No video

NINI HUFANYIKA MTU ANAPOKWENDA MBELE ZA MUNGU | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA

  Рет қаралды 11,333

TENGWA TV

TENGWA TV

Күн бұрын

NINI HUFANYIKA MTU ANAPOKWENDA MBELE ZA MUNGU | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWAA
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 YESU AJIFUNUA WAZIWAZI KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU DODOMA | MWL. AUGUSTINE HB. TENGWA
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA

Пікірлер: 56
@isayakemore
@isayakemore Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Unabii umenigusa. Nami namwomba Mungu anipe kibali, niwe pamoja na wewe kupeleka ujumbe wa Mungu kwa wote wenye mwili.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Bwana YESU ASIFIWE SANA jana jioni nilipewa mistari hii ya zekaria kuisoma MUNGU wetu ni mkuu Sana aisee mtumishi wa MUNGU Mr Tengwa ubarikiwe Sana na MUNGU aendelee kukutumia maana umeibeba Tanzania aminaa
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe sana sana mtumishi wa Mungu.
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen watumishi wa Mungu aliye hai! Sifa na Utukufu ni kwa BWANA, Naomba mzidi sana kuniombea; kwani maonbi yenu ni muhimu sana kwangu.
@liesharehema5193
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Aminaaa baba yetu tunakuombea Kwakweli MUNGU na akufiche ubavuni mwake🙏🙏🙏
@richardmurokozi7875
@richardmurokozi7875 Жыл бұрын
Mbona Simu hupokeagi?
@marypeter2312
@marypeter2312 Жыл бұрын
@@richardmurokozi7875 anapokea mpigie
@mashakaraphael8041
@mashakaraphael8041 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi na azidi kuwatunza team nzima ya huduma hii,naomba ufike na Shinyanga Bwana akupe kibali.Mungu awalinde
@eliakimmhanze3359
@eliakimmhanze3359 Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kuwa amekutuma kama chombo, chake nimejifunza mengi katika kumcha BWANA MUNGU , Naomba Sana MUNGU akupe ufunuo zaidi ili watu wake wapate kuomba toba na kimrudia yeye Alie Mfalme wa wafalme katika Dunia hii.
@monyshirima
@monyshirima Жыл бұрын
Amina Mtumishi waMUNGU,songa mbele na MUNGU azidi kukutia nguvu.
@JoelRukunda-mk7xg
@JoelRukunda-mk7xg Жыл бұрын
Amen mtumishi, ubarikiwe na Bwana. Nahitaji mwendelezo wa somo hili
@elishashijashija8472
@elishashijashija8472 8 ай бұрын
Mungu mwema Uzidi kunemeka huduma yako ni ukombozi mkuu
@salahsadi3908
@salahsadi3908 Жыл бұрын
Ni kweli MUNGU hua anatuweka mkono wake wa kuumee ubarikiwe sana mtumishi Tengwa
@esthershaluah3770
@esthershaluah3770 Жыл бұрын
Amina, Eeh Mungu UTUREHEMU... Wabariki watumishi wako hawa walioamua kuitika na kulibeba hili kwa mzigo mkubwa!
@blessed3726
@blessed3726 Жыл бұрын
Shalom Mtumishi wa Mungu, hongera kwa Kazi njema .Nawaombea kwa Bwana awalinde na kila hila za adui na mitego yote.tuko pamoja tunaomba.
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe sana sana mtumishi wa MUNGU kwa maombi yako.
@mwangazakanganga8110
@mwangazakanganga8110 Жыл бұрын
Hallelujah! BWANA aendelee kukutia nguvu, usiyumbe wala kutetereka. Umeibeba hatma ya Tanzania kwa Neno la wakati 🙌🙌
@JeskaChenelo
@JeskaChenelo Жыл бұрын
6
@thewellministry9008
@thewellministry9008 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana ..Nakuomba ukiweza kufika kilimanjaro ..tutafutane ..kuna kitu cha wakati kikubwa !!!
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen mtumishi tukifika Kilimanjaro tutakuambia mtumishi ubarikiwe sana 🙏
@derickcowly6681
@derickcowly6681 Жыл бұрын
Mtumishi huyo Mungu aliyekuambia ktk kristo Yesu ni mpedwa aliyetoka kwa shetani ni kasiani aliyepata ajali kubwa sana na mpaka sasa ana vitu vya vyuma mwilini
@agathasebastian2189
@agathasebastian2189 Жыл бұрын
Uwiiii MUNGU nisaidie baba Yangu.
@ganeaustin6719
@ganeaustin6719 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe naogopa Sana maona uliyobeba juu ya taifa hili ubarikiwe
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Жыл бұрын
Tuzidi kuungana na Mtumishi Tengwa kwa kumuombea . Umoja wetu muhimu
@neemakusuhibwa347
@neemakusuhibwa347 Жыл бұрын
Mungu awatunze .
@helenmdee4004
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Barikiweni Sana.Bwana Yesu awatie nguvu kwa kazi hii njema
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
Amen Mungu wa mbinguni atusaidie kutambua majira
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
