Kweli kabisa nyimbo tamu kutoka Mombasa naisikizia nikiwa saudia arabia barikiwa sana dadangu
@tumujabir137011 ай бұрын
Asante mpenz
@babasalo67965 жыл бұрын
Wale wa Msambweni Gonga like hapa
@mariamhamisi16265 жыл бұрын
Mm hapa na ww jee
@mocekombo39394 жыл бұрын
Kaya ni kaya hasikwambie mtu
@michisalo8545 жыл бұрын
Nani alisema wadigo hatuweziii😂😂pharairaaa weee ano mayo pharaaraaaa💃💃💃💃
@malikahamed8504 жыл бұрын
Nakwambira watutoa stress za waarabu daa tumu
@PeterChengo8 ай бұрын
Inshallah nyota yako izidi kupasua mawingu napenda nimbo zako zanikumbusha nikiwa Kenya kandoyangu radio yangu station kaya na presenter rasmangale,peter kutoka Kuwait 👏👏👏👏🎉🎉🎉
@raseerasee95705 жыл бұрын
Wako wapi wale wa Kona ya musa, tukiwa ndani ya Qatari, home sweet home
@munayusuf43714 жыл бұрын
Tupoo
@ayushachidau67584 жыл бұрын
Tupo ndani ya saudi
@fatumaally34444 жыл бұрын
😘😘Hom swty tukiwa mbali
@mwanamisiabdullah79524 жыл бұрын
Tupo
@thammaratalwy17053 жыл бұрын
Tupoooo....twaipatata tukiwa nyumbani Dubai
@eshaboi76305 жыл бұрын
Dah dada tumu watuburudisha sana ndani ya saudia home sweet home jamoniii
@tumujabir13705 жыл бұрын
Usijali nakuletea mazuri zaidi ya hayo..
@ashabakari77575 жыл бұрын
Nakwambia watutoa strese za warabu
@salimmalalo22754 жыл бұрын
Hapo ss maisha ya ,ijea ya ,dhiki
@ayushachidau67584 жыл бұрын
Tupo
@faridamwashanda19215 жыл бұрын
Mashallah Dada tumu, napenda Sana nyimbo zako👌👌👌👌
@FrancoPlezter-i7u5 ай бұрын
My favourite msanii Mombasa, have been listening to her songs since then,alikuwa client wangu ukunda,nikirudi diani namtafuta
@mariamomari-cv3kiАй бұрын
Haki da tumuu unanitoa stress sanaa waaaaaaah #naisikiliza nikiwa ndani ya gulf 2024 November
@fathiafathia87013 жыл бұрын
Narudi nyumbani nami pia
@masoudabubakar2498 Жыл бұрын
Mama umepewa talanta hio sauti yako$$$
@mwinyimwaphatsa12645 жыл бұрын
tumu uko na sauti tamu mashallah.................jaribu kuboresha iyo vedio kiasi tafadhali
@fatumamngumi20694 жыл бұрын
Mbona sawa huko ndio kayaa
@fatemahm34384 жыл бұрын
Home sweet home,acha ni buridike nikiwa ndani ya saudia penda sana tumu
@abdulazizjabir87813 жыл бұрын
Mbona nyimbo zake n nzuri......mbona sponsor asifanye mpango akatoa ngoma na msanii wa bongo
@thammaratalwy17053 жыл бұрын
MashaAllah Tumu upo juu ...ntakualika harusi yangu InshaAllah
@fatmaabubakhar79943 жыл бұрын
InshaaAllah
@امينهقاو3 жыл бұрын
Nimeshkuru hom sweet home
@mariamali47225 жыл бұрын
Mashaallah daa tumu nyimbo tamu sana
@MwaJuma-x3t4 ай бұрын
Wapekelele kwa wadigo wewe❤
@rahmamteri55924 жыл бұрын
Nyumbani nyumbani eeh nimelelewa toka nyumbani halo ndani ya perani wizi wakorosho kama kawa home sweeet home hatakama kichakani much love daa tumu
@beutymttobeutty22735 жыл бұрын
Wayawaya hme swt hme penda ww ma tumu 😍😍😍😍😍😍zidi kutupunga😍😍😍😍😍
@thumabby36554 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani kweli kabisa
@khadijanjama90165 жыл бұрын
Maskini mtu kwao
@tumujabir13705 жыл бұрын
Ama vipi dada?..ahaha
@alidingongo4435 жыл бұрын
Nilijua tu utafika 😁😁😁😁😁
@MwaJuma-x3t4 ай бұрын
Unaweza mamaa mashallah ❤❤❤
@keykariabu7013 жыл бұрын
Sauti nayo 🔥ujumbe nimeupata nimeupokea.. Ata Nami narudi home 🏡 🌋
@nasserroqiyaalabri51173 жыл бұрын
Da tumu nakualika Oman njoo nakusubiri
@ahmedabdalla483610 ай бұрын
Awesome qwedhbmqwedhbm ❤💓💖❤️
@TheKaramanid Жыл бұрын
🔥🔥🔥 Tumu Jabir. Malkia 👑 Wa Taarab Mombasa.
