Hata Mtu Akiwa Vipi Lakini Pale Anapofata Talatibu Za Imani Akuna Mwenye Mamlaka Kwenye Imani
@fadyaalmansoor77953 жыл бұрын
Masha si mbaya maisha tu alioyapitia maskini yamemuumiza.ndio utakuta mtu afanya vitu havieleweki.
@victoriakasiagila49823 жыл бұрын
Diva hakuna complicated chochote hapo. Bora uhai
@mariamibrahim31623 жыл бұрын
Masha nimzuri
@roseuwambe8933 жыл бұрын
Tabia zako 2 laana tosha 😆😅😅😅😅😅😅😅
@zuuomar46573 жыл бұрын
Bakwata walitakiwa wasolve hii issue mapenzi hayalazimishwi kama mmoja hafurahii waachane kwa wema
@hamisa34473 жыл бұрын
Sasa kama wanamuita ataki wafanye nini?
@madinahoman31033 жыл бұрын
Ishallah utapata mwengin
@husseinkarim76633 жыл бұрын
Nenda mahakama ya mwanzo kama hafiki unapewa talaka. Utaolewaje na wewe ni mke wa watu. Ulipo unafanya zinaa.
@brisketkidari48563 жыл бұрын
kiza hichi hajielewi
@khadijahali48373 жыл бұрын
Duh🤔🤔🤔
@janetahmed69483 жыл бұрын
Weye mwenyewe masha hujatulia ndoa hungeweza weye
@neemambaule60323 жыл бұрын
Pole Sana
@nuruworldinsight29573 жыл бұрын
Nung'aembe ka hilo mnalipa pole ya kazi gani, au hizo 'Poe' zenu hazina thamani 🙆♂🙆♂ Afu ndg mtangazaji hata hujaniambia anaitwa nani 🤣🤣🤣
@brigidmua25483 жыл бұрын
Shosti .
@nagmynamahin24633 жыл бұрын
Kidini masha umeshaaachika
@kdpretoria7803 жыл бұрын
Iyo mikope peke yake laana tosha 🤣🤣
@nuruworldinsight29573 жыл бұрын
Haya ndivo yalivo yakishaharibu kwa tabia zao mbaya sababu zao ndo hizo hizo Oooh mama mkwe alikua vile alikua hivi, mara Ooh mawifu, mara Ooh mume alikua na tabia za ajabu, emu chek lilivojitengeneza tengeneza utasema jini we ndo una tabia sio za ajabu 🤔! kwanza wewe ndio CHANZO cha kuvunjika kwa ndoa yenu una mambo mengi afu ulikua una mchiti mme wako 🙄🙄
@husseinkarim76633 жыл бұрын
Unaonyesha huwezi kukaa na mume.
@islamjr.swaleh49223 жыл бұрын
Hapa kwa very complicated don Masha kma Masha hakaelewa kitu😅🤭
@zuberikamote20783 жыл бұрын
Huyu bint muongo Sana ☹️☹️☹️
@abdullahrashid62973 жыл бұрын
Muongo sana huyu dada mamaeeeee zake Yani bakwata wakwambie uende court stop lying
@mohammedkhamis74533 жыл бұрын
D
@brisketkidari48563 жыл бұрын
hichi kizaaa
@ommywhity16653 жыл бұрын
We ni mnoko unakasoro wakaa dangaaa Kisha wajitia una ustar wakubabaikiwa watanzania tushawazoea mwatafuta uselebu na mambo ya kifalaa
@shomarypango17263 жыл бұрын
Akili hazikutoshi
@hashimabdallah6733 жыл бұрын
Hapa hamuwafundishi kitu kizazi cha leo mnahoji vitu vya hovyo