Nimeumwa Miaka 8 | Nimefanyiwa Operation Mara 23 | Nilikuwa Natembea Natoka Funza Tumboni

  Рет қаралды 15,240

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

"Nimeumwa kwa takribani miaka 8 na nimefanyiwa operation 22 na sijawahi kukaa nyumbani miezi sita na kwa mwaka naweza nikawa nimekaa miezi nane hospital.
Operation ya 22 nilikuwa na asilimia 1 ya kutoka nikiwa hai na asilimia 99 sitatoka hai ila nilikubali kufanya na niliamini nitatoka hai na Mungu akanitoa hai na baada ya siku kadhaa niliambiwa natakiwa kufanyiwa operation ya 22 nilishachoka nilikataa ila baadae nilikubali na kufanyiwa nikiamini baada ya hii nitakuwa sawa ila imekuwa tofauti na natakiwa tena kufanyiwa operation ya 23 South Afrika" Hawa akielezea safari yake ya operation mpaka sasa na anahitaji michango ya watanzania ili kuwezesha hili kupitia namba. 0769990045 Carolinhawa Hussein Ebrahim Bounin au 0789095858 Fatma, 0712595858 Carolinhawa Hussein
#LeoTena
"Natakiwa kufanyiwa operation ya 24 South Afrika na madaktari wameniambia huenda hii ikawa operation ya mwisho hivyo nahitaji msaada kwa Rais wetu Dkt. @samia_suluhu_hassan pamoja na watanzania kuwezesha hili" Hawa
Namba ambayo unaweza kutuma mchango wako kwa Malkia huyu ni 0769990045 Carolinhawa Hussein Ebrahim Bounin au 0789095858 Fatma, 0712595858 Carolinhawa Hussein

Пікірлер: 206
@Mail-z5q
@Mail-z5q 4 сағат бұрын
Subhannallah Hawa leo sura ina Nuru mashaallah Allah zaidi kukupa afya na uzima
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 сағат бұрын
Amin Yarabbi Amin
@FatmaAliy-ld4dg
@FatmaAliy-ld4dg 9 минут бұрын
amkibindo1741 Amiin
@ElzaMungure
@ElzaMungure 5 сағат бұрын
Apo ulipofikia dad inatoshaa kusemaa mungu wetu yupo.mungu wetu yu hai mungu wete halali mungu wetu niwakila mmjaa mungu asant kwa uwah wa uyu dad na utazid kumponya na kumpa afya tele zaid ya apaa
@Mail-z5q
@Mail-z5q 4 сағат бұрын
Amiin
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 4 сағат бұрын
Kabisa
@MariamMbaruk-rk3vj
@MariamMbaruk-rk3vj 3 сағат бұрын
Amiin
@anithamwinula561
@anithamwinula561 2 сағат бұрын
Ameen🙏
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 сағат бұрын
Aamina
@glorymanga3650
@glorymanga3650 4 сағат бұрын
Jamani sijui tunatakiwa kumshukuru Mungu kivipi ila kusema kweli Mungu ni mwema mnooo❤
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 4 сағат бұрын
Oooohhhh waaaaooohhh 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻Hawa nauona uso wako umebadilika umeimarika kidogo Mungu aendelee kukufunika kwa mikono yako iliyojaa uponyaji na baraka. Pole pole pole sana dada Hawa. Mungu wewe hujawahi shindwa
@CalvinPeter-k9s
@CalvinPeter-k9s 4 сағат бұрын
NIME WAHI KUTAMFUTA UYU DADA JAMANI MIEZ 3 NAAMBA INAYO PATIKANA ANA POKEA MTU MWINGNE ANA SEMA YUPO MWANZA DAH AFADHALI NIME PATA NO YAKO INSHA ALAH NAKUJA KUFANYA JAMBO KWAKO DADA ANGU
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 сағат бұрын
Mwenyezi MUNGU akufanyie wepes umfikie utimize lengo lako Amin
@CalvinPeter-k9s
@CalvinPeter-k9s 2 сағат бұрын
@@mariamkibindo1741 amin Thumma amin kuna dada mmoja nahisi tapeli yule ana tumia clip zake najua yeye natuma pesa na mwambia bas naitaji onana na magonjwa me nipo dar yu alazwa kwa hospital gan yeye asema mwanza kumbe mhusika yu dar bas saw wacha tutimize lengo kwa Qadar za allah
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk Сағат бұрын
