Kama unausikiliza huu wimbo 2024 na bado aujampata huyo mke kama mimi gonga like.
@aminrashid9918 ай бұрын
😂😂😂hadi leo
@aminrashid9918 ай бұрын
😂chelewa chelewa utapata mwanasio wako
@Alexmnyanyala4 ай бұрын
😂😂😂😂
@stephenothis7072 ай бұрын
𝙰𝚌𝚑𝚊 𝚞𝚝𝚊𝚗𝚒 𝚊𝚍 𝚕𝚎𝚘 𝚑𝚞𝚓𝚊𝚙𝚊𝚝𝚊😂
@janethEmmanuel-n8h2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊
@bilunjirogers3764 Жыл бұрын
Anyone listening to this in 2024😊
@halisihespoirkulondwa Жыл бұрын
Kama unausikiya huu wimbo 2024 gonga like apa.❤
@decoderhealthusa11 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@officialfetty744411 ай бұрын
Tupo 😁🥰🔥
@jacobshao126010 ай бұрын
Yeah
@Gillian-gz2fb10 ай бұрын
Tupo
@zulfaadam10 ай бұрын
Tupo
@lynahasiko645415 күн бұрын
Hii nilikua naiskia usiku na kamau mbugua pale radio citizen...2025 bado niko hapa😢❤❤great memories
@GUARDCLEVERTV7 ай бұрын
Kama bado unaelewa hii 2024,gonga like tuondokeeee
@HappyJohn-h8q2 ай бұрын
Wimbo zaidi ya wimboooo mzuri maneno mazuriiiiiii
@pilikasimu15935 жыл бұрын
Unanikumbusha siku ya send off yangu huu unaishi ktk maisha yangu naupenda sana sana ,gonga like 2019 still listening
@monicamasuki48815 жыл бұрын
PILI KASIMU nice song
@monicamasuki48815 жыл бұрын
Hautakua expired hat siku moja
@mariamjoseph84864 жыл бұрын
Naipenda sana duuh cjawahi kuichoka
@JanuaryYolamu Жыл бұрын
Kama Bado unaiskiliza hii nyimbo gonga like twende pamoja na good song is romantic
@cookingwithlili9967 Жыл бұрын
Kama unausikiliza huu winbo 2024 gonga like ❤
@GoldenchipsChips Жыл бұрын
Acha kabisa hizi ndio wimbo zenye uhai
@KubwiArly5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@FrankMbinga-j2tАй бұрын
❤
@TerNana-s7n4 күн бұрын
Nice song 👍 thank you so much may God bless you 🙏🙏❤️❤️
@emanuelmalanji3145 жыл бұрын
Bongeee la wimbo an umenigusaaa mnooo kama na ww mdau uusikilizae unaukubali wimbo huuu basi unaweza uka weka like yako taratibuuu
@yassinsuleiman84235 жыл бұрын
Emanuel Malanji nishida yaan mpaka machoz
@EstherElisa-Motivation5 ай бұрын
Nasikiliza hii nyimbo leo September 2024❤
@yusuphmyinga5 ай бұрын
Mpka sasa 2024 cjaona ngoma mahususi kwajili ya ndoa yenye mashair makali kuizdi hii Bob ludala heshima kwako 🙌🙌🙌🎉🎉🎉
@FranklineMuyumba6 ай бұрын
this song will never get old.. am in love with it❤
@niyokwizerajean5 жыл бұрын
Safi sana baba yetu!!!! Kama unasikiliza hii uko Burundi basi gonga like 🇧🇮🇧🇮
@bobrudala37844 жыл бұрын
Asante Jean tuko pamoja
@aminamikidadi77544 жыл бұрын
Hakika mtu akifanya kitu kizuri anastahili kusifiwa ...Bob Rudala mwimbo mzr mno na wala hauchuji ....kila iitwayo leo tunauona mpya!!! ....hongera sn ...Brother. .... Love u 2 ...forever kiongozi....
