na moyo wa imaan juu ya uchungu kuhusu waislam wanavyoteseka na udhalimu wa makafiri na mayahudi, tunawaona wanafiki na vikaragosi wao jinsi wanavyofumbia macho mateso yanayoendelea palestina. Allah atawadhalilisha wanafiki na wapenzi wao katika maisha ya dunia na adhabu ya ahera anajua Allah atavyowafanya, sisi hatuna nguvu ila sisi kilio chetu na duaa zetu tunamkabidhi Allah
@BUGAZANZIBAR10 ай бұрын
inshallah Allah awahifazi ndugu zetu wa Gaza
@ustadh_khamis10 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wangu
@hasnathmalela604411 ай бұрын
Shekh allaah akulipe inshaallaah
@MathewNathan-yb2bz10 ай бұрын
Mungu kamwe hapokei dua za wanafiki na wachochezi,ana kazi nyingi za kufanya.kwanza anauwezo wa kuangamiza dunia nzima na akaumba viumbe wengine wenye kumtii.
Ya Allah naomba uwape wapalestina ushindi wakomboe nchi yao
@mwawekomiuda977911 ай бұрын
Sheikh umeongea ukweli kwa kweli haya yanayoendelea yanauma mnooooo! Wanayoyafanya wale mayahudi imetosha na wanahisi hakuna wa kuwaweza lkn ipo siku inshaAllah inshaAllah
@omanmct13511 ай бұрын
😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔
@SalamaKhamis-un8vn8 ай бұрын
Huku Zanzibar Mukowapi mashekh mfano wahuyu juu ya kadhia ya Falastin zindueni Umma tuko nyuma sana
@esterjoseph67011 ай бұрын
Kama huna nguvu,usimchokoze mwenye nguvu ndugu!
@kibwanabadi6018 ай бұрын
Wacheni.matusi,Kwa.shekhe.anacho.kisema,ni.haki
@SalimuAbdala-sg9cw8 ай бұрын
Nasikia mpaka kilemba cha hamasi hurusiwi kuvaa saudia.
@ibrahimjuma970911 ай бұрын
Salam aleykum kama itaewezekana kila dola tupate vijana elfu 3000 tupatikane 40000 twendegaza kila muislam achangie tupate garam $10 i❤ umati Muhammed shekh simamia ili wallahi mi niko tayari kwenda
@esterjoseph67011 ай бұрын
Hee wewe hujipendi!Usidanganye wenzako,wale jamaa vita kwao ni mazoezi!mtaisha nyia pigeni dua.
@ibrahimjuma970911 ай бұрын
@@esterjoseph670 nani alikwambia duniani kuna maisha ya milele
@SamirKaba-u1c11 ай бұрын
Una mapya Aboud rogo kazungumza ayo Mlisema anakufurisha waislam Sasa leo na Nyinyi mnakufurisha tena!!!
@aalyaali661911 ай бұрын
Dua ni silaha kubwa tusidharau...hapa saudia wanakunywa na kununua vitu hata hawajali yani habari hawana ukimuonesha video anakwambia lalalala siwezi wapo busy snapchat 😢😢😢 msiba kwa kweli Allah atawanusuru waja wake wa Palestine INSHAALLAH
@sultansss283411 ай бұрын
Allah sw aliwaahidi kikundi kidogo kitapambana na wenye maslaha mengi lkn watashinda tu. Maana sisi Waislam tumeshafeli zamani sana hatupo wamoja tupo ktk misikiti yetu kusali na kwenda kula biriani basi. Lakini ule Umoja alituusia Mtume Saw tushikamane nao ktk hijatul wadaa tumeachana nao lazima tufeli bali mpaka turudi ktk umoja wa kweli
@SalimuAbdala-sg9cw8 ай бұрын
Mwambie mfuti wa tz.
@kijitamfyomi559811 ай бұрын
Kina sheikh Mafuta wamekaa kimya na ukiwauliza wanasema Hamasi wamejitakia watapigana vipi na mayahudi wana silaha kubwa ?
@selemankishema578011 ай бұрын
Kweli sheikh wangu dunia wamuachie nani? Wanaogopa kuicha dunia na raha zake na vilabu vya mipila hawa waarabu ndio mtihani mkubwa wao wenyewe wanatama hamasa watoke hapo wanawakosesha raha zao
@olaramuhamad596011 ай бұрын
Sasa hivi hakuna sababu ya kataza mauida ya rahimahullah almujaahid hakikii aboud rogo
@clarencehilary558811 ай бұрын
Kwani gaza ni ndugu zenu kumbe hata wewe ni gaidi
@esterjoseph67011 ай бұрын
Vita vya Uganda na Tanzania warabu waliwasaidia!
@godfreydavid684711 ай бұрын
Sheikh ungesema haya Urusi alivyoivamia Ukraine au Vita ya Sudani, naona unapiga tu kelele...Je wapelestina wana haki zaidi ya Wayukrain? Acha kubwatuka sheikh ubwabwa wewe
@MtapankunduLyowa8 ай бұрын
Hauna akili wewe Ukraine kuna msikiti bora kama msikiti uliopo Jerusalem?
@peterhansen442011 ай бұрын
Allah akuongoze munafiqh wewe!sheikh aboud rogo akielezea dhulma wanazozipitia waisilamu ulikua ukimpinga na kuunga mkono makafiri wenzako,wakati shekhe rogo alikua akituelimisha AL WALLA WAL BARA.wewe ulikuja na kutusifia safari yako ya marekani SUBHANALLAH!leo jua hao marekani ulikua ukitusifia nchi yao ndio wanawasaidia israel..kwa hivyo hongera kwa unafiqhi wako ila Allah akuongoze inshaAllah
@RamadhanKarim-el6tv8 ай бұрын
Wewe vipi watukana malim
@peterhansen442011 ай бұрын
Hakuna sehemu Allah(sw) amesema.YAA AYUHALLADHINA ARAB!ila ALLAH(sw) amesema YAA AYUHALLADHINA AAMANU...kwa hivyo achana na waarabu hii ni dini ya waumini!kama wewe ni muumin ongelea nafsi yako.kuwa mkweli na Allah(sw),acha uwoga kifo itakufika tu,waeleze waislamu qurani na sunnah inavyosema sio eti nchi za kiislamu!hakuna nchi ya kiislamu ila kuna waislamu
@zuenahamoud153211 ай бұрын
Gaza gaza gaza acha wafe alowatuma wajifungie ndani kutengeza milipuko niwaislam au wao nauchokozi wa suala la Gaza msilinasibishe nauisilsam maana kama wap wamekosa huruma kuhurumia watoto namama zao sisi oyo huruma tunaitoa wapi
@shazilali94511 ай бұрын
Mwenzako akipata tatizo au matatiza hakuna ubaya kumuombea au unasema hayo kwavile hayajakukuta ww mche Allah usionge sana 🙏
@selemankishema578011 ай бұрын
Nyamaza mbwa wee
@patrickvieira886611 ай бұрын
Ni muislamu wewe kweli ama ni jina tuu
@SamirKaba-u1c11 ай бұрын
@@shazilali945 Wewe ni guruwe Waunga mkono guruwe za waizrael
@binaamour31811 ай бұрын
Hivi huy zainab n muislamu kweli au Ana ushahid gani kwamba Hamas ndio wamewachokoza yn vyombo vya israil au magharibindio wanatoa taarifa naww unaamini wale wanna miaka 75 wanauliwa na kutekwa na waisrail Kama hujui fuatilia sio unaongea chuki t za kijinga za kikafiri jitambue hii dunia Kuna cku utaicha!