ALLAH akufanyie wepesi utimize ahadi yako​@@mariamkibindo1741
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Сағат бұрын
Cm anashikiwa huyu na ndugu zake huko huko Mwanza si ndy kwao
@NusratMundrick
@NusratMundrick 5 сағат бұрын
Kiukweli sana dada nilikua nafatiria sana uumwaji wako kiukweli dada kwasasa unatakiwa kushika ibadan sana kwa imani yako
@marsonbuffett7357
@marsonbuffett7357 5 сағат бұрын
Kupitia huyu dada nitaendelea kulisifu jina la bwana wa majeshi. Mungu Mwenyezi
@Mkenyahalisi-z8r
@Mkenyahalisi-z8r Сағат бұрын
Dadaa Hawa kama wewe Muislam Basii Jua Allah Kakupa Nafasi Ingine ya kuishi Unafaa kufanyaa Ibada kwa Wingi Basii kaka Mkristo Pia Basii Endelea kufanya Ibada kwa sanaa maana Ulipotoka Dadaangu Duuh ....Kweli Mungu Mkubwa 😢😢❤
@FghgRyy
@FghgRyy 4 сағат бұрын
Subhana Allah Alhamdulillah kwa neema ya afya nakuombea afya njema Allah azidi kukuimarisha Aamiyn
@lucymtui8680
@lucymtui8680 4 сағат бұрын
Mungu yupoo Jina lake litukuzwe
@AsmaAlly-m9i
@AsmaAlly-m9i 4 сағат бұрын
Allha Akupe nguvu apo ulipo fikia munguu mkubwa
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 4 сағат бұрын
😢😢nimelia sana jmn nashukuru Mungu Kwa ajili ya uyu dada hapa alipo Leo ni Kwa huruma za Mungu hakika ni Kwa neema na uweza wa Mungu
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 4 сағат бұрын
Ila mama samia ana moyo sana kwenye matatizo tuwe wakweli anajitoa kwa ajili ya Allah nakupenda sana mama ❤
@elizabethmwamdanga7377
@elizabethmwamdanga7377 4 сағат бұрын
kweli
@aishabakari8040
@aishabakari8040 3 сағат бұрын
Sijui kwann watu wanamchukia 😢
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 3 сағат бұрын
@@aishabakari8040 kawaida ya binadamu huwezi kupendwa na kila mtu
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 сағат бұрын
​@@aishabakari8040chuki tu unaweza kuchukua mtu bila sababu kabisa
@Safreenfeen
@Safreenfeen 2 сағат бұрын
@@aishabakari8040 wanaomchukia mama wanaoenda machafuko kwenye nch na ufisadi….kaz kulalamika tuu kwa ufisadi wao binafs
@musaguga
@musaguga 5 сағат бұрын
MUNGU ashukuriwe sana,huyu dada kasimama tena,MUNGU WEEEEEEEEEEEE, Natamani nipite mtaani nipige kelele, ureeeeeeeeeee
@AliMsellem
@AliMsellem 3 сағат бұрын
pole sana kwa mitihani unayopitia pole sana ila fanya dua kwa sana tena sana
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Сағат бұрын
Daah hata siamini Jamani.Mungu yupo hawa.ni kama huyo mchawi wako kafa au kasahau namna ya kutumia hizo material zake.Ashindwe kwa Jina la Yesu.
@AhmedAbdallahBakari
@AhmedAbdallahBakari 5 сағат бұрын
ALHAMDULILLAH YAA,ALLAH tupe uzima WA milele waja wako AMIN
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Сағат бұрын
Allhamdulillah. Yaraby kwakumuona huyu khabity akiwa hivi. Lahaulawalakùuuwata ilabillah
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 3 сағат бұрын
Mungu azidi kukuimarisha mdg wangu na azidi kukupa afya ndani yako naiman utapona na ukawa na happy nimefurahi sana hapo unavozungumza mimachozi yananitoka ya furaha e mungu asante kwa uponyaji wa Hawa muimarishe zaidi na zaidi ❤❤❤❤❤
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Сағат бұрын
Jamani msimuulize maswali mengi kwani hamuonei huruma hatakiwi kukaa muda muda mrefu msipende ubeya sana mungu amsaidie huo ni uchawi
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 4 сағат бұрын
🙏🙏 mungu ni mwema utapona kabisa kwa uwezo wake kwan hata hapo ulipo ni kwa uwezo wake yeye ALLAH.
