This is the best Swahili inspiration video I have ever seen! 👏 👏 👏 Keep it up Sirjeff
@zahirivan91553 жыл бұрын
instablaster.
@edowone97224 жыл бұрын
Napenda sana mtu anaesema ukweli huwa nawaambia ata rafiki zangu wapende kuniambia ukweli atakama utaniumiza,stori yako imenifundisha kitu kizuri sana naamini mtu mwenye moyo safi Mungu hawezi kumuacha ata sikumoja
@amanijairo30994 жыл бұрын
Daah Sir Jeff.. Shukrani sana brother kwa ufahamu na taarifa ulizonazo mzee - ninajifunza mengi kutoka kwako..
@kimanikelvin67494 жыл бұрын
I feel u bro niko nairobi Forex is about being patient and passionate
@supertechbro97937 ай бұрын
Nani yupo hapa 2024.
@gentilnkurikiye81573 ай бұрын
🙌🏻
@mohdmohd84283 ай бұрын
🎉
@PhinaExavery2 ай бұрын
🎉🎉🎉
@PolluxTips4 жыл бұрын
Six months experience in Forex and still learning. Thanks for the good content SirJeff Denis.
@akbarston5344 Жыл бұрын
How much now you earn perday
@petrojulias-tm9em2 ай бұрын
Sir jeff Nimejifunza meng kutoka kwako Shukran sana mungu akusimamie
@JohnDominicMndeme Жыл бұрын
Ahasante sana sir unanipa moyo wa kupambana na fx be blessed bro
@hereandnow6024 жыл бұрын
Daah nimejifunza na nimepata nguvu ya kuendelea kupambana.. Maana nilipoteza milioni 3 kwenye Biashara nikajiona nina gundu kweli.. Kumbe kuna watu wamekutana na makubwa mimi yangu ni chamtoto sana
@petrojulias-tm9em2 ай бұрын
Daaah hata mimi yameshawahi kunikuata lakn kumbe ni madogo yangu daaah
👍👍👍 Asante sana broo nakufuatilia sana video zako nimepata nguvu sana Nina Imani nkifuata njia zako nitatoka kimaisha namm
@kato_tz4 жыл бұрын
Bro, You have said it all aisee. Nadhani mimi ni mmojawapo wa watu ambao wameelewa kupita maelezo maana as long as kuna picha unayo akilini lazima tu utafika hata kama utachelewa,
@361NEWS Жыл бұрын
Great video
@princeatufigwege12704 жыл бұрын
Hey Jeff , kipekee nakushukuru kwa testmony. Real you have lifted up my spirit.thanks
@kelvinmazanda4 жыл бұрын
Wote wanaotaka ku-trade huwa nawaambia ....hakuna biashara isiyo na hasara, ni LAZIMA uliwe hela kwenye FOREX lakini pia LAZIMA ule.... Lakini mwisho wa siku you will learn and become the Master of Profit gaining!.... Shukran sana mkuu, umetupa moyo! 👍
@MZIZE4 жыл бұрын
Bro nahitaj kujifunza pia
@misungwikids5634 жыл бұрын
Brooo nakubaliii🧐
@misungwikids5634 жыл бұрын
Kelvin can I have ur 4ne #?
@dicksonbukombe27474 жыл бұрын
Very inspired story to the young youth brother
@amanijulius83984 жыл бұрын
Daaaaaah...soooooo sad Brother...Pole sana Kaka..Mwenyezi Mungu akusaidie Brother..Daaaaah..Naamini kama angekuwepo mtu mwingine angeshakufa kwa presha
@lorencosimon25104 жыл бұрын
Thank you Sir JEFF DENNIS
@babuupawa78764 жыл бұрын
Hapa nimejifunza kua focused kuachana na makelele ya watu, kujifungia ni njia nzuri
@bryan_juniour50944 жыл бұрын
thank you bro for a message keep inspiring us
@rahasana49213 жыл бұрын
Nachukua muda huu kusema nataka niwe Kama wewe na nitaweza tu Mimi ni mwalimu ambaye maisha yangu yameniwia magumu nataka kubadirisha hivyo nataka niwe Kama wewe Mwenyezi Mungu nisaidie
@ewaldkessy59894 жыл бұрын
FX Mwanzoni inakuwaga ngumu sana Ila ukishaelewa how to deal with market Maker mambo yanakuwa sawa
@jaquelinenaftal66454 жыл бұрын
Thank you for this lesson Brother Umenibadilisha kaka Jeff.
