I promise to myself that siku mambo yangu yakija kaa sawa this will be my dedication song i thank god kwa hapa nilipo 🙏🙏
@serengetilabs Жыл бұрын
Lets Gooooo
@frankchecktime90947 жыл бұрын
Beat kali la hisia flow kali sana Nikki ,Chinbees umeua chorus always ww ni chorus killer alafu Lucca kaumiza sana kwenye hiki kichuba yani kila kitu 100..................................kwasasa bongo tuko vizuri kwanzia ma producer na madirector #Gumba
@jacksonlusagalika7 жыл бұрын
Ana replay huu wimbo bila kuelewa umerudia mara ngapi kuwatch kama mimi like hapa
@kyaa0062 жыл бұрын
A lot of emotions behind this song.............. A lot of encouragement in front of this song .......chose your side wisely
@karimjuma86717 жыл бұрын
ngoma kali sana aisee...huyu chinbeez akisimama kwenye chorus huwa ni fire
@laurentthomas88517 жыл бұрын
Sitaki kukumbuka form1 and two nguo zangu zilikuwa kuu kuu😀😀😀😀😀
Sasa kwani ww dingii ww mbele za watu uwezi kusikiliza kwani walikwambia uwapigie ngoma kila mtu anaplay part yake mzee fanya ambayo yanafaida kwako mzee
@paulineuisso7 жыл бұрын
gud song...reminds me a lot of thngs...bg up n pul up ur socks...
@allengervas14215 жыл бұрын
Audio kali sana hii, japo video mgefanya zaidi ya hapo, maisha yako umeyaongelea humu, I wish hata mtu angeact hiyo flashback. Nimeielewa sana hii ngoma, Chin Bees hajakuangusha, hook na Chorus ni fire. ... verse zako zinamaisha, yaani zipo hai. ... I can feel the vibe...kuna vitu vizito na muhimu sana umeongelea humu, nakufuatilia kwa muda since Good boy, issue ya madawa, cigarette and so forth. ..fanya tracks nyingine nyingi za hivi, utapata die hard fans wengine wengi sana, watakuheshimu kwa inspiration.... Daraja mbili naijua in out, mtoto kuuza sambusa vibanda vya gongo, Dadie aiseeee! Mungu atakupigania ukiendelea kuamini na kumuwakilisha Zaidi Kwa kila jambo, ngoma na vyote uwezavyo fanya. Salute sana Nickson wa Saimon.....
@angelainnocent29917 жыл бұрын
Big up... Heshima kwenu. Kuleni matunda bhana.
@mjombamushi51557 жыл бұрын
Good job much respect kwa lufa
@ahmedkhatibu53877 жыл бұрын
sanaaa tu,,,,,huwa hakosei ,,,bonge la kazi
@immanuelmshiu30196 жыл бұрын
ngoma kali san chn bezz umeifanya ingoma kuwa Kali zaid
@bonyk75617 жыл бұрын
chin bees wewe ni next level i feel ty dollar sign in youuu keeep il up broo
@Immamk__44 Жыл бұрын
Nakumbuka mbali kipindi nimeajiriwa kwenye kibanda cha kuchaji simu nilikuwaga naangalia top 10 ya EATV thanks god for anything am not a rich but I thank you god course you're the greater than anything 🙌🙌🤤🤤
@erickjustinkente57807 жыл бұрын
Nikki wa pili track kali sana. Umekili biti kamili. Na luffa katengeneza bonge la biti
@hilarymushi84517 жыл бұрын
nice track chin bees kaua iyo chorus ni motoo chiniiii
Hujawah koseaga we baba msichana kuwa smart utaheshimiwa daima
@karengatwiri35227 жыл бұрын
Am addicted to this song..nareplay kiukweli
@sdds11165 жыл бұрын
napenda hp lakni ya nikki wa pilli umenifanye nikupende zaidi love ma brother 😍
@angelshirima73477 жыл бұрын
Wa kwanza kucoment kutoka China japo I don't understand the language used but hii ngoma kaliii...wapi likes za wachina
@stephenkaranga24466 жыл бұрын
Eish!!!!!! Kali sana!!!!!