@ZaidiShabani-q6y
@ZaidiShabani-q6y 4 сағат бұрын
Hakika Allah nimjuzi wakila jambo shukran ya Allah kwaneema zako na rehma zako kwetu viumbe wako tusameh makosa yetu Hakika waja wako niwakosefu mbele yako kila siku Hakika umetakasika nakila sifa njema nizako
@SabihaAhmed-v4t
@SabihaAhmed-v4t 4 сағат бұрын
Nimelia Kwa kupiga kelele ya rabby ww ndo Kila kitu Alhamdulillah takbir allahu akbar
@امينهسلطان-ز2ط
@امينهسلطان-ز2ط Сағат бұрын
ALLAH AKBAR
@aishahamis1609
@aishahamis1609 4 минут бұрын
Allahuaqbar
@ZaidiShabani-q6y
@ZaidiShabani-q6y 4 сағат бұрын
Nimilion 50 raisi mama samia msaidie huyu binti mama yetu kwa huruma yako na msaada wa Allah atakulipa inshaallah kwakila umuombayo ikawe sadaka kwako kwaajili ya kumuomba uraisi 2025 inshaallah amin
@arjunelly540
@arjunelly540 4 сағат бұрын
Mungu wa hawa na Mungu wa profesa J ni Huyu huyu Mungu wangu, nitapona vidonda vya tumbo in Jesus name
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 сағат бұрын
Ameeen
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Сағат бұрын
Nitafute instragm zay collection nikuelekeze dawa
@AzeeHassan
@AzeeHassan 4 сағат бұрын
Alihamudullah.tunazidi kukuombea dada hawa
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 4 сағат бұрын
Hakuna linaloshindikana kwa Mungu dada tunamshukuru Mungu sana kukuona umesimama Allah Kareem
@ZamdaMohammed
@ZamdaMohammed 3 сағат бұрын
Allah akbaru
@hamidawamba
@hamidawamba 4 сағат бұрын
Kuna mtu anasema hakuna Mungu ila watu ALLAHUAKBAR 🙏Mungu nisameh napo lalamika hakuna utajir mkubwa kama afya
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 сағат бұрын
Ila aliyekutesa naamini naye ipo siku atateseka
@leaherasto929
@leaherasto929 3 сағат бұрын
Mrembo mashaalah umeshashinda dear tumshukuru Mungu kwahatua uliyofikia
@FatmaAlly-w7p
@FatmaAlly-w7p 4 сағат бұрын
Allah atazid kukusaidia insha'Allah
@yusramichael585
@yusramichael585 5 сағат бұрын
hakika Allah yupo pamoja na wanaosubir.... Mashaallah atakuponya kwa uwezo wake Yy aliekuumba
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 сағат бұрын
Alhamdoulillahi kwa kila hali Mungu hawezi kukupa mtini ambao huwezi kabiliana nao anakujaribu kias cha imani yako😢😢
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th Сағат бұрын
Mungu akulinde some kwa dada zetu munao jichubua kushoneka ni tabu sana
@nunuuali5316
@nunuuali5316 4 сағат бұрын
Allah Akbar! Alhamdulillah
@Aisha-o4v
@Aisha-o4v 3 сағат бұрын
Alhamdulillah pole sana mamy tuzidi kumuomba Allah azidi kukupasura napia kukupanguvu uzidi kuwa sawa kama ulivokuwa zamani 😢
@Violeth-vg4kz
@Violeth-vg4kz 5 сағат бұрын
Pole sana hakika mungu ni mkuu
@glassamo3847
@glassamo3847 Сағат бұрын
Mungu akuponye
@marygregory7566
@marygregory7566 2 сағат бұрын