@richardlizomba12912 жыл бұрын
Kiongozi doooh... umespeak well...jembee umenspire sanaa niliacha nilionangumu aisee...
@shadrackkipngeno3004 жыл бұрын
Katika hili umenipa matumaini sana katika forex.. am so proud to have known you ingawa sijawahi kukuona kweli I am proud of you brother..
@davidtamson21454 жыл бұрын
I appreciate boss sio siri unatuinspire san
@demistusdamian6963 Жыл бұрын
Bro asante kwa kupambana kutoka temeke nnamiaka miwili nnachoma ila mpaka sasa nshaiva .siwez kuwa wewe ila nnaomba uwemshauri wangu maaana your my big brother na kwenye gemu kitambo
@grantanra48424 жыл бұрын
To be sincere, u are really generous! There very few young people who can talk about their success the way you do! THANK YOU AND PLEASE DON’T STOP
@ikhanfx3 жыл бұрын
kzbin.info/door/O2_Y2mwhAtYLPAgjl-qziQ
@mashaurisalumbo23084 жыл бұрын
sikuwai kujua kama tanzania tunawatu brilliant kama wewe sir jeff, aisee panua wigo wakufikisha elimu kw a vijana wetu wa kitanzania wanaotegemea kuajiriwa tuu, financial freedom....by Prof Sarumbo
@DamianMbembati-nw2cr Жыл бұрын
Mungu akubaliki your journey give me the true meaning of forex
@marymwangi52694 жыл бұрын
Pongezi sana Jeff.nimepitia hayo hayo.
@wilsonmkumbo30324 жыл бұрын
Congrats,very educative video
@meshacklekie91834 жыл бұрын
Thank sirjeff umenipa motisha sana nilishakata tamaa naanza sasa upya kwa nguvu mpya na akili mpya
@ramonawatoto4 жыл бұрын
What a kind of big and good lesson from this video broh..🤔🤔 For sure nimejikuta kubadili mtizamo na baadhi ya miiko yangu niliyokuw nimejiwekea bila kujua kuw kumbe lolote lawezekana kama ukiamua. Thank you broh
@newsgang2543 жыл бұрын
I'm late for these video but I think it's worth it thank you
@fredywilliam61924 жыл бұрын
Kaka ubarikiwe sana maana that is real blue print, historia yako imegeuka kuwa shule yangu yaan umeniinspire vyakutosha brother, M/Mungu akubariki ana pya aendelee kukuweka maana ipo siku vjana tutakuongelea kwa mafunzo mazuri unayotupatia. Ila kaka tunaomba ufkirie in kwajinsi gani utatupatia darasa la forex hata kama tutagharamikia maana ndy itatufanya tusome kwa malengo kwakua tunatumia hela kutafuta hela ambazo hatuna kaka. Please Sirjeff naomba utufkirie
@IsaacJavan4 жыл бұрын
Thank you for sharing this
@pbamedia42114 жыл бұрын
Thanks so much my brother for your lesson i am on dubai my ilike this forex business
@paulmarcel10263 жыл бұрын
You have a solid heart brother!
@kungaonlinechannel20394 жыл бұрын
Asante kaka something big l get je kama na mtaji but sina ujuzi na kuwekeza na ww
@deotv5034 жыл бұрын
Asantee sanaah Brook you inspire me to the excited level mungu akupee kilaa hitajii LA moyoo na kuzidii kutupaa elimuu juu ya biasharaa hii ya Forex trade
@TheHybridTz4 жыл бұрын
Dah kweli Mambo sio rahisi Kama watu tunavozani ,Ila kwa sasa una haki ya kula Bata kiongozi acha na sisi tuendelee kupambana kwa kutumia madini ambayo unatupatia ...