MUNGU tufunulie siri za neno lako.Hakika Mungu anatujali . Tunaendelea kumlilia Mungu.
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Жыл бұрын
Ufunuo mkubwa sana huu uliopewa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Ubarikiwe sana mtumishi Tengwa uzidi kuwa chombo kifaacho mikononi mwa Amiri jeshi mkuu YESU KRISTO
@ganeaustin6719
@ganeaustin6719 Жыл бұрын
SEMA baba tugeuke ni mungu anaonya taifa lake
@ganeaustin6719
@ganeaustin6719 Жыл бұрын
Na Mimi nafunga kwaajili ya taifa langu
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 Жыл бұрын
Amina mtumishi. Mungu awabariki na kuwatia nguvu. Tuko pamoja. Namwomba Mungu awatakishe watanzania waelewe waache mizaha na mazoea.
@asiyakabuya6159
@asiyakabuya6159 Жыл бұрын
Amina kubwa mtumishi wa BWANA wakweli ubarikiwe sana 🙏🙏 naelewakitu apo naunanielimisha sana👂 nakunifumbuwa macho 😭😭 asante mwalimu wakweli kabisa🙏
@laupetpet7779
@laupetpet7779 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu, tunakuombea sana pengine kupitia wewe taifa litaokoka na ghadhabu ya Mungu
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 Жыл бұрын
Thank you may the Lord Jesus keep you. This is a message for the church of Jesus christ. +254
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen 🙏.
@nkisuginanah7905
@nkisuginanah7905 Жыл бұрын
​@@tengwatv 😅
@user-nh6bp7wt8y
@user-nh6bp7wt8y Жыл бұрын
Amina mtumishi,Muda ulio amliwa utaujuaje?nisaidie kujua.Mungu azidi kukuinua
@HappyMwaigwisya
@HappyMwaigwisya Жыл бұрын
Haleluya haleluya
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Jamani hadi naogopa Ee Yesu unirehemu mim si kitu
@agathasebastian2189
@agathasebastian2189 Жыл бұрын
AMEN jaman barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU.
@winniemartin7647
@winniemartin7647 Жыл бұрын
Amina mtumishi nabarikiwa na kz yenu njema
@EdinaMbilinyi-hm6no
@EdinaMbilinyi-hm6no Жыл бұрын
Tunashukuru kwa kutuombea bwana yesu akulinde mtumishi
@wilsonmkumbo3032
@wilsonmkumbo3032 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwenye kazi hii aliyowatuma na kuwafunulia kulijua neno lake na kulifikisha kwa kanisa kwa usahihi Mungu wa kweli na Kristo Yesu awape kutumika kwa uaminifu katika majira haya mtimize mlichoitiwa na kila wa Bwana apate kupona
@tengwatv
@tengwatv Жыл бұрын
Amen, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@rehemasuleiman7469
@rehemasuleiman7469 Жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu,, Mungu akubariki sana
@bettykinyami5096
@bettykinyami5096 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu
@carenhilary8067
@carenhilary8067 Жыл бұрын
HALELUYA
@hindahnambela6628
@hindahnambela6628 Жыл бұрын
Amen
@philipojangama
@philipojangama Жыл бұрын
Ameen
@helenmdee4004
@helenmdee4004 Жыл бұрын
Ameeeeen
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 Жыл бұрын
E mungu tusaidie
@user-ql6cg2gk7m
@user-ql6cg2gk7m Жыл бұрын
Shalom ni upendo mkuu kujikana roho mtakatifu azidi kuwasha moto ili tuzidi kumba toba
@winniemartin7647
@winniemartin7647 Жыл бұрын
Shalom mtumishi wa mtumishi wa Mungu,, kazi yenu njema,, napenda kujua uwanja wa uhuru tar.29/4 itakuwa saa ngapi?
@winniemartin7647
@winniemartin7647 Жыл бұрын
Shalom,, ulisema dar ni tar 29/4 saa ngapi? Naomba mniunge group ya WhatsApp
@user-ql6cg2gk7m
@user-ql6cg2gk7m Жыл бұрын
Hi wakati SEMA mtumshi tumeanza kukuelewa haswa
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 32 МЛН
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 11 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
LORD, TURN MY SITUATION AROUND [ MIDNIGHT PRAYERS ] || APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:37:08
Journey With Christ
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ruqyah to cut all the Roots of Magic | Ruqyah to destroy Jinn living for long time in body
3:09:44
Ruqyah Quran - Treatment of Black Magic & Jinn
Рет қаралды 1,3 МЛН
The Book Of Enoch In Swahili | KITABU CHA HENOKO
3:24:29
Guerrier of Christ
Рет қаралды 10 М.
Historia ya MCHUNGAJI Mashimo : Kufukuzwa Kanisani/Utapeli na Kuvuruga Wanawake
1:22:44
BWANA AZIDI KUFUNUA MAMBO YA KUTISHA JUU YA TAIFA
38:42
TENGWA TV
Рет қаралды 13 М.
China, the dragon never dies | The roads of the impossible
48:49
Les Routes de l'impossible
Рет қаралды 6 МЛН
KILA MTU NI MMILIKI KATIKA HUDUMA HII YA UAMSHO
37:07
TENGWA TV
Рет қаралды 318
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 32 МЛН