Sijawahi kuona imani kama hii,...nimejifunza hawa wewe ni mfano wa kuigwa Asante sana rais wetu wewe ni mama mwema kwetu🙏
@Glory261
@Glory261 Сағат бұрын
Katika siku niliyofurahi ni Leo mom yalikuwa ni maombi yangu upone hakika Imani yako ni kubwa sana mwenyezi Mungu akulinde
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 2 сағат бұрын
Ebwanaee pleas tumchangie kwa nguvu zoteee hatakama una buku tumaaaaaa
@frankraphael7546
@frankraphael7546 3 сағат бұрын
Dada pole sana nashukuru kuona surayako inanuru Bado naimani utaishi mdamrefu sana
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 2 сағат бұрын
Huyo nesi aliyekunyoosha mgongo kwa nguvu ndiye amekusababishia haya matatizo makubwa. Anatakiwa atafutwe huyo nesi kwanini alifanya hivyo? Manesi wengine huwa hawana huruma kabisa ingefaa achukuliwe hatua kali, kwanini hawa haujamripoti huyu nesi? Pole sana hawa Mungu mwenyezi aendelee kukusimamia na kukuponya maana mateso uliyo yapitia ni makubwa sana daaah. May God bless you
@SiahMoshi
@SiahMoshi 2 сағат бұрын
Namshukur Mungu wa mbingun kwa ajili ya huyu dada sifa na utukufu ni kwako baba
@Zuuh4286
@Zuuh4286 2 сағат бұрын
Mungu n mwema jaman hawa shukuru kwa kila jambo 😢😢😢😢
@NaimFabric
@NaimFabric 4 сағат бұрын
Wallah nimefurahi km mama samia rais wetu uliona ujumbe wangu wa kuweza kumsaidia hawa nakupenda kwaajili ya Allah nikipiga no haupatikani najibiwa imezuiliwa wallah natamani ukifika dar nitafute ukiona ujumbe huu nahitaji nikuone
@ChoroTesla
@ChoroTesla 4 сағат бұрын
Asirudi tu kwenye mambo ya dunia yakukaa uchi as previously
@zennahmtoto1867
@zennahmtoto1867 2 сағат бұрын
Mungu ni mwema snaa na hakunaa wa zaidi yake.. Alhamdhulilah
@maimunamsakamali9152
@maimunamsakamali9152 Сағат бұрын
Allhamdulilah Allah nakushuru sana kwa ajiri ya huyu dada
@muniramohammedmunira3832
@muniramohammedmunira3832 2 сағат бұрын
Masha Allah utapona dada yentu kipenz
@SaidAkili
@SaidAkili 2 сағат бұрын
Dua zetu Alhamdulilah Allah ametupokelea
@SakalaAbdilahi
@SakalaAbdilahi Сағат бұрын
Duh nimefurahi kumuona huyu dada mung ni mwema
@RatiffaDeo
@RatiffaDeo Сағат бұрын
Hawa mungu aendelee kukutunza sana anamakusudi na wewe 🙏
@harunasimon257
@harunasimon257 Сағат бұрын
Pole sana mungu yu mwema maishan mwetu utapona
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 3 сағат бұрын
Yani mimi kukuona hapa Mungu atukuzwe sana
@MussaJuma-nf3vg
@MussaJuma-nf3vg 29 минут бұрын
Hawa pole ssna dada yangu lakini wallah ww ni ishara ya KUWA ALLAH YUPO NA UWEZO WA ALLAH NI MKUBWA . JAMANII. MIMI NIKUOMBE UMSWALIE SN MTUME S.A.W NA KULETA ISTIGHFAAR KWA WINGI. HAINA MAANA Kama unamakosa Hapana ila ni kuzidisha imaan na na kupata ponyo. Samahani kama nitakua nimekwaza hawa au imaan ya mtu mwengine.
