Kaka calisah Sisi kama wanaume tunahitaji..... Kwenye Diet...mpangilio wa Chakula cha kitanzania ambacho gharama zake kila mtu anaweza kumudu utatusaidia Sana Kaka maana na wewe upo Mazingira kaama yetu
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
Nakubal
@saimonchange7605 Жыл бұрын
One of the smartest dude Tanzania 👊🏽
@ShebywakxhuaCALISAH Жыл бұрын
Keep going broh✊
@yusuphmahamud8669 Жыл бұрын
ADUI 🔥
@ChrisMitindo-g3e Жыл бұрын
Unyama
@LusekeloMichael Жыл бұрын
Y’re right ma boy!
@josephmwita996 Жыл бұрын
For real for real
@johnsonmerere3821 Жыл бұрын
bro usichoke kutupa madini watu wataongezeka
@dullyshaban8981 Жыл бұрын
Adui napataje iyo skin
@jerry-w7s2 ай бұрын
adui yani kati ya video ulioongea vizuri sana ni hii
@LusekeloMichael Жыл бұрын
Fanya bas unipatie Jina la ration nzuri kk
@hamadimkongoja2001 Жыл бұрын
Habari brother,naomba kufahamu kuhusu kulala , umesema at least masaa 7 Je unaweza lala masaa 5 usiku na masaa 2 mchana ? Au masaa 7 ya kulala unatakiwa uyatimize kwa usiku mmoja? Naomba nisaidie kielewa tafadhari