@JumaJemus Жыл бұрын
naipenda
@bobrudala378410 ай бұрын
Thanks sister sofa nanutukufu tumrudishie Allah muweza wa yote
@faustinejosephat25222 ай бұрын
@@bobrudala3784yuh did it bruh🎉
@pendomassawe5036 жыл бұрын
Ninapousikiliza huu wimbo naamin ipo cku na mm nitafunga ndoa itakayompendeza Mwenyezi Mungu
@mariamjohn17005 жыл бұрын
Pendo Massawe ameen
@chumizola18475 жыл бұрын
Pendo Massawe Mungu Azidi Kukubariki na Kutimiza hamu ya Moyo wako
Only a positive kind of energy brings you to this song. Hold on to that energy
@Lilmbunah6 ай бұрын
, a massage to new generation don’t let this song die 😢❤❤❤❤❤❤
@naurathsayd11075 жыл бұрын
Anaeamin hii nyimbo haichuji na bd anaskiliza 2020 like yko tafadhal tujijue tupo wangap👍👍👍👍👍
@sabaskakwira95574 жыл бұрын
Nice song forever
@fadhiligeorge77764 жыл бұрын
Aikatai
@PARADISBIGERE-f6p4 ай бұрын
Ok
@Alexmnyanyala4 ай бұрын
Wimbo wa taifa wa ndoa
@bobrudala37845 жыл бұрын
Thanks for everybody who like and drop comment about my song I real appreciate don’t forget I have also Reggae version with Ras Jhikoman Ras Innocent Galinoma also did his Raggae version and i about to drop Nimekuchagua Wewe in Zouk style soon
@philadelphia700d25 жыл бұрын
I wann do an interview with you am a media personality from Tanzania check me through what's app +255657059968
@jumamhina38924 жыл бұрын
Hakika ni bonge ya wimbo. Hautakaa uchuje
@twinimelissa71664 жыл бұрын
Wish you can sing this song on my wedding .proud of you. Love this song dont really understand swahili but i know its love song
@estherwasira74744 жыл бұрын
Well done Bob.. 💯Long time No See...😊
@emmanuelleyegella2884 жыл бұрын
Hauchuji baba uhunifu Safi sana
@lulanjamd38865 жыл бұрын
Sauti nzuri,Mziki mzuri, mwimbaji mzuri,producer mzuri, vedio nzuri, location nzuri,Eeebana eee Bob Rudala uko juu mawinguni kaka.
@mangasteward69994 жыл бұрын
Hata mie pia naupenda sana huwa unanifaliji
@eliyalumala29844 жыл бұрын
Kweli
@bobrudala37843 жыл бұрын
Asante sana
@sulusulhiya76733 жыл бұрын
Hakika 😍
@dorahwanyonyi1823 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana
@AdventinaAnthony5 ай бұрын
I randomly bumped into this🥹🥹🥹🥹 Where are the good old days?
@SadickMadidiga-id9fh5 ай бұрын
Ezi za utoto wangu Ii yimbo nilikuwa naichukia sana mwenyewe yimbo Ambaee Ni Anko Yangu Alikuwa Anaipenda sana Yani Kila mda Alikuwa anailudiaa mala kwa mala daah mda. Sana,......
@dativamajaliwa58096 ай бұрын
We are in 2024 but still enjoying the song it is forever the hit in our ❤️.It deserves 5 🌟
@allyabdallah251911 ай бұрын
Hakuna kizuri kisicho na kasoro lakin sipata kuona kasoro kwemye nyimbo hii Ni miaka Sasa tangu nianze kuusikuliza sikupata kuuchoka, wimbo huu ni ujumbe kwa mkewangu kipenz shamsa abdala Musa.. nakuahidi kukupenda siku zote.