@nevillekalinganevo_25127 жыл бұрын
Bonge ya track bros. Luffa hatari tena. Nikki haribu haribu na word play kama kawa, big up sana. Bees you are star, feelings kibao. #blessup
@rojamoah Жыл бұрын
2023 ☔️☔️
@nellymollel46726 жыл бұрын
a town sir classic song big up my artist's love this song men
@kenneth161967 жыл бұрын
Typa music we was waiting for good melodies 🙌🏻
@Therealrashyy7 жыл бұрын
Hapa elimu imetumika. Thanks Nikki
@lordiedybala10757 жыл бұрын
ChinBeezzz HAIKATAI JOOH..100%KASKAZENEEE
@frenchpapi7 жыл бұрын
Chin bees Nakuita Ty dolla sign
@iddykijiko45237 жыл бұрын
Grant hezron man uko kama mimi huyu jamaa nimekuwa nikimfananisha na huyo Dogo wa mbele, hasa ukisikiliza nyimbo ya Rick Ross I think she likes me
@saidimlindwa56707 жыл бұрын
yes imekaa vizur haso zako ndo bata zako
@augustinepaul87396 жыл бұрын
Yeah kwa mara ya kwa I real appreciate good music from WEUSI
@tungupaschal13407 жыл бұрын
chin bees wew hatareeeee
@cesiliadeus96897 жыл бұрын
assye ingoma imenibamba nimeipenda sana coz kile ulichokiamba kipo ktk jamii so qually my bro
@lancela73706 жыл бұрын
King wa chorus kalii kwa sasa TZ @ chin bees
@salummbashir46747 жыл бұрын
Good music bi up nick chinbeez
@kanaansamwel83357 жыл бұрын
Yeyooo nakukubali sana boss 👊👊
@gasperpatrick89197 жыл бұрын
Ngoma kali salute sana Sema video kidogo ya kawaida
@ommyiddi8417 жыл бұрын
HONGERA NIKI 2 UMEPITA KWENYE HISIA ZANGU HII NIMEIPENDA SANA. GOOD VOICE MAKE MY DREAM COME TRUE
@geradimbiaji6897 жыл бұрын
Nick you are the one and only BABA 'hilo Kora's la bees ucpime 'miaaaaaa
@Ishengoma17 жыл бұрын
Nikk wa Pili- Kijana wangu wa Sosiology- Karl Max unaniburudisha sana. Twende kazi
@peterwilliam34847 жыл бұрын
oooo men!!you killed it nikki ....acha wengine waige hiyo ndo hip hop
@arnoldmushy31667 жыл бұрын
Cheen be uko na saut poa sana big up bro
@sipilulucas68437 жыл бұрын
Ngoma Kali...big up Nikki 2 & chin bees
@shaphyvuai68057 жыл бұрын
Huyu jamaa aliepiga chorus ni nomaaaaaaa
@timothyelias59388 ай бұрын
06/04/2024 ijumaa Al alhy vs simba Mamelod vs Yanga🔥
@isimailshaban27576 жыл бұрын
fireeeeeeee wape vitu baba
@walterrichard21177 жыл бұрын
Chin beez, gnako hawa jamaa kwa kushuka kwenye chorus wanaweza sana
@shaphyvuai68056 жыл бұрын
Chin beenz mnyama mkalii umeuaaaaaaaaaah
@maumgaza24147 жыл бұрын
kama Upo Tz na unasapot mziki mzuri bila kiki Fanya ku-like nipo Ugaibuni ila Napenda Kusikiliza hit song kutoka Nyumbani #Tanzania Love Kwa artist #Nikk #Chini Bees
@zuwenasirgutty88307 жыл бұрын
#Yani hata picha huoniiiiii... #GodEngineer #Good Music #Good Ppl
@dostovan5142 Жыл бұрын
This was chin @ his besto... Nikki's verses all great. Mziki kama huu haupo these days
@jacobnickson72896 жыл бұрын
# kazi kubwa mnoo!..
@johnmwidete54997 жыл бұрын
kaz nzr kaka as 50 cent wa bongo Big up sana bro
@domianernest20247 жыл бұрын
LSV U made it my brother kaliii sana
@babasmile4567 жыл бұрын
Noma sana mazes
@kilinopark62537 жыл бұрын
Ngoma imetulia sana...kama ya mbele 100%.