@emmycharles8463
@emmycharles8463 48 минут бұрын
Mungu aendeelee kukutunza Hawa
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 3 сағат бұрын
Mwacheni Mungu aitwe Mungu watu wa Mungu
@SophiaNdilito
@SophiaNdilito 2 сағат бұрын
Mungu Nimkubwaa jamaan Atukuzwee Adonai yehova Elshadai Mungu mwenye Nguvu🙏🙏🙏♥️♥️
@Gladysalbinus
@Gladysalbinus 5 сағат бұрын
Polee sana Sana Hakika Mungu akutendee makuu
@fatema-y8d
@fatema-y8d 2 сағат бұрын
Mashaallah Alhamdulillahi 🤲🤲
@subirafelix7413
@subirafelix7413 3 сағат бұрын
MUNGU anasikia Dua kweli aswaa
@eshamohd7268
@eshamohd7268 3 сағат бұрын
Huyu dda amepitia maskini😢
@azizalivingston1954
@azizalivingston1954 3 сағат бұрын
Dada usiseme kama unaendea vizue
@maryamtan682
@maryamtan682 2 сағат бұрын
Mungu mkubwa jamani daaah.
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary Сағат бұрын
Alhamdulillah 🙏🙏 mwenyezi MUNGU nimkubwa sana Alhamdulillah
@uiptv365
@uiptv365 29 минут бұрын
Glory to God 🙌🏽🙌🏽❤️💯 Mungu awabariki madaktari wote walio jitoa kwa hali na mali kuakikisha usalama wako 🙏🙏🎊💪🏾❤️
@rosemichael7287
@rosemichael7287 Сағат бұрын
Atukuzwe Mungu kwa ajili ya huyu dada 😊🙌 Mungu utabaki kuwa pekeee huruma yako inajidhihirisha ! Nimefurahi kumuona , katika uimara 🙏🏼!!! Rafa Mungu awe Fungu lako ❤
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Сағат бұрын
Alhamdulillah
@Kuruthum-v8j
@Kuruthum-v8j Сағат бұрын
Allah Akbar ☝️🙏
@ZenabAli95
@ZenabAli95 26 минут бұрын
Allahu Akbaru. Alhabdulillah ya Kareem. Leo nimeona huyu dada hakiwa na noor ya surah.Allah hakuponye zaidi na hakupe uzima wa hamani Leo na kesho khaera.japo sikufanikiwa mchago wowote ila kila nilipokuwa na warcht video zako nilikuwa nakuombea dua.Allah mkubwa na hanaweza kutatua kila jambo
@IbraheemJulius
@IbraheemJulius 4 сағат бұрын
GOD DID...!!🙏🙏🙏💯💯👍👍
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 сағат бұрын
Wewe ni muujiza unaotembea live
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 5 сағат бұрын
Hakika. Na uso wake umeanza kupata nuru. Mungu atakuponya Hawa
@ElifridaEdward
@ElifridaEdward 4 сағат бұрын
Jamani huyu dada Leo yupo hivi Mungu ni Mwema sana Pole sana kipenzi Mungu Azidi kukupa afya zaidi Nimeamini kweli kila jaribu Lina mpango wa kutokea
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 сағат бұрын
Alhamdulillah Mungu ni mkubwa Mungu ni wetu sote Mungu halali amepokea dua za waja tulikuombea usiku na mchana. Asante Mungu 🤲🤲🤲🤲
@bahathkinanja6881
@bahathkinanja6881 2 сағат бұрын
Allah ni mjuzi wa kila kitu
@ikabako2454
@ikabako2454 Сағат бұрын
Sio kweli. Hajui kama Israel wanawanyoosha Palestine huko.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 26 минут бұрын
Allahu akbaru Allah ndo mfalme na kila kitu dada hawa Allah akujaalie mshukuru sana usimuache kabisa alikupa mtihani na ukasubir usimuache kufanya ibada umepitia magumu na kushinda mitihani.❤❤❤❤
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 2 сағат бұрын
Ninacho shukuru Mungu nlikumbuka kukuombea😊 hakika amejibu ombi langu Yesu akutunze dada Hawa❤
@kampotkanangila9647
@kampotkanangila9647 18 минут бұрын
Nime hamini ha kika mwenyezi mungu ni mwingi warehema hajawai kumutupa mujawake pale hambapo ana muhamini hakika hajawahi kushindwa na chocho te☝💪🙌🙏
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 5 сағат бұрын
MUNGU NI MWEMA
@christaoman8890
@christaoman8890 4 минут бұрын
Tunakuombea sana kipenz chetuHawa Mungu akawe faraja kwako