@Swahilimovietoday3 жыл бұрын
Your my inspiration now it's time for knowledge technique. And rule
@smtv5174 жыл бұрын
Bro bac tu Mungu akutangulie Yan Hadi mwili unasisimka daaah🙌🙌🙌
@josephmhoma43394 жыл бұрын
Aiseee Asante Sana najuta kwanini nmechelewa kukufatilia
@neemaidabu86964 жыл бұрын
You have inspired me with your life story. No pain no gain.
@claudkubuteba54143 жыл бұрын
Ooo! Sir ur story is still alive up to now ,and it will be alive for many Years and many generations bcoz of it's moltivations
@kassimdallu76042 жыл бұрын
Good enough you remained with inteligency
@raimmato65494 жыл бұрын
Thanks bro 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 we’re in this all together
@shedrackwemba58254 жыл бұрын
Huwezi amani bro... Mara ya pili hiyi naangalia this video..... Big up brother and GOD bless you
@victoriajackson70614 жыл бұрын
Waooooooo 🥳🥳🥳🥳powerful message tanks
@elivisprofas17904 жыл бұрын
I wanna be like you brother ...your story its wired..inspiring
@nyauloso56472 жыл бұрын
Through this sir nimetokea kujifunza vitu vingi na kuelewa kwnn wengine wanakuongelea vizur na wengine wanaongea vibaya lakin nimeelewa sana na nimetokea kuinjoi na nimefurahi kujua wats goin on in the world kuptia fx brokers na wat pia naamin 1 day tutakutana SIR through fx trade success IN SHAA ALLAH
@pipaniper_tz4 жыл бұрын
Inaumiza. Inafurahisha, inafundisha, inasisimua bro @jeff. Muda sasa nahitaji personal contacts zako sipati
@Fredrick_Libena4 жыл бұрын
Be blessed kwa ku tu inspire bro
@hancynation6214 жыл бұрын
Je nirahisi? hapana Je inawezekana? ndio tena 100% Brother Jeff Asante sana PLEASE LIKE SHARE &COMMENT
@diodoruskyomya93284 жыл бұрын
Pls naweza kupata elimu kidogo about forex
@ericknyabenda62763 жыл бұрын
Kianzio kittens forex n kiasi gan cha hela?
@daudilukumay77043 жыл бұрын
@@ericknyabenda6276 mm
@kelvinkaniki71864 жыл бұрын
Noted bro nimejifunza kitu kikubwa sana
@jacksonmdugo58604 жыл бұрын
Asante sana kaka... Mungu akubariki.
@mosesjackson_tz3 жыл бұрын
Sirjeff denis ur a truly motivation ...Nakukubari sana
@Pips_Lab-v2f4 жыл бұрын
Yaan ww jamaa mm sina meng yakusema ila nilikuwa ninaomb kama inawezekana tutumie hata link za magroup yako na ss tujiungee
@andasonwilson54762 жыл бұрын
Oooh sir Jeff your inspire me but I say thanks for your explanation
@ngonyani_fx2 жыл бұрын
Appriciat bro
@elishebake4682 жыл бұрын
You have inspired me alot Jeff
@amanikilesi13784 жыл бұрын
Very motivational video,big up sana hustler,maana angekuwa pimbi mwingine angenda kujinyonga
@lonsmanempire96274 жыл бұрын
I like this video brother, Make some more other videos about forex
@lebronmumira4 жыл бұрын
I just started Forex trading in January this year. This story has changed my life. I will be in Kibaha Dar es alaam this October am excited to see people i can share same ideas with in Forex. Much Love from Kenya🇰🇪
@lebronmumira4 жыл бұрын
@@imanaisha3637 how can I reach you?
@lebronmumira4 жыл бұрын
@@imanaisha3637 got it. Now delete it from here for privacy reasons
@marmasweetcakes2 жыл бұрын
I real wish to know this
@hassanimoshi80854 жыл бұрын
Broooh!! For sur ther ar different somthin I gain fo this one coaching only on how to handl my fear, emotion, consistency and game changing,u will be my only one motveter from now on until, I got wat I deserv based on my plan🙏🙏🚶🚶
@nizigamabosco20954 жыл бұрын
Thanks my boss kusema kwako nifaida kwangu God bles you.
