muuliza maswali uko vizuri mwanangu kaza kuna swali nilikuwa nasema nikija kukutana na nikk nimuulize ila leo umemuuliza na nimepata jibu big up nikk mbishi..
@youngcapitalistburton76275 ай бұрын
Swali lipi?
@bashirusalehenandoro31285 ай бұрын
Uwezo wa kufikir wa Niki ni mkubwa mnoo
@jmasutv22285 ай бұрын
SOMO kwa vijana big up Nikki Mbishi kaongea fact Jackson Masumbuko Wambura is watching
@RobertMwamlima-ek9pd5 ай бұрын
Hongereni sana Msafi na jamaa kwa kumleta huyu jamaa noma
@geffects11415 ай бұрын
Unjuuuuuuu 🎉🎉🎉 chukua maua yako man kabla hujafa ❤
@allysudi44295 ай бұрын
Aisee hizi ndio interview tunazihitaji nashangaa comments n chache mno lakin ingekuwa anahojiwa choko anaongea upunga comments kama buku sasa sjui hii nchi ina pepo gan aisee. God damn iT
@daveyjackson15615 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-wl2cf9ny4u5 ай бұрын
Niki mbishi never give up
@dkensmopainvevo36835 ай бұрын
My all time favorite mc , 😎 Jamaa namkubali saaana🇰🇪
@hellymsigala98525 ай бұрын
Presenter umejitahid Sana Mana kumhoj huyu ni utata Sana lazima uwe. Serious 👊