NIQASHI YA TAUHID 3 ALDORET MAWAHABI WALIPELEKWA DARASANI KAMA WATOTO

  Рет қаралды 6,077

Sheikh Yusuf Diwan

Sheikh Yusuf Diwan

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Mashallwha shukran sanaa Mambo mazuri sanaa twataraji Mambo kama haya Tanga inshallah tuko pamoja
@ibraa1157
@ibraa1157 Жыл бұрын
Allah Amrehemu sheikh Musallam...🙏
@alwyjahdhamy8094
@alwyjahdhamy8094 Жыл бұрын
Subhanallaah kweli mawahabi wamefanywa watoto sana. Allaah awaongoze mawahabi.
@swabrinaomar5242
@swabrinaomar5242 Жыл бұрын
MashaAllah aleik Sayyid Abdulkadir
@bakarisahede9532
@bakarisahede9532 Жыл бұрын
Maashallah Allah atulipe woote inshaallah tutofautiane ila tusifarakane coz almuslimu ughur muslim
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Wallah nimecheka hadi nasi namuonea sana huruma huyu muhammed bachu atakavofanywa mbuzi wa hitima na sheikh sabas kubra
@tawheedmotivationalspeech2023.
@tawheedmotivationalspeech2023. Жыл бұрын
Allah amraham sheikh msallam 🤲
@masawangandomondo185
@masawangandomondo185 Жыл бұрын
Mcheni ALLAH Mbona mmemili Upande wenu tu. Huku kwingine msemaji ni mmoja tu. Mcheni ALLAH HASA WATENGENEZA CLIP Kuna hesabu wapendwa
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Hawa watu usipo kuwa mstaarabu unaweza kujikuta unawatukana kwenye comment. Wanashundwaje kuweka video nzima. Hata wakaiweka kwa part. Wakaweka part 1 part 2 mpaka kwendelea kuliko kukata kata
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Ndio kazi ya punda wa mashia hao masufi.
@MUBKAM-th3ln
@MUBKAM-th3ln Жыл бұрын
Sheikh Yusu diwani kuwa mwadilifu Unashusha hadhi yako.. acha ushabiki
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
KWETU WAISLAMU SAFI NDIO ANAZIDI HADHI YAKE. KWENU MSIO NA HOJA MIJITU YA BIDA'A NI MUWAHABI, MIHIZBU NYIE, MIGHURAFI NYIE MLIOKOSA HOJA MKAJIPACHIKA MAJINA YA QUR-AN NA SUNNA TUSHAKUJUENII NI PEMBE YA SHETANI KUTOKA NAJDI ALIOITABIRI MTUME SAW
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUSAMEHE NA AKUONGOZE KWENYE HAKKI HUJUI ULISEMALOI​@@hilalkhalfan1452
@aboudsaidaboud7667
@aboudsaidaboud7667 Жыл бұрын
suali waliulizwa....MAULID NI IBADA....jibuni
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Namuona sheikh ahmed
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 Жыл бұрын
Hapa Mawahabi wamechezwa 😂😅 Walipatana na miamba Masha Allah
@twahamuhoro1656
@twahamuhoro1656 Жыл бұрын
Swalfu zitatumika huko Tanga trh 17 inshallah...tutafurahi sana siku hiyo
@abdulsalum2852
@abdulsalum2852 Жыл бұрын
huu mjadala nilikuepo kenya izo clip zimekatwakatwa kutengeneza tuu hahahah
@Abuumuqbil4994
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Yusufu diwani ni mrongo tu allah akuongoze ktk haki
@greattiktokers3546
@greattiktokers3546 Жыл бұрын
Makhurafi hawana hoja. Wameweka upande pinzani video moja nakujiwekea tofauti upande wao. Hii inaonyesha hawakuwa na hoja za msingi ndio maana wameficha ukweli wakaeka ukhurafi. Hizi ndio dalili za kushindwa kwenye niwashi ijayo.
