NISHA YAONA FULL MOVIE

  Рет қаралды 2,404

BUTUA MAGINGA TZ

BUTUA MAGINGA TZ

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@giftelinazi3487
@giftelinazi3487 5 ай бұрын
Butua kumbe usipolewa unakuwa handsome hvyo umependza unajua kuigza❤❤
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Asante sana
@Mwandola1
@Mwandola1 5 ай бұрын
💚 🔥 nice like me
@Kilaka-gz5zu
@Kilaka-gz5zu 5 ай бұрын
Shangwe Mzee
@ZalhaMustapha-yj4os
@ZalhaMustapha-yj4os 4 ай бұрын
Ya bonge la Hb ucpokunywa pombe 🥰Butua wang❤️🤣
@butuamaginga
@butuamaginga 4 ай бұрын
Sinywi tena kipenzi
@butuamaginga
@butuamaginga 4 ай бұрын
Nimeacha
@ZalhaMustapha-yj4os
@ZalhaMustapha-yj4os 4 ай бұрын
​@@butuamagingaAisee nimefurah snaa mylov😄😄😅kuacha pombe 🌹🌹🌹
@HlmS-y5l
@HlmS-y5l 5 ай бұрын
Butua nyimbo nzuri ina mafunzo Cna nakukubali Cna kaza From Oman naitwa somoe
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Asante somoe
@ramadhanabdul7028
@ramadhanabdul7028 5 ай бұрын
Umetisha sana butua
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Asante sana
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
Bilashaka hii film ilikuwa ya zamani. Uigizaji huu wa BUTUA haufanani na uigizaji wa sasa. Director hakuwa makini na kazi yake, cameraman na hata waigizaji wamecheza local sana. Kwakuwa nimemuoa BONGE aliyecheza film kama BOKO HARAM n.k Bila shaka hii film ya BUTUA ni ya zamani... Ni vizuri kuweka KZbin kama kumbukumbu... waigizaji wote jitahidini kuwa wabunifu sio lazima kila film iwe na uzinifu au kuvaa nguo za hovyo. Aidia zipo nyingi sana za kuigiza 🙏❤ HAYO NI MAONI YANGU TU haina haja ya kunilaumu 🙏
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Nimekuelewa na ni kweli ya zamani haiwezi kujirudia subiri madude ya sasa ni bora zaidi na naamini utayapenda asante kwa kufatilia kazi zangu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
@@butuamaginga shukran pia ndugu yangu. Nimeanza kukufahamu kupitia Snake Boy nikaona unakipaji kikubwa. Nilipoanza kukufatilia ktk film zingine nimegundua unakipaji kikubwa sana. Hakuna sceen usiyoweza kucheza. Kuchekesha, kuhuzunisha, ukali n.k nafasi zote unafit sana. Ukicheza na MBWELA akaonekana ni mtemi zaidi yako huwa haileti uhalisia kabisa. Ukisimama tu, uongeaji wako na ulivyo unaonekana mtemi zaidi ya MBWELA. MBWELA alipendeza sana kwenye BIG BOSS ile nafasi iliendana naye 100%. Hafanani na utata kabisa, anaendana na sceen za masikitiko na upole tu. NIKO SAMBAMBA NA TEAM CLAM VEVO nyote mtaona maoni yangu kwenye kazi zenu. Mnivumilie nikitoa maoni ya kuumiza maana huwa nasema kulingana na mtazamo wangu.
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Shukrani sana siwezi kuku ferisha kwenye kaz zangu majambo yanakuja mengi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 5 ай бұрын
@@butuamaginga sawa sawa kaka ❤
@hilalwaleed5488
@hilalwaleed5488 5 ай бұрын
Bravo
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Shukrani baba
@PendoSiriely-oq9um
@PendoSiriely-oq9um 5 ай бұрын
Tafadhali butua naomba unitumie huu wimbo wa nishayaona
@butuamaginga
@butuamaginga 5 ай бұрын
Sawa
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 25 М.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 90 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 3 МЛН
KUNGWI MLEVI FULL MOVIE
2:51:37
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 18 М.
MPAKA FINAL
8:28
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 2,3 М.
KALOMBO FULL MOVE#clamvevo #kim #kipara #chilly
55:30
KASKASI FILM
Рет қаралды 1,8 М.
BARAKA ZA MAMA EP 4 S2
21:21
SAYUKI TV
Рет қаралды 12 М.
DUNIA (Ep 12)
22:49
ASMA FILMS
Рет қаралды 94 М.
PENZI LA BABA EPSODE 1 FULL EPSODE
16:23
NAZUU TV
Рет қаралды 4,7 М.
URITHI WANGU EPISODE ( 1 )
17:31
BUTUA MAGINGA TZ
Рет қаралды 15 М.
JOTO | FULL MOVIE
58:49
A7 FILMS
Рет қаралды 138 М.
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
CLAM VEVO
Рет қаралды 320 М.