@Esamaijacob6 ай бұрын
❤❤❤❤thx so much more inspirational
@ashaabdallah38662 жыл бұрын
Hata mm nimemiss home bwana weeeeeee acha tu 😘
@wemakalam32335 жыл бұрын
Coast taarab nimeipenda kazi nzuri @tumu jabbir
@najmaaa65483 жыл бұрын
Wko wpi wale wa saudia...home sweet home full tumu yani pamoja 🤝🥰
@bahatimwamrima23833 жыл бұрын
Home sweet home, ht km kichakani. 🥰🥰Bigup cn da tumu, nakupenda bure
@rajabmwachia65085 жыл бұрын
Dada tumu Masha Allah nimependa sana.nakutakia mafaniko makubwa na heri ameen
@alisalim8416 Жыл бұрын
Really like you song sister be blessed
@rahmamteri55924 жыл бұрын
Keeeeeeeeeeeh jamani siponi mie wanikosha ujue
@AhmadAhmad-wl7zv6 жыл бұрын
mungu amekupa kipaji cha sauti nakusikuzea ni kiwa ndani ya saudia
@tumujabir13705 жыл бұрын
Asante Ahmed..
@mohamedmwangao74845 ай бұрын
MashaAllah product ya New Star Modern Taarab
@rzekiomari23332 жыл бұрын
Nakupendaa daaa pamojaa sana
@mwakaribukhamisi70362 жыл бұрын
Naja nyumbani pia mm😂😂😂❤❤
@arafatismail49455 жыл бұрын
Kaya kaya kaya kisite kwao hoyeee
@zuhuramwawimo9975 жыл бұрын
nyumbani ni nyumbani tu dada tumu👍👍👍👍
@norah20795 жыл бұрын
Nkeli da zuhura
@tumujabir13705 жыл бұрын
Kabisaaa dadangu..
@diniyawasaniiremmy19195 жыл бұрын
@@tumujabir1370 kuna nyimbo yako Da Tumu lakini siijui jina lakini naitafuta sana ila sijaipata..ulipoimba imba hivi...NATESEKA MIMI SIKOSA LAANGUU..SABABA YA MAPENZI YANAADAA
@monyshaali1812 жыл бұрын
@@diniyawasaniiremmy1919 😂😂😂wasema wateswa na mapenzi
@matedoremy50714 жыл бұрын
Karibukwetu Congo Lubumbashi tunakumic sana
@tumujabir137011 ай бұрын
Asante
@bintmwahiga67415 жыл бұрын
Masikin mtu kwao sana tu
@mamakeallyzecha19365 жыл бұрын
Home sweet home😍😍
@elishnyamawy3704Ай бұрын
Tumu Jabir mbona nyimbo yako ya Penzi Tulijali haipo kwa mtandao? Naitafuta kinoma.
@AdsgAds-k3e3 ай бұрын
Mashaallah home sweet home
@bahatimusa91675 жыл бұрын
Masha Allah da Tumu uko juu moto
@aishaswaleh71665 жыл бұрын
mashaallah da tumu naburudika nikiwa saudia.
@tumujabir13705 жыл бұрын
Nafurahi kusikia hivyo dadangu,ndio furaha yangu ukiburudika...
@aishaswaleh71665 жыл бұрын
mie nikiskiza nazidi kufuraika dadangu mungu akuzidishe kipaji inshaallah.
