Huyo anayepiga tarumbeta ako sawa sana hiyo sauti ya kwanza ila wa trombone hajasikika sana ila kazi nzuri sana ila tarumbeta sauti ya kwanza huyo mtu ni hatari sana anajua sana mpe salamu zangu
@farajamakonyola26303 ай бұрын
be blessed!
@markosamuel64906 ай бұрын
Sisi Watu wa Kkkt ndio Tunajua mziki kuimba na kupangilia sauti nashukuru Mungu kuniumba mkristo wa kanisa la kkkt imani tu neno tu kristo tu