@DionisiaBwalawa18 күн бұрын
Tunao endelea kusikiliza 2025 like zenu
@erastojackson42524 жыл бұрын
Tears never stop rolling down of my cheeks 😥😥 R. I. P My lovely wife
@latifahassan56614 жыл бұрын
Pole Sana Erasto may her soul rest in peace
@erastojackson42524 жыл бұрын
@@latifahassan5661 thanx Tifa
@viviannenjuguna63014 жыл бұрын
It shall be well
@maulidikhalipha1502 жыл бұрын
Pole kk
@rosemary11632 жыл бұрын
It's well brother may she rest in peace
@MichaelKimario-lo6cg6 ай бұрын
Vijana wa leo hawana mpenzi ya kweli mnaosikiliza wimbo huu GOD bless you
@ABDAllahHamis-r4w16 күн бұрын
Popote ulipo Baba yangu mzazi Mzee Hamisi.Na Masumbuko Nsabi, Mashaka Nsabi, Mhoja Nuwa, Ibengwe Nuwa, mungu atupe maisha malefu tuendelee kua hai. Nawengine wote ndugu zangu wa Nyandolwa.
@kamberejuma4 ай бұрын
Kama bado unausikiliza huu wimbo 2024 gonga like
@leticiashaban44374 жыл бұрын
Kama bado unaiskliza hii nyimbo gonga like twende pamoja, 2020
@johnbuyobetruegospelchanne43024 жыл бұрын
Kibao kisichochuja
@MorrisMkTv4 жыл бұрын
Goodgod
@cyliviambanga1964 жыл бұрын
Wao my weeding song,feeling happy
@priscarbarnaba32534 жыл бұрын
Niceee
@witnessmsuya10584 жыл бұрын
Yuko vizuri sana
@fafauwims42366 жыл бұрын
I listened to this song 10 years but anytime i listen to it , it is always new...kweli hawa ndo wa sani...nyimbo za hekima na maneno mazuri ya kweli...God bless you brother
@busarasemkiwa16895 жыл бұрын
yes nice song
@rudalarudala90195 жыл бұрын
Thanks
@SalmaAbibu-jd8ck5 ай бұрын
Nasikia na nitaenderea kuusikiriza mana siushibi Ata, Salma habibu.
@TheArtImpact3 ай бұрын
Bod Rudala a greatest musician of our times. This song will ever fade
@KassimBakari-mw8ey11 ай бұрын
Safi ni muonekano WA upendo , wimbo huu," kassim Bakari Bindo from kigamboni dar es salaam Tanzania
@samguide45685 жыл бұрын
Kama unaamini kuwa huu windo hautachuja leo hata kesho. Basi mpe like mwimbaji huku ukiendele a kusikilizaa na kusoma comments
@hanaphyjay83223 жыл бұрын
You know it was was a nice night out out of of yours too lol lol wat was a nice good evening
@leonardmabiki77662 жыл бұрын
Like
@michaelmasalago80685 ай бұрын
🔥🔥🔥🤸
@SiaSamwel28 күн бұрын
Kama unasikiliza huu wimbo 2025 gonga like ❤
@dayanapastor23223 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu kila siku who else lestining this song in2021🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇸🇺🇸🇿🇼🇿🇼
@AminaTanzania2 ай бұрын
Bobu haisa jirani anguu mwanza missungwi. Nakupenda sana huna baya musukuma mwenzangu upo vizuri sana kaka
@JavanOnguruTM3 жыл бұрын
Suddenly, it's 2004 all over again, and I'm back in Dar es Salaam. Awesome song.
@lilianlaizer90674 жыл бұрын
Kama unaangalia huu wimbo mwaka huu wa 2020 gonga like yako hapa
@innoemma68304 жыл бұрын
Ukovizuri
@worldwide_2545 жыл бұрын
This song was released in 2004 but still fresh to listen to....my all time favourite
@Alexmnyanyala4 ай бұрын
Kizuri lazima kiishi milele, gonga like
@KelvinGeorge-g8nАй бұрын
Kama umeoa mwaka huuu unabalikiwa na huuu wimboo gonga like hapa🎉🎉🎉
@nurudovino2885 жыл бұрын
Inshallah siku yangu yandoa ikifika niwekewe hii👌
@maezadam54925 жыл бұрын
Nuru Dovino inshallah🙏🙏
@songomajohn33275 жыл бұрын
Nuru Dovino atar
@rodaligoha85345 жыл бұрын
inapendez
@mussabundala765 жыл бұрын
Nitakuona mm na vile ninavyotafuta mchumba
@maryjohn53484 жыл бұрын
Damondi
@kibasamohamedi80295 жыл бұрын
Dear future wife I thnk one day we will play that song in our wedding. I lv you my future wife Rosemary.
@esthersyolela49795 жыл бұрын
Am resting again and a again very nice song I like this song
@jamesgasper83914 жыл бұрын
Esther......come with me
@zaynahhassan21094 жыл бұрын
MashaAllah
@ommyally80505 жыл бұрын
Big up Bob Rudala kazi nzuri kwa hii nyimbo inaamsha hisia za wengi.
@asifiwekitunga46552 жыл бұрын
Sanaaa
@faustinejosephat25222 ай бұрын
Hii nyimbo tamu sana ooh God🙌🏽
@neemakwamboka79474 ай бұрын
It's 2024. Iwish to find someone special and sing this song together. Listening to it a day to my birthday tomorrow September 11th..
@jacquelinethomas58823 жыл бұрын
I dedicate this song to my beloved husband 🥺❤️Dear sammy u mean alot to me i cant explain , i pray we last forever till death seperates us😿❤️ilysm. with love Mamadee❤️
@jastustitus65062 жыл бұрын
Vip bado upo na Sammy? Au tusiwafatilie
@chary212 жыл бұрын
@@jastustitus6506 wewe wacha fitina
@parfaitmugisha89592 жыл бұрын
@@jastustitus6506 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@brendarowland43352 жыл бұрын
@@jastustitus6506 😂😂😂😂
@deejay_Princie_the_one2 жыл бұрын
God above all
@robertterry89095 жыл бұрын
kama na wewe umesikia sauti ya banana zoro npe like Kaka Rudala nyimbo yako tam sana huwa napenda kuisikiliza muda wa kulala huku ikinibembeleza usingizi ukija taratibu
@IreneTesha-xt5kc10 ай бұрын
Kama unauskiliza huu wimbo mpk 2024 na bado hujapata mume gonga like
@rehemaShabani-gq7nd2 ай бұрын
Daah😂😂😂
@LissahPeter4 ай бұрын
Eeeeh mwenye mwenyez mungu nibariki katika upendo wangu❤
@FredrickJoseph-ug9hs7 ай бұрын
❤ saa hiyo wazee tumekaa tunakuala maji na nyama kwa wingi alaf ipigwe🎉🎉
@cylinesyokau629310 ай бұрын
I always listened to this back in high school 😢, turned out like a fantasy but now in 2024, I hope to actualize and make my vows 😊 so help me Lord ❤
@allysalim97143 жыл бұрын
Who is still hoping to play this song on their wedding day!?
@lucasjohnmabanda58585 ай бұрын
Who else is listening to this this song on 17/08/2024?
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Mwimbo wa harusi yangu kama uko hai nakuombea uzima kama haupo mungu akulaze mahali pema peponi amina
@samirakiango9573 жыл бұрын
Kama najiona mm ndani ya shela moja matata navwakaa nipo na mtarajiwa wangu yupo ndani ya suti safii nywele ya inchi mmoja kuchwanii kiatu kimoja safii sanaa naingiaa ukumbinii ntaliaaa khaaa mungu tendaa muujizaa mweeh na zeekaa mm mpkaa utamuu umeishaa mungu nipatiee mtu ata anaee pumuaa vixuri tu
@SadickMadidiga-id9fh5 ай бұрын
Niko Apa
@eliakayombo32045 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za kusikia sio tetema cjui inama,Safi rudala
@angelmwandata22335 жыл бұрын
Elia Kayombo 🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu elia jamani 🤣🤣🤣
@minaside67175 жыл бұрын
Kabsa, maana kule matus tu
@witnessstevensteven86785 жыл бұрын
Elia Kayombo 😂😂😂😂nimecheka sana ET tetema
@beatricegunga44735 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆
@ongagaken20855 жыл бұрын
Tetema tumeiharamisha
@swalehemahanga8225 жыл бұрын
Wimbo huu ni special kwa wapendanao ,ambao huvumiliana kwa shida na raha, wakufa na kuzikana kama mi na mke wangu
@gracemalabeya77125 жыл бұрын
Natamani Sana nije niimbiwe mwimbo huu hata Kama nimezeeka
@rehemaconeriocostance90114 жыл бұрын
Sawa kbs wajina wa marehemu mumewangu nikisikiliza uhu wimbo una unanitia machoz sana nakumbuk mbali sana
@halimambuguni33994 жыл бұрын
Asanteeeee
@bobrudala37844 жыл бұрын
Mola awazidishie kila lililo kheri naam kama mlivyo penda na na kuona kwa heri wewe na mke wako Basi mkadumu pamoja daima
@kenmuriithi8624 жыл бұрын
In 2021, still listening to this great song. Love it.
Waoooooh naambiwa baba na mama eti kwamba huu wimbo ndio walioingia nao kwenye ukumbi kipindi wanafunga ndoa....naupenda sana uu wimbo
@tickvaodra24792 жыл бұрын
2022 and still waiting to sing this song with my voice on my wedding day as my Fiancé walks down the aisle.. Grant me this ooh Lord I pray🙏
@mercymaradi18442 жыл бұрын
Still waiting dear God Glory be to Jehovah..
@raimundoferreira17672 жыл бұрын
@@mercymaradi1844 Do you are jehovah witness?
@beatricemurocia29452 жыл бұрын
When God blesses me with someone to love, I will dedicate this song to you... Actually it will be our wedding song... That's a prayer 🙏🙏🙏🙏
@laurenceshayuka9322 Жыл бұрын
Here I am. God sent
@muotinzmultiply88 Жыл бұрын
@@laurenceshayuka9322 😂😂😂😂when is the wedding....may you enjoy the song and all the blessing!! Wish come true!!!....afterall, there's still miracles in the world 😀😀😀
@antidabanyikwa3259 Жыл бұрын
2023 na Bado tunaona wimbo uko 🔥🔥🔥 amazing
@vascoalphaxard62624 жыл бұрын
Ahsante kwa wimbo mzuri hata ukiwa na familia unausikiliza bila kelele nyie ndiyo mlikuwa mnatoa nyimbo za kufundisha jamii kwa ujumla kuliko za sasa.
@danielngunda82206 ай бұрын
Huu wimbo naukubali sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤
@faithmwiraria43305 жыл бұрын
I hope one day on my wedding God willing this song will be played.
@eliahkibanyu52265 жыл бұрын
sijawahi kuchoka kuskiliza wimbo huu haya usiku kuchaaaaaaaa
@mikeboos40345 жыл бұрын
My wish too...
@kalokoziyusuph41352 жыл бұрын
This banger 🔥🔥
@harounamahoro34364 жыл бұрын
Best romantic music ever heard...Bob Rudala...love from Rwanda.
@bobrudala37844 жыл бұрын
Asante sana
@asheryobeid24593 жыл бұрын
Good song that make my mind to be happy
@brothernicholasmemeske16853 жыл бұрын
My dream girl we are no longer together but this was our favourite song since we started dating as we were singing it yote. I miss you Sauda and my prayer and wish is you be back.
@karimabdallah13043 жыл бұрын
Dahh it's sensitive, Pole sana
@johnthevocal6363 жыл бұрын
Our God He will bring her back, sorry my friend.
@jenniffermumo63272 жыл бұрын
Take heart and let go. The people we love are the ones who hurt us the most
@gandeone15856 ай бұрын
Huu Wimbo always unabamba ❤
@raysalim64812 ай бұрын
Huu wimbo niliskia Kwa mara ya kwanza mwaka 2014 lakini bado uko freshi kabisa
@carolinaadolf6955 Жыл бұрын
Soon hii nyimbo itawekwa kwenye harusi yangu kwa jina la yesu
@neemaneema9969 Жыл бұрын
Harus yako ni lini?
@carolinaadolf6955 Жыл бұрын
@@neemaneema9969 mwakani
@neemaneema9969 Жыл бұрын
@@carolinaadolf6955 hongera sana
@marekanijulius26205 жыл бұрын
Kama unasikiliza 2019 honga like twende pamoja.
@aminajuma47435 жыл бұрын
nipo hapa tena sasa hivi
@wizdoncosi36725 жыл бұрын
Tuko pamoja
@michaelmassae39705 жыл бұрын
Makini sana ngoma haichuji
@bravadoproductiontv3 жыл бұрын
2021.....!9
@malkiawafizi23946 жыл бұрын
Amakweli huu wimbo niliupendaga kabla sijajuwa nini maama ya mapenzi. Adi leo nimekuwa bado naupenda naku huthamini.ongera sana kaka 😢😢😢huu wimbo unanilizaga.
@chineneramadhani19126 жыл бұрын
Amina khaji, kiukwel huu wmbo ni mzuri xan
@happychenza84626 жыл бұрын
Malkiya wa Fizi Fizi hongera
@rudalarudala90195 жыл бұрын
Asante dada şifa zote tunarejesha kwake Allah
@furahaabraham76805 жыл бұрын
@@rudalarudala9019 hongera sana
@joycewalte59155 жыл бұрын
Tulioachwa sasa ndo tunateseka 😢😢😢😢😢😢
@lebonrsgr7712 ай бұрын
kama unausikiya toka Kongo 🇨🇩 acha like apa
@lucasmollel252211 ай бұрын
I don't understand why all singers who do sing nicely are not famous...Papa u ur song has touched my inner part and ur the best ..keep ut up..hopefully the Mc will tell the dj to play this cute song during my wedding ❤
@calistusmurunga50034 жыл бұрын
My childhood just came back rushing with nostalgia through this timeless song. ❤️❤️❤️😭😣
@ladislausdavid71693 жыл бұрын
It always sounds great in my heart when I hear the bits and verses of the song.
@dorahmoshi13023 жыл бұрын
2021 still here hope one day I will play this song in my wedding
@samirakiango9573 жыл бұрын
Ongezaa maombii dear
@kazembechipembele26733 жыл бұрын
You will dear....Daah
@devisshirima67803 жыл бұрын
Cant wait to dance with you 😋
@officialsuzzy95403 жыл бұрын
Same here
@faith35253 жыл бұрын
Me too
@victorsilayo27365 жыл бұрын
moja kati ya nyimbo ambazo hazitakaa zipungue thamani,,, uko sawa kaka
@gabrielmassawe3549 ай бұрын
I appreciate this song, Sauti imekaa na utulivu wa upendo Big up Father Bob Ludala
@RenatusChikulugu6 ай бұрын
Wimbo muhimu sana na wenye fundisho ktk jamii
@iranziemiler81353 жыл бұрын
Sending love from Rwanda. Be blessed for the good lyric
@EchoesApologetics Жыл бұрын
I will sing this on my wedding, looking at my wife in the eye ❤️❤️ i will become a king 👑 singing for my Queen 👑.. Crazy 🤪
@judiehance17364 жыл бұрын
Nani anasikiza hii hapa qurantine,,upweke, mawazo ya kumaliza akiba,, basi tunajiliwaza na kujifarij kama hivi, Mungu nipe Mume wa ndoto zangu
@rehemakasebele72403 жыл бұрын
Mi pia jamn mungu nipe Mme niuimbe huu wimbo
@sararutonda20724 жыл бұрын
Baada ya Mumewangu kipenzi Kuni dedicate hii nyimbo nimekua sichoki kuisikiliza.Imenifanya nihisi mapenzi yake kwangu.Asante my love kwakua hujutii kunioa.Mm pia sijutii,Mungu atupe kukumbuka nyakati nzuri ktk mahusiano yetu yote ili tudumishe upendo..beautiful song for lovers.
@hassansimon14294 жыл бұрын
Sara Rutonda hongera
@manirambonajeanne38764 ай бұрын
Napenda hinyimbo sana ninaimana mwaka 2024 hutanica ❤❤❤
@johannesmaloda82095 жыл бұрын
Wimbo mzuri kwa wapendanao kwa dhati,hasa mkipendana wote bila usaliti wala maumivu ya moyo
@karimabdallah13043 жыл бұрын
This Song Made My first comment on KZbin today, it take me back to childhood life, I remember Moments, friends, Happines and everything used to be. The point we invaded on weddings which were not relating just for food (Time flies )
@jacquelineremigiusy33122 жыл бұрын
March 2022 Still Hoping n Praying For This To Be Played On My Wedding Night ... InshAllah Kheir 🙏🏾
@Splash_goodness2 жыл бұрын
Kabisa yani nilidhani ni mimi tu😂😂
@jacquelineremigiusy33122 жыл бұрын
@@Splash_goodness Tuko wengi dear ❤️
@fideledusenge35962 жыл бұрын
don't worry
@fideledusenge35962 жыл бұрын
@@Splash_goodness siyo shida
@jacquelineremigiusy33122 жыл бұрын
@Mike Murithi ❤️❤️❤️
@EvaQueen-xn4lx4 ай бұрын
2024 still watching this song love from Burundi
@sophianasri61072 жыл бұрын
Huu wimbo uliniigia sana mpz wange alinitumia niusikilize jmn nilikuwa nikisikia tuu moyo unaruka na hata kuota kabisa daah binadam tunatoka mbal bado nausikiliza 2023
@mageandrew55505 жыл бұрын
Daah!Makin sana huwa narudia huu wimbo mara 3 kwa siku wimbo unahsia sana
@sarahkimambo53244 жыл бұрын
i love you bob rudala and this song will be play on my weeding day amen.
@andrewluwungo22712 жыл бұрын
i hope that dream come true for u 😊😇
@sarahkimambo53242 жыл бұрын
@@andrewluwungo2271 amen 🙏
@irenechrisestom6915 Жыл бұрын
My wedding is coming soon and I can't stop from listening this masterpiece. Am so excited 😊 🤗 🤪
@jeremietommie6228 Жыл бұрын
Wishing you best of luck and blessings. May God be with you.
@irenechrisestom6915 Жыл бұрын
Amen 🙏
@SebastianYohana Жыл бұрын
Great song with great moment. 10 April 2004
@joshuahaule2115 Жыл бұрын
Hiyo ndoa yako tiari au Bado unasubir
@loulumony85198 ай бұрын
Iyingoma inanikumbusha mbali kweli Enzi izo naipendaga mpak basi ❤🎉🎉🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
@AmiduMhafiwa Жыл бұрын
R.I.P my lovely Magreth mmehwa, when I listen this song I remember your love and kindness. Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi.
@teddymwakanyamale90055 жыл бұрын
Huu utakua wimbo wa kuingilia kwa harusi yangu naupenda mno.im listening now August 2019
@teddymwakanyamale90055 жыл бұрын
@@blessjohnson7132 Amen
@pastorteddywaziri57545 жыл бұрын
Teddy Mwakanyamale hata mimi hivyohivyo
@rehemaconeriocostance90114 жыл бұрын
Aha wajina wangu ucjjar ipo siku utafik tu mwamini mungu Kira kitu kitaenda sawa