Huu ni wimbo wa Imani ya kweli ya Kila mwenye lmani ya kweli ya Kristo! Ukisikiliza huu wimbo, Unahitaji wakristo waliojitoa kwa Yesu katika ulimwengu wa Roho Kwa Dhati ya Mioyo yao! Siyo kwa Maigizo!! Kwaya za waasherati na wazinifu, na wanaotafuta wachumba kwenye kwaya, Hapo siyo mahali pake!!!
@VoH-Official2 жыл бұрын
I love the song aisee dear friends
@IREENKAIRUTHI3 ай бұрын
The pianist enjoyed the whoooole song. Nices voces! God bless you all🙏🙏🙏
@danstunmdoe31522 жыл бұрын
Haya mashindano hujenga sana kwaya zetu na kuweka ushindani mzuri katika makanisa yetu ya kilutheri
@VoH-Official2 жыл бұрын
Hutuimarisha mnooo
@catherinenjeeri649 Жыл бұрын
Jamaaniiii 🥰🥰🤪wanaimba vizuri na walitupiga chini kwenye Reformation🙆😁
Aiseee msewe napenda mnavyoimba Sanaa mungu azidi kuwainua zaidi.
@halizonihongoli4686 Жыл бұрын
Msewe my home❤
@georgemburu2647 Жыл бұрын
Hongereni Sana Waimbaji Tanzania kwa uimbaji mko 🔥🔥....naomba huu wimbo full kutoka Kwaya hiiii
@joelsamwel2580 Жыл бұрын
Msewe lutheran church choir
@PriskasatielSatiel Жыл бұрын
Msichoke kuitenda kazi yabwan❤❤❤❤
@rehemamkamba90272 жыл бұрын
Nimekuja huku mbio baada ya kuwaona kijitonyama Mungu aendelee kuwatumia watumishi wa Mungu muwe na moyo mkuu
@VoH-Official2 жыл бұрын
Walikuwe kijitonyama
@rehemamkamba90272 жыл бұрын
@@VoH-Official ndio nimewaona kwenye ibada
@joelsamwel25802 жыл бұрын
@@VoH-Official Tutakuja na azania front
@VoH-Official2 жыл бұрын
Karibuni sana
@joelsamwel25802 жыл бұрын
@@VoH-Official asante tunasubilia mualiko wako any time tutafika kutoa huduma
@SalvatoryJosephine-uq1kz Жыл бұрын
Naikumbuka sana hii kwaya tulikutana segerea kwenye mashindano Mungu Aibariki sana uduma yenu.
@jenifakihwelu31942 жыл бұрын
Huu wimbo huwa unanipa faraja sana kila ninapousikiliza. Mbarikiwe sana na mungu azidi kuwainua.
@Kmmmm2022 Жыл бұрын
Mependa iyo sare yenu
@eliufoosimonchuri41602 жыл бұрын
Nyimbo za TMW ni nzuri sana. Barikiwa waimbaji
@nkamangi4707 Жыл бұрын
Amaaaaaaaang amaaaaazing
@franktheson Жыл бұрын
Remind me of the days! Well done kwaya kuu.
@happytweve35682 жыл бұрын
Hongereni Sana kwaya kuu Msewe, mmechangamka kwa kweli. Mungu awape nguvu msichoke njiani
@VoH-Official2 жыл бұрын
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@mwemamella1483 Жыл бұрын
Beautifuly rendered... Tenors and sopranos performed 🤏
@janethlyimo80452 жыл бұрын
Hao wanaoinua mikono wanaimba kwa hisia hadi raha❤
@Tshiko84oslo2 жыл бұрын
Great voices! This choir makes one feels God’s presence. I am moved by everything. Hongera kwaya.
@VoH-Official2 жыл бұрын
I love this version 😢😢😢😢😢
@godfreymoshi6793 Жыл бұрын
Can I get full video of this choir singing this song??
@ahazkulanga243 Жыл бұрын
Beautiful version....too devine
@eddamsalilwa4876 Жыл бұрын
Mungu awabariki Sana Msewe, Mko Vizuri Sana.
@VoH-Official2 жыл бұрын
Organist 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ibmsingers2 жыл бұрын
Organist is puting some perfomances...Yuko Vema
@ahazkulanga243 Жыл бұрын
@@ibmsingers Amazing organ!!!
@kennethzebedayo797 Жыл бұрын
Huyu aliyepiga kinanda kwa kweli anajua kazi yake na ameutendea haki wimbo haswa. Nimerudia zaidi ya mara 3. Inapendeza kusikiliza tena na tena.
@VoH-Official Жыл бұрын
Anamafuta yake ya kipekee
@VoH-Official2 жыл бұрын
Sauyi ya pili uwiiiiii😢❤❤❤❤
@inesmtoi73442 жыл бұрын
Ya kwanza mimi inanikosha Sana hasa solo artist wao ananibariki Sana, Wana good tonation Hawa watu Mungu azidi kuwainua
@fredmhiche3614 Жыл бұрын
Naomba mkarekodi huu wimbo studio tafadhali
@elibarikmafie7490 Жыл бұрын
Mungu awabariki Msewe mnaimba kwa uchangamfu sana
@VoH-Official Жыл бұрын
Amina ndugu yangu. Mungu azidi kuwainua juu juu zaidi
@ahazkulanga2438 ай бұрын
Mchungaji @Gwakisa hii ulirekodi na camera au simu!! tone colour well captured!
@VoH-Official8 ай бұрын
Simu tu
@elifurahajulius75972 жыл бұрын
Yaani wamefanya vizuri Sana Hongereni msewe tumebarikiwa
@mollelmeliack10162 жыл бұрын
Aisee kweli hiyo ni remix na wameitendea haki
@barikielirehema7960 Жыл бұрын
Penda sana Mungu awabariki
@elineochaula9122 Жыл бұрын
❤❤❤
@warenkeke76732 жыл бұрын
Napenda vile wamepanga sauti. Mungu awabariki
@VoH-Official2 жыл бұрын
Nzuri mnoo
@joelsamwel25802 жыл бұрын
Wamechangamka adi rahaa 😊
@VoH-Official2 жыл бұрын
Mnooooo niliwapenda
@nitikemwakyusa37862 жыл бұрын
Ahsante sana mchungaji, tunakupenda pia mwimbaji mwenzetu. Karibu sana Msewe
@pendomoocha8772 жыл бұрын
@@VoH-Official niliupenda huo wimbo ila ulinikumbusha mbali😭
@VoH-Official2 жыл бұрын
@@pendomoocha877 Mungu akuimarishe
@inesmtoi73442 жыл бұрын
Ni raha kutumika ndani ya yesu
@Willygs18 Жыл бұрын
To God be the glory!
@janethtuuli87662 жыл бұрын
I love this🙏🙏🙏👌
@obadiabahizirearmand89772 жыл бұрын
Ooh my! I feel like flying
@VoH-Official2 жыл бұрын
True
@ibmsingers2 жыл бұрын
🔥🔥
@exceedexpectationstourssaf56072 жыл бұрын
Absolutelty amazing
@Tshiko84oslo Жыл бұрын
Where in Tanzania is this church? I would like to visit this church one day
@joelsamwel2580 Жыл бұрын
@msewe lutheran church choir
@godfreymoshi6793 Жыл бұрын
Dares alam
@daggieoketch6239 Жыл бұрын
Plain goosebumps😅😅😅
@IREENKAIRUTHI3 ай бұрын
@@daggieoketch6239 nice nice
@lupyanasamuel94252 жыл бұрын
😭😭
@pharmkakema88452 жыл бұрын
Nabarikiwa sana.!!!! Napenda sauti ya tatu wamenibariki zaidi. Mungu akuongoze mtumishi tuendelee kubarikiwa na channel hii. 🥰
@VoH-Official2 жыл бұрын
Yaaan mm zaidi mnoo
@innocentnnko2146 Жыл бұрын
Hakika sauti ya tatu inatuaminisha hakika nikishikwa na shida Yesu anatuwazia yaliyo mema sauti yenye msisitizo sana najisikia mtiririko wa chozi namkumbuka mwalimu wangu wa muziki Anthony Kambona Chaka Mungu ampe pumziko la milele.