@MustafaOyoo-qz7rp
@MustafaOyoo-qz7rp Жыл бұрын
Watu wkuabudu majaburi mutafanganya wengine.uisamu teamtgma Allah pee yake
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 ай бұрын
ALIE IONA FULL HIO VIDEO NDIO ANAJUA HAKKI IKO WAPI SUNNA ITABAKIA KUA SUNNA TU HATA MUJE WAZUSHI MILIONI MOJA SUNNA ITAKUA JUU TU
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Nyie wapumbavu mnao tengeneza clip, wekeni full video. Mbona za Sabas mnaweka za daa nzima hii mnashindwaje mpaka mkate kate!?. Kama video ni ndefu sana wekeni kwa part, part 1, 2, 3 mpaka 4 watu watazame niqazh nzima. Sio upuumbavu huo mnao ufanya. Ndiomaana watu wa maulidi ndio watu wanao ongoza kwa uchawi wa kuchora mayai, hilizi, kutupia watu majini n.k hayo yapo wazi.
@ALLYnzeyimana-y6q
@ALLYnzeyimana-y6q 8 ай бұрын
Na fadhili Burundi atiye wazi
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Pia usitegemee huruma za watu wasiojua, ngoja siku ifike uone nini kitatokea
@saidyusuf9245
@saidyusuf9245 Жыл бұрын
Katika huu mjadala inaonekana watu watariqa ufahamu wao niudogo sana
@ALLYnzeyimana-y6q
@ALLYnzeyimana-y6q 8 ай бұрын
Kaka diwani nakuomba musabaka ukianza tutiye waz dalili za kufanya musabaka tuwanyeshe whabi kwamba ni wabida ni udhushii
@tawheedmotivationalspeech2023.
@tawheedmotivationalspeech2023. Жыл бұрын
Uyu jamaaa msanii kweli yan, weka niqqash yote unakatakata Nini Sasa, uadilifu zero kabsa
@coolvoices6608
@coolvoices6608 Жыл бұрын
Sheikh Mbarak Aweis namuona kwa mbali akikaa kama shibli mtoto wa simba ....simba wakinguruma
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 Жыл бұрын
Ubaya wa mawahabi hawataki kusoma
@KhalfaniFarisy
@KhalfaniFarisy Жыл бұрын
KWA HIYO HUKO MADRASA WANALALA?
@Theworld123om
@Theworld123om Жыл бұрын
Hujafanya haki sheikh... Ungepost video full sisi tuamue kuliko kueka hoja ya upande mmoja.... Allah atupe hidayaa na akujaze kheyr ktka harakat zako za Daawah
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Ndio kazi ya punda wa mashia hao masufi.
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Diwani usichezee watu akili, hio niqaash iweke yote nasio kukata vipande unavyo taka
@abdulymohamed4591
@abdulymohamed4591 Жыл бұрын
Wacha kiherehere subiri date ifike
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Shekh mbona hii umekatakahii videi
@jumaciza461
@jumaciza461 Жыл бұрын
Kizim kazi
@uthmanmaalim2680
@uthmanmaalim2680 Жыл бұрын
Tauhidi 3
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo Жыл бұрын
USICHUKUE NIQASHI ZA WATU OMBA NIQASHI UONA
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
HAPA NI CHUO, HATUTIZAMI KASHINDA NANI, TUNATIZAMA HOJA NI ZIPI. MAKAFIRI NDIO UEFANANA NAO HIZO AKILI ZAKO. SISI TUNATAFUTA UONGOFU TUENDE PEPONI KWA SALAMA NA SIO FULANI ASHINDE. KWA HAPA DALILI NIMEONA WAZI KUWA UWAHABIYA NI MUBTADIA KATIKA UUNGU. NI SHIRKI NA KUFRU ILIOJE, NA MIMI NIMEACHANA SASA NA UWAHABIYA SIO MWENZENU TENA NA UKAFIRI HUU WA KIWAHABIA. ✋✋✋🏇
@YussufSaid-ok4pu
@YussufSaid-ok4pu Жыл бұрын
Diwan nenda kasome wacha ujanja ujanja
@saidikhalphan
@saidikhalphan Жыл бұрын
Kuweni na uadilifu mnaelemea upande wenu tu, maulidi ndio ukristo kusherekea kuzaliwa kwa mtume ni kama wakristo wanavyosherekea krismasi,
@alijuma4893
@alijuma4893 Жыл бұрын
Mawahabi n makafiri hata klko makafiri wenyewe
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm Жыл бұрын
Mbona mnakauka koo jamaa😂😂😂
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
Kwa hivo wao pia wana bida 😅
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Masufi mbonamnaangaika wenzenu wapokimya 😂 mbona hivi fujotu ndiyokazienu mcheni Allah msitafute sifazakijinga
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Funzo iko hapi hapo?
