Ubalikiwe sana mtumishi nmebalikiwa sana.kila siku ninawaza juu ya maubili yko
@vannykambale4108 Жыл бұрын
Mungu wangu nipe Macho ya rohoni
@Roseokongo355 Жыл бұрын
Amen,Mungu wangu nipe Macho ya Kuona,Thanks pastor.
@VenahAteka-po7bx Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji Kwa kweli nimepata Haya maupili wakati nilikuwa katika kipindi kigumu Sana cha ndoa yangu Na kupitia Neno lako nimepadirusha mtazamo wangu Na naomba Mungu anipee macho ya roho🙏
@wycliffemeshack3943 Жыл бұрын
Ooh my God nipe macho niyaone maji Kama hajili
@vannykambale4108 Жыл бұрын
Mubariki mtumishi EV MAGOTI kwa baraka ya Neno la Mungu
@sarahgubo34624 ай бұрын
Very true man of God
@happyyohana9881 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@MaryBiyaki-t4y Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@khaldn7409 Жыл бұрын
Mungu wangu fungua macho yangu yaweze kuona baraka bali yasione shida tu. Kwa jina la Yesu. Amina