@mohameeddoaan22965 жыл бұрын
Nakwambia minnaraha zote stress zawaarabu zote sina
@rukia4183 Жыл бұрын
Tumu nawambiya mubaini
@zulachama10674 жыл бұрын
Je mupoo au munlala,uku kwetu raha tu twakesha mpaka kieleweke.2021 bado tuna kula bata.
@bintykhana9245 жыл бұрын
Sauti kinanda MashaAllah
@mohameeddoaan22965 жыл бұрын
Nimerudi nyumbanieee
@huaweiapphuaweiapp51974 жыл бұрын
Sweet hom 💥💥💥💥🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@munachkamunachka18304 жыл бұрын
Nyumbni patamu asikuambie m2 👍
@zulachama10673 жыл бұрын
Mtu kwao home sweet home,2021 l'm still watching God is greater.🤲
@neemagambere99876 жыл бұрын
napendaa..hiyoo.nyimboo.dha
@tumujabir13705 жыл бұрын
Asante Dadangu..
@rehemakazungu4715 жыл бұрын
Mashala
@zulachama10675 жыл бұрын
Karibu nyumbani kaya nkayaa
@fatmaabubakhar79943 жыл бұрын
Wow sauti tamu big up
@ashasaid76365 жыл бұрын
Kaya nkaya takama nmavuweni , asante habipty kwa kuduburudisha
@xyztotolakenyaabcfromkenya83173 жыл бұрын
Tumu Uko Juu Sanaa
@saidgwanda5925 жыл бұрын
Nimeobdoka tena nyumbani..ndio mkali nautaka ntaupata Vipi Tumu otherwise uko juu sana
@hemedyyusuf7375 жыл бұрын
Asantaaaaaaa
@emilywanje92564 жыл бұрын
Jamani nitarudi home mda sio mrefu
@mwanamisiabdullah79524 жыл бұрын
Maisha ya nje ya dhiki.nikiwa Qatar
@allyzicko81495 жыл бұрын
Wakiteje mko wap
@askhalfan15054 жыл бұрын
Tupo..tupo wakiteje
@bandamohamed75562 жыл бұрын
you are rocking our hearts and souls. proud of you guys. be blessed
@ismaelmabavu56205 жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani duuu safi sana.
@tumujabir13705 жыл бұрын
Hapo umenena dada..
@MfakiMfaki-xv3ki7 ай бұрын
Kwel nyumbani ni nyumbani sster umeweza
@tumujabir13707 ай бұрын
Asntee
@mwanaishahamisi22816 жыл бұрын
Twangoja binadamu mzigo
@tumujabir13705 жыл бұрын
Isubirie tu mda si mrefu..
@qtrqtr72055 жыл бұрын
Binadamu mzigo
@jumamohammed86153 жыл бұрын
Mwanatumu nkali xn
@mundhiraliy13073 жыл бұрын
Niya 🔥🔥🔥🔥
@fadhilsaidina65474 жыл бұрын
Jameni Dada tumu wewe penda sana wewe
@sawdasamsan48955 жыл бұрын
Back home soon inshallah
@jackzollo97082 жыл бұрын
The only song i love so much for Tumu jabir😍😍😍
@s2omo3bdalhameed645 жыл бұрын
Naburudika nkiwa qatar nko karbu kurud om 🥰
@neemashabani95034 жыл бұрын
Saut ako Zur Sana
@eshakulo58643 жыл бұрын
MashaAllah daa
@إيميكينياني2 жыл бұрын
Home sweet home ♥️ sauti bomba
@mwanamisinyuchi30955 жыл бұрын
Hangera dd HAPO sisemi
@hasanzakir14055 жыл бұрын
Twatak kuona umetok nyumbn umerud mjini tumu
@johnwanjala67753 жыл бұрын
Wow big up
@mwanaishambili2416 жыл бұрын
Mashaallah tumu mungu kakupa sauti zuri da
@tumujabir13705 жыл бұрын
Asante dadangu..
@hasanzakir14055 жыл бұрын
Tupeni hzo mpya jmni
@buhohaji12345 жыл бұрын
Ntaka nmetoka nyumbani
@jumamohammed86153 жыл бұрын
Namkubal tumu
@sureladykiba56085 жыл бұрын
MashaaAllah tumu
@naseemjeddah80426 жыл бұрын
Safii sana dada tumu nakupata loudy and clear ndani yasaudia