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
We we utateseka sana ila hiyo ni niqashi km umesoma fafanua apo
@fadhiliwere197
@fadhiliwere197 Жыл бұрын
Makhurafi watu Wakwabudu Makaburii
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
😂😂😂aisee ktk hii taqsiimu tawhiiid mawahabi wameangukia pua...wanakataa bidaa wanafanya kufru
@swalehjamal4867
@swalehjamal4867 Жыл бұрын
Pandeni juu shukeni chini maulidi yatabaki kua bid3ah hata mukafanyaje maulidi imebeba ushirikina ndani ya barzanji kitabu cha waganga wenzenu
@abubakarmohamed4783
@abubakarmohamed4783 Жыл бұрын
Mpungufu Wa adabu wewe😊
@swalehjamal4867
@swalehjamal4867 Жыл бұрын
@@abubakarmohamed4783 nikose adabu lkn maulidi hamuezi kuyafanya sunnah …mashia ndio wenye maulidi ..kama nyinyi ni mashia semeni pia musiogope
@mohamseyf6243
@mohamseyf6243 Жыл бұрын
Kwa wasio elewa TAUHIDI ni kitendo AllAH ni jina la mungu Sasa kukigawa kitendo shida Iko wapi? Nikupe mfano: Wewe ni mmoja,Sasa nikisema wewe ni upepo maji na barafu nitakua nimekugawa mara tatu ila Nikisema Kukuamini wewe ni Kuamini maneno Yako na vitendo vyako je itakua nimekugawa mara mbili? Jibu laa? Hivi hatuelewi wapi nduguzangu?
@hugfcinternational1305
@hugfcinternational1305 Жыл бұрын
Mbona usipost video mzima wakata vipande vipande
@rogertuga007
@rogertuga007 Жыл бұрын
Sio maana ya unafiki lengo ni kupotosha akiweka nzima watu si wataelewa.
@sultansaidsalehe3805
@sultansaidsalehe3805 Жыл бұрын
Acheni taasub weken niqash yote muone mashekh wasunna walivyoitetea tauhid, msiwafanye watu wapumbav kw kukatakat clip na kuzpangilia sehem znawap nyny advantage
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
Makhurafi tabia zao zinafanana na Manaswara ktk majadiliano, hawana uadilifu hata kueka video ilio kamilika, ni kuikata kata wakaeka sehemu wazipendazo, Manaswara hufanya hivyo hivyo. Fanyeni uadilifu km ni wakweli.
@naimasheikh3055
@naimasheikh3055 Жыл бұрын
Jamanini kasomeni wateni ushabiki. Kama nyinyi mumeona full video hata sisi pia tumeona full video. Wacheni kufata killa bidaa za wahabi na ushabiki.
@sultansaidsalehe3805
@sultansaidsalehe3805 Жыл бұрын
@@naimasheikh3055 ww kam kweli umeon full video usingeongea upuuz huo cc Alhamdulillah tunasoma wa kwend kusom ni ww na mshabik ni ww cc tupo kwenye haq
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Ivi vigawanyo vya tawhiid maulamaa washavizungumza akiwemo sheikh swaleh alfauzani kwaio nyinyi mutapata tabu mno maneno yenu yanagonga kwenye debe tupu.
@darajanida
@darajanida Күн бұрын
kwani ulamaa ni fauzani pekeake
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 Жыл бұрын
kama Alivyosima Al imam rahil " watatandikwa hawatatanduka tena"
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Yaan uwahabi ukiuangalia ndani ni ukafiri wa wazi kabisaaaaa....bila kificho
@masar7013
@masar7013 Жыл бұрын
Kafiri ni nyinyi mnaabudu matakwa ya masharif...watu wa Suna msimamo wao ni kushikamana na maneno ya Allah na mtume wake si nyinyi mnaofuata maneno ya masheikh wenu...mfano Mtume ametufundsha nyiradi za Kila aina na Kila mazingira leo hii masharif wenu wametunnga vitabu vyao na nyinyi mnafuata hivyo na kuacha kufuata ya mtume,
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
@@masar7013 😂😂😂الجنون فنون
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Subhanallah Allah mumekuwa munaitana makafiri lahaula
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Muogope Allah nyinyi mawahabi
@babayaoyega2540
@babayaoyega2540 Жыл бұрын
Mwajua tuna clip nzima kuhusiana na hii niqash sasa msitucheze shere nyie majitu wa maulidi tuliona full clip
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Swali ni jee ikagawanywa na Nani mtume!? Swahaba au karne 3 za kwanza iyo swali muhim????