@lembricesaravo71724 жыл бұрын
very motivating,thank you
@dominamboya64674 жыл бұрын
Nimekusoma Master
@growrich23324 жыл бұрын
2meikubali sana more than inspiration
@OGTTAKES4 жыл бұрын
My level of respect for you 📈📈
@josephmapunda33564 жыл бұрын
Strong bro appreciate
@mugishanasra19193 жыл бұрын
Napenda video zako Asante mungu akupe kila LA kheri
@nationlinkfx85804 жыл бұрын
It's a nice story bro na imenigusa sana. Niko na swali nitajiunga vipi kwa academy yako Kama iko
@erickedward42964 жыл бұрын
Amazing brother Thank you
@dn.n49834 жыл бұрын
Very nice be bless tufanye kazi
@naahnicky46824 жыл бұрын
Duh pole sana brother iyo TMT story too sad😢😢😢
@queeneva37094 жыл бұрын
Kwakweli binadamu si watu. Pole asee yaani Mungu akufute machozi awaibishe wale waliokutakia mabaya. Nimejifunza hapa kwenye hela mwamini Mungu peke yake hawa wengine ni binadamu wenzio wape upendo unatosha kwenye hela kila mtu atunze zake kama msaada tusaidiane ila sio dili kama hizi.
@regnaldlaswai68894 жыл бұрын
inspiring story 🔥🔥🔥
@johnboscomtega54754 жыл бұрын
Motivating and inspiring !
@otiendewycklife74292 жыл бұрын
Thanks bro for the info
@alexandermaengo30404 жыл бұрын
Safi sana and hope one day Yes and thanks for your time Brother
@johnsonezekiely10604 жыл бұрын
Good story bro, sorry nataka kujua serikali wame funga mpesa kutuma pesa kwa blockers sasa wewe una tumia njia gani kuweka capital
@richardmlimila53844 жыл бұрын
Unazungumza sana kuusu mipango yenu no tell us MORE about FOREX, Japo hongela babuu
@eddiekemboi15044 жыл бұрын
Thanks i got touched by ur story
@VenanceHoseah Жыл бұрын
I appreciate u bro!!
@davierobert55634 жыл бұрын
Asnte sana jeff nimejifunza kitu kikubwa hapa leo aise sijawahi kutana na mtu ana inspire kama wewe napoteza sana ela fx ila nakomaa ipo siku nitatoboa tu
@MentalGiant-xb8sq Жыл бұрын
Ushatoboa au bado?
@zachariakatikiro86782 жыл бұрын
Hongera Sana brother.Mungu akupe maisha marefu zaidi
@bennecytv4 жыл бұрын
Mzee Nimelia Leo. This Life Bhana.
@EmmanuelKakuyu4 жыл бұрын
On point...
@mrishogange42763 жыл бұрын
Uko muwazi Sana bro,thanks sana
@elishaludovick7813 Жыл бұрын
Nashukur kwa video yako nime jifunza kitu bro
@SJ-jf5qf4 жыл бұрын
How you inspire me Sir. I admire you, I'm at my lowest point in life. I have been thinking of Forex Trading for quite some time now, I thank God having come across you. I'm ready to learn and I trust its not an easy road but like you say patience, focus, pays and if you did it, I can also do it. Thank you Sir I just subscribed to your channel. God bless you.
@FlamboFx4 жыл бұрын
Very useful content, i wish to visit your office and learn more from you. Inspiration should not only come from the world billionaires, you’re a true example
@sylvesterfrancis901110 ай бұрын
BIG YES Brother
@leticiampeka14884 жыл бұрын
Asante kwa ku share story yako, stay blessed
@meddy_upette95114 жыл бұрын
Very Touching Story nashav brother umenifungua mambo mengi sana ..You are the Real Definition of a Hustler. 🙌🙌
@jonathannjau9129 Жыл бұрын
Sante sana kaka🙏.....umetusaidia vijana wengi sana hapa tz. Mungu akubariki sana
@roqerz4 жыл бұрын
The way ulivyoongea Point Nasubscribe kabisa “Appreciate🎯