Eti Mungu kanikunia nazi nikae pembeni nichuje 🤣🤣🤣🤣🤣
@mwajumaissa23582 жыл бұрын
🤣🤣🤣Kaaaah ghariba mtt hebu mwambie apunguze mdomo km frashi dawa ya deni ni kulipa hebu alipe hiyo pesa anatutia aibu
@aishaarusha8942 жыл бұрын
Uwo mama uwenu akome kuingiza waislamu kwenye mambo yake yariba habithi we chunga achunge mdomo wake awaheshimu waislamu
@nyoe13942 жыл бұрын
Kwakweli hata mimi sijamuelewa hapo. Jinga kabisa.
@kimcash30792 жыл бұрын
Yaani wanawake wa design hiii mungu niepushe mdomo kma upato wa madogori umekopa unakashifu. Bora sie wanawake wa mikoani
@zeddydaqueensy46122 жыл бұрын
Kwani huyu mdomo wake hauna fullstop balaa hii
@chantalharakandi25762 жыл бұрын
Subhanallah Allah Akbar ni hatari duh maneno gani mpaka uyo kaka anatoa macho kwa mshangao
@Rahmah-dr9xd2 жыл бұрын
Kwani uliambiwa ukope afu unapendeza na nywele umesuka looow jaman mmmh kunipiga utanipiga lakini haki yangu unipe tu na hao waume zenu wanayaweza👐👌Big up maxmum tv❤️🇹🇿🇴🇲
@ommyskillz17932 жыл бұрын
Huyu ni Radhia ally mtambo part 2🤣
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
🤣🤣🤣huyu dada koboko zaid ya mamba 🤣🤣🤣ngariba mpe maji anywe akimaliza kuchamba
@mwajumahamisi20062 жыл бұрын
Aaah mwandish anavyomwangalia 😂😂😂
@eddieeddie27552 жыл бұрын
Lipa pesa ya watu, maneno meengi , mkikopa rahaaa.
@mouwanahamisi82162 жыл бұрын
Jeur uyu mbuzi uchukue pesa ya wat alafu maneno ya shombo mtakufa midomo wazi shenzi kwel
@mwanaishazain79852 жыл бұрын
Kwanza hakuna kulipa deni kwa toba bila makubaliano kabla. Malipo pesa yake aliyokufa bado yaishe
@asmaathmani4402 жыл бұрын
Adabu una waallahy
@hanifaomar74382 жыл бұрын
Nanyie nalikipindi lenu muwe mnawapanga watu wenu uislam umeingiaje hapo tena nasula. Yako kama mbuzi mchanga
@mmn74802 жыл бұрын
Nimempenda buleeee🤣🤣🤣🤣
@mwajumahamisi20062 жыл бұрын
Weee mama 🙌🙌🙌🙌🙌
@janetchinga93572 жыл бұрын
muongeaji Sana uyu mama kwanini ulikopa hela Nenda kalipe
@eashaeasha97762 жыл бұрын
Hujamuelewa sio kakopa Bali alichukua kimakubaliano anamkopesha mtu faida ampelekee Ila alio mkopesha hajalipa bibiwe
@eddieeddie27552 жыл бұрын
Waislamu na Wasomali wamekufanya nini? Pambana na hali yako, LIPA DENI LA WATU, mdomo mrefu kudhihirisha ujinga wako.
@bosiborimomanyi55922 жыл бұрын
Lipa deni Mafi wewe...shindwe.. kazi Yako kukon watu. Nkt...ukitaka shida dai chako!!!!!! Nkt
@MunaMuna-tn3go2 жыл бұрын
Uyu mama mshenzi sana, uwisilamu unausikaje apo, uwisilam umekwambia ukakope mpumbavu wamaneno kabisa
@Mina.15 Жыл бұрын
Anamanisha nyumaba haina makochi ni majamvi tu she's so stupid ATI kama msomali
@aftapat53652 жыл бұрын
Sasa mama usimtukane alie kuko kesho ukiumwa usiponzwe na mdomo Iweje ukope kwa niaba ya mtu mwingine
@mouwanahamisi82162 жыл бұрын
🙆🙆🙆🙆
@victoriadaizy52772 жыл бұрын
Shakaaaaa😂😂😂😂
@mamawawili40692 жыл бұрын
Yan majit kma hay yanakela unadaiw unaleta nyod
@josphatmwai19942 жыл бұрын
Uyu mama mnyang'anyi
@henrykissinger48162 жыл бұрын
Mama mwisho huyo anachambaaa hatari
@mwanahamisbwanga11842 жыл бұрын
Hahahahaaa
@mmn74802 жыл бұрын
jamani kwetu kbsa uko🇴🇲
@zennahmtoto1867 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@munirachangawa29282 жыл бұрын
Hela ina mimba.jamani
@Maryam-sg8zq2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zaydelabay97762 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@diolindanativo72682 жыл бұрын
Uyu mama ni shangazi anadili na vijana kufilana nao,na ni mtamu navyosikia
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Subuhanallah. Unauwakika zambikumuisimtu vibaya
@Mazoea2 жыл бұрын
Daah uyu mama anaongea sana Mkhaaa iyo yote ya kukosa kazi
@shakiranguyu99432 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@samiajabu22562 жыл бұрын
Huyu dada mjinga kabisa.uislam unaingizaje kwa mambo yenu ya kijinga.mnatakiwa muwe makini unaporusha kipindi sio mambo ya kijinga kukashifu dini mnarusha tyu.