NISHIKE MKONO - ROSE JOHN

  Рет қаралды 1,670

ROSE JOHN

ROSE JOHN

17 күн бұрын

Mpenzi mpendwa mfatiliaji wa nyimbo zangu za Mungu,(Gospel Songs), ni upendo wa Mungu ulio mkuu wa yeye mwenyewe kunipa uwezo wa kuimba wimbo huu unao kwenda kwa jina la (NISHIKE MKONO) .Niulete kwako, ni kusudi lake uusikilize na kuutizama ili ufanye jambo kubwa kwenye maisha yako, wengi wanafunguliwa kupitia wimbo huu na kuwekwa huru kutoka kwenye vifungo vya muovu ibilisi shetani, ila tu ni mpaka pale utapoutizama na kuusikiliza kwa moyo na kweli,.
Zaidi ili uweze kunisapot na kunitia moyo basi unaweza ku subscribe chanel yangu, ku like, ku share link ya wimbo huu kwa ndugu jamaa na marafiki na kupitia kwenye groups za whatspp ulizo nazo .. utabarikiwa zaidi, na ukiona yampendeza Mungu, basi comment ili niweze kupata kusoma wazo lako nilifanyie kazi na linitie moyo katika Yesu kristo.
Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa kunipa kipaji na kukifanya dhahiri kikufikie wewe hapo ulipo,
na mshukuru Baba yangu wa kiroho nabii ernest. Na mshukuru Mume wangu John, kwa kunipa sapoti kubwa namshukuru producer wa audio zangu Nason, pamoja na Director wa video John Patson,
Mungu awatunze na kuwaweka zaidi. Muweze kulitimiza jambo hili la ki Mungu.
na
Ili uweze kuwasiliana na mimi rose john tumia namba hizi
+255 745 175 723
na ili uweze kuwasiliana na Video director wangu tumia namba hizi
+255 695 827 669
Ahsante sana Mungu azidi kukupamdisha viwango zaidi. kama afanyavyo kwangu.
Amen.

Пікірлер: 16
@user-ky9qg9lx4g
@user-ky9qg9lx4g 11 күн бұрын
Hongera sana
@risperedward502
@risperedward502 14 күн бұрын
🥰🥰
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 14 күн бұрын
Asante my nipigie
@deusmallya3384
@deusmallya3384 14 күн бұрын
Hongera sana nyimbo nzuri sana 🤝🤝
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 14 күн бұрын
Asante mtumishi
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 10 күн бұрын
@@deusmallya3384 asante sana mtumishi
@AloycekatayayLukumay
@AloycekatayayLukumay 14 күн бұрын
Ameen
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 9 күн бұрын
@@AloycekatayayLukumay mungu akutunze mtumishi
@AloycekatayayLukumay
@AloycekatayayLukumay 8 күн бұрын
@@RoseJohn-sg2gx ameen mama
@user-ky9qg9lx4g
@user-ky9qg9lx4g 15 күн бұрын
Barikiwa sana
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 14 күн бұрын
Asante mtumishi
@Faithlecey-vi8ee
@Faithlecey-vi8ee 13 күн бұрын
Nyc song God. blessed you
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 11 күн бұрын
Thanks
@josephinenyamhanga8818
@josephinenyamhanga8818 11 күн бұрын
Kazi nzuri uinuliwe juu zaidi mtu wa MUNGU
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 10 күн бұрын
@@josephinenyamhanga8818 mungu akubariki sana
@RoseJohn-sg2gx
@RoseJohn-sg2gx 10 күн бұрын
@@Faithlecey-vi8ee asante sana ndugu Yangu
INUA NGAO - ROSE JOHN
6:35
ROSE JOHN
Рет қаралды 356
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 23 МЛН
This is not my neighbor  Terrible neighbor! #funny #zoonomaly #memes
00:26
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 665 М.
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 548 М.
NI RUO_BY_BETHY_WA_JOHNNY_(SMS SKIZA-6983310 TO 811 )
7:06
REV BETHY WA JOHNNY
Рет қаралды 1 МЛН
Sarah Magesa - Sijui Nimepitaje Official Music Video
7:16
Sarah Magesa
Рет қаралды 73 М.
Rose Muhando Ee Mungu Nitakushukuru
9:34
Africha Entertainment
Рет қаралды 6 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН