NILAUMU MACHO YANGU AU MOYO NAMBIENI - SADIK TAARAB

  Рет қаралды 655,761

Bin Seif

Bin Seif

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@aishaalhaji5192
@aishaalhaji5192 2 жыл бұрын
Mkaka nakupenda mpk naumwa wallah nyimbo zako naizkupenda sana waniuwa na vile vipande kule TikTok
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 ай бұрын
Jamani nyimbo za watu wa Zanzibar- hizo ndio nyimbo za Taarab. Akhwan Safaa .
@habibubye9603
@habibubye9603 2 ай бұрын
@phibbianmuthama3432
@phibbianmuthama3432 Жыл бұрын
Naipenda sana... Na moyo hausikii umeshitadi wenzangu Wala haujizuii ukaficha siri yangu
@mohammedmkomi9087
@mohammedmkomi9087 5 жыл бұрын
WALLAHI HII NYIMBO YANIKUMBUSHA MBALI NATOKA #MANGAPWANI NAENDA #CHAKECHAKE MAMA ALIKUWA ANANIPIGIA HII NYIMBO R.I.P MAMA
@aishasalum4214
@aishasalum4214 5 жыл бұрын
Polee ndo maishaa
@aishasalum4214
@aishasalum4214 5 жыл бұрын
Polee mtakie dua tuu ndo hatma
@jumarj6253
@jumarj6253 5 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumban
@kadeemyahya6444
@kadeemyahya6444 5 жыл бұрын
Yaa Allah turudishie Zanzibar yetu yenye kheir
@albahsans
@albahsans 4 ай бұрын
Amin
@abdulhamidkificho5768
@abdulhamidkificho5768 4 жыл бұрын
Long life Zanzibar,Asili haipotei Old is Gold Taarab Zanzibar Mila na utamduni ndo asili yetu I love my country Zanzibar
@nabilnahdy222
@nabilnahdy222 4 жыл бұрын
Moyo na macho yajibizana... moyo wamlaumu macho... na macho yamlaumu moyo hapo sasa
@zuhuraali9069
@zuhuraali9069 3 жыл бұрын
Nalia kimoyomoyo na wala sinyamaziki hakika uyafayo macho nakusuta husutiki ukaushawisji moyo hata ukataharuki sasa unakwenda mbio moyo utakacho haupati
@mariamissa2224
@mariamissa2224 7 жыл бұрын
yalllaaaaah hizi ndio taarabu jomoooooon rahaaaaaa sanaaaaa asanteni........strees kwiiiishaaaa.......
@khamismohd8473
@khamismohd8473 3 жыл бұрын
Kumbe una stress
@AllyNjimbo
@AllyNjimbo 5 ай бұрын
Huyu kaka sadiq alikua hakosei kwenye kuomba ninamkubali sn dah laumu vyote viwili nakukubali sn sadiq ninapenda kusikiliza nyimbo zake sn.
@yusufali290
@yusufali290 6 жыл бұрын
Mm nalaumu moyo cz ndio wenye kupenda km ni macho yaona mengi
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 4 жыл бұрын
Yaweke super glue uone kama kuna utakalopenda, acha baba macho ndio macho bila macho mhh kizaazaa
@allymohamed2269
@allymohamed2269 4 жыл бұрын
Jamani hii nyimbo ninaipenda sn inanikumbusha mbali big up Sadiq
@haroubjuma5107
@haroubjuma5107 5 жыл бұрын
Nalaumu macho yangu kwann nimemuona
@jumamnyanja4606
@jumamnyanja4606 6 жыл бұрын
napenda sana za kale kwa uhalisia na ufundi usanii na mashairi yao yalio mazuri
@anitaprincess8422
@anitaprincess8422 6 жыл бұрын
Tuna enjoy vya nyumbani hata huku ughaibuni sadiq one 💘
@mohamedali6711
@mohamedali6711 4 жыл бұрын
Masha Allah zanzibar we will proud forever
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 3 жыл бұрын
Home sweet home hiyo jmn ni full shangwee jmn 😍😍
@nassrasuleiman630
@nassrasuleiman630 3 ай бұрын
Macho yasilaumiwe kuona ni kazi yake na ulaumiwe moyo kupenda kitu si chake 😊
@zainabmussazaid944
@zainabmussazaid944 4 жыл бұрын
Naipenda sanaa hii nyimbo, nilaumu macho yng au moyo nambie, asante Sadiq..
@zainabmussazaid944
@zainabmussazaid944 4 жыл бұрын
Rahaaaaa voooo.
@jumayahya2661
@jumayahya2661 3 жыл бұрын
@@zainabmussazaid944 zainab unatoka mangapwani unaenda chake chake kwa miguu au ulipanda Basi?
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
2022 nani bado anaskiliza hii nyimbo kipindi hichi cha wapendanao
@saidgereza2832
@saidgereza2832 Жыл бұрын
2023 still the best kweli old is gold
@Gangalamu
@Gangalamu 3 ай бұрын
Wwwoooww Sadiq what a mesmerising lyrics, song and song. Kudos mate❤❤❤❤
@aymalahmed7682
@aymalahmed7682 8 жыл бұрын
mashallah nyc sauti nzuri sana napenda nyimbo za sadiq
@mr-rightzanzibar2
@mr-rightzanzibar2 8 жыл бұрын
sana sana
@zahirsaifalfarai922
@zahirsaifalfarai922 8 жыл бұрын
matona msumeno
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 8 жыл бұрын
sadiki mm naona bora laumu vyote viwili
@ashakhamis9093
@ashakhamis9093 3 жыл бұрын
Wanaoiangalia taarab hiii aslia mwaka 2021 tujuane kwa like👍
@fatumadoyo6222
@fatumadoyo6222 6 жыл бұрын
mashaalla hakika ukupenda kitu sichangu
@khamikhan5091
@khamikhan5091 5 жыл бұрын
huwa najihisi kama nipo home pemba #KANGAGANI
@RomanoNtonja
@RomanoNtonja 2 ай бұрын
Mwanangu umegonga dipo
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 7 жыл бұрын
macho kwanza au most mimi naona vyote kwapamoja
@rabianassor7948
@rabianassor7948 5 жыл бұрын
macho ndo ya awali mashaka kutuletea 😍ilobaki moyo kuwa na uvumilivu😃
@ibrahimsuleiman5375
@ibrahimsuleiman5375 Жыл бұрын
Macho ndo ya awali mashaka kutuletea, ilobaki moyo kuwa na maumivu
@minnahrashid2448
@minnahrashid2448 5 жыл бұрын
Mzuri sana na sauti imetulia beauty ♥️
@prettyzuuiprettyzuui5773
@prettyzuuiprettyzuui5773 4 жыл бұрын
In 2020 still the best , old is truly gold
@jailanmwazini9849
@jailanmwazini9849 4 жыл бұрын
hakika
@rahmamahumbuka2254
@rahmamahumbuka2254 Жыл бұрын
Hakika macho uyafanyayo moyo umeingia fitina
@khadijakitete6929
@khadijakitete6929 7 жыл бұрын
ahhh laumu vyote viwili 'umeuliza suali jibu nimekuletea ohhhhhh'
@shamsamohammed9645
@shamsamohammed9645 5 жыл бұрын
Kweli kupenda kitu si changu wahllahi tena 💔
@salimsajo5914
@salimsajo5914 2 жыл бұрын
Nakhwa Giza Nyeusi Asli
@hamadali9801
@hamadali9801 8 жыл бұрын
maashaallah nyimbo imetulia saaana kweli usilaumu kimoja
@abassseif143
@abassseif143 3 жыл бұрын
Mimi nalaumu moyo kwanini umependa
@nournoor6922
@nournoor6922 2 жыл бұрын
@@abassseif143 lakini sababu ni macho yameona ndio moyo nao ukapenda
@najmasalim2606
@najmasalim2606 2 жыл бұрын
@@nournoor6922 kwa kwel vyote
@kbadijasalim5682
@kbadijasalim5682 2 жыл бұрын
Hahaaaa
@kbadijasalim5682
@kbadijasalim5682 2 жыл бұрын
Hatari kweli maana ata ubongo haujashirikishwa
@ummlana9991
@ummlana9991 7 жыл бұрын
Moyo kupenda sio macho
@khamikhan5091
@khamikhan5091 5 жыл бұрын
laumu macho ... ukizaliwa pba ni degree zanzibar inameremeta 😘
@hamidomar7474
@hamidomar7474 Жыл бұрын
Moto kuchaguwa nijukumu lake laumu moyo
@asmaalhussein7631
@asmaalhussein7631 6 жыл бұрын
Kweli kale Ni dhahabu😍
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
saddik mappozzz mengi
@mwanahawajuya7801
@mwanahawajuya7801 6 жыл бұрын
napenda sana nyimbo hizi
@momomella9845
@momomella9845 5 жыл бұрын
Kweli?
@salmamwinyi367
@salmamwinyi367 6 жыл бұрын
Tarabu za zamani nziri sana
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 2 жыл бұрын
Tena sana
@mwanaidjumbe8121
@mwanaidjumbe8121 6 жыл бұрын
hapoooooooo chacha kwa raha zangu mambo ni motooooooo
@wardatmbaraq8778
@wardatmbaraq8778 5 жыл бұрын
Utamu wa tena huu sio halua kusonga hizi ndo taraab bwana asili haswaa
@MasudiSuleman-ui5wh
@MasudiSuleman-ui5wh Жыл бұрын
Dar hii ndo ilkua Zanzibar Iko kwenye Mikono ya utawala wa watu weupe cio Sasa hv Iko kwny Mikono ya watu weus hv mung atatupa lini na sisi uhuru km nch nyengine
@habibarashid9028
@habibarashid9028 2 жыл бұрын
Nalaumu vyote viwili Zayd moyo wng
@maydatalib5657
@maydatalib5657 5 жыл бұрын
Big up sadik 💕👌
@kingabduly354
@kingabduly354 4 жыл бұрын
RAYYAN A JAMANI HUU WIMBO WE ACHATU
@bas2823
@bas2823 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ OBSOLULTY WRIGHT👍 VERY TRUE👌 YES TRUE"😆 I LIKE IT😘
@nasrayusuph3063
@nasrayusuph3063 6 жыл бұрын
hakika hizi ndo nyimboo
@aromaofzanzibar
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Old is gold ♥️
@mwanaidjumbe8121
@mwanaidjumbe8121 6 жыл бұрын
Mm nilaum moyo wangu
@fatmasaleh5219
@fatmasaleh5219 5 жыл бұрын
Mwanaid Jumbe
@papawemba1128
@papawemba1128 3 жыл бұрын
Hapo laumu vyote viwili sio kimoja
@ahmedamar1329
@ahmedamar1329 7 жыл бұрын
lakini hii saut iko sawa mashaallh
@JumaSuleiman-g8x
@JumaSuleiman-g8x Жыл бұрын
Kweli jicho ndo lakulaumiwa
@cholobozzo6307
@cholobozzo6307 Жыл бұрын
Naipenda sna
@mohdali7612
@mohdali7612 6 жыл бұрын
MACHO BWANA NDIYO CHANZO CHA YOTE
@HappyWakat
@HappyWakat 3 ай бұрын
2024 im heree🎉
@fatmajuma5514
@fatmajuma5514 4 жыл бұрын
Wimbo umetulia
@bittybitty2712
@bittybitty2712 4 жыл бұрын
Nalaumu macho yangu
@Amina-rr8ve
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
2023 moyo umesalitika
@salumsalum7057
@salumsalum7057 6 жыл бұрын
Hawa waloweka thumbs down ujue si wazanzibari kwahio wanafanya nini humu
@saidishariff383
@saidishariff383 4 жыл бұрын
Moyo ndo shina la hisiaa
@medialrajhi8341
@medialrajhi8341 7 жыл бұрын
ni kweli laumu vyote mana vyatesa
@fatmarashid0005
@fatmarashid0005 7 жыл бұрын
kweli vyote viwili vilaumiwe
@alymohd9185
@alymohd9185 2 жыл бұрын
Big up sadiq
@bintmhammad9557
@bintmhammad9557 2 жыл бұрын
Still here 2022...Ya kale ni Dhahabu
@allyomary8885
@allyomary8885 6 жыл бұрын
Hahahaha Old is gold,, nice really nice
@mulkseif5497
@mulkseif5497 2 жыл бұрын
Old is God
@saidbwanaalimwanaharakati7508
@saidbwanaalimwanaharakati7508 4 жыл бұрын
Wow maneno mazuri
@mudvuai5206
@mudvuai5206 6 жыл бұрын
Hakika Ni za kwetu!
@fathiaidrisa776
@fathiaidrisa776 2 жыл бұрын
Nice song
@saidaabdalla5098
@saidaabdalla5098 3 жыл бұрын
Best 👌
@RukkiaRamadhan-gn3nc
@RukkiaRamadhan-gn3nc Жыл бұрын
Old is gold
@nassordanak2064
@nassordanak2064 8 жыл бұрын
mashallah
@yahyazahor7854
@yahyazahor7854 8 жыл бұрын
Hatari Sana Old Is Gold
@b.k.5659
@b.k.5659 2 жыл бұрын
Moyo umesalitika,
@khuwedaamin8402
@khuwedaamin8402 6 жыл бұрын
Woooo very nice masha Allah
@fahadbabuy
@fahadbabuy 8 жыл бұрын
sadiq🔥🔥🔥
@hamaddede464
@hamaddede464 8 жыл бұрын
laumu macho coz ndo chanzo kikubwa sana cha yote hayo
@HabibaKanona
@HabibaKanona 7 жыл бұрын
Hamad Dede aclaumu macho kuona nikazi yake alaumu moyo kupenda kitu cchake
@ilhammohamed4107
@ilhammohamed4107 3 жыл бұрын
@@HabibaKanona 😇
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
taarab zetu nalia kimoyo moyo nawala sinyamaziki
@njenibakarsalim4864
@njenibakarsalim4864 8 жыл бұрын
mhhhh!!! yani ww acha tu hii nyimbo
@mbambamwinyi6712
@mbambamwinyi6712 2 жыл бұрын
Very nice
@ashiraali3954
@ashiraali3954 8 жыл бұрын
mashalla
@scholes18mudy34
@scholes18mudy34 8 жыл бұрын
Congrats Scholes 18 , blame those things,te te te te te .
@didadisequeenlove6544
@didadisequeenlove6544 8 жыл бұрын
nice
@maryamalbusaidy2265
@maryamalbusaidy2265 8 жыл бұрын
mashallah
@rehemasoud4698
@rehemasoud4698 8 жыл бұрын
Nice
@omarawesso3968
@omarawesso3968 7 жыл бұрын
da!!! laumu vyote viwili.
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 7 жыл бұрын
Beautiful island Zanzibar
@mwajumayahya7662
@mwajumayahya7662 3 жыл бұрын
Still old is gold it's good message
@arabianbutter4007
@arabianbutter4007 2 жыл бұрын
Dec 2022🔥🙌🏼
@mamyally7916
@mamyally7916 5 жыл бұрын
mashaallah
@omarmjakaomar4879
@omarmjakaomar4879 5 жыл бұрын
Ipo vizur san
@hamidomar7474
@hamidomar7474 2 жыл бұрын
Laumu macho
@omarmjakaomar4879
@omarmjakaomar4879 6 жыл бұрын
Very nice
@fadooysabil447
@fadooysabil447 5 жыл бұрын
omar mjaka omar 💔💔💔💔💔
@fadooysabil447
@fadooysabil447 5 жыл бұрын
Kwwli jamani kupenda kitu. Si. Changu 💔💔💔
@fadooysabil447
@fadooysabil447 5 жыл бұрын
Very bad
@abdulmalikmassoud2229
@abdulmalikmassoud2229 5 жыл бұрын
@@fadooysabil447 nice song
@omarbtbootto8692
@omarbtbootto8692 4 жыл бұрын
Laumu macho ndio chanzo cha yote
@daudibashite6653
@daudibashite6653 4 жыл бұрын
Ewalaaaa
@asmaalhussein7631
@asmaalhussein7631 6 жыл бұрын
Nilaumu macho yng au moyo nambieni 2018
@zahramunir8596
@zahramunir8596 7 жыл бұрын
Aaahhh Old is Gold
@faisalmuhammad1898
@faisalmuhammad1898 4 жыл бұрын
Hey A
@zaliagumbo5546
@zaliagumbo5546 3 жыл бұрын
Home sweet home
@devothatarazius3432
@devothatarazius3432 4 жыл бұрын
Mashallah
@mwayamichael855
@mwayamichael855 4 жыл бұрын
Vp
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 2 жыл бұрын
Good music 2022
@ayzeirmillions6900
@ayzeirmillions6900 Жыл бұрын
2023
@hassanalihassan5896
@hassanalihassan5896 7 жыл бұрын
Nice song ever
@rehimatanzania4337
@rehimatanzania4337 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kingabduly354
@kingabduly354 4 жыл бұрын
YANI UMETULI KWELIKWRLI
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Taarab ina ladha yake hapo Zanzibar ishatimia zaidi ya miaka 100 sasa, lugha ya Kiswahili ina lafdhi nzuri na maneno yenye maana. Kuna watu wasojuwa eti 😂😂😂wanasema Taarab ni mipando… Taarab siyo vurugu mechi 😂😂😂😂😂
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 ай бұрын
💖
@cholobozzo6307
@cholobozzo6307 Жыл бұрын
Isha Hayanifiki
12:38
Taarabmusic255
Рет қаралды 1,4 МЛН
NNAE PROFESA MK LIV HARUSIN
10:14
TAM TAM BAND
Рет қаралды 31 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
NIFANYE NINI - SADIQ TAARAB
21:41
Bin Seif
Рет қаралды 281 М.
Asokasoro Hakuna -Fatma Issa, Culture Music Club
13:16
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 548 М.
NILAUMU MACHO PROFESSOR MK
8:48
TAM TAM BAND
Рет қаралды 811 М.
MTOTO KITU NA BOX {audio} - ADBULI MISAMBANO - T.O.T. TARAAB
13:50
Bakari kijazi
Рет қаралды 32 М.
LAITI UZURI WAKO -  SADIQ TAARAB
10:44
Bin Seif
Рет қаралды 242 М.
Mapenzi Hayana Formula
13:56
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 8 М.
LEO TENA- Sadiq taarab (video lyrics)
10:02
Chamazi Music
Рет қаралды 34 М.
NAOMBA KIBALI CHAKO -  SADIQ TAARAB
11:55
Bin Seif
Рет қаралды 522 М.
NILAUMU MACHO YANGU I RAUHIYA I DIRECTED BY GRADY FX 2023
12:45
RAUHIYA QUEEN OF ZANZIBAR CREW
Рет қаралды 134 М.