Nawatakia cristmas njema na mwaka mpya wenye baraka tm km🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@INNOSENSIALIWEWAАй бұрын
Kwani hii movie inahusisha nini maana toka nianze kuangalia najipa moyo nitaelewa lkni wapi eti kim
@aishaomar2287Ай бұрын
Uchawi tu na mskafara nini chengine
@ChrisChris-w8zАй бұрын
Hata MI Sijaelewa
@mectridajosephmectridajosephАй бұрын
Hata sielewi
@MonicaMkombweАй бұрын
Yaaani ngoja nisubiri mbele
@TZHASHMAN19 күн бұрын
Yaani mpaka saiv haieleweki acha tuvute subra
@HandexIlamboАй бұрын
Movie nzuri sana❤
@NtakirutimanaSaidi-t8oАй бұрын
Wa kwanza nipeni liké jamani
@SimaojorgeManuelАй бұрын
Kmk 👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
😂 HII NDIO DUNIA BWANA... Ooo Ooo Oo Oo! Yaliyopita, kwenye dakika.
@IrakozeHami-t9mАй бұрын
😂😂😂😂 kbx Ila hii movie ni nzuri walio igiza ndo wamepoa
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@IrakozeHami-t9m kuna yule jamaa bonge anayejifunika kilemba kila nikimuangalia sina mbavu 😁😁😁 HII NDIO DUNIA BWANA. Sio lazima kila mtu awe msanii. Hii kazi imewashinda wasubirie Snake Boy au Big Boss wakapewe nafasi waongozwe vizuri wauze. Lakini hizi zakwao 😁
@aishaomar2287Ай бұрын
@@DonMooFILMES_Express ndio uzuri unawachana😂
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@@aishaomar2287 ni hatari sana ndugu yangu
@Damacline400428 күн бұрын
😂😂jamani
@bosslady1286Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@sarahfelix4227Ай бұрын
❤
@Asma-i1t2bАй бұрын
Mm ata sielewi
@TZHASHMAN19 күн бұрын
Watu mnanichekesha comment zenu 😂😂😂😂
@FatumaJumahАй бұрын
kim sasa ivi hatukuelewi
@TZHASHMAN19 күн бұрын
Mm nacheka comment zenu zinanichekesha 😂😂😂😂
@TZHASHMAN19 күн бұрын
Mm nacheka comment zenu zinanichekesha 😂😂😂😂
@ZekaniSАй бұрын
😂😂😂❤
@yuui1878Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
@FionahAugastineАй бұрын
Kwani hii movie mbona haieleweki
@hildachiboti6080Ай бұрын
Mi naona wewe unaelewa mi ndo naona mambo yaenda mbele Mara nyuma
@Mary-q5d5cАй бұрын
Kumbe tuko wengi wenye hatuelewi😅😅
@FionahAugastineАй бұрын
@@hildachiboti6080 yani tulianza mtu anaomba nguvu za kiume tukaja kwenye utajiri mtu anaonekana Kim alivo potato hatujui alipoteaje na kwann na yukowap et mtu anataka kumtowa kafara mwenzake anamtafta na panga na ni mchawi yani mambo ni ovyo sasa uyo dadaake Kim kafikaje mpaka kuwa mchawi