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 49 минут бұрын
Tunamshukur MUNGU kwa hapo ulipofikia
@FatumaSalum-j3i
@FatumaSalum-j3i 4 сағат бұрын
Mung niwema
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Сағат бұрын
Mm ningekuwa Hawa ningetulia bilanyakuonekana kwenye mamedia maana hasad ni nyingi mno anayemtesa akiona yupo sawa anamuwashia tena moto Subhannallah Allah amponye na km kweli kuna mtu anaemtesa huyu dada Allah amudhibu adhabu kali huko alipo Astaghafilullah
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 Сағат бұрын
Alhamdulillah mungu n wa pekee kabsa leo hawa wangu umekuwa mzima nafurai n nakuombea sana dadangu❤❤❤❤❤❤
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 сағат бұрын
Huyo nesi ndo alimharibu. Na huyu dada ni mzuri..na wanawake wengiwana tabia ya kuwachukia wanawake wazuri naamini alimnyoosja kwa chuki😢
@JokhaJokhaabla
@JokhaJokhaabla 3 сағат бұрын
Chanzo ni nesi kwa nn amsukume kwa nguvu wakati mgonjwa alisema kua ana maamumivu makali? Oparation asimwambie mtu unaumia siku ya mwanzo ukiambia unyamyuke kidonda kina vunda so muache mgonjwa ajinyooshe pole pole mpaka anyoke mwenyewe mazoezi
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 сағат бұрын
Pesa anazotumia mama za kununua magoli, azielekeze kumponya huyu mtu wa Mungu
@zulfahaji91
@zulfahaji91 2 сағат бұрын
Kwani hajamsaidia jamani
@maskiniHanamshirika
@maskiniHanamshirika 2 сағат бұрын
Alhamdhulilai japo sio rahisi maumivu yako wayajua mwenyewe ela mungu ashukuriwe
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 2 сағат бұрын
Alihamdulilah una nafas kubwa kwa Allah hatuna budi tumshukur sana sana ❤❤❤❤ tunakupenda kipenzi
@HattaHatta-pk7hr
@HattaHatta-pk7hr Сағат бұрын
Hakika lmani nikuwa na uwakika ni bayan ya mambo yasio onekan hatiye umetengamaa Mungu wetu ajawahi shidwa na kitu ata watesi wafanyje Mungu akutunze zaidi dada hawa❤❤
@biommy6700
@biommy6700 2 сағат бұрын
Akk dada na kufatilia sanaa umetoka mbali, umepita mingi, Mungu aitwe mungu,,, shikamana na ibada sanaa,,, sura pia Ina nuru sasa
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 34 минут бұрын
Subhanallah Alhamdulillah Hawa leo anaanza kucmama imala Allah azidi kukupa afya njema Amiiiiin 🤲
@naipendanchiyangu9631
@naipendanchiyangu9631 Сағат бұрын
Pole sana
@EugeniahBelath
@EugeniahBelath Сағат бұрын
Me mung mponye uyu dad 🙏🙏
@IsiahMosl
@IsiahMosl 8 минут бұрын
Pole sana mugu mkubwa na anaweza tunahitaji kumshukir kwa kila hatua.
@SaadaNgingite
@SaadaNgingite 3 сағат бұрын
Hawa,unaendelea vzr kipenz changu.ahsante sana mungu kwa ajili ya hawa,kuna wakat nilikuwa nalia sana.mungu ni mwema hakika, naamini utapona daima.
@doriskahimba
@doriskahimba 4 сағат бұрын
Hakuna kama MUNGU nasadiki penye uzito uweka wepesi
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Сағат бұрын
Mungu nimwema umeiona tulikua tunakuomnea munguaendelee kukupa afya my dear
@pudensianaosward
@pudensianaosward 2 сағат бұрын
Asante mungu kwaaji ya huyu dada asante mungu kwaajili ya wahitaji wengine Asay yesu
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 56 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 28 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 22 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
YALIYOJIRI KWENYE USIKU WA ASANTE MWANAHAWA
39:47
ZamaradiTV
Рет қаралды 2,9 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 56 МЛН