@amanidaud93757 жыл бұрын
chinbees anapiga chorus Kali sana
@dogoo99337 жыл бұрын
#kihasara nzuri kama vile inazungumzia maisha kwanini usiite matunda
@emanuelmafue11547 жыл бұрын
Wayaaaa
@patricktravis65757 жыл бұрын
big up blazaa nikki mzg wnyw huu
@lusekelomwasanga28157 жыл бұрын
mwaka huu mmmh sijui vip
@michaeljeremiah6347 жыл бұрын
inaulazima Nikki au artists wengine kufanya video huku wameshika mkwanja kibao maana ake nn au ndo fashion mi naona hii video aiko kiharisi kabixa,bro Nikki ni muandishi Wa mungu ila kwnye video cjui unafikiliaga nn bro,big up tuenjoy na good music
@Kimbururu7 жыл бұрын
Wimbo wa kichovu umekaa kihasara hasara
@rannsackmxemmynoh13126 ай бұрын
2024 May still on this🫠🫠🫠🫠
@einsteinmboje47307 жыл бұрын
Boooooonge LA Ngoma !!!
@leonardobedi47797 жыл бұрын
Wacha na mm nipambane nije kula matunda yangu
@frankfiretz7 жыл бұрын
Noma sana #Nikki wa pili
@mussajuma81317 жыл бұрын
Noma mkuuuu
@freddiejunior97137 жыл бұрын
# Brandy kubwa.....#weusi..
@richardcastro23867 жыл бұрын
Kuna scene Nikki nime kumbuka Ile Na joh kweny sehem Na joh kweny Meza ya karata
@islammwatoa29907 жыл бұрын
ngoma kali kinoma big up guys
@richardcastromzena51362 жыл бұрын
Where we from only God mpaka hapa tulipo
@dickensakelo70887 жыл бұрын
ngoma kali xna mwamba
@reigns-1477 Жыл бұрын
Who is with me in 2023 😅
@bryanshewiyo4647 жыл бұрын
oyooo unajua boss
@paulswai12377 жыл бұрын
Safi sana
@barakamcharazo11067 жыл бұрын
Hongera sana, nyimbo ni kali 🔥
@davboimkali95467 жыл бұрын
niko home nnapiga hii nyimbo baad ya kuisha nnashanga jiran tuliyegombana naye jana ananiambia nirepeat ...nnathan ugomvi usha isha
@tusekonga30307 жыл бұрын
davis ndossy 😂😂😂
@jifunzeteknolojia93047 жыл бұрын
Nyimbo nzuri video uchafu
@barracklang87247 жыл бұрын
moja ya ngoma Kali sana mm nimekubali sana alipo pita chin beas ila nick uache uchaga na usomi mwingi lakin umeshindwa vp kumpa credit chin beas kwenye caption ya video ..... kwa wanaojua good musik chin b katisha sana appreciate
@nyotamy36786 жыл бұрын
Nakubali sana weusi
@ministerbk20185 жыл бұрын
umetisha Niki bigup.
@samsonlubinsha77117 жыл бұрын
Back to the roots, Asante Nikki
@emanueljonasmacha28437 жыл бұрын
ni fayaaaaaaa
@johnsonayo7 жыл бұрын
Nikki rap kwa saut yako Og utatisha laaana man,mfano kwa ngoma ya Chindo ft you and G,lakini kwa ile ngoma ft dully ft Chindo,huku unarapp kiwaki laaana,I'm you're favorite fan since goodboy
@olootv41767 жыл бұрын
bonge la ngomaaa
@allanandy24246 жыл бұрын
People should be inspired by the message!Good music, Kama unapinga kila kitu hauwatendei haki wengine,naogopa Sana kukosoa kila kitu watu wapo haraka kukosoa kuliko kuappriciate,...... Kukosoa sana maanake unataka uridhishwe wewe tu,