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
Si upinge apo basi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Hio full uliosikia una hoja gani ya tankasimu tawheed
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Mwataka full mutaumbuka mawahabi hamuna ilimu
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
Maskinii lugha ndio inawatatiza mawahabi daah
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Жыл бұрын
Kwa iyo nyie ndo mnajua lugha zaid kuliko ibnu taymiyya..kuliko ibnu uthaymeen...kuliko uyo muhammad ibnulwahhab.yan nyie mmetoka buza uko kwa bikibonge mkajue lugha kuliko ithaymeen.achen upuuz...ivo vktabu vyao wameandika kwa lugha ya kiswahili au? Mtu kama ibnu uthaymeen hakuna ata fanni 1 ya elimu ambayo hakuandika vitabu...useme hajui lugha..mtu alikua kyk kitengo cha wanafunz maalum wakat anasoma
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@almarwazyahaythamy4905 kwaio ibn taymia na utheymeen na Muhammad ibn Abdul wahabi anajua lugha kuliko maimamu wanne wa kisunni?
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 maimamu hao wa4 wa kisunni ukiwaangalia wapo tofaut na nyinyi masufi...sasa unawazungumzia maimamu hawa...akiwemo imaam maalik ..sufi wenu mmoja anadai yy anaijua lugha kuliko imam maalik?? Wamjua ni suFi gani???
@salimnanga
@salimnanga Жыл бұрын
masufi hamna akili
@OMAR-se6rb
@OMAR-se6rb Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Misufi asa mijinga
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
Wakosea bro hao wamefanya niqash hawajatukanana mbona ww wawatukana unakosea
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kwasababu maimamu wanne wote ni Masufi. Sasa wewe unamfata nani uliokuwa sio mjinga?
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
So mmezoea kuchezea akili za watu, sasa hapo ni hoja kwa hoja hatutaki bobo
@hamadali-ej4zg
@hamadali-ej4zg Жыл бұрын
Kumbe sote twafanya bidaa hakuna haja ya niqashi mambo yako wazi
@binhussein4411
@binhussein4411 Жыл бұрын
Usitume video nusu nusu tuma yote kamili.. Kuwa muadilifu.. Usilate video kipande
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
Kubali pia muna bidaa ndo hivo tu 😅
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
​@@azzahrau acha upumbavu. Kwanini hawajaweka video nzima!?
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
@@DonMooSTUDIO_Express kwani hio haikutoshi utatu kama wakristo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
@@azzahrau sio ukristo ni upagani. Nimefatilia historia ya ukristo kiundani nikafahamu huo utatu uliwekwa na wapagani wa misri ambao walikuwa na miungu yao mitatu. Kuoingana na utatu wao wakauvika kwenye ukristo baada ya kufanikiwa kuwaua mamilioni ya manaswala waliokuwa wakimfata Yesu (Nabii Issa) kwa usahihi. Wakateketeza vitabu sahihi vya injili kisha kuunda biblia na kuweka mafunzo yao. Ndipo humo wakaweka utatu mtakatifu. Sina shaka hata katikka uisilamu wapagani wanaweza kufanya hayo hayo...
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Leteni dalili ya arkani iiman
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
KWAHIO UNA MAANISHA DINI SIO LAZMA DALILI?, YAANI WATU WAJIFANYIE WANAVYOTAKA AU VIPI? 😂DAH! MAWAHABI SI MMESEMA MNAFATA QUR-AN NA SUNNA TU NYIEE!, SASA KUMBE HATA VILIOKUWA HAVINA DALILI KUMBE YA FAA KUFUATA, DUH!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Arkani ya imani imetolewa hapo, usitoe comments kama huasikiliza.
@mohamedimcheni2068
@mohamedimcheni2068 Жыл бұрын
Mawahabi na wakristo hamna tofauti hawa ni makafiri kabisa ndio waaminifu wa dini
@KhalfaniFarisy
@KhalfaniFarisy Жыл бұрын
HUJITAMBUI. YEYOTE ANAUNGA MKONO BARZANJI HUYO NDO KAFIRI. HUWEZI SEMA MTUME WA ALLAH ANAFUTA MADHAMBI
@markazzadlittaalimwalakhla355
@markazzadlittaalimwalakhla355 Жыл бұрын
Tuma Niqash kuanzia Alif mpaka Yaa au A mpaka Z sasa wengine wawawekea maneno tafauti wengine warudie maneno hayo hayo dalili yakuwa huna Inswaf ulioweka hii Niqash ikiwa huna Inswaf hatupokei na hatuamini clip zako kwa sababu ni khain wewe
@Shabalala99275
@Shabalala99275 Жыл бұрын
Kaz kaz hachomok wahabi hat mmoj mpaka kieleweke safari hii watanyooka2
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Wahabi ni nani???
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
Kabisa kumbe wao pia wana bida kibao Lakini wanabweka tu sijui wanabwekea nn
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@mohagurey2214 ni MIJI TU YA BIDA'A POTOVU
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Tutajuwa mbele ya Allah, usiwe na wasiwasi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@mohagurey2214 tatufa elimu duniani, kilakitu kipo wazi. Hio kusema tutajua mbele ya ALLAH SW. ni kufilisika kielimu
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
WEWE MGANGA NA GENGE LAKO LEO NDO UNAAMKA HII NIQASHI ILIFANYIKA KITAMBI SANA WEWE ULIKUWA BDO UPO KWENU UJIJI WAFUNDISHWA UGANGA NA BIBI ZAKO NA MASHETANI WAKO WALLAH WABILLAH WATALLAH HAKUNA NIQASHI MASUFI WALIBURUZWA KAMA HII HY ABDUL Qadir ilifika mdaa akawa hawezi kuongea mpaka watu wakaanza kucheka hahahaha na hii unalo fanya ndo litawapeleka watu kwenye kutafta video full wala hukosei MGANGA wewe na hizi njia unazo pita wafuata nyao za bosi wako JALALA JISHIA MBONA KITAMBO WATU WAJUA WEWE NI SHIA DIWANI MASHIA HUCHUKUA VIPANDE VYA VIDEO MIMI NATA MNAQASHA KUHUSU PIPI YA MAAJABU HAKUNA SHEKH ANAONGOZWA KWA KUTUKANWA KAMA DIWANI NA GENGE LAKE WATU WASHAKUDHARAU SANAAAA HUNA JIPYA MJINI HAPA MBONA MASHEKH WENGINE WAPO KIMYA TU MASHAALLAH SHEKH KISHIKI ALHAD MSAA SHEKH WALIDI NA WENGINE LAKINI HILI LIDIWANI MGANGA LIKISHIBA DAGAA NA NGULUKA TOKA KIGOMA KUTWA KWENYE MITANDAO BABA UMEFENI SANA
@mirajikaoneka7822
@mirajikaoneka7822 Жыл бұрын
acha upuuzi wewe
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
Makhurafi tabia zao zinafanana na Manaswara ktk majadiliano, hawana uadilifu hata kueka video ilio kamilika, ni kuikata kata wakaeka sehemu wazipendazo, Manaswara hufanya hivyo hivyo.fanyeni uadilifu km ni wakweli ktk nyoyo zenu.
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Acha kiburi we kama kweli muislam
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Weka yako ilio kamili wewe muwahabi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Njia yako ya upotovu iliokosa hoja na unafuata kibubusa na mihemko. Wapi tawheed tawa wa RUBUBIYA wa, waa kwenye Qur-an?. Za udhu na imani ndio mshajibiwa. Sasa wewe uliokosa majibu NI GHURAFI, MUBTADIA, HIZBI, PEMBE YA SHETANI KUTOKA NAJDI.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Asante sana ndugu yangu umeligundua hilo
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
​@@salimobeid1470 acha upumbavu wewe mjinga. Kama unaakili timamu kwanini wamekata kata vipabde badala ya kuweka nzima!?. Kama tatizo ni bando mbona video za Sabasi wanaweka mpaka saa nzima na madakika
@azzahrau
@azzahrau Жыл бұрын
Bado na munaqash wa bidaa ya mashindano ya quran😅
@rogertuga007
@rogertuga007 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
MJADALA WA VIGAWANYO VYA TAWHEED-KENYA - 14 OF 15
9:19
shining noor
Рет қаралды 5 М.
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,3 МЛН
BARZANJ. Mfahamu sheikh JAFAR Al BARZANJ mtunzi wa kitabu cha maulid ya barzanj
11:39
FIKRATUL MUHIBB ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.