Nduo mfae kwa dhiki uko hai duniani Chako kutoa hutaki wala hakionekan Wangojea afariki ukapike biriani ###hhhhhh nikifa pia vachu havataki biriani ako...hii umeweza sana bro
@hafidhamana325 Жыл бұрын
Nyimbo safi sana Maneno fact 👌
@mombasaraha12522 жыл бұрын
Swadakta menifurahisha mwenechu nchumfae akiweko duniyani aaaa hapo umenena
@abuuh-sultan25462 жыл бұрын
Japo nimechelew ila nmepata kuckia goma kali ajabu 💥💥
@hashimtwalib49812 жыл бұрын
BILKUL,UMENENA ABAWA IMEDARA NYOYO ZA WANAFIKI!BIG UP BRO
@feiswalmahadhi46602 жыл бұрын
kweli kabisa
@arbaab93372 жыл бұрын
MAMBO YA PWANI HAYA JAMANI RAHAAAAAAAAAAAA ...✍️
@saidabdallah75602 жыл бұрын
Nipa sasa Bajuni RahaTele🔥🔥🔥
@yusufali91192 жыл бұрын
Wawa Kali hiyo
@mariamramadhan33142 жыл бұрын
Wooh xo Nice 🥰
@nadyayassin74512 жыл бұрын
Santaaa nipoo bro kabsa 👌
@zulfaali5630 Жыл бұрын
Nice songs
@beenismailofficialali20242 жыл бұрын
ume cheja bro keep going boss
@captainaboud85852 жыл бұрын
Waziiiii
@captainaboud85852 жыл бұрын
Kabisa
@queenofswords5118 Жыл бұрын
Maneno makali...kwa waliobarikiwa mupende kuwasaidia waliokuwa na hali dhaif katika familia sio muje wakati wa matanga na show off nyingi
@eddahmwinzi2 жыл бұрын
I like this song
@nadyahabdulrahman8726 Жыл бұрын
True fact
@suleemann24472 жыл бұрын
Hii ndio neno 'USIKATE TAMAA' licha ya kubadilisha account anaonesha uwezo wake wa kazi nzuri.......Endelea kupambana siku yako inaweza